SHABIKI WA YANGA AKOSHWA APIGA PICHA NA GAMONDI AWAONYA IHEFU WATAPIGWA GOLI 3 KESHO NUSU FAINALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • SHABIKI WA YANGA AKOSHWA APIGA PICHA NA GAMONDI AWAONYA IHEFU WATAPIGWA GOLI 3 KESHO NUSU FAINALI
  • СпортСпорт

Комментарии • 28

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 14 дней назад +9

    Hakika Gamondi ameonyesha upendo sana. Mungu ambariki.

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 14 дней назад +6

    MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @eliseoseverine
    @eliseoseverine 13 дней назад

    hongera sana ndugu yangu kwa ujumbe wako uliobora kabia

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 14 дней назад +2

    Huyu jamaa yanga wampe msemaji msaidizi Ako na kitu ulemavu SI kilema kazi nzuri

  • @michaeljames403
    @michaeljames403 14 дней назад +3

    Kwangu mm huyu jamaa ni shabaki na mwanachama no1 kwa mkoa wa Arusha !! ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @petrongowi9792
    @petrongowi9792 14 дней назад +5

    Much lov💛💚💛💚

  • @salmagodfrey4043
    @salmagodfrey4043 14 дней назад +3

    Yanga bingwa 💚💚💛💛

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 14 дней назад +1

    Well done Gamondi best coach

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 14 дней назад +6

    Hàpo kaka umeongea ukweli Azam aloumia pleya wetu hata mm Nina ugwadu nao

  • @pascalemmanuel2557
    @pascalemmanuel2557 14 дней назад +1

    Yanga kila la Eli Ushindi wa kesho kwa Yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 14 дней назад +3

    Huyu kweli ana historia na Azam dhidi ya Yanga kwa makusudi kabisa waliwaumiza Pacome na Yao Kuasi Atuola. Kweli tunawataka sana ili tuwaumize kwa kuwatoa kwenye mashindano yote ya kimataifa

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 14 дней назад +3

    Huyu bro ni mtu anayejitambua Mimi nation

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f 14 дней назад +1

    Nic san

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 14 дней назад +1

    Safi shabiki

  • @WinfridaChedego
    @WinfridaChedego 14 дней назад +1

    Yanga inatisha saana

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 13 дней назад

    Wakupe na jez mwananchiiiiii

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 14 дней назад

    Safi mwamba 🎉🎉🎉

  • @SilivanusCharles
    @SilivanusCharles 14 дней назад

    Nice 👍

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 13 дней назад

    Mwamba anajua mnoo

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 14 дней назад +1

    Ureniwivu Kaka kaongeya kweli haijalishi watapona waritumwa kutuvurigiya Allah Anawaona nawanazidi kudidimiya anayingiya uwanjani niya niku umuzana n'a Allah kawalani leowakowapi baha yamwipa siyamujomba wanakula gifurushi irituanguke kumbe njotainuka Yanga💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SindanoMosses
    @SindanoMosses 14 дней назад +1

    Kamwe mtafutie baiskel yamiguu 3 please

    • @fadhilimkanimkole272
      @fadhilimkanimkole272 14 дней назад

      Kwakwel, Hata account tu watoe wanachama wenzake tumchangie chchote kitu inorder to show Love.💚💚💚

    • @jdny3652
      @jdny3652 13 дней назад

      Great Idea, ifike hadi kwa engineer

  • @user-fv7jd1ix5z
    @user-fv7jd1ix5z 14 дней назад

    @kenny_kalisa wa manara TV nataka namba ya sesema