ROSE MUHANDO - MAMA MKWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 352

  • @anitajames7226
    @anitajames7226 4 года назад +49

    Kama ulikua unausikiliza huu wimbo ukiwa bado hujaolewa na sasa umeolewa na ukayaona ya mama mkwe.ukaja chapu huku nipe like😂 2020

    • @nurujuma2889
      @nurujuma2889 2 года назад +1

      Hahahahahaaaaa Mbavu Zangu Jamani,wamama Mkwe wa Siku Hizi Jamani Mungu Awanusuru Ambao Mmesha Olewa Namwomba Mungu Anipa Mama Mkwe Atakae Nipenda Nami Nikampenda

    • @RebeccaRebeccamose
      @RebeccaRebeccamose 11 месяцев назад +1

      Acha tu😂😂😂😂😂😂😂

    • @marthanater9839
      @marthanater9839 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂

  • @carolynenduta6488
    @carolynenduta6488 2 года назад +6

    Wow leo ndio naskia hii song .....mama mkwe ..what a good song to all mother inlwas

  • @leahsmart4438
    @leahsmart4438 4 года назад +10

    My mother inlow pahari uko GOD is watching you....ulifanya ndoa yangu iharibike😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Esther-ds5fs
    @Esther-ds5fs 2 месяца назад +1

    What i passed through 😢😢😢😢😢😢 mama mkwe hata wewe umezaa wasichana God is watching you 😢😢😢😢😢 umefanya nikiitwa single mother 😢😢😢😢😢😢

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 4 года назад +26

    I don't have my biological mother but I will hold my mother inlaw like my mom, I don't care what she will talk but all I will leave to God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @mutanukangutu155
      @mutanukangutu155 3 года назад +4

      Achia roho nafasi afanye kazi,,hii Dunia tuko tofauti.

  • @aljahandroalphonso2889
    @aljahandroalphonso2889 Год назад +6

    God gave me a blessed mother in law, who accepted me and showed me immense love upto now. May God bless her (christine nyanchama) as i pray for others to experience such a joy as this.

  • @nancymigare3291
    @nancymigare3291 4 года назад +8

    volume iko sawa dada Rose lazima kieleweke, nakupenda bure Rose

  • @julietmmbone5889
    @julietmmbone5889 3 месяца назад

    My favorite artist,,, ubarikiwe mama Rose ,,,wimbo huu mzuri sana ,,,mimi niliambiwa na mama mkwe nisipotoka kwa ndoa ya mwanawe ,,,atanitoa kilazma ,,,na hivyo ndivyo alivyo fanya kupitia uchawi ,,, Nashukuru mwenyezi Mungu maanake alinilinda akanihepusha na madhabahu ya Ile boma ,,,

  • @lydiaidah2348
    @lydiaidah2348 2 года назад +2

    🤔🤔😂😂😂🤣🤣🤣🤗🤗🤗volume ikoo fity kabisa

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 2 года назад +1

    Rose, huu wimbo sio injili ( habari njema) hizi ni nyimbo za mipasho. Ungetafuta akina Khadija kopa ufanye nao collabo. Umeacha kabisa kufanya kazi ya Mungu. Hili ni anguko lako

    • @Joy-nl7rq
      @Joy-nl7rq 3 месяца назад

      Yaone kaana hii nyimbo imekuuma sana ama wewe ni miongoni mwa hao mama wakwe anao wataka we mbona usitunge yako ya gosple nzuri 😢

  • @nanaali4115
    @nanaali4115 2 года назад +2

    Uminikosha roho Sana Dada nimikukubali!

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 3 года назад +3

    Mwambieni Rose natamani kumuona nimpe zawadi kwa wimbo huu,,😭😭😭😭 maana hatukuwasiliana wakati anaingia studio lkn Kama vile nilimpa maelekezo akaimbe hivi. Umebarikiwa

  • @kabbadauda7867
    @kabbadauda7867 8 лет назад +8

    Rose Muhando is not just an ordinary singer but an inspirational singer who sing from the throne of God. Am a sierra leonean but i like this woman of God and all her albums. i love.

    • @joshwanjala5496
      @joshwanjala5496 5 лет назад

      kabba dauda but vitu alifanya na ng'ang'a ata azimfuraishi Mungu

    • @joshwanjala5496
      @joshwanjala5496 5 лет назад

      kabba dauda but vitu alifanya na ng'ang'a ata azimfuraishi Mungu

  • @martingitonga4863
    @martingitonga4863 5 лет назад +4

    Dada Rose God bless you nyimbo zako uni barikiwa tena sana

  • @GODSGREATGATEWAYMINISTRY
    @GODSGREATGATEWAYMINISTRY 3 года назад +2

    Very good message to mother-in-law! Usitie aibu mama mkwe.

  • @constancemwasaru4668
    @constancemwasaru4668 4 года назад +1

    Rose Muhando, my love you are the true child of God, Hapo sawa. Nangoja uporomoshe na zaidi dear.

  • @dorrisnduki4237
    @dorrisnduki4237 5 месяцев назад +2

    Kama ushawahi shikishwa kwa police na mamamkwe kama Mimi,mkono juu!!

  • @kayengajudith8789
    @kayengajudith8789 8 лет назад +7

    Asante Rose kuwasuta Na wasikia hatupumui bwana wanakera sana

  • @routhrou4231
    @routhrou4231 4 года назад +1

    Wambie Dadangu .enyewe ni vizunguzungu . God bless you my sister you really encourage me.❤ your nice gospel.

  • @naomimwonthea5414
    @naomimwonthea5414 2 года назад +1

    You blesses me alot with your songs Mom.May God bless you for me

  • @jackylarry
    @jackylarry 7 месяцев назад +1

    My mother inlow God will never give you peace of mind maneno Yao ni makari Sana wakati mwingine 😥😥😥😥😥

  • @evodisambagi1841
    @evodisambagi1841 7 лет назад +10

    Ni maneno mazuri sana Dada rozi..mungu atutie nguvu

  • @andrualameki4918
    @andrualameki4918 7 лет назад +5

    THE SUPER HERO WOMAN #rosemuhando.%. May the almighty God give more and more..........we love you brothers from Uganda.

  • @faithkosgei220
    @faithkosgei220 8 лет назад +43

    This is a message to the ladies,we will be mothers -in- law one day therefore we need to know how to handle things and be wise. May the almighty give us that wisdom
    Thanks Rose

  • @lilianfelekeni7771
    @lilianfelekeni7771 3 года назад +5

    Amazing song, we just need a video of this song, mother-in-law 2021

  • @naserianmontet
    @naserianmontet 7 лет назад +11

    (Mama mkwe mshamba mkubwa) 😂😂😂😂😂I love this song! Good job Rose Muhando!

    • @nurujuma2889
      @nurujuma2889 2 года назад

      Wifi Yako Akikuona Nae Huna Ndoa,Hahahahahahaaaaa

  • @patrickhigenyi8063
    @patrickhigenyi8063 7 лет назад +9

    Hypa from Kampala Uganda: Rose, please, come to Uganda. I would like to see your physical dramatic jumps and hear your angel voice .Thank God for that musical gospel

  • @devothacosmas1436
    @devothacosmas1436 8 лет назад +3

    huu wimbo umetugusa wengi make tibwi za ma wakwe tumezipitia Mungu awasamehe na awalekebishe mama wakwe Wa hivyo

  • @emilyaholi2399
    @emilyaholi2399 8 лет назад +7

    kuna mamawakwe wengine, hawana adabu. Hio testimony niko nayo. waambie Dada Rose.

    • @joshwanjala5496
      @joshwanjala5496 5 лет назад

      Emily Aholi but sheria ya Mungu inasema shika kupenda tuu

    • @cedhfuraha8121
      @cedhfuraha8121 5 лет назад

      Hahaha🤭🤭🤩,mama wakwe sikieni .... !! Aaaaaah🤫

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 3 года назад

    Umesema kweli maana chuki za bila sababu ni uchawi barikiwa dada rosse

  • @richardomare3764
    @richardomare3764 2 года назад +2

    Feel compl listening your songs.
    Be blessed.

  • @dorcasmueni8619
    @dorcasmueni8619 4 года назад +3

    Mimi nilimchapa mamamkwe yani nkiamka Asubuih n mameno Alf kile kilifanya n mchape n kutaka kuninyag'anya mtoto wangu na baba yke ata Ana shida yani niliacha doa yngu kwajili mamamkwe wee ata Leo siwezi sahau na matezo alinitesa

  • @njoguroserose6744
    @njoguroserose6744 6 лет назад +14

    This has really motivated me for all what I have been through...God Bless you .

  • @sislineodoro8135
    @sislineodoro8135 8 лет назад +15

    Mothers in-law I hope you heard Rose very well,,jirekebisheni

  • @ronaldserem6975
    @ronaldserem6975 5 лет назад

    Eeh mama mkwe kweli unatisha message ukidelete ujumbe umefika Leo 7/9/19 in marseille France am blessed

  • @joelshume8791
    @joelshume8791 7 лет назад +4

    wow I lyk this song.....naipata vizur nikiwa Mombasa Kenya

  • @josephinekoki5376
    @josephinekoki5376 6 лет назад +6

    Nimesikia hii wimbo leo, machozi yanidondoka....a healing song. Kudos Rose muhando. God bless your work.

  • @deborahmulei7803
    @deborahmulei7803 10 месяцев назад

    Very educative song 🎉may God protect you

  • @contridaemmanuel128
    @contridaemmanuel128 7 лет назад

    message sent hata wakifuta washasoma wanakuwa na maneno mabaya sana mama wakwe ingawa sina mama wa hivyo nawaona wanavyo gombanisha ndoa za wanawe nishidaa aiseeeee Dada rose nakupendaje

  • @ruthnangekhe1077
    @ruthnangekhe1077 Год назад +1

    Waambie Wachane n ndoa zetu mum

  • @shadrackemanuel4182
    @shadrackemanuel4182 8 лет назад +14

    mungu wangu nipe nguvu nami nipate kucheza yesu nishike mkono

  • @moreengeorge6694
    @moreengeorge6694 8 лет назад +7

    Ameeen dada unanibariki sana kwa kweli asante sana umefanyika baraka mno maishani mwangu kupitia nyimbo zako..

  • @celinemakokha6915
    @celinemakokha6915 6 лет назад +13

    Message sent ukidelete ujumbe umefika mama mkwe mna mambo jamani

  • @bayathoya7669
    @bayathoya7669 8 лет назад +7

    May God bless you Rose your songs are a blessing to the world...mama mkwe very true ....

  • @petromashili5173
    @petromashili5173 5 лет назад +1

    wimbo huu naukubali sana mungu akutie nguvu mtumishi wa mungu amen

  • @bradox6538
    @bradox6538 6 лет назад +1

    ubarikiwe muhando manake najifunza mengi kutoka kwako

  • @christinaagbah3092
    @christinaagbah3092 4 года назад +4

    Thus my queen well come back dear n God bless you, but please try let we those who don't understand the language have our share in English i always listening to your songs though i don't understand the language but i feel the song much love from Ghana 🇬🇭🇬🇭🇬🇭👏👏let the fire burning my dear 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @peterogonyo677
    @peterogonyo677 6 лет назад +3

    Sawa,changamoto ya ndoa.Heko Rose.

  • @chibabydaniel
    @chibabydaniel 7 лет назад +15

    my mother in law is a white woman but this song fits her best.

  • @constancewakio604
    @constancewakio604 8 лет назад +4

    poleee polee umejichananya vibaya choko choko na wana wa Mungu mwishowe utangamia

  • @misspainkiller3162
    @misspainkiller3162 8 лет назад +5

    Really talented woman keep it up.......happy for you ooooh

  • @AminaAmina-tr3ik
    @AminaAmina-tr3ik 4 года назад +1

    God bless you Rose I really love your song,Am really blessed mungu akueke daima I love 💓💓💃💃💃💃

  • @gloriamwikali5942
    @gloriamwikali5942 7 лет назад +3

    God bless you for singing this song nilipitia hayo yote ilinibidi ni rundi kwetu mbila kuambiwa mtu niende.

  • @Egefwe
    @Egefwe 8 лет назад +13

    I like ur songs Mhando b coz they r truly inspiring n we experience them in our daily life... God bless u daily..... Whaoo

  • @evegebo
    @evegebo 8 лет назад +5

    Kweli pito la wana wa Mungu ,wamisri stop. Haha kweli nchi kavu baharini n kwa ajili ya watoto wa Mungu. Glory be to God the almighty

    • @evegebo
      @evegebo 8 лет назад +2

      You never cease to amaze me Rose. God bless you abundantly, keep the good work
      Love from Canada

  • @isabelagal2380
    @isabelagal2380 8 лет назад +3

    msg sent ukidelete ujumbe ushafika heheee ,it's true n real sister thanks for such a nice song God bless u

  • @mutanukangutu8812
    @mutanukangutu8812 3 года назад

    Mungu ni saindie nko karibu na stage ya mamamkwe

  • @paskalituka5483
    @paskalituka5483 7 лет назад +1

    Mungu aibarki kazi yako Dada yangu

  • @xtecigtech6585
    @xtecigtech6585 7 лет назад +2

    mama mkwe .unataka nini kwa ndoa ya mwanao.....touching keep it up rose

  • @maradonamutuku2826
    @maradonamutuku2826 5 лет назад +1

    Rose mhando tibim ur songs inspire me

  • @EricksonMusungu
    @EricksonMusungu Год назад

    It's true, good may the Lord bless you mum

  • @evansfondo2560
    @evansfondo2560 8 лет назад +1

    Hope they will change. for real you have touch me somewhere. God bless you siz Rose

  • @allenmwugusi9806
    @allenmwugusi9806 7 лет назад +6

    Wow! Very encouraging song ,God bless you abundantly nd continue to use you in a miraculous way

  • @joseryldosebastion5833
    @joseryldosebastion5833 7 лет назад +8

    I love music gospel and Rose Muhando, is good.

  • @misatijared
    @misatijared 8 лет назад +4

    Wimbo mtamu kweli. wanyolewe kabsaa

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 5 лет назад +1

    Mkwe jaman mmmmh tupen hewa wamama wakwe

  • @Shad_P
    @Shad_P 6 месяцев назад

    hii dunia nikama mama wakwe wote hufanana.

  • @emillygreatfavour3421
    @emillygreatfavour3421 3 года назад

    Wueh!aki mama mkwe 😭😭😭lakini Mungu naye ni nani??? Akinisimamisha na kunipeleka upeo mwingine.🤣🤣waiting for her to come for her forgiveness nimemuekea tu .namiss kumpeleka out kama kitambo and listening to her tell me whats disturbing her but pride wont allow her do that.Mungu kwangu ni mkuu.

  • @janemburu9503
    @janemburu9503 4 года назад +1

    Kweli sauti kutoka kwa YESU

  • @dorothymmbone8864
    @dorothymmbone8864 5 лет назад

    You are do unique rose muhando mungu akulinde uzidi kutubariki.

  • @bayathoya7669
    @bayathoya7669 8 лет назад +1

    May God bless you Mama Rose you're a big treasure to the world keep up your good work.

  • @conceptarbulumi1372
    @conceptarbulumi1372 8 лет назад

    Tnx a lot my six Rose niliyaona ndoa ikavunjika wanyoe kabisa I know I wil once be mum in low by wajirekebishe

    • @nancypretty7576
      @nancypretty7576 8 лет назад

      Conceptar Bulumi English English under sege

  • @pamelatabukatana9596
    @pamelatabukatana9596 8 лет назад +6

    That's true Rose Mhando May God bless you.

  • @danielmwongela6698
    @danielmwongela6698 7 лет назад +5

    nyimbo zako ni zuri sana mama endela hivyo waki delete ni sawa.

  • @irenekimunduu2458
    @irenekimunduu2458 3 года назад

    You mean all mother's in laws to die au vipi,we can't change our parents no matter how the situation is but respect will set us free we young mothers.

  • @XparksDelavega
    @XparksDelavega 4 года назад

    Keep it up my sister you have already won the battle.

  • @elvinoseberatemo6363
    @elvinoseberatemo6363 8 лет назад

    wow very good messege Rose you are no1 hope mother inlow amesikia

  • @paulinekamau8370
    @paulinekamau8370 8 лет назад +6

    special dedication to my sister's mother in law

  • @Kaninis3
    @Kaninis3 2 года назад

    Be blessed mum may the glory Of God be soon you talent

  • @kansiimekevin8043
    @kansiimekevin8043 7 лет назад

    nikweli mama mukwe unatakanini roza muhado dada mungu akubariki sana

  • @amonisimfukwe9576
    @amonisimfukwe9576 5 лет назад +2

    rozi kazungumza ukweli wamama mkwe wengi wanauwa ndoa za watoto wao

  • @harriettoto
    @harriettoto Год назад +2

    Let God remember and shine upon your life

  • @Kaninis3
    @Kaninis3 2 года назад

    May the power and anointing of God be apon you to support ur talent

  • @Jessy-f4n
    @Jessy-f4n 5 лет назад

    Love much this song it's really message to mother inlow nice song sister Rose

  • @emilliomusyokamutunga8978
    @emilliomusyokamutunga8978 7 лет назад

    Rose Muhando I like the message you in your songs, keep it up: especially mama mkwe .

  • @AtlaidaWamalwa
    @AtlaidaWamalwa 2 месяца назад

    Mnisaidie vile naenza uwa huyu mwanamke

  • @lillianprettypendo6209
    @lillianprettypendo6209 8 лет назад +1

    chokochoko na watu wa mungu utaangamia bure😍😍😍😍😍😍

  • @reginamakima8101
    @reginamakima8101 6 лет назад +1

    Mama mkwe shemeji mawafi ndo fungu kazzi

  • @safielmsuyasinger9613
    @safielmsuyasinger9613 8 лет назад +2

    nakupenda sana mama wimbo mzuri sana kali ya mwaka

  • @maryodanga140
    @maryodanga140 8 лет назад

    Wow! nyimbo zako ni baraka Dada Rose,barikiwa sana

  • @janeikua8440
    @janeikua8440 7 лет назад +3

    One of the sweeties song b blessed Rose Muhando.

  • @gatherufavoured2930
    @gatherufavoured2930 8 лет назад +1

    wow wow!! ukweli mtupu

  • @dorcaswairimu5945
    @dorcaswairimu5945 8 лет назад +6

    wow, Rose keep it up and God bless you so much for the good work.

  • @jackiekisilo3517
    @jackiekisilo3517 8 лет назад +2

    Mama mkwe habari ndio hiyo

    • @cedhfuraha8121
      @cedhfuraha8121 5 лет назад

      Jamani mamamkwe amezua kizaa🤭, poleni wanandoa jamani rose anawambia👈👈👈🤝

  • @alexouma7340
    @alexouma7340 8 лет назад +4

    Habari ndio hiyio tabiah mbaya wataki tuhowe wachana yao ndio hiyio

  • @barakamusa6287
    @barakamusa6287 6 лет назад

    wape mama message hao wenye tabia kama hizo najua kua wamesikia mama kwakweli nyimbo hii imenixhika sana halipiti saa bila kuisikiliza

  • @irenekimunduu2458
    @irenekimunduu2458 4 года назад

    Mama mkwe uliolewa kama mimi tofauti ni kunitangulia kwenye boma otherwise kunitambia huwezi.

  • @aiderlesautres1206
    @aiderlesautres1206 7 лет назад +2

    ubarikiwe Sister Roza Muhando

  • @NeemaHotay
    @NeemaHotay 4 месяца назад

    Penda sana nyimbo zako wewe

  • @esteremali5852
    @esteremali5852 7 лет назад +1

    Tell them sister Rose hawana aibu wanavuja ndoa za wanao