SIMBA ITAWASHTUA WATU KWA USAJILI WA KARIM KIMVUIDI/FUNDI SANA/ALIWAHI KUFUNDISHWA NA FADLU DAVIDS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • Simba Pro tunafahamu kuhusu usajili wa Simba ambao unaendeshwa kimya kimya huku taarifa zikisema kua Simba Inaangalia uwezekano wa kumvuta nchini Fundi ambae anakipiga katika kikosi cha Orlando Pirates ya South Africa Karim Kiekie Kimvuidi nyota raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka (22)
    hii inakua mara ya pili kwa wekundu wa Msimbazi Simba kuhusishwa na nyota huyo kwani waliwahi kuhusishwa nae mwaka 2021
    Kama unataka kuungwa kwenye Group letu la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kupewa utaratibu wa jinsi ya kuungwa

Комментарии •