Mjomba wangu ni Imam wa masjid ya Riyadh maarufu msikiti wa Ijumaa, aliniambia Tanga kulikuwa na madhehebu ya Shafii na Hanafi na tulíkukúwa tunaishi vizuri na ushirikiano mzuri bila kujali tofauti zetu, akaongeza: Ímam wa Kishafi akiswalisha swala ya Alfajír hakunutú kama vile kàúli ya madhehebu yao, na wa Hanafi akiswalisha masjid ya Shafii anakunutu kutokàna na madhehebu yao, wakaja Ibadhi na hapàkuwa ña fujo wala kutukànana na vile vile mashia mpaka àlipokuja huyu sheikh na msimàmo wake uñaokhalifu Quran na Sunna, nà sheikh wangu na mwalimu wangu Sheikh alivyosema Shk Salim Barahiani ni Hasid na mwenye kufarikisha waisalam anajioña yeye yupo kwenye haqi na ana elimu. Allah tuongoze kwenye hàqi na utujàalie tuwe ni wenye kúifúata
Huyu mzee alifeli figo na alisaidiwa na mkewe ilikuwa na wakati wa kuachana na mifarakano ikisha dada zake wameolewa na maibadhi na dada yake mwengine aliritadi mtihani huyu mzee anamalizika vibaya
Ni haki kwetu kukataa batili popote itakapokuwepo, na Bukhari na Muslim ni kazi za mikono ya watu baada ya zaidi ya karne mbili na wasiohifadhika na kukosea. Kwa hiyo Walichopatia ni haki kwetu kukikubali, na walichokosea ni haki kwetu kukikataa. Kitabu pekee ambacho kila kilichomo ndani yake ni haki ni Quraani tukufu, nayo ndiyo tuliyojifunga nayo katika utatuzi wa tafauti zetu.
Hongera sana Sheikh umejibu majibu ya raha kabisa songa mbele
Barahayani Adui wa Umoja wa Kiislamu
Mashaallah Mashaallah kyalam mumtaaz Waagid
Mjomba wangu ni Imam wa masjid ya Riyadh maarufu msikiti wa Ijumaa, aliniambia Tanga kulikuwa na madhehebu ya Shafii na Hanafi na tulíkukúwa tunaishi vizuri na ushirikiano mzuri bila kujali tofauti zetu, akaongeza: Ímam wa Kishafi akiswalisha swala ya Alfajír hakunutú kama vile kàúli ya madhehebu yao, na wa Hanafi akiswalisha masjid ya Shafii anakunutu kutokàna na madhehebu yao, wakaja Ibadhi na hapàkuwa ña fujo wala kutukànana na vile vile mashia mpaka àlipokuja huyu sheikh na msimàmo wake uñaokhalifu Quran na Sunna, nà sheikh wangu na mwalimu wangu Sheikh alivyosema Shk Salim Barahiani ni Hasid na mwenye kufarikisha waisalam anajioña yeye yupo kwenye haqi na ana elimu.
Allah tuongoze kwenye hàqi na utujàalie tuwe ni wenye kúifúata
جزاك الله خيرا
Allah amuoneshe njia ya haki
Ibadh ndio dhehebu kongwe kuliko yote ya kiislam lakini hawapendi kueneza dawa yao ni watu wakimya sana
ameen
Huyu mzee alifeli figo na alisaidiwa na mkewe ilikuwa na wakati wa kuachana na mifarakano ikisha dada zake wameolewa na maibadhi na dada yake mwengine aliritadi mtihani huyu mzee anamalizika vibaya
Barahiyani ni Mtihani katika ummah
Yani hadeeth zipo ktk bukhar na muslim mnazikataa
Ni haki kwetu kukataa batili popote itakapokuwepo, na Bukhari na Muslim ni kazi za mikono ya watu baada ya zaidi ya karne mbili na wasiohifadhika na kukosea.
Kwa hiyo Walichopatia ni haki kwetu kukikubali, na walichokosea ni haki kwetu kukikataa.
Kitabu pekee ambacho kila kilichomo ndani yake ni haki ni Quraani tukufu, nayo ndiyo tuliyojifunga nayo katika utatuzi wa tafauti zetu.