UVCCM SONGWE Waiomba Serikali Kuufungia Mtandao X kwa Kukiuka Maadili ya KITANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 июн 2024
  • Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe Fatuma Hussein ameiomba serikali kuufungia mtandao wa X kwa kukiuka maadili ya Kitanzania.
    "tunaiomba serikali, kwa unyenyekevu mkubwa, na ninasema haya nikiwa na kijana, sio kijana tu wa kawaida kijana ambaye nina watoto ambao ni wajibu wangu kuwalinda kama Kiongozi na kama mama, ni lazima, ni muhimu, ni wajibu serikali ikachukua hatua kwa haraka kuufungua mtandao mtandao huu Ili kunusuru Taifa letu."
    Na wakati mwingine kama Taifa ni lazima tupime faida na hasara, je kuacha mtandao wa X uendelee kuharibu kizazi Chetu kwa maslahi ya Mmliki wa Mtandao huo kuna faida kubwa zaidi ya kuufungia Ili kunusuru Maadili ya Taifa letu na vijana wetu?
    Serikali tunaiomba katika hili mchukue hatua Ili kizazi kijacho kione jitihada hizi, na hata Mungu atatubariki
    #UVCCM #SONGWE

Комментарии • 2

  • @boychidu
    @boychidu 14 дней назад +1

    True nipo pamoja na wewe mwanachama mwenzangu