THE CLASSIC TID:NILIACHA KURAP NI UJINGA/MADEM FAKE/ NILITANGAZA TANZANIA DUNIAN BILA MSAADA/ SIJALI
HTML-код
- Опубликовано: 5 окт 2024
- Top In Dar ama TID amefika kwenye The Classic katika episode hii ambae walau alipata nafasi ya kuelezea safari yake kwa ufupi na kuzungumzia nyakati za awali kabisa mpaka sasa alipofika na ameweza kubainisha mambo mengi ambayo pengine hukuwahi kuyafahamu usisahau ku subscribe ukimaliza kutazama for more
“Siku kama hizi” one of the best song
Jabir saleh bonge moja la interviewer
🇰🇪Nimetokea kumpenda sana TID baada ya hii interview. Huwaga nafikiri hayuko sober akiongea kumbe ni mcheshi tu in general. Good talent of all time
Sema bro Jabir Saleh mjanja sn wkt unafanya interview kuna kitu nimenote ukiona msanii anaenda OP unachukua kipaza unasherehesha kidogo kwny point yko ile ile ulokusudia then unampa swal lingine unamuhamisha na mada yke y OP pind linaendelea 😂😂😂 Bip up sn bro
😂😂🤝
Nipe nafasi Tid na fid q ndo ngoma kali zaidi ya Tid
The industry doesn't pay enough respect to this legend but once he sleeps into 6" down a lot will pay shits 😢
Sauti ya Dhahabu, one of the best album
Asha ni ngoma kubwa sana kuliko zeze
Sio kweli jomba. Zeze ngoma kubwa sana ikifuatiwa na Siamini halafu ndo Asha na Girlfriend
eti wale wangu 🎉 wanaoniita TID ni wale wanaotoka mikoani .......kuma sana huyu janki
Im proud of you top in dar. Umeuweka mziki wetu kweny ramani
Kwangu Mimi zeze sio mkubwa ila wimbo mkubwa ni ASHA❤❤ TID mpaka anakufa hatokuja kuimba wimbo mkali kama ASHA
Nimkubwa Sana ilahapo mpak kufa hapana
Wewe tu sikio lako Ila ukweli zeze ndio wimbo mkubwa wa TID
Hiyo Asha akati inatoka itakua ulitongozwa nayo😂 au ulitumiwa dedication
@@aminmohammed4249 Sasa hizi ni zarau Mie mwanaume nitongozwe nitake radhi:::. Na istosha ASHA imetoka nilikua shule ya msingi nyumbani nilikua na redio so kwa habari ya burudani na mziki walikua wananiuliza Mimi 😂🤣😂🤣 ASHA for me is one of the best song, and I can say is greatest all the time ASHA mpigie makofi 2 Bwana TID
@@joshuamuro9494 Sasa bro unataka kunambia huyu jamaa atakuja atoe nyimbo Kali kuliko alizoimba kipindi hicho? Kwa Sasa hawezi kuumiza kichwa kuandika wimbo mkali na badala ya atatoa nyimbo is just for fun
Huyu Jamaa Anangoma nyingi sana Kali lakni sidhani kama Kuna ngoma Kali zaidi kama nyota Yako / Asha noma sana
Kuna siku kama hizi,rahisa
Dakika ya 4..KATA SIM KALALE 😂😂,,,tidi kichaa😅😅
Consistent, Maji mengi Mtoto mdogo Legend🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa interview zake haziboeshi😂 TID Yuko vzury
Zeze hat club inafaa kwa matumiz yetu
Siamini ni 🔥🔥🔥 mpaka kesho kutwa
Kaimba vzuri hiyo nyimbo ya fally was good
Ww msenge! unanichekesha sana
nakifwatilia sana hiki kipindi big up
TID ni rnb gangster 😅
Smart and funny dude
Zeze,,tulivaa mpaka ma jeans mamaeee
Nakubali pindi
Kumbe ndio maana hili lijinga lilikua linapiga mziki mkubwa 😂😂😂 kumbe ni zao la hip hop mamaeeee
MNALIJINGA LINALOPIGA MZIKI MKUBWA NI MA LEGEND TU.
Zamani was all bout hip hop
Black gangstars. Hafu wasanii wa zamani walikua wasomi. Ziku izi kina modi hawamo kabisa.
Ni Yeye mnyama ……….ni noma
🙌🏾
#watoto_wadogo_hawaelewiiii__😂😂 #vunjuvenga
TID Kituko sana 🤣
👊👍✌️。
kIGOGO warioba ni YEYE.
Ngoma kali mimi ni nyota ndo kali sana
Anaongea mnyama 😂😂
😂
😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂