EXCLUSIVE: Mzee wa miaka 78 aliyeanza Darasa la kwanza Tarime

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 33

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 лет назад +2

    asante milard mzee hatar sana anarudisha akili nyuma nikweli ukizeeka wawa kama mtto nimeamin maana nafanya nao kaz hao
    hongera sana babu kwakujua unalolitaka mbeleni hata ukiulizwa MBINGUNI uwe najibu LAKUELEZEA KAMA MAKONDA. 😍😍😘 MUNGU akuongoze umalize shule

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 лет назад +1

    MUNGU eeeeeh😁😁😁😁njoo utuchukue watoto wako maana hii Dunia inavituko si amlete na bibi wasome wote.Asante millard Ayo

    • @merynyankena3012
      @merynyankena3012 7 лет назад

      Nahimana Joyce mie cna mbavu duuh ila ningefurah kumwona bibi nae akiungana nae

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 7 лет назад

    Milard nimependa unavyo advance. Nime notice unavyochange ili usituboe wasikilizaji.Tangazo lako umelichange pia, limekaa vizuri sana kwa sasa kuliko lile la kwanza, but lilikuwa haliniboi pia. Mie sio mtu wa kucomment sana, but know that i love your work! God help you reach your dreams! Your hard work will pay off! Keep it up

  • @mouradradmou7696
    @mouradradmou7696 7 лет назад

    hongera babu

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 лет назад

    Ubarikiwe millard ayo maana habari nyingine majaraha tupu

    • @mara-cb3gx
      @mara-cb3gx 7 лет назад

      Mama tuishi- mama tuondoke 😩😩😩

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 лет назад

    kwakweli Mery Nyankena.amlete tu na bibi wasome wote maana kila wakati nacheka jamani.kweli Elimu haina mwisho

  • @ummusahili6399
    @ummusahili6399 7 лет назад

    Allah amjaalie Ila walim wawe makini babu asije akalawiti na kuwabaka watoto

  • @arafsaaa8844
    @arafsaaa8844 7 лет назад

    ataka ajue kusoma tu il atumie hizo smatphone👌

  • @rashadraheem395
    @rashadraheem395 7 лет назад

    "nisome kama Makufuri"😊

  • @mwanashafatuma8719
    @mwanashafatuma8719 7 лет назад

    Duuuh hii kali lkn aileweshi haya endelea babu

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 лет назад

    Millard musalimia my grandfather

  • @isdorycosmas5595
    @isdorycosmas5595 7 лет назад

    ongera babu

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 лет назад +1

    duh mwalimu unaanzaje kumchapa mwanafubz huy

  • @kabuletepierre7571
    @kabuletepierre7571 7 лет назад

    hii ni kuharibu pesa na kupoteza mda.

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 лет назад

    Dunia kwisha habar yako ngoja nizd kumuabudu Mungu wng nahs atashuka hiv karibun 😀😀😀😁😁

  • @thebenzclassic1905
    @thebenzclassic1905 7 лет назад

    duh akika hii dunia

  • @graceyohana1733
    @graceyohana1733 7 лет назад

    babu kachoka kuibiwa mpunga 😹😹😹😹 anachotaka ajue kusoma na kurudisha chenji balaaa duniani

  • @feymumy9547
    @feymumy9547 7 лет назад

    jamn kidogo walimu muwape mshahara mzuri mana huyo mwalimu alivyo vaa ni shida kama aenda shamba😓😓😓😓

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 7 лет назад

      Farida Msekeni 😂😂😂 jmn wewe

    • @feymumy9547
      @feymumy9547 7 лет назад

      Flower Child kweli ndugu ww mwenyewe unamuonaje huyo mwalimu😀😀

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 лет назад

    elimu haina mwisho lkn cyo kwa dizain hii

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 лет назад

    78 miaka hili nalo jipu magu elimu bure watz tumeipokea vibaya

  • @isdorycosmas5595
    @isdorycosmas5595 7 лет назад +2

    ila mzee anatafuta kiki

  • @feymumy9547
    @feymumy9547 7 лет назад

    hahahaa hatarii

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 лет назад

    babu katisha ile mbaya ,ka ke ki ko ku
    😆😆😆😆

  • @ibraking8507
    @ibraking8507 7 лет назад

    haaaaa

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 лет назад

    Haaaahaa nishidaa

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 лет назад

    hahaaaaaaa mbavu zangu mie et nisome kama maguful

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 лет назад

    babu katisha ile mbaya ,ka ke ki ko ku
    😆😆😆😆