FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
  • Видео 4 172
  • Просмотров 1 265 322

Видео

FATWA|Wameishi pamoja kabla ya ndoa baada ya mke kupata ujauzito wakaowana,jee ndoa hii ni halali?
Просмотров 45421 час назад
SHEIKH JUMA AL-MAZRUI #faidikanamawaidha #elimubilamipaka #elimukiganjanimwako
FATWA|Jee kunyoa ndevu ni katika madhambi?
Просмотров 37214 дней назад
SHEIKH SHAABAN AL-BATTASHY #faidikanamawaidha #elimubilamipaka #elimukiganjanimwako
FATWA|Mtu amefariki na kuacha watoto 5 wa kike na ndugu zake wa kike na wa kiume mirathi itakuaje?
Просмотров 18321 день назад
SHEIKH JUMA AL-MAZRUI #faidikanamawaidha #elimubilamipaka #elimukiganjanimwako
FATWA| Je mume na mke wakigusana miili yao udhu unatenguka?
Просмотров 30328 дней назад
SHEIKH SHAABAN AL-BATTASHY #faidikanamawaidha #elimubilamipaka #elimukiganjanimwako
MJUE DAJALI WA KADIANI GHULAM AHMED MKADIANI NO. 2
Просмотров 236Месяц назад
MJUE DAJALI WA KADIANI GHULAM AHMED MKADIANI NO. 2
MJUE DAJALI WA KADIANI GHULAM AHMED MKADIANI NO. 1
Просмотров 336Месяц назад
MJUE DAJALI WA KADIANI GHULAM AHMED MKADIANI NO. 1
FATWA|Nini hukmu ya kuwavisha watoto mikufu/vidani ambavyo vimeandikwa Qur-an?
Просмотров 260Месяц назад
FATWA|Nini hukmu ya kuwavisha watoto mikufu/vidani ambavyo vimeandikwa Qur-an?
FATWA|Nini hukmu ya kuweka usomaji wa Qur-ani katika mfumo wa muziki na watu kucheza?
Просмотров 216Месяц назад
FATWA|Nini hukmu ya kuweka usomaji wa Qur-ani katika mfumo wa muziki na watu kucheza?
FATWA|Jee inafaa mwanamke kutumia kinga ya ujauzito, mfano kutumia vijiti,vidonge na mfano wa hayo?
Просмотров 437Месяц назад
FATWA|Jee inafaa mwanamke kutumia kinga ya ujauzito, mfano kutumia vijiti,vidonge na mfano wa hayo?
FATWA|Mtu anafanya ibada lakini ana biashara za haramu na jee amali zake zinakubaliwa?
Просмотров 621Месяц назад
FATWA|Mtu anafanya ibada lakini ana biashara za haramu na jee amali zake zinakubaliwa?
FATWA|Jee anaefabya Umra anatakiwa kufabya Twawaful wadaa au haitakiwi hivyo?
Просмотров 139Месяц назад
FATWA|Jee anaefabya Umra anatakiwa kufabya Twawaful wadaa au haitakiwi hivyo?
FATWA|Jee inafaa kuomba dua dhidi ya timu ya mpira wadhalilike kama Fir'aun na wakose kila kitu?
Просмотров 233Месяц назад
FATWA|Jee inafaa kuomba dua dhidi ya timu ya mpira wadhalilike kama Fir'aun na wakose kila kitu?
FATWA|Jee kuna wajibu juu ya mume kwenda kumuona mkewe katika ukumbi akiwa na wanawake wengine?
Просмотров 307Месяц назад
FATWA|Jee kuna wajibu juu ya mume kwenda kumuona mkewe katika ukumbi akiwa na wanawake wengine?
FATWA |Jee inafaa kupeana dua Ijumaa kwa kusema "Jumaa mubaaraka"?
Просмотров 292Месяц назад
FATWA |Jee inafaa kupeana dua Ijumaa kwa kusema "Jumaa mubaaraka"?
FATWA|Jee inajuzu kuchangia pesa katika msiba wa mkiristo?
Просмотров 212Месяц назад
FATWA|Jee inajuzu kuchangia pesa katika msiba wa mkiristo?
FATWA|Nini hukmu ya kupiga dufu katika hafla ya maulid?
Просмотров 272Месяц назад
FATWA|Nini hukmu ya kupiga dufu katika hafla ya maulid?
UJUMBE MUHIMU KWA WAPENDA KHERI WOTEFAIDA ZA KUTOA MALI KWA AJILI YA KUJENGA MISIKITI1️⃣
Просмотров 68Месяц назад
UJUMBE MUHIMU KWA WAPENDA KHERI WOTEFAIDA ZA KUTOA MALI KWA AJILI YA KUJENGA MISIKITI1️⃣
NASAHA MSINGI MKUBWA WA FURAHA KATIKA MAISHA
Просмотров 135Месяц назад
NASAHA MSINGI MKUBWA WA FURAHA KATIKA MAISHA
LUGHA YA KIARABU
Просмотров 153Месяц назад
LUGHA YA KIARABU
UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII KATIKA DAAWA SAFARI YA SH RASHID SHUKERY KATIKA MAENDELEO YA MITANDAO
Просмотров 90Месяц назад
UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII KATIKA DAAWA SAFARI YA SH RASHID SHUKERY KATIKA MAENDELEO YA MITANDAO
FATWA| ATHARI YA UBINAFSI KATIKA MAENDELEO YA UISLAMU(2️⃣)
Просмотров 94Месяц назад
FATWA| ATHARI YA UBINAFSI KATIKA MAENDELEO YA UISLAMU(2️⃣)
FATWA|ATHARI YA UBINAFSI KATIKA MAENDELEO YA UISLAMU(1️⃣)
Просмотров 128Месяц назад
FATWA|ATHARI YA UBINAFSI KATIKA MAENDELEO YA UISLAMU(1️⃣)
FATWA|JUA MAANA YA UHASIDI NA JUA NAMNA YA KUONDOSHA HASAD PAMOJA NA HUKMU YA KUSOMEWA DUA(2️⃣)
Просмотров 1202 месяца назад
FATWA|JUA MAANA YA UHASIDI NA JUA NAMNA YA KUONDOSHA HASAD PAMOJA NA HUKMU YA KUSOMEWA DUA(2️⃣)
FATWA|JUA MAANA YA UHASIDINA JUA NAMNA YA KUONDOSHA HASAD PAMOJA NA HUKMU YA KUSOMEWA DUA(1️⃣)
Просмотров 1872 месяца назад
FATWA|JUA MAANA YA UHASIDINA JUA NAMNA YA KUONDOSHA HASAD PAMOJA NA HUKMU YA KUSOMEWA DUA(1️⃣)
PALESTINE NI KADHI YETU
Просмотров 692 месяца назад
PALESTINE NI KADHI YETU
FATWA| MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA HARUSI ZA KIISLAM(2️⃣)UJUMBE MUHIMU SANNA
Просмотров 2422 месяца назад
FATWA| MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA HARUSI ZA KIISLAM(2️⃣)UJUMBE MUHIMU SANNA
ASALI AU SI ASALI
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
ASALI AU SI ASALI
FATWA| MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA HARUSI ZA KIISLAM(1️⃣)UJUMBE MUHIMU SANNA
Просмотров 2082 месяца назад
FATWA| MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA HARUSI ZA KIISLAM(1️⃣)UJUMBE MUHIMU SANNA
FATWA| IJUE HUKMU YA MWANAMKE KUPOST PICHA NA VIDEO MITANDAONI(2️⃣)
Просмотров 2162 месяца назад
FATWA| IJUE HUKMU YA MWANAMKE KUPOST PICHA NA VIDEO MITANDAONI(2️⃣)

Комментарии

  • @jundullah900
    @jundullah900 2 дня назад

    Ewe Ruqhayya, andika na uwafikishie haya kwa watumishi Wangu wote: 1. Msisahau kunikumbuka Mimi kama alivyofanya Muhammad. 2. Katika moyo wake ni Allah, Allah, Allah tu. 3. Miguu yake inapochukua hatua, ni Allah, Allah, Allah tu. 4. Macho yake yanapopepesa, ni Allah, Allah, Allah. 5. Imani ya Muhammad ni "Laa Ilaha Ilallah" pekee. 6. Mtazamo wa Muhammad ni wema tu, rehema Yangu kwa ulimwengu wote. Hana shaka yoyote isipokuwa kwamba kile Ninachomfikishia ni mpango Wangu. Ikiwa ni chema, atakifanya kuwa wema; ikiwa ni kibaya, atatafuta hifadhi Kwangu dhidi ya Shetani aliyelaaniwa. 7. Nyosheni nia zenu. 8. Tembeeni kwa upole, na mtazame nafsi zenu kabla ya kuona makosa ya wengine. 9. Mpeni baraka Muhammad na msikate kumbariki. Mimi na malaika Wangu tunamtumia baraka Muhammad, na Nitakubariki na kukuepusha na mabaya. 10. Kuwa mchamungu. Habari ikikufikia, ichunguze. Ikiwa inazungumzia mema, chukua ushauri huo mzuri, bila kujali kama unatoka kwa mtu usiyemfahamu. Hutaongoka kwa maneno mazuri isipokuwa Niyaweke kama sehemu ya mpango Wangu. 11. Na Muhammad hawezi kuigwa na Shetani. Kamwe usifikirie vibaya mtu anaposema alimuota Muhammad, kwa sababu Shetani hawezi kumuiga Muhammad. Muhammad huleta habari njema kila wakati katika ndoto ya mtu, na angalau upendo wako kwake utaongezeka mtu anaposema alikutana naye katika ndoto. 12. Waheshimu na ujionyeshe kuwa mnyenyekevu kwa wengine. Onesha unyenyekevu na heshima kwa kila mtu. 13. Usiruhusu mafanikio yako yakupe kiburi-hilo ni tendo la Shetani. 14. Usibadilishe maumbile Yangu hata unapozeeka, na amini kwamba Mimi ni Mjuzi wa kila kitu. 15. Toa sadaka hata unapoishiwa. 16. Usishiriki katika kashfa na dhambi, kwa sababu kashfa itachoma matendo yako mema. 17. Usile maiti ya ndugu yako, na usijifurahishe na kumsengenya, ukidhani wewe ni bora kuliko wengine. 18. Furahini katika taabu zenu, kwa kuwa Nawapenda wale ambao mioyo yao imevunjika na wanaokuja Kwangu. 19. Jiepushe na makundi yanayochochea chuki dhidi ya wengine; njia Yangu haikuzi chuki kati ya mtu na mwingine. 20. Usikatae aya Zangu, hata kama zinatolewa na mtu asiye na elimu. Sikiliza wito Wangu kutoka kwa wale wanaosema ukweli. 21. Njooni Nyumbani Kwangu, na msiachane na sala za jamaa. 22. Siwatwisha watumishi Wangu mzigo isipokuwa kuwapa mafunzo na ushauri mwema. 23. Waheshimuni wazee, kuwa na heshima, na mwonyeshe huruma kwa watoto na wale walioko kwenye shida, kwa maana Mimi (Allah) niko nao. 24. Wale wenye huruma mioyoni mwao-Nimewaahidi kweli wema Wangu. Ni tone la rehema Yangu Niliyowapa, na itawaokoa Siku ambayo jua litakuwa umbali wa dhiraa moja juu ya vichwa vyao, na kiu kitawaka koo zao. Nitawatumia rehema Zangu kuondoa kiu yao. 25. Jiepusheni na migogoro na jiwekeni mbali nayo. 26. Nikumbukeni Mimi, na Nitawakumbuka. Nitawapatia njia zisizotarajiwa, na ndani ya matatizo yenu yote kuna rehema Zangu. 27. Someni kitabu chenu kitakatifu kabla sijakifuta baada ya Kiapo cha Utii kwa Imam Mahdi, na muanguke katika majuto. Fuata amri Zangu na soma maagizo Yangu katika ushahidi wako, kwa maana hayo ndiyo njia ya wokovu katika Nyakati za Mwisho. 28. Badilisheni tabia zenu, na tembeeni kwa wema katika njia ya Muhammad.

  • @gabriellove5605
    @gabriellove5605 8 дней назад

    Ameen 🙏 yarab Ameen

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 13 дней назад

    Mwalimu Shaaban sikufikiria kwa hadhi yako na ELIMU Yako Kama utatoa fatuwa ya ndevu kwa kutumia jazba badala ya elimu. INA MAANA SUNNA YOYOTE IKITOKEA UMEIWACHA UNAANDIKIWA DHAMBI KAMA ILIVYO FARADHI?!. Kuweni waadilifu mnaposimama kuwafunza watu. Sheria ipi imesema kuacha Sunna unapata dhambi?!. Pili na baya Zaidi, unamfanya asio fuga ndevu kuwa kajifananisha na mwanamke kwa maana AMELAANIWA NA ALLAH SW 😂, AAAAAAH mwalimu Shaaban umefika pabaya katika fatuwa hio. Soma maswahaba ambao walio nyoa ndevu kwanza uwajue. Kisha rudi tena na hizi kauli zako. Kisha jiulize tu, UNA SUNNA NGAPI HUJAZITIMIZA NA JE KWA KUWA HIVYO NDIO USHAMKHALIFU MTUME SAW?!! Kisha kwa kutimiza weye kueka ndevu ushajiingiza mashakani kwa kuwacha Sunna NYINGI sana, JE TUKUAMBIE UMEMKHALIF MTUME SAW? NA JE ALIOMKHALIF MTUME SAW ATAENDA WAPI?! basi ujue uzito wa kauli unayoisema usio ifahamu. Naacha apo TU kwanza

    • @faidikanamawaidha
      @faidikanamawaidha 11 дней назад

      Kwanza Kila mwenye kusikiliza Fatwa za Sheikh wetu Shaaban Al Batashi Allah amuhifadhi anaona ishara za wazi wazi kua anaondokea moja kwa moja kidalili, na suala la ndevu lina wasaa wa ujinga ndani yake kwa ambae dalili zake hazijamfika, lakini hoja zikisimama ujinga unakosa nafasi, kwa hiyo hukumu ya asili ni ulazima wa Mwanamme kuachia ndevu zake na uharamu wa kuzinyoa, na mwenye kufanyia kazi mafundisho ajue kua yupo katika ibada na analipwa thawabu wakati wote kwa kujiepusha kunyoa ndevu. Pili neno Sunna linatumiwa kwa maana mbili tafauti, linatumiwa kua ni mwendendo wa kufuata na ruwaza ya kuiga, na linatumiwa kua ni Dalili ya kuthibitisha hukumu. Tufahamu kua zipo Dalili za Kisheria ambazo ni Quraani, Sunna, Ijmaa, na Qiyaas. Pia zipo Hukumu za Kisheria ambazo ni Waajibu, Haramu, Manduubu, Makruuhu na Mubaah. Wabillahi taufiqi.

  • @SofiaMwinyi-y7z
    @SofiaMwinyi-y7z 15 дней назад

    Shukran

  • @a.856
    @a.856 15 дней назад

    Jazaka Allah khayran

  • @SuleimanMohommed
    @SuleimanMohommed 15 дней назад

    Jazakha'Allah khairat Sheikh

  • @khamisroro4589
    @khamisroro4589 16 дней назад

    Shukran 🤲

  • @mustaphambwana7944
    @mustaphambwana7944 17 дней назад

    She mtume si kawafundisha watu kusu mkojo na maziwa yake ya ngamia Kua ni Tiba

    • @faidikanamawaidha
      @faidikanamawaidha 11 дней назад

      Fahamu kua yaliyopo katika vitabu vinavyoeleza mafundisho ya Mtume S.A.W. ni riwaya, na kwa sababu hiyo yanaingia katika mizani ya uhakikisho kwa kuchunguza matini zake (ibara zake) na sanadi zake mtiririko wa wapokezi wake. Andiko pekee ambalo kila kilichomo ndani yake ni haki isiyokua na uwezekano wa batili ni Quraani tukufu. Asante.

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh 17 дней назад

    Imam Mahdy mnaesubiri ni wa kishia au kisunni Hilo nalo neno

  • @AbdullRashid-f8v
    @AbdullRashid-f8v 19 дней назад

    Eda mdaa gani

  • @a.856
    @a.856 20 дней назад

    Jazaka Allah khayran

  • @jiongezeemaarifa1496
    @jiongezeemaarifa1496 23 дня назад

    Naomba jina la Nasheed Sheikh ❤

  • @iddswalehomar1323
    @iddswalehomar1323 24 дня назад

    Hivi mtu haombewi Dua ila na mtoto wake wakumzaa ndio unacho amanisha

  • @a.856
    @a.856 24 дня назад

    Jazaka Allah khayran

  • @RasuliMohamed
    @RasuliMohamed 28 дней назад

    Naombeni msaada wa Jina la huyu aliyesoma aya ya qur ani

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 28 дней назад

    Elimu hizi na historia hii ni muhimu katika jamii ya kiislamu.

  • @ShadrakiMajali
    @ShadrakiMajali Месяц назад

    Allahuma amiin 🤲

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran

  • @RahmaToki-w6p
    @RahmaToki-w6p Месяц назад

    Salam alaikum tuleteye majin ya allah tena

  • @Allybrown-y2x
    @Allybrown-y2x Месяц назад

    Je inafaa kumwita mwamke uliokuwa hujamuowa mke wngu je inafaa

  • @HashimShee-g1t
    @HashimShee-g1t Месяц назад

    Usipomfata mtume swallallaahu alayhi wasallam utamfata nani? mtume ametumwa na Allah ili tumfate sio tumuasi na kumpenda Allah ni kumfata mtume na kumuasi mtume ni kumuasi Allah!wengine twaona rahisi kuwafata lakini kumfata mtume twaona uzito subhaanallah

  • @yussufkhamis2567
    @yussufkhamis2567 Месяц назад

    A/aleikum shekhe nin hukmu ya mwaname muislaim kuzini mwanamke mkristo

  • @ABUUALLYBARWANI
    @ABUUALLYBARWANI Месяц назад

    Maa shaa Allah nasaha nzuri sana Allah akuhifadhi sheikh hafidh

  • @ghazalmsophe5322
    @ghazalmsophe5322 Месяц назад

    Masha Allah !!!!

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et Месяц назад

    Shukran jazaakallaahu khair ❤

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran

  • @ShuwenaMsselem
    @ShuwenaMsselem Месяц назад

    Shukran sheik Allah akuhifadh ❤

  • @nuruhusseinlugusha2744
    @nuruhusseinlugusha2744 Месяц назад

    Ewe Mola wangu mlezi, naomba unisamehe mimi madhambi yangu pamoja na wazazi wawili na uwarehemu wote wawili kama walivyonilea mimi nikiwa mdogo

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 Месяц назад

    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAYYIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI Barakallahu Feek

  • @SleymaMkumba
    @SleymaMkumba Месяц назад

    Mashallah❤

  • @ayshamzee7463
    @ayshamzee7463 Месяц назад

    Inshallah

  • @TatuKhatibu-t4l
    @TatuKhatibu-t4l Месяц назад

    asante

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran

  • @darajanida
    @darajanida Месяц назад

    mawahab nishar kubwa katika ulimwengu wa kiislamu

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Месяц назад

    MAASHAA ALLAH

  • @a.856
    @a.856 Месяц назад

    Jazaka Allah khayran