Ni mwema NA anapenda wananchi wake ni dini ya kiislaam haina ubora kwa ubinadamu wote ni sawa kwa kamuni au sheria wala haina ubaguzi wewe NA dini lako NA mimi NA dini langu
Hii ziara naona ingeahirishwa ili uongozi wa nchi ushughulikie maafa ya mafuriko kwa wananchi. Haiwezekani mafuriko yanauwa watu halafu zinafanyika ziara nje ya nchi! Kwa raha ipi? Tembo wanauwa wtu na kuharibu mashamba na hakuna kauli ya uongozi wa ngazi ya juu zaidi ya mbunge kusema raha ya milele uwape ee bwana! Ijengwe fence ya umeme kuzuwia wanyama wasitoke nje
Picha zipo kwenye mitandao ya Ikulu. Hakuna cha uongo kilosemwa. Na kila picha ina maelezo yake. Kuunganisha picha ndo kazi yetu hivyo hatuwezi kuacha😉😉
Mashaallah mungu akuzidishie mama
Hakika nampenda mama samia hii bi yunu yetu
Safi sana mama kama kaka yako magu.
Ni mwema NA anapenda wananchi wake ni dini ya kiislaam haina ubora kwa ubinadamu wote ni sawa kwa kamuni au sheria wala haina ubaguzi wewe NA dini lako NA mimi NA dini langu
Yaani namuheshimu na nampenda sn huyu mama kama mama yng.
Tutakupa kura zote ispokuwa wabunge
Hii ziara naona ingeahirishwa ili uongozi wa nchi ushughulikie maafa ya mafuriko kwa wananchi. Haiwezekani mafuriko yanauwa watu halafu zinafanyika ziara nje ya nchi! Kwa raha ipi? Tembo wanauwa wtu na kuharibu mashamba na hakuna kauli ya uongozi wa ngazi ya juu zaidi ya mbunge kusema raha ya milele uwape ee bwana! Ijengwe fence ya umeme kuzuwia wanyama wasitoke nje
Exactly, pesa za walipa kodi zinapotea
Wacheni kuunganisha picha na kutuzuga hio kwenye ndege sio kweli alipokuwa anakwenda uturuki
Picha zipo kwenye mitandao ya Ikulu. Hakuna cha uongo kilosemwa. Na kila picha ina maelezo yake. Kuunganisha picha ndo kazi yetu hivyo hatuwezi kuacha😉😉
ruclips.net/video/4JsxU2iaD9s/видео.htmlsi=PQ1NhHbVhGtEb6co