Movie iko vizuri lakini rekebisha back sound ipo juu sana, na mkuu arekebishe rafudhi zake hazieleweki kwa baadhi ya maneno. Ila kwa ujumla Big up Kipara brand❤❤
Hii movie ni kali bro na inakupa kazi ya kutafta story kali baada ya hii na ukija na story nyingine kali baada ya hii bro utakuwa level NYINGINE #KIPARABRAMD🙏
Wachawi wanakula pilau ndizi na juis pia wanamaji ya chupa usipo uzuria vikao wanaleta barua ya ugonjwa ya hospital kusema mtu alikua mgonjwa asipo kuja alikuwa anaumwa leo kwamara ya kwanza nimemuona mchaw mchaga 😂😂
Waooh huku my daughter, Dunia, Professor, Mpangaji.....Jini sariat ya kp....huu mwaka safiii sana
vizur kbs ndungu zangu tuzidi kumsapot kipara sheria ni ilele atu bagui atuchambi wauni eeeh masella 😢eeeeh😂😂😂😂
Tuko pamoja chado master 🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Kaka
Tupo pamoja masta nakukubali sana from Moçambique
Wauni eeeeeeee😂😂😂😂😂
Haipingwi Master
Huyu kipara anakuja vizuri sana kana unamkubali kipara gonga like
Wamekosea kwenye kula apo maji wangeweka damu iwe kinywaji
Na mukubali sana
Hongera sana Kipara hakika kazi yako ni nzuli sana Mungu akiongezea nguvu uzidi kutupatia burudani
NYIEEEEEE KUMEKUCHAAAAA😅😅😅😅 Mpeni Maua yake huyu PROFESSOR🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muarabu za kuadimika atimaye kipara kakurudisha kazini ❤❤❤❤
Kipara kama professor una itaji kupewa zawadi kwa kazi unayo fanya kabisa gonga like kama una kubali kazi ya kipara
KIPARA WANAMAN KAPIGWA KAFIKA FOROZANI Zanzibar😂😂😂😂😂 Nakupendra kipara mwaya🎉❤❤❤❤❤
😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤🎉❤😂❤😂❤🎉❤😂❤😂❤🎉nihatariii
We kiparaa weeh umepigaje apoo😂😂
Kazi nzuri sana Wana Sandra. Saluti kwenu. Mkenya mimi.❤❤❤❤❤❤❤😢🎉🎉🎉🎉🎉😊
Haahahhaha huy mwarabu nae 😂😂😂 mbona fya2uuuu😅😅😅
Movie iko vizuri lakini rekebisha back sound ipo juu sana, na mkuu arekebishe rafudhi zake hazieleweki kwa baadhi ya maneno. Ila kwa ujumla Big up Kipara brand❤❤
Inabidi utafte mpare akutafsirie
Bnae nyinyi ndo watu mnatuchosha mbona usi act yko yakueleweka
Hahahahha faza me nafatilia professor kwaajiliako mzee wangu mpale nakubali unatuwakilisha vema zaidi 🫡🫡🫡🫡🫡
Umetishaa sanaa 🎉🎉🎉 kipara jaivaa aweeee😅😅
😅😅😅kipara paaaaaaa mpk zanzibar km ningekuja kukuona
Mungu siku zote 🙏 🙏🙏 kipara tia bidii it's your time to shine ❤❤❤❤❤❤❤
Kipara noma jamaa amekupiga chuma mpk zanzibar forodhan noma sana uchawi kwl upo😅😅😅
🤓😀😀😀
😅😅😅😅
Hiyo kimbola kwa professor mbona noma😂😂😂😂😂
Kipara kumbe ukiacha tabia za umbeya wew ni bonge la star hii imeenda hewan
Yule jamaa na nurse😅😅😅😅
Hongera Sana kipara usisahau vijana Mombasa shikaadabu...tunakujali.....NDANI BADO tuko production
Yaani naipenda professor maana ina master wangu kweli Sandra na kipara❤❤❤❤
Mungu akuzidishie tajiri yangu kazi nzur sana twende kazi❤❤❤❤❤❤
Professor you kill it dadeq, Tamthilia tam saana
😂😂😂😂 hii umeuwaaa kujaaa zenji ahhh zenji kama zenji gonga like nakubal kipalaaa munasema uk dar sis kiparaa
Daaah nimependa ness alivovuta mpunga huo😂😂😂😂
Weka like kipenzi cha mission impossible
Mama ngwengwe nipo live 🎉🎉🎉
Kazi nzuri saanaa 🤔 na Leo mimi wakwanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naombeni like 👍🔥❤️💐🍎🥀💝🥀💝💔🌹🌹🌹
Yani nimesubiry saana,
Naomba like yangu.
From Moz 🇲🇿👌
Allah akuongezee kwenye kazi zako na mpate kuelewana na clam Ili mtupe vtu vzr
Kaz nzur sana napenda kumuona hyu dada alompambania mume wake mpaka kapona❤🎉
Hongereni kwakazi zenu Mungu azidi kuwapa mweelekeo🎉🎉🎉from 🇰🇪
Kipira ume kuwa sass😂
Séries ya mizuri sana bro, Big up
Kipara bonne chance🇨🇩🇨🇩 RDC
Wachawi n bash yao 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
kutoka tanzania bara mpaka zenji❤❤❤❤❤
😂😂
Daah hii movie nimeipenda gafla ❤ kama wahindi vile, kipara family hongereni sana🎉🎉❤
Aah mwamba DOCTOR STRANGE 😂😂
Yule mchawi kiboko kombora moja kaangukia Zanzibar professor 😂😂😂😂
Huyu mzee anachapa kipare kingese😂😂😂😂
Kumbe kipara hanaweza kujiongoza mwenyewe bila ya clam kazi zuri sana kipara ❤❤❤
Kali sana usicheleweshe episode Kipara ❤❤❤ professor iko moto ❤❤ huyu mwarabu analilia pilau na nyama ya Muhina😂😂😂😂
Courage Kaka❤🔥❤🔥❤🔥 🇨🇩🇨🇩
Professor you're the best in Africa my guy professor, your movie for now is my favourite movie.
wachawi wanqkula wali duuuuuuuuu 😂😂😂😂😂 kipar umetudanganya
Kazi safi kipara professor 😂 kwn hilo jina professor limetumika kivipi apa hmm❤❤😂
Nyie mmemuona professor Kawa doctor stranger 😂😂😂😂😂😂 we mwanangu kweli brand ....alafu na ile kukanisha baharini kitaalam mnaitaje😂😂❤❤❤❤
Kipara sasa umeamua gud job❤❤
Dàaaah kazi mzuri sana kipara❤❤🎉🎉🎉
Courage kipara 🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩
From Kenya tunakupenda sana kipara. Hii ni motooo🎉❤. Keep it up buddy
Duuuh kipara umetisha Kaka mpaka Ndani ya Zenji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nakubal san
Leo nimekuwa wa kwanza..from Kenya..nipeni likes zangu
❤❤❤❤❤❤
Nice job🎉🎉🎉🎉kipara❤❤❤
Professor kawa Doctor Stranger 😂😂😂😂😮❤
Hahaha 😂😂😂professor kapigwa kimbola katokea zanzibar 😂😂❤
Kiusema kweli chaombeya kazi yako ninzuri sana ikiisha vizuri nakupa maua yako mwamba
Wachawi wanakula pilau daah😂😂😂😂
Mpaka kashushia na afiya😂😂😂😂
Good nice one job brother kipara wandamani 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Tupo wengi kutoka burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nimemuona mzehe master chadoo masta upo kipala unajua unatisha😂😂😂😂😂
Huyu mwarabu wapemba kanichekesha sio poa 😂😂😂
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kipara one man❤
Salim kutoka South Africa,nakubali sana kaka Kipara kazi nzuri sana. Tuko na wewe bega kwa bega❤
Weeeeeh... #PROFESSOR Umekatisha Kutoka Tz visiwani mpaka Tz Bara Yaani SHWAAAAAAAAAAAA...🙌🙌🙌🤣🤣🤣
Kazi nzuri sana kipara wanaman❤❤
We mwarabu kazini kwenyewe ndiyo huko 😂😂😂😂
😂😂😂kanifurahisha 😂😂lkn hafanani na uchawi
😅😅😅😅nimecheka sana et kazini
Kipara mbona humu upo serious sana🙌 😂🎉🎉🎉👏
Kweli iyi filamu ni nzuri sana. Shida muko na kawiya sana ku towa kipande kyingine. Na ishi DRCongo
Hii movie ni kali bro na inakupa kazi ya kutafta story kali baada ya hii na ukija na story nyingine kali baada ya hii bro utakuwa level NYINGINE #KIPARABRAMD🙏
Huyo dada anamabawa mweup harf amevaa nguo nyekund😅😅😅😅😅😅
Anae mukubali kipara gonga like apa🎉🎉❤
Kipara jaiva
Nimeona Sandra hapo msalimie 🎉🎉🎉🎉🎉
Kipara noma kabisa.
Kipara hadi mzungu yupo kwenye movie uko vizuri saana 8:27
Professor in Foro duh mmetisha wakuu😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe kipala akiachana naumbea
Kazi unaweza.😂😂😂😂amejikut zanimba😂😂😂
Professor kaqigwa bara kaangukia zanzibar
Duuuuuh!!! Wachawi wapo siriazi sana na swala pilau hadi ndizi Ani🙌🏼🙌🏼
Professor kiboko1🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimekua wa 95 na nimelike kwa kila mmoja nami naomba like kutoka kwenu tunao mkubali KIPARA 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
🎉🎉🎉🎉hongera professor
Profesa mwambie babu mchawi akurudishe😂😂Bora umenituletea mwarabu 😂😂😂 wachawi wanagombania pilau
Kila moja nime mupa like ila mimi ata moja sijaona nipeeni like
Kipara unaweza bro 🎉🎉🎉🎉
Asante kipara ninacho wapendea move zenu zinafundisha
Wachawi wanakula pilau ndizi na juis pia wanamaji ya chupa usipo uzuria vikao wanaleta barua ya ugonjwa ya hospital kusema mtu alikua mgonjwa asipo kuja alikuwa anaumwa leo kwamara ya kwanza nimemuona mchaw mchaga 😂😂
Digital
Duu kibomu kimoja tu umetuwa Unguja 😂😂😂 nimeipenda hii
Kipara umeupiga mwingi ongera Bro ❤❤
Kipara waah hii ya leo kali sana wallah.....Allah akubariki jaiva wna man ❤❤
Movie kali sanaaa nakukubali sana kipala wangu ila unachelewa kidgo kutoa❤
Kipara aaa we nimwisho Kama unasema kipara ni mwisho❤
Yan mwarabu kaenda kutafuta chet kwa ajili ya kupeleka uchawini😂😂😂
Kazin bhana 😂😂😂
Umeuwa baba umetupwa zanzibar hahahahahahahahah his kaliiiii
Kipara ❤wanam Mimi apa kutoka Burundi 🇧🇮 tunakupenda sana ❤ nipe hata like 😂
Kipara umetupwa zanzibari kwa kombora😂😂😂😂😂😂😂
Tena anatalii Wala Hana wasi wasi 😂😂😂😂😂😂nmecheka
@@AminaMwamgodza hahahaha 😆 😂 🤣
Kazi zuri kabisa Kipara
Kazi nzuri sana jombaa...heri Leo umetuonyesha Zanzibar 😅😅
❤❤❤❤❤ kwenu nyote watching from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Kipara wana man tuko pamoja sana unafanya vizuri sana❤❤❤❤❤❤❤
Kipara , kutoka congo lubumbashi, Nîme kupenda weye na sandra
Uyo muswahili apo 😂😂😂 kipara umemu towa wapi 🎉
Huyo mzee wa kipare katisha sana😂🙌