Well said my brother. Nilisema yakwamba Gachagua hawezi endesha watu bila chama wakaanza kuniingilia. Aache kuambia watu ATI sijui chama ni UDA. UDA Yako bana napole juu Ruto alikuchagua juu hauna influence ndio incase ukose kuoba vile anataka, atakunyoa.
Hii ngombe ya Odm haioni kwamba Raila ni conman? You went for demonstration alafu Raila used that to negotiate for himself too be made AU chairman. Wacha kutumia jina ya Gachagua ovyo tumia akili
Mliiba Mali ya nchi mkiwa na Uhuru and Raila ndiyo mnanona kama nguruwe. Enda kwa bunge la wananchi huko Jacaranda uone vile washenzi wenzako vile wamesota. Mtasikia hivyo hivyo na Ruto
So Bunge La Mwananchi wamesota kuliko raiyaa wa Molima....Wacha unjinga nanii...nani wanataka màombi kuliko mukokoyo.........unless your brains collapsed long time ago.
Makarena nakupendaga bure. Fearless man.❤
Hii kicheko ndio inanimalizaa hahahahahaha😂😂😂 respect brother
This was the best speech for this months 😂😂😂😂 handshake ilifanyika Uganda na mtoto wa Moi ako statehouse kenya anangojea kuona Raila. My ribs😂😂😂😂😂
Raila has support all over the World.
Touch Baba touch fire 🔥.
Fire ya maintaining position two in all elections🤷
Makarena You're our path..... love your points nafurahia unapoongea ukweli
You are truthful man I like you big up brother
You are a great Man. I really appreciate and respect you. God bless you abundantly.
Well said my brother. Nilisema yakwamba Gachagua hawezi endesha watu bila chama wakaanza kuniingilia. Aache kuambia watu ATI sijui chama ni UDA. UDA Yako bana napole juu Ruto alikuchagua juu hauna influence ndio incase ukose kuoba vile anataka, atakunyoa.
You are a great man you going far take this to any bank.
😂😂😂 kiroria nakupenda bure, you always speak real things that many can't speak. man got iron balls 🤣🤣 wambie ukweli
Makarena God bless you fearlessness man in Kenya 🇰🇪 😂😂😂😂😂😂
Well said my brother
I love your confident bro😂😂😂
Thanks U God Bless U 👏
I love your energy 😂
😂😂😂 makarina wewe!!!!🏃🏃🏃Gachagua🤣🤣
Wonderful analysis
Mike. Makarina. You. Are. ❤
Makarina umenena... hongera!!!❤❤❤
Mwambie GACHAGUA asikie UKWELI
Ruto is an ODM damaaaaaaaaa
Thanks. Mike. ❤❤❤❤
Talking. The. Truth. Sets. People. Free. ❤❤❤❤
Hapo kwa "mama endelea kuomba,mzee ni mkubwa..."😂😂😂😂
I like it tell this man gachagua the truth well said bro I like ua points
You're on point makarina
Ihihihihihihi 😊😊haki Bwana Makarena nakupenda bure kabisa. BABA RAILA AMOLO ODINGA malo malo🎉
😆😆😆😆😆 I love it 💓💓💓
Umesema ukweli, God bless.
Makarena wonderful intelligence ❤keep on
Ni kweli ...Raila alipigania chnages sana
Uyu gavana wa pwan amechanganyikiwa sonko pls kuja uku hakuna gavana ..nmie man serengo
I rilly love makarina is my best is very courageous
Nimecheka mpaka muzungu akaniuliza are you ok😂😂😂
I really like this man
May God give u life Sir
Yes. Peace. With. Raila. Peace. With. Ruto. Peace. In. Kenya. ❤
Honorable makarena is a good supporter of Baba indeed 🙌
😂😂😂😂😂 aky nimechoka vile ilikua unataka
B blessed Makarena.
Hongera
❤Ukweli Kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣makalina amefanya gachieta amekuwa na wasiwasi sana
Kweli kabisa ❤❤❤
😂😂😂😂😂 Moja bila and the game is over
Can makarina afford a cayenne please maje it a cayenne turbo gt ,wacha kutuonyesha Volkswagen cross over gari bei ya kdf
😂😂😂aki wewe
Raila pia Ni Mkenya boss. Mulima tunjipange vinoma kuliko awali
Ruto 20 years in power.
Generally mwenywe 2027 nani mwingine. Maina wanjigi hoeeeh!!!!
15 minutes of my life I will never get back. Just killed a few brain cells watching this
Let me make you waste another 2 you myopic
😂😂😂😂 Acha ujinga
ho my godness I love you
Wee kenda nyumbani makaa. EVER WRONG. YOU'RE NOT PERFECT😮😮😮
Wapenda amani tuombee Rigathi,
Next. MC. GOVERNOR. SENETOR. SHOULD. BE. MIKE. 2027. ❤❤❤❤❤
You like Truth
Good guy from meru … mmeru ako na akili
Kenyans are happy😂😂😂
Umeongea ukweli mike
Makina. Wa. Makina. Makina. Wa. Makina. The. Fearless.
Kenya want generali. Mtk tuko sawa na Mungu wetu. Agwambo haendi mahali ndio asaidie generali.
Mike. Makarina. For. Talking. And. Representing. Kenyans
Domo domo, bure kabisa. Still in dreamland with Raila, who will never be the president of this Nation Kenya. Ruto & Gachagua til 2032
Sukuma wheelbarrow
Ngahu politics is not for your head.. kauze mtura
Alafu ulisema baba yako ashawahi Pata kura ngapi au ni President wa wapi?
Mwizi utachomwa
Waaa ni kubaya kube 2o27 itakuwa raihisi waaaa
Na yeye ndio aliwekwa kwa maji uchi nyayo house juu ya siasa akufe na bado mungu anampenda
Huyu jamaa anasema some truths. H.E Gachagua is in political trouble.
Akili.... ukibeba gunia ya 50kgs ya Mav.....
Fortunately sisi hatubanduki kwa WSR.
Gachagua alisema statehouse sio kwa kichaka
Good mwambia roho chafu kuongea bila kufikiria
❤❤❤
Walaaai makarena ametumaliza
MAKARENA ❤😊 while RiggG is 😂😢😅 !
Mike Makarina(MK), wewe unasema ukweli mtupu.Ninakuunga mkono kabisa.
Wakenya acheni kuiga lugha yetu kiswahili ni cha watanzania tafuteni lugha yenu
Hizi ni stori za jaba😅😅😅😅
W ni stupid
Mpaka wakatesa mama ngina wakaiba mbuzi eakaangaisha mtoto wa uhuru haki gashagwa
Makarena unichekesha sana we
Man serengo pwan lazima tule jaba
Unaongea baba, makofi kwako.. toboa yote, watu nikama hawaoni, vile kunaendelea,
Volume
No. No. Gachaguwa. Warudishe. Goats. Na. Sheep. Za. Uhuru. Kenyatta. And. They. Should. Go. And. APOLOGISE. For. VANDALISING. UHURUs. PROPERTY. 😢 😢 😮
Makarina uko na miaka 18 kwenda juu nani amekataza wewe kuwania Urais katiba inakuruhusu
Ukweli mtupu
Rigathi is there to stay, watch his space.
Ukeli
Wacha mgokaa unaropoka kama radio
Mmmmmm,such words makes some of us close to Rg, continue bringing us close home!
😂😂😂😂tano tena
Lee kinyanjui presso
Do u understand ua self,"ati raila anaongeaga na mungu"where did a 70yr old man like u got such nonsense 🤷😡
Hii ngombe ya Odm haioni kwamba Raila ni conman? You went for demonstration alafu Raila used that to negotiate for himself too be made AU chairman. Wacha kutumia jina ya Gachagua ovyo tumia akili
Watu wa UNDA...
Mount Kenya means gikuyu this is tribalism
Ata gacagua awezi kukujibu.anakuhurumia juu ata haujiwezi na hauna ofisi
Kivipi, heri akili kuliko miguu, mwenye anafaa kuhurumiwa ni mwenye atumii brains,wright.
nyinyi juu mnatumia akili sana,mbona hamjawahi kufika ikulu...kelele tu na maandamano.@@juniorgolffoundation2808
ya nini uringe na pesa na ata kuma uwezi kula/.mdomo tu ndio uliachiwa@@juniorgolffoundation2808
Aki unawaambia watu wa mlima ukweli
Respect Riggy G he is second in command wacha ujinga mwingi,
Respect is earned not given
Which other respect other than telling that Right G the truth.....truth hurts nanii ..
Mtu alisema shareholders yet all kenyans pay tax deserves which respect?
ACHA AAMBIWE UKWELI😂😂😂😂
Akule ujeuri yake
Hana mizizi hata kidogo
Gasagua,isungwa,nyoro mindsets are ancient!
Mliiba Mali ya nchi mkiwa na Uhuru and Raila ndiyo mnanona kama nguruwe. Enda kwa bunge la wananchi huko Jacaranda uone vile washenzi wenzako vile wamesota. Mtasikia hivyo hivyo na Ruto
So Bunge La Mwananchi wamesota kuliko raiyaa wa Molima....Wacha unjinga nanii...nani wanataka màombi kuliko mukokoyo.........unless your brains collapsed long time ago.
ungepiga makelele uchaguliwe ata mca ndio uongee tusikize