DUUH!!! ALLY KAMWE ALIVYOMTOA NISHAI MSEMAJI WA IHEFU KISA KUTOA DATA ZA KUWAFUNGA KULE MBARALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • DUUH!!! ALLY KAMWE ALIVYOMTOA NISHAI MSEMAJI WA IHEFU KISA KUTOA DATA ZA KUWAFUNGA KULE MBARALI
  • СпортСпорт

Комментарии • 56

  • @Onesmo-hf6dq
    @Onesmo-hf6dq 21 день назад

    Poleni ihefu Kwa msiba mkubwa mungu Yu pamoja nanyi

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 22 дня назад +3

    November 5

  • @VictorKilua-ms8it
    @VictorKilua-ms8it 23 дня назад +4

    Hakuna wakumuweza msemaji wa Yanga ujue ukishakua tajiri unajibu kwa vitendo Hawa wasemaji wengine wooote ni wanaropoka mana ukishakua na msongo wa mawazo ya timu unaongea ujinga huoni wengine wamekua comedy kama huyu Ahmed ally 😂😂😂😂😂

  • @priscairene4605
    @priscairene4605 22 дня назад +1

    Innshahllah.tutashinda

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 23 дня назад +8

    Huyu anateseka akiwa wapi jamani!,kasahau kono la nyani

  • @songombingo108
    @songombingo108 23 дня назад +4

    Kijana acha mdomo. Yanga hii sio ile mliyoifunga mwaka jana 2-1. Hii ni Yanga nyingine kabisaaa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 23 дня назад +5

    Ihef mnamtisha nani??

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 22 дня назад

    Nasisi kama wanamichezo young africans tuna dedicate mchezo huu

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 23 дня назад +2

    Kama mna msiba basi mtaenderea kulia sion nafas yakutoa machoz kwayanga hii ninayo iona

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 23 дня назад +1

    Polen sana kwa msiba. Ila yanga ni level nyingine hawatabirikiii ni shidaaa jaman inaweza kuona unashinda sasa wakianza visaa vyaooo wanakugeukia na hautaamin kipigo utakacho kipata

  • @CanaTzKawonga
    @CanaTzKawonga 22 дня назад +1

    Kimataifa gani??

  • @adamamin8148
    @adamamin8148 22 дня назад +1

    Mbona anaongea sana

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 22 дня назад +1

    Wasemaji wengine wanajizima data tu kama huyo pita hajuwi chochote ilimradi aropoke tuu

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 22 дня назад +1

    Mkiwa mbarali mnaloga, nje ya mbarali hamuwezi kuloga

  • @siphaholelaholela6956
    @siphaholelaholela6956 23 дня назад +2

    WEWE UMEAMKAJE AU UTAAMKAJE UTAELEWA KESHO KUWA ULILALAJE

  • @alfredpaulokijangwa1229
    @alfredpaulokijangwa1229 22 дня назад +1

    Litawakuta kitu nyie... Shauri yenu.

  • @JaphasonSumar
    @JaphasonSumar 22 дня назад +1

    Semaji la dunia likizungumza wengne kimya

  • @priscairene4605
    @priscairene4605 22 дня назад +2

    Mkono.wamepigwa.Ihefu

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 22 дня назад +1

    😢tunakwambia msemaji wa ihf punguza sifa

  • @HusseynOthman
    @HusseynOthman 23 дня назад +4

    🤣🤣🤣🤣 Uyu Kalewa Anasahau Kama Mnara Wa 5G Ulisoma Kwake

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 22 дня назад +1

    Mkishaanza kudedicate mchezo kwa marehemu mtapata matokeo ya kifo

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 22 дня назад +1

    Kila la kheri leo yanga

  • @user-wn6tf3oj5w
    @user-wn6tf3oj5w 23 дня назад +1

    Nakupongeza mwenyekiti wa wasemaji kwa namna ulituliza huyo dogo wa Ihefu

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 22 дня назад +1

    Mtafungwa kumbe mnakiburi kawaulize mtibwa sukari

  • @adamamin8148
    @adamamin8148 22 дня назад +1

    Alli aujawai kusema uongo tmfunze adabu

  • @user-fc6jz9xd6b
    @user-fc6jz9xd6b 23 дня назад +1

    Ndugu yangu ww msemaji wa ihefu kumbuka mdomo uliponza kichwa ebu muulize ndugu yako Ahmed Aly alilopoka mwisho alibaki na Aibu Sasa na ww chunga huo mdomo

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 23 дня назад +1

    Kasema kelelee telee hakukumbusha goli tano zilitoka wapi mbona alikimbiya baada ya mechi kakimbiya kuhojiwa

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 23 дня назад +2

    Wakandeni haooo

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 23 дня назад +1

    Umejitamba Sana utafungwa

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 23 дня назад +1

    November 5 kolo

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 23 дня назад +1

    YANGA MUWE WAANGALIFU IHEFU WATACHEZA KUFA NA KUPONA. MSIPOWATAHARADHISHA WACHEZAJI SIAJABU MKAFUNGWA AU KUTOA SARE.

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 23 дня назад +1

    Bas mtaendereza matanga

  • @raymondjoas
    @raymondjoas 23 дня назад +1

    Ushindi muhimu

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 23 дня назад +1

    Kesho ihefu mnakula kumi

  • @magrethmakauki235
    @magrethmakauki235 22 дня назад +1

    Hatuna stress

  • @catherineamiri9854
    @catherineamiri9854 23 дня назад +2

    Kudedicate mchezo Kwa kocha wenu hakutawafanya mshinde pyeeee😂😂😂

  • @InnocentMwinuka
    @InnocentMwinuka 21 день назад

    See u

  • @KidulaSayi
    @KidulaSayi 23 дня назад +1

    Wambie kamwe

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 23 дня назад +1

    Mavi ya kale hayanuki,hovyo😂😂😂

  • @CanaTzKawonga
    @CanaTzKawonga 22 дня назад

    Amekula nini uyo marehemu munataka mumpumzishe kwa shida sio munampa marehemu uwo mchozo 😮

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 23 дня назад +1

    Ally kamwe 🙌😂😂😂😂😂😂

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 22 дня назад

    IHEFU kumfunga Yanga kwa mara nyingine tena ktk ardhi ya ugenini --- Halafu eti Yanga,waache kukariri,sasa nani anayekariri hapo --- wewe mwenyewe " umekariri eti kumfunga Yanga kwa Mara nyingine tena, huko ndiko kukariri " --- Halafu dishi limecheza anasahau " kono LA nyani " --- IHEFU mki delay kidogo," kono la nyani jingine "

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi 23 дня назад

    Unajiweka kindege we subir uone

  • @user-vy2qb5qd8i
    @user-vy2qb5qd8i 23 дня назад

    Bibi tu

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 23 дня назад

    Mdomo huponza kichwa

  • @PBallack
    @PBallack 22 дня назад

    😂😂😂😂

  • @adamamin8148
    @adamamin8148 22 дня назад

    Kwanza anaongea uku anatetemeka kitakachowakuta mtajuta mdomo Mali yako

  • @abdulswamadfakih7327
    @abdulswamadfakih7327 23 дня назад

    Ihefu ni tawi la Yanga musitushulishe

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 23 дня назад

    iyo mechi ninyepesi kwasababu wanacheza mtu na shemeji yake