Hii kwaya Mungu aendelee kuwabariki,nyimbo zenu zote mlizoimba huwa zinanibariki na kunitafskarisha sana,hujiona ninasali hakika utume wa kwaya mnautumia vilivyo kwa sauti nzuri,uvaaji mzuri,body na facial expression zinaendana na mchokiimba.Mungu awabariki wote na kuwajaza neema na Baraka msimame pamoja Clementina Kabaka Parokia ya Miyuji Dodoma
Daima nimekuwa nasifia uimbaji wenu, unamwzsha mtu kutafakari uzuri wa Mungu na huruma yake kwetu. Hakika kila niwasikiapo utafikiri ni kwa mara yangu ya kwanza...ninazaliwa upya na Mungu mwenye huruma ambaye anatuokoa , anatukaribisha na kutuhurumia pasipo mastahili. Mwimbieni kila wakati na mkushukuru.
Wimbo wangu pendwa, ubarikiwe sana dadaangu, uishi maisha marefu ili tuendelee kukufaidi❤
Nashukuru sana kwa wimbo mzuri . Hakika wimbo wako umenitafakari na kukuza Imani yangu. Zidi kubarikiwa
Nyimbo zuri sana
Hongereni Sana
Hongereni sana kwa kuinjilisha kwa njia ya Mziki Mtakatofu.
Hii kwaya Mungu aendelee kuwabariki,nyimbo zenu zote mlizoimba huwa zinanibariki na kunitafskarisha sana,hujiona ninasali hakika utume wa kwaya mnautumia vilivyo kwa sauti nzuri,uvaaji mzuri,body na facial expression zinaendana na mchokiimba.Mungu awabariki wote na kuwajaza neema na Baraka msimame pamoja
Clementina Kabaka Parokia ya Miyuji Dodoma
Amina 🙏🙏
Kazi nzuri ya kumtumikia Mungu. Hongereni. Despina pokea salamu yangu kutoka seminari mkuu ya theologia Congo Kinshasa
Asante Sana kaka karibu sana wasalimie wote huko
Hongereni kwa kaz nzuri,nabarikiwa nikisikiliza huu wimbo
Amina
Mbarikiwe nawapenda sana kwa kazii zenu nzuri,,, hata mbinguni mtaimba🙏🙏🙏🙏🌹
Amina
Daima Mungu awaongoze katika utume wenu nyote
Huu wimbo naupendaga sana
Kabisa kipindi hiki tunamwitaji MUNGU Sana tunamwitaji Sana
Amina 🙏🙏
Hongeren jaman naona mambo mwendo mfululizo safi sana tunabarikiwa nanyi
AMINA
Nakupenda bure dada
Good work♥️😍proud to be catholic 🌹♥️keep going despina😍🥳
Nzuri Sana dada angu 😊😊😊😊 mbele ya wale watu wetu wa kibali wataelewa
😂😂AHSANTE
Ndauli kaza hivohivo mungu azidi kuku inua
Amina
Niwe wa kwanza kusema kazi no nzuri sanaaa hongereni waimbaji kwa uinjilishaji
Asante sana
Beautiful song
Hongera sana mdogowangu
Asante
Nipende kusema kazi nzuri mnooo nimeipendaaa, hongereni Sana aseee waimbaji wote kwa uinjilishaji uliotukuka
AHSANTE
Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuri 🥰🥰🥰🤝💪🤝keep progressin' Da Despina 🎼🎶🎼💯💪
AMINA
Nice one 👍 👌
Hiii ni nzuri sana
Hongera sana , unaimba vzr sana jaman ❤️
Asante sana
Thanks 🙏
Please indeed that CDs of your in Kenya where will gate them
Thank you🙏🙏
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri.
Asante kaka
Mbarikiwe kwa kazi nzuri...this is incredible 💯♥️🙏
Amina
Amina kwa nyimbo nzuri mungu awabariki
Amina
Merci pour vos partitions, c'est émouvant vraiment! The best voice!
Merci
amina
God bless u my dear
Thank u my mam😘
❤❤❤❤❤❤
❤️❤️🙏🙏
✨✨✨
Daima nimekuwa nasifia uimbaji wenu, unamwzsha mtu kutafakari uzuri wa Mungu na huruma yake kwetu. Hakika kila niwasikiapo utafikiri ni kwa mara yangu ya kwanza...ninazaliwa upya na Mungu mwenye huruma ambaye anatuokoa , anatukaribisha na kutuhurumia pasipo mastahili. Mwimbieni kila wakati na mkushukuru.
Asante Mama Yetu kipenzi Tunashukuru Sana Mungu akubariki Sana 🙏🙏🙏💕
❤❤❤❤❤❤❤❤