Mkasi - S01E01 with iRene Uwoya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 136

  • @Kudema41
    @Kudema41 Месяц назад +4

    nani anaangalia 2024 kama mm

  • @asmamirado7360
    @asmamirado7360 11 лет назад +3

    its the amazing show in town

  • @psqpsa9841
    @psqpsa9841 9 лет назад +2

    Nakupenda sana Irene uwoya

  • @iddimiraji
    @iddimiraji 13 лет назад

    i love the idea of posting the series online, hata sie huku tusio na eatv tunaeza faidi

  • @gcupidcj
    @gcupidcj 13 лет назад +3

    i loved it...laughed alot.

  • @MrRrahC
    @MrRrahC 13 лет назад +1

    Good job p'ple, foh get dem say otherwise...keep on rollin dem camz....bless

  • @azizayoung6505
    @azizayoung6505 9 лет назад

    hey mamaah krish mi i do apreshiet u total y...coz ur biurfull at all.... gud actress bai thé wei....Yees u can...lav u mach mach....,,,!!

  • @Jaydenkulali
    @Jaydenkulali 12 лет назад +1

    I cannot agree more, thank you!

  • @clementsanga
    @clementsanga 12 лет назад +2

    the show was fantastic and very uplifting one!!!

  • @123456789012470
    @123456789012470 13 лет назад +1

    1 f the best interviews.salama j z back!

  • @1princejeff
    @1princejeff 12 лет назад +1

    well said...mi niko zangu pande za UK kila nikifeel HOMESICK nacheck hich kipindi..big up eatv, more videos should be posted on RUclips..!!!

  • @aishamsoka2005
    @aishamsoka2005 7 лет назад +2

    Hahaaha dada salama nakuoenda mpaka naumwa maana sio kwa maswali hayo

  • @nellyqueen8216
    @nellyqueen8216 4 года назад

    Nakubali sana

  • @florahcharles4268
    @florahcharles4268 8 лет назад

    Lov ur voice uwoya

    • @esthermwikali5403
      @esthermwikali5403 7 лет назад

      Florah Charles irine haliku msichana msuli lakini kaalifu sipa sake alipo muacha Bwanake

  • @ndangalasi1115
    @ndangalasi1115 13 лет назад +1

    mhhh kweli uwoya mbongo hahahahaha

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 4 года назад

    Salama respect

  • @jonasjohn1177
    @jonasjohn1177 5 лет назад

    Jamani woya anape nda sifa. Sija wai ona mwanamke mwenye sifa kama uyu

  • @wadhafadini2344
    @wadhafadini2344 9 лет назад

    Hongera mama krish.

  • @johnharri5164
    @johnharri5164 9 лет назад

    salama uko juu kwa kipindi kizuri cha mkasi

  • @martinireri9879
    @martinireri9879 4 года назад +1

    big g kwa interview dada..lol.
    ,,... uko down

  • @sadanassor7966
    @sadanassor7966 5 лет назад

    Nic saan pach wa wolper

  • @veronicanyakire9807
    @veronicanyakire9807 5 лет назад

    Hilo wigi la Kariakoo apewe leo hata kwa milioni hawezi kulivaa.

  • @bibibomba4515
    @bibibomba4515 Год назад

    The gum chewing😢😑, na huyu dada anafanya nini na hio weave mscheew

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 года назад

    Uwoya

  • @ArcarDOMI
    @ArcarDOMI 13 лет назад +1

    Eti kiatu laki 9... HAHAHAHA.. Licha ya kudanganya alivyoulizwa swali at 06:44 anadanganya na hapo pia.. DUH.

  • @emmanuelpauliguti6878
    @emmanuelpauliguti6878 8 лет назад +3

    salama love u much dada!!

  • @Tere-hr6ls
    @Tere-hr6ls 9 лет назад +1

    We Iline ..mama crish mbona muongo yani umenichosha mi nimvaaji mmoja mzur Sana was viatu vinavyo kwenda na wakat unaongea tu au kiatu Gan icho laki 9 muache kusema uongo kwan ukiwa mkwel utachekwa.. Ila big up fan unayo ila kwa kiatu nenda kawa danganye maloko nahis ulipo toka tu du walijiskas uonewi wiv kuwa mkwel

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 7 лет назад +5

    Hicho kiatu buku 5 tu😃

  • @samiemic
    @samiemic 13 лет назад

    We Salama iyo si I fone 4 ina front facing camera, inakuaje kwenye kupiga picha mpaka uigeuza kwenye vioo. haha iyo kitu ni ya ofisini au ya kwako?

  • @kimballroundy
    @kimballroundy 12 лет назад +1

    can someone remind me how much is laki nane in francs

  • @ArcarDOMI
    @ArcarDOMI 13 лет назад

    "Is it true kwamba, kabla hujatoka ni lazima ubadilishe mashuka ya chumba cha director sana?" 06:44 Hahahahaha... Salama MTATA...

  • @simbamiliki3893
    @simbamiliki3893 12 лет назад

    Wabongo bwana kazi wanayo.Sasa hapa ndo wanajifanya wanyamweeeeeeeezi.Nendeni shule,hacheni mambo ya kichoko

  • @erickcassian3167
    @erickcassian3167 8 лет назад +2

    IRENE CHUMA BWANA ATULIE AACHANE NA STORY ZISIZO NA MAANA ZINAMUANGUSHA ABAKI NJIA KUU NA NDIKUMANA.

  • @mbarakali8799
    @mbarakali8799 7 лет назад +1

    Hapo laki tisa umbea sana

  • @1992alemi
    @1992alemi 13 лет назад

    Credits goes to salama and her crew, hawa celebrities wetu wanatupiga changa la macho.Hio net income ya 40 Million.......i doubt.

  • @noelas6443
    @noelas6443 11 лет назад

    Salama u r so funny

  • @blackjack4241
    @blackjack4241 8 лет назад +4

    beautiful girl I fancy u

  • @kishacleo5811
    @kishacleo5811 12 лет назад +1

    eeeh huyu jamani si ni muongo sana viatu laki tisu mmh muongo

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 лет назад

    Jaman salama nampenda utadhani tunazaliwa mama mmoja

  • @rahimuful
    @rahimuful 13 лет назад +1

    hamna jipya hapo......mule mule tu

  • @peter7960
    @peter7960 8 лет назад

    i like the way she chews gum..

  • @imanakida8692
    @imanakida8692 10 лет назад

    point of correction its not andhari kanunu

  • @alexandertegemea7875
    @alexandertegemea7875 12 лет назад

    salama msalimie sana bwana chusa huyu ambwene

  • @kwasidanzurik8589
    @kwasidanzurik8589 8 лет назад

    jamani huyodada namupenda sanatuu

  • @halimamort3535
    @halimamort3535 10 лет назад +1

    Ongera xana kwa kupata mtoto wa kiume

  • @jamcsamuel5204
    @jamcsamuel5204 4 года назад

    Chanaaaaaaa

  • @clustermqsir9840
    @clustermqsir9840 11 лет назад

    kulakula mibigijii utafikiri kocha tena fugerson...mwanamke misifamisifa tuuu,,,yawezekana hata chumbani kwake, vyombo vya chakula na kwny blanket lake amebandika mibigijii anayotafunatafuna tuu kila mahali..hyaaaa

  • @priscambaru3404
    @priscambaru3404 11 лет назад

    sifa tu ndoo zako!!uwongo pia umekutawala....

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 9 месяцев назад

    Unavyotafuna bigijii vby jmn

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 11 лет назад +4

    Du salama,, mbona unawachokonoa sana wenzako??, inatakiwa na wewe tukuchukue maelezo maelezo sku moja,, na we hujawahi ku..... ht sku moja??

  • @dennykasekenya7663
    @dennykasekenya7663 11 лет назад

    Wabongo wanapenda kufake maisha

  • @anglemasala433
    @anglemasala433 6 лет назад +1

    sioni kama nimuingo koz yy haend kariakoo botik inawezekana huwezi mwiita MTU mwongo

  • @charlottenyinawinka2936
    @charlottenyinawinka2936 4 года назад

    Ulikuwaka murembo

  • @maggymm7302
    @maggymm7302 12 лет назад +2

    kwa hyo mlikua mnamchana tuu hilo nywele kichwan..hata kum`iron mtt wa watu?

  • @sarandayizeye4946
    @sarandayizeye4946 12 лет назад +1

    tatizo letu wabongo ni ulimbukeni, nani kamdanganya km yy star? michosho tu.

  • @lameckpeter1672
    @lameckpeter1672 9 лет назад

    dah kiukwel inasikitisha sana ....kiatu lak 9 yaan huo n uongo kbs yaan ...ss siyo watoto njoo dukan kwang nikupe cha dizain hiyo hyo au kikal zaid ya hcho kwa 50000......acha uongo dada

  • @carolinegallus9668
    @carolinegallus9668 9 лет назад +4

    Irene nakupenda sana lakini acha uongo, kiatu laki 9????? Come on huo ni uongo uliokithiri....

  • @fradenfrank8508
    @fradenfrank8508 11 лет назад

    kidogo unajitahidi ila we we una kidume punguza makali ya mavazi mwanao ajifunze ki2 kutoka kwako simama we we kama we we usimwangalie Fulani kafanya hivi nawe wataka jiangalie we we kama we we na life yako

  • @raysnamude9357
    @raysnamude9357 11 лет назад +7

    Chewing while talking so digusting lol

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 8 лет назад

    nampenda sana irene ila zaman nilijuaga ni wolper nawafananishagaaa sn

  • @josephatofm8486
    @josephatofm8486 11 лет назад

    Sifa ama heshima ya kutafuta, hata tu, kwa nguvu kidogo, huwa haidumu. Maana, vile vile ilivyokuja, hivyo huondoka, ama kusahauliwa. Kazi ya msanii ama mfanyakazi ye yote yule, iwe tu, kulembesha kazi yake. Watazamaji: wakitanzania ama wa nje kama sisi, basi ndo tuachiwe nafasi ya kutoa sifa. Nyote mwafahamu kuwa mtiahani ni kutoa mantiki poa sio kuongelea juu ya uwezo, maana watazamaji, shabiki wenu wana macho na masikio, pia akili.

  • @yohanayakob9439
    @yohanayakob9439 2 года назад

    irene ako namasifa kama zote alifo kuja bas maringo kama sote hata alivyo salimia kasalimia kimasarau fala tuu

  • @Zawadi_jean
    @Zawadi_jean 10 лет назад +4

    Can she chew any louder?!

  • @ibrahak8073
    @ibrahak8073 12 лет назад

    hizo viatu hapa America ni dola 20$ muongo sana huyo dada!!!

  • @leexone1603
    @leexone1603 11 лет назад +1

    Lk

  • @jawadusadiki3385
    @jawadusadiki3385 10 лет назад

    fredrick ndomba natoa pongez kwa tasnia ya filam t

  • @siimamk7099
    @siimamk7099 12 лет назад

    ovyo kutafuna BiG hivyo ndio nini ovyoooooooooooooooo.

  • @lichilichi5571
    @lichilichi5571 8 лет назад +1

    ,nampendaga huyu dada jamani

  • @tembobangilli6979
    @tembobangilli6979 7 лет назад +1

    tembo bangili

  • @anniegodwin7694
    @anniegodwin7694 12 лет назад

    Uwoya uwoya... viatu gani hivyo vya laki tisa..!! acha kutuuza bwana, kwani kiko na air corn?? afu kua mstaalabu, acha kutafuna gum place kama hizo

  • @jescatarimo684
    @jescatarimo684 11 лет назад

    hahahaaaa wanaigiza hadi kwenye interview?? dah! hicho kiatu laki 9?? ebu nirewind tena nikione!

  • @clustermqsir9840
    @clustermqsir9840 11 лет назад

    hahaaa ki2 cha uwoya hichoooo..khaaa!!!, hachelewi kusema george bush ni anko..hyaaa poa bhana hata hiyo ni sehemu ya usanii..tena nnawasiwasi yawezekana jina lake halisi ni chausiku malopa...wabongo????

  • @georgekimbokas9054
    @georgekimbokas9054 11 лет назад

    Mbona huleti watu wazima kwny mkasi? Shoo ni nziri lkn imekosa ladha ya wazee.kwani we unafikiri hawana vijimambo????

  • @mauwachale
    @mauwachale 11 лет назад

    Daa my dear . chingamu una halibu.kiatu laki tisa? Nenda kwa lizybongofashion n utapata kiatu 50euro or 100000tsh. na cha ukweli. from Italy no china

  • @EspeGatako
    @EspeGatako 12 лет назад

    i have the same shoes, i got'em in 2010 for $20 in D-Town TEXAS lol.....

  • @shiraann632
    @shiraann632 7 лет назад +3

    Irene uko muongo Kwa milad ulisema ulienda Kampala high school na India kusoma computer???

  • @kelvinmulisa2618
    @kelvinmulisa2618 11 лет назад

    Mi sielewi make sioni Intrview ya Lulu Ya mwezi huu plz iweke mke sikuicheki kabisa

  • @MsTuwera
    @MsTuwera 12 лет назад

    I think amechanganyikiwa na bei ya kiatu labda alikusudia kusema elfu tisiini...ila mh laki tisa?????? umezi zi zidi....mm nipe laki tisa nitakununulia 100 kama ivo na kuposti bure...

  • @EspeGatako
    @EspeGatako 12 лет назад +1

    hahahah!!! i have the same shoes in blue.... and i bought'em $15.99 @ a local store. lol, ma celebrities wa tanzania wanajidai tu saaaaannnaaa.... si afike MAREKANI basi?

  • @kisebengo
    @kisebengo 13 лет назад +1

    Millioni 40. TRA umelipa?

  • @simbamiliki3893
    @simbamiliki3893 12 лет назад

    Nendeni shule jamani

  • @ramadhanihassan3178
    @ramadhanihassan3178 8 лет назад +1

    Ben pol

  • @ancilarplucti7638
    @ancilarplucti7638 11 лет назад

    lol...story kama za kwenye kahawa bana dah..

  • @gentlejack5011
    @gentlejack5011 9 лет назад

    kuuliza si ujinga

  • @georgekimbokas9054
    @georgekimbokas9054 11 лет назад

    Maneno mengine hayana maana.we utalazimishwaje ndoa??kwani anaekwenda kukuna nazi ninani na utalazimishaje uende kwa mwanaume.wewe ni muongo.

  • @chazdenis7820
    @chazdenis7820 8 лет назад

    S01E01

  • @kensuccii
    @kensuccii 10 лет назад

    cjui kwanini madem mkishindwa na urembo mnaanza hate ?huyu dem ako on point ana sura mwendaa macho zko poa na tudimples ......while you still argue n hate, girls like her are outchea making money ..shinda apo

  • @magrethmark98
    @magrethmark98 11 лет назад

    hhaahaaa you guys mnanchekesha
    eti mabigijii kwny blanket?hahaaaa

  • @georgekimbokas9054
    @georgekimbokas9054 11 лет назад

    Jamani tujarbu kuwa wakweli obama atava cha shs ngapi?? Lk9??

  • @ginaprotas883
    @ginaprotas883 12 лет назад +2

    why is she chewing gum kwenye interview in the first place??!

  • @habibajuma6494
    @habibajuma6494 9 лет назад

    huenda aliingizwa mjini na wajanja

  • @saida801
    @saida801 12 лет назад

    lakini hadanganyi, kile kiatu huku ni $50 so kwa shilingi labuda inawezekana.

  • @MrShons
    @MrShons 12 лет назад

    Actors pretend to act all the time, when it is the time to show who real they are is a problem. Lack of confidence and chewing gum is the problem to me.
    By this show she was supposed to raise a bit higher but the opposite was the case.

  • @Msmarie2020
    @Msmarie2020 11 лет назад

    laki tisaaaaaa..labda mm cjui viatuu..dah!!

  • @jjmakiango9583
    @jjmakiango9583 10 лет назад

    anavaa vibaya kwa mujibu wa jadi zetu sisi watanzania c poa

  • @gentlejack5011
    @gentlejack5011 9 лет назад

    mimi nina swali naomba jibu.kuuzia mtu chai ni nini maana yake?? coz salama amesema acha kutuuzia chai.

  • @ArcarDOMI
    @ArcarDOMI 13 лет назад

    Cameraman at 24:54

  • @samwelmwandi1627
    @samwelmwandi1627 8 лет назад

    bahat

  • @psqpsa9841
    @psqpsa9841 9 лет назад

    Irene uwoya wewe mkali! Brenda wa mwanza

  • @naiceevarist6488
    @naiceevarist6488 11 лет назад

    mh....that's too much million 60? tusaidie basi