ALICHOKISEMA ROLINGA MBELE YA MITUME NA MANABII HIKI HAPA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 81

  • @emmysemiono2910
    @emmysemiono2910 10 месяцев назад

    Baba. Mungu aendelee nitakutumia zaidi.

  • @rosemrutu9069
    @rosemrutu9069 11 месяцев назад

    Umesema kweli Mtumishi wa Mungu, Roho Mtakatifu kakuongoza kusema hayo, manabii tunapita kwenye wakati mgumu sana

  • @emmysemiono2910
    @emmysemiono2910 10 месяцев назад

    Bwana Mungu azidi kukuinua

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 Год назад +5

    Mungu aliye hai aendelee kukuinua zaidi na zaidi Baba Yetu Prophet Ss Rolinga...👋👋

  • @thomasmallya670
    @thomasmallya670 Год назад +2

    Nguvu ya omega baba. Poker mkono wangu wa pongezi kwa mahubiri yenye nguvu za Mungu. Nimeguswa sana baba.

  • @JanetNambeya-ce6lc
    @JanetNambeya-ce6lc Год назад +2

    Asante sana my prophet Rolling a ubarikiwe

  • @Maureenjason9651
    @Maureenjason9651 Год назад +3

    AMEEEEEEEN Baba Mungu akuinue zaidi

  • @chazkkasubi
    @chazkkasubi Год назад +2

    Amen 🙏 sijuhi kesho yangu I will be big person in this world

  • @IvanElias-pv1bd
    @IvanElias-pv1bd Год назад +4

    MUNGU alie hai aendelee kukuweka juu na kukuinua My Daddy Prophet Samwel Samson Rolinga ❤🙏🙏

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc Год назад +2

    Amen mungu wetu anaweza

  • @davidmsangawale1099
    @davidmsangawale1099 Год назад

    Amina Amina Amina Amina Amina Amina nimekuelewa Sana Nabii lolinga.

  • @veronicapoul
    @veronicapoul Год назад +2

    Amen Babaa

  • @omegacallcentre
    @omegacallcentre Год назад +2

    amen baba tunakupenda

  • @prophetgervasebenard7486
    @prophetgervasebenard7486 Год назад

    Amen! Halleluya! Nimemuona baba yangu Nabii CLEAR MALISA wa Ubungo Kibangu.

  • @godrivernicholous3536
    @godrivernicholous3536 Год назад +1

    Amen Mungu AZIDI kukuinua zaidi ya Hapo Baba yangu 🙇🙇Najifunza unyenyekevu mkubwa kutoka KWAKO,Amen🙏🙏🏽🙏

  • @emmysemiono2910
    @emmysemiono2910 10 месяцев назад

    Amen Babe

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Год назад

    Amee. uache kazi ya Yesu ijitambulishe yenyewe.

  • @solomonmwasame2001
    @solomonmwasame2001 Год назад +1

    Napenda hii ibaada sana

  • @leahedward-dq6uv
    @leahedward-dq6uv 11 месяцев назад

    Ameeeeen mtumish

  • @angelMawole3689
    @angelMawole3689 Год назад

    Tuwe na sauti moja adui yetu ni shetani sio sisi kwa sisi👏👏👏👏👏

  • @NdukuWilson
    @NdukuWilson Год назад +1

    Ameen daddy ,may God lift you more

  • @HAAM670
    @HAAM670 Год назад +7

    Hiki kitu anachoongea Nabii Rolinga tangu mwakajuzi Mungu ameweka ndani yangu mzigo wa kuombea. Na tangu nianze kuomba nimeona matokeo Makubwa. Hata huu Mkutano ni ushuhuda kwangu. Nchi yetu huduma ya Kitume na Kinabii hazitambuliki, hazithaminiki, haziheshimiki, jambo ambalo ni hasara Kwa Kanisa na Taifa, Efeso 4:11-12. Tanzania ina Mitume na Manabii wengi, lakini ni kama wamefichwa/wamejificha hivi. Mungu ainue Waombaji wengi kuombea Ofisi hizi 2. Natamani kuona Kanisa na Taifa letu linanufaika na hizi huduma 2 sawasawa na Mungu alivyokusudia. Tanzania tumechelewaaa saana. Wakati wenzetu nchi zingine Wanakula na Kunywa mezani Kwa Mitume na Manabii, watanzania tunawaita Majina ya freemanson Watumishi wetu. Mungu aturehemu Tanzania.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Год назад

      NDOTO ZA MCHANA FANYENI KAZI WAGALATIA HAKUNA MIUJIZA TUACHENI KUWAPA SADAKA HAWA MATAPELI HAKUNA MANABII HAWA NI WASANII 😢😢😢😢

  • @leahheri2513no7
    @leahheri2513no7 Год назад +1

    Amen AMEN AMEN AMEN

  • @nosyamwakila8463
    @nosyamwakila8463 Год назад

    Amina Mungu aendelee kukutunza

  • @CarenMushi-gi2xk
    @CarenMushi-gi2xk Год назад +1

    Amen Baba 🙏🙏🙏 you’re blessed 🙌👏

  • @erickasosisye2261
    @erickasosisye2261 Год назад

    Amen proghat god bless you

  • @aganolwanda5707
    @aganolwanda5707 Год назад

    BABA MUNGU azidi kukuinua

  • @williamjohn6463
    @williamjohn6463 Год назад

    Nakuskiliza General. My MENTOR.

  • @prophetgervasebenard7486
    @prophetgervasebenard7486 Год назад

    Powerful preaching man of God 🤝🙏

  • @rosemakoti2516
    @rosemakoti2516 Год назад

    Ameen God bless you my dad

  • @TetwigisJoseph-ef4dq
    @TetwigisJoseph-ef4dq Год назад

    Mkipita kila mkoa itakuwa heri sana tunakutamani uje kuhamasisha kila Konami Yesu kristo asifiwe sana Afrika

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Год назад

    Yesu anakuja

  • @aganolwanda5707
    @aganolwanda5707 Год назад

    Haleluya Haleluya

  • @davidmsangawale1099
    @davidmsangawale1099 Год назад

    Naomba nikutane nawewe

  • @jastinj.joseph7577
    @jastinj.joseph7577 Год назад +1

    Amina

  • @kkjustn8385
    @kkjustn8385 Год назад

    Amen amen 🙏

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 Год назад

    Ameeen 🙏🙏

  • @williamjohn6463
    @williamjohn6463 Год назад

    Amen

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 Год назад +1

    Muogopeni mungu.hapo kuna mitume na manabii?

  • @apasianankya5275
    @apasianankya5275 Год назад

    Ameeeen

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 Год назад

    Naomba kufahamu huu utume na unabii huwa unapatikanaje

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 Год назад

      Kwakweli ni ngumu sana mpaka kuna rais wa mitume na manabii
      Anaewateua sijui ni nani

  • @prophetgervasebenard7486
    @prophetgervasebenard7486 Год назад

    Powerful revelation!😂

  • @astolbenson
    @astolbenson Год назад

    👏🏾👏🏾👏🏾

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini Год назад +5

    Mtumishi wa Mungu kinachotuchanganya ni hivi vifaa vinavyotumika kwenye maombezi hatupingi manabii ila hatuoni mitume wa kwenye Biblia kuwa walitumia vifaa kuponya watu Barikiwa Mtumishi hatuna shaka na huduma hiyo

    • @pjsite2390
      @pjsite2390 Год назад

      Kabisa

    • @SmilingChocolateStrawber-zd5lc
      @SmilingChocolateStrawber-zd5lc Год назад +1

      Wewe huoni mitume wa zamani walitumia mafuta kuponya wagonjwa labda kama hujui hayo maandiko

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 Год назад

      soma maandiko vizuri achana na ulokole. Akina Paulo hawakuponya watu kwa leso? Au siyo mitume?

    • @evansgeryon420
      @evansgeryon420 Год назад +1

      Soma vizuri kitabu cha matendo ya mitume..mtume paulo alitumia nguo zake na hata kivuli chake watu walikanyaga wakapona

    • @PatsonKyando-d1p
      @PatsonKyando-d1p 11 месяцев назад

      Yesu mwenyewe alitumia vifaa vya kiroho Yohana9:1-7,

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 месяцев назад

    Matengenezo ya mwili wa mfuasi wa BWANA wetu YESU KRISTO yaambatane kweli kweli na ROHO MTAKATIFU aingilie kati maana mapambo ya mwilini yamezidi sana duniani tuokolewe jamani YESU KRISTO yu karibu kuja kweli tunyenyekee hasa

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 Год назад

    Jambo murwa mno kikundi Cha manabii kukutana kushauriana na kuomba pamoja

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Год назад

    Saa ya MUNGU imefika maana kila Jambo huwa na wakati wake

  • @BeatriceKijangwa
    @BeatriceKijangwa Год назад

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z Год назад

    Mitume hawezi kutoka mikoani

  • @BeatriceKijangwa
    @BeatriceKijangwa Год назад

    0:58

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Год назад

    Ndiyo awo wakina Mwamposa na Jodevi umechanganyokiwa sana 😂😂😂

    • @focusernest5610
      @focusernest5610 Год назад

      Nishikie bunduki siwez muamini geordavie,,mwamposa,,,suguye,,,TB Joshua,,,mzee wa upako,,, siwez waamin

  • @NeemaKimbe-v7o
    @NeemaKimbe-v7o Год назад

    Kwani kuwasimamisha hvyo hao watu kuna maana gani

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e Год назад

    Kwan hii huduma ipo wp?Nipo Dar

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Год назад

    Rais wa Mitume na Manabii 😂😂😂😂

  • @ProphetAivanangel
    @ProphetAivanangel Год назад

    UKIJIAMINI MUNGU ANAKUAMINI. NA MAKUSUDI YAKO YAKIKAMILIKA WEWE NI MSHINDI

  • @frankmpoto5347
    @frankmpoto5347 Год назад

    Ni wapi Moses Kurola alitumia maji mafuta chumvi au kifaa chochote kinachoitwa chaupako? Ukisoma Mathayo7:14-23 utapata majibu mazuri sana ya ukweli mzima

    • @ZubedaVicent
      @ZubedaVicent Год назад

      Nikweli kabisa ,mmewaona hao wadada walovaa vimin,wamekaa mbele, Mungu atusaidie, kuiona mbingu ckitu lahic

    • @ZubedaVicent
      @ZubedaVicent Год назад

      Watanzani tumependelewa na Mungu kabla ya misingi ya Duncan kuwekwa

  • @samweljohn174
    @samweljohn174 Год назад

    Kiukweli tanzania kulola ndio mzee wa injili na ni mzazi wa kiroho wa wengi hata waliokengeuka angekua ni wahubiri wa leo angekua ni bilionea ila alinyenyekea hadi maut

  • @joshuaelias8056
    @joshuaelias8056 11 месяцев назад

    Kurola. Alikua. Mungu.
    Kurola. Alikua. Mtume?
    Kurola. Alikua. Nabii?
    Kurola. Alikua. Mchungaji?
    Kurola. Alikua. Mwinjiristi. ?
    Kurola. Alikua. Mwalimu. ?
    Ukiangalia. .kwa. Jicho. la. Rohoni
    Mtumishi. wa . Mungu .kurola. Alikua. ..mw/njirisiti
    Sasa. Tazama. Karama. Tano. za. Roho mtakatifu.. utagundua. .kazi .ya. .kira . mtumishi. wa. Mungu.
    Angalia. Waefeso. 4. 9- 16.

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z Год назад

    Achani ukuwadanganya watu hakuna mtume wala nabii jamani maandiko yapo wazi ukweli unabaki rohoni na nikweli mpo kipesa

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Год назад

    UNALINDWA KAMA NANI ACHA MUNGU AKUTETEE IPO SIKU MTALIA KWA DHAMBI ZA KUWADANGANYA WATU ETI MANABII NYIE IPO SIKU

  • @astolbenson
    @astolbenson Год назад

    adui yetu ni shetani

  • @Noela829
    @Noela829 10 месяцев назад

    Amen 🙏 baba

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Год назад

    Amen

  • @JosephatKibuga
    @JosephatKibuga Год назад

    Amen

  • @DeusSalum-i1z
    @DeusSalum-i1z 2 месяца назад

    Amen