NIKO SINGLE, NIMEAMUA KUSEMA,HAKUA MTU SAHIHI :Bella kombo (Sauti therapy).

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 мар 2023

Комментарии • 38

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 10 месяцев назад +13

    Linapokuja suala la mwanamke kumtii mwanaume, wanawake wanakuja juu kwamba huo ni utumwa. Na linapokuja suala la mwanaume kumpenda mwanamke, wanaume nao wanakuja juu!! Usipompenda mke itakuwa vigumu kwake kukutii! Mwanamke yuko china yako, wewe ndo unatakiwa uoneshe upendo kwake kwanza na bila kutazamia chochote kutoka kwake. Hapa ndio kuna mgogoro mkubwa!

  • @tausimwinuka
    @tausimwinuka 7 месяцев назад

    Iko spirit kwa hiyo Beba mzigo kwa ajili Yetu Tuombee sana kwa kweli 😢

  • @stellarjovitas5473
    @stellarjovitas5473 6 месяцев назад +2

    🧔:swali gani upendi?!
    👩‍🦰:Qn about marital status
    🧔:So can you tell me your marital status🙄

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 Год назад +5

    Bella, don't feel proudly to mention you're single. Kwa watu wa MUNGU sio kitu kuzuri, lkn pia inaondoa utukufu, sijaelewa Kwa nini unaeleza kitu kibaya lkn in a good way, 😭😭, nilikuwa nasikia utukufu ndani Yako lkn Sasa nasikia uzuni, unapoteza ushuuda na nguvu za MUNGU pia

    • @esupatthomas5881
      @esupatthomas5881 10 месяцев назад +2

      Hakuna baunsa wa mahisiano na ndoa

    • @preneruth5110
      @preneruth5110 7 месяцев назад +1

      Watu Kama nyie ndo mnafanya watu wajiue... sasa kwa nn asiseme akatoa lililo moyoni kwanni mtumishi wa Mungu ni malaika hakutani na yanayowakuta wengne

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 7 месяцев назад

      @@esupatthomas5881 inategemea unachukuliaje, ndoa it's a big examination na Kwa mtu wa Mungu lazima u pass, haijarishi unapitia changamoto zipi.
      Baunsa wa mahusiano ni YESU ambae anafanya kazi ndani yetu. Nimesema hivyo Kwa sababu, ukiwa na huduma inayotafutwa ni huduma iliyo ndani Yako, ukishapigwa inakuwa ngumu sana kumwambia mtu matendo ya YESU wakati ameshindwa kutenda kwako

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 месяцев назад

      Uko sawa

  • @SamweliFelix-ij2pc
    @SamweliFelix-ij2pc 4 месяца назад

    Nahitaji kuonan na wew mm samwel

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 8 месяцев назад +2

    Bora wasameheane na warudiane.

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 19 дней назад

    Mashetan wanawamaliza wanawake wanaoim a nyimba za injil za kuzim pumbavu kabisa mnavaa kishenz kishenz pumbavu zenu nyie mnafanyoaa bongo move mwenyez mungu pumbavu kabisa umalaya

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 9 месяцев назад +2

    Huduma imevamiwa na waabudu mashetani.

  • @upendojoseph7912
    @upendojoseph7912 Год назад +1

    Ukutane na mtu sahihi dada bella wangu

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 11 месяцев назад +2

      Mtu sahihi hayuko duniani, hajazaliwa na hatazaliwa. Kila mtu ana mapungufu yake, kubwa ni kutafuta namna ya ku deal nae, baadae anaweza kuwa mtu mzuri kwako na si duniani, maana akienda Kwa mwingine Bado ataonekana ana mapungufu.

    • @upendojoseph7912
      @upendojoseph7912 11 месяцев назад

      @@salvinahassan8778 WA mapungufu anayoyaweza bella kuabeba

    • @barnabazawadi9433
      @barnabazawadi9433 10 месяцев назад +1

      @@salvinahassan8778uko sahihi kabisa…. Watu wanafikiri mtu sahihi, hatokuudhi wala kukupinga kwa chochote.

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 Месяц назад

    Kweli

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 14 дней назад

    Kwani si hakunaga kuachana huko au??

  • @vincentonsomu8372
    @vincentonsomu8372 26 дней назад

    Msameane na murudiane

  • @fadhilibarnabas3438
    @fadhilibarnabas3438 Год назад +2

    Daaa!! Why gospel singers, pole saana dada . Mungu akusaidie ufike alipokupangia. But naumia saana hii kwa waimbaji asilimia 90 ni hivyo.

    • @jaligawesa
      @jaligawesa Год назад +3

      Vita vya kiroho...pia watu wanaolewa au kuoa watu wasiosahihi

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 11 месяцев назад +1

      Ni huduma kubwa lkn wahusu wake wanaona unaweza kufanya bila hata kuwa na maombi ya kutosha, just talent. Wengi wao wanakosa watu sahihi wa kuwaongoza na kuwashauri, tayari wameshakuwa ma super ⭐.

    • @barnabazawadi9433
      @barnabazawadi9433 10 месяцев назад

      @@jaligawesawala hata sio vita ya Kiroho! Tunamsingizia sana shetani hata kwa vitu ambavyo hahusiki. Ni ukosefu tu wa maarifa sahihi! Kama ni Shetani kwa nini usimpinge? Maana Biblia inasema “mpingeni, naye atawakimbia..” na kama hajakimbia ukakimbia wewe, maana yake ni kwamba wewe ndio unashida! Sijui unaelewa!! Ndoa nyingi zinazovunjika, ni kutokana na ukosefu wa maarifa sahihi, kwanza kuhusu ndoa, pili kuhusu neno la Mungu. Biblia inasema “kama upo kwenye ndoa halafu ukaokoka, lakini mwenzako hataki kuokoka na anataka kuendelea kuishi na wewe, maandiko yanasema usimuache…” hakuna kusema kwamba hakuwa mtu sahihi. Kwani usahihi wa mtu hupimwa kwa mambo gani? Je, ni kwa kutokuwa na changamoto kwenye ndoa? Hapa kuna utata wa kutafsiri usahihi wa mtu…

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 8 месяцев назад

    Ni kwa nini wanawake wengi waimba injili wakitoka tu kimziki..,ndoa zao zinavunjika?

  • @heavensent2526
    @heavensent2526 10 месяцев назад +5

    Kuna kitu kiko nyma ya waimbaji kwani Wakisha anza kuimba gospel wanakosana na waume zao something is wrong in the realm of spirit

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 9 месяцев назад +2

      Wengi waabudu mashetani, waliovaa mavazi ya kondoo. What a tragedy.

    • @mercyetago4020
      @mercyetago4020 8 месяцев назад +1

      Pride. Pride. Tuwaombee female gospel singers.

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 месяцев назад +1

      The devil will fight pple who oppose him not secular musicians.

    • @Jacklinjohn-cr4vs
      @Jacklinjohn-cr4vs 6 месяцев назад

      Lucifa alikua muimbaji MBINGUNI akaanza kujiinua juu ya Mungu kiburi kikapanda..so sie waimbaji kiburi

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 Год назад +1

    eti kazunguka ili apewe majibu kirahisi

  • @patricklaurent3741
    @patricklaurent3741 8 месяцев назад

    Bella mbona mkubwa hvyo hijaoa bado

  • @josephmpanda306
    @josephmpanda306 10 месяцев назад +2

    kama ilikuwa ndoa kweli natamani utengeneze na mwenzio, maana nafasi ya ndoa nyingine kibiblia inakosekana

    • @dominicdwaax3736
      @dominicdwaax3736 5 месяцев назад +3

      kaka ubarikiwe na Bwana wakristo wanatakiwa kusikia hili hasa hawa wapentecoste maana wanaanza kufungisha ndoa wake na waume za watu … Mungu atusaidiee🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽Tuonee ya ndaniii kabca