Serikal gan inayojua majengo ya kaliakoo ni mabovu alafu haijal usalama wa watu ,inayaacha tu na Wala haiyabomoi ,alafu ati tunasema serikal inajal usalama wa watu!!!!! Yaan haijal hata kidogo hua wanasema kwa maneno maneno tu kua Kuna usalama wakat usalama wenyewe haupo ,maana inajua kabisa kaliakoo majengo mabovu hayaitajiki alafu inayaacha na kutojal watu waliopo kule kaliakoo
Serikali gani?? hii iliyosimamia Jengo bovu na kuidhinisha wananchi kutumia ghorofa bovu? Serikaki ndio iliyotoa vibali na kudhinisha matumizi ya Jengo bovu..Serikali inapaswa kujibu mashtaka mahakamani kwa kushindwa kusimamia usalama wa raia kabla ya matumizi.
Wewe ulichokielewa nini hapo zaid ya kelele tu...jiulize je ni kweli marais wengine hawakusaidia makanisa na misikit?je Maguful hakuwa mzur?je kilichotokea kkoo viongoz hawakuhoj sababu ya kutokea?je ni vibaya kufariji wafiwa kwa kusema kazi ya Mungu haina makosa?fungua akili epuka siasa za wachumia tumbo..ambao hoja ni kuchafuana hata katika jambo jema
Mambo ya ukweli husimamiwa na Mungu mwenyewe hatakama mtu atapinga maneno ya mtu huyu wa Mungu atakua na laana ya kushindana na Mungu na imeandikwa atapindwa kabisa
Ninachoshukuru Mungu askari polisi,wanajeshi na vyombo vyote vya ulinzi wanafundishwa nidhamu kwanza na neno nidhamu limebeba mambo mengi sijui ingekuaje kama wangeruhusiwa kususa au kugoma au kulipiza visasi au kutukana au kuiba sijui ingekuaje maana wanavyotukanwa na wananchi wengi mitaani sasa hivi wangeamua kususa sijui ingekuaje maana kama watu wanajua Kuna ulinzi lakn bado wanatukaba huku mitaani imagine wanajua hakuna ulinzi kabisa uwii😭😭
Huyu hana akili ndiyo maana hana hoja alishazowea matusi .Wewe ulitakiwa ufe tu huna akili .Acha uwongo hizo ndiyo Sera .Huyu ni mwehu .ukimsema Marehemu Magufuli unawachafuwa watanzania Tundulusu nimwehu tu.Hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji .
Viongozi wa Chadema mko wapi?katka uokozi? Unataka eskaveta ilikuwepo hujui kama ingetumika hiyo eskaveta kungetokea nini! Na kwanini hajafika kusaidia ? Ili utoe ushauri wako badala uko kwenye kampeni na kumtukana aliyekufa na hao wanaokusikiliza hawakufiwa laitil lingewagusa wasingekucheka nawe uwanjani
Scaveter na mitambo ilikuwepo lakini ni hekma tu ilio sadia kwa uwezo wa M/ Mungu ilisaidia kuokowa watu zaidi ya 85 ingetumika machine hata hao wasinge patikana.
Hujaelewa. Waokozi walikuwa wanabunia waanga walipo wakat kuna vifaa vinauwezo wakuditect mtu alipo. Wangekuwa navyo wangeokoa watu wengi sanaa maana wangechimba alipo mtu na siyo kubatisha. Ishu ya uwokozi haitaji siasa ndugu yangu,inahitaji vifaa bora vya uwokozi na siyo kukisia kisia.
Yule mtu wa india aliyetaka kuendesha JKIA huko Kenya, ameshutumiwa kwa kutoa Rushwa kwa baadhi ya biashara zake kuendelea au kupata biashara mipya duniani kwa kampuni zake, anaendesha viwanja vya ndege au bandari za meli duniani kote na marekani ameshutumu nyingi wamepata baada kutoa RUSHWA, jee habari hii ina ukweli kiasi gani maana na bongo pia nasikia anaendesha bandari????
Ukwer Chadema kuingiq Madarakani Ni ngumu Saaana. Mm sio mwana Ccm lakn Napata Shda Kuskia Sera za Huyu jamaa. Sasa Unamzngumzia Magufuri anahusika nn.
@@Ibrahim-ne3in mta sema sana na mtatukana sana lakini chama kitakacho tawala nchi hii ni CCM tu kwani wengi wao wanao tukana nani awachague kuwa rais wa nchi hii
sera nzuri za ccm zimemsaidia nini mtanzania kupunguza ugumu wa maisha??? sera za ccm ni kuuza rasilimali zetu ili viongozi wajitajirishe na si kumsadia mtanzania
Mh Tundu sis wengne tunakubar sana maneno Yako shida ni wapinzan ni vigeu geu
Safi sana .
May God guide you mr president 2025 up to 2100
Baadhi ya maasikofu Ni hovyo tu . Mthayo 24 imefafanua
Lisu 💪🏿
Kwani Magufuli aliuza misitu na bandari? Magufuli alikataa
Walobaki wakaona ni Jambo jema kuuza nchi ya Tanganyika.
Serikal gan inayojua majengo ya kaliakoo ni mabovu alafu haijal usalama wa watu ,inayaacha tu na Wala haiyabomoi ,alafu ati tunasema serikal inajal usalama wa watu!!!!! Yaan haijal hata kidogo hua wanasema kwa maneno maneno tu kua Kuna usalama wakat usalama wenyewe haupo ,maana inajua kabisa kaliakoo majengo mabovu hayaitajiki alafu inayaacha na kutojal watu waliopo kule kaliakoo
KATIBA MPYA NI SASA
Serikali gani?? hii iliyosimamia Jengo bovu na kuidhinisha wananchi kutumia ghorofa bovu? Serikaki ndio iliyotoa vibali na kudhinisha matumizi ya Jengo bovu..Serikali inapaswa kujibu mashtaka mahakamani kwa kushindwa kusimamia usalama wa raia kabla ya matumizi.
Hiyo ni ajali tu . Tumeona mpaka huko Gaza mayahudi wanavyodondosha magorofa na kuwaua watoto wachanga.
Wewe Azizimtege ndo inatakiwa upelekwe milembe, kama kweli anacho ongeza lisu ukielewi? Basi tena
Wewe ulichokielewa nini hapo zaid ya kelele tu...jiulize je ni kweli marais wengine hawakusaidia makanisa na misikit?je Maguful hakuwa mzur?je kilichotokea kkoo viongoz hawakuhoj sababu ya kutokea?je ni vibaya kufariji wafiwa kwa kusema kazi ya Mungu haina makosa?fungua akili epuka siasa za wachumia tumbo..ambao hoja ni kuchafuana hata katika jambo jema
Mambo ya ukweli husimamiwa na Mungu mwenyewe hatakama mtu atapinga maneno ya mtu huyu wa Mungu atakua na laana ya kushindana na Mungu na imeandikwa atapindwa kabisa
Mimi ni ccm ila uzalendo na maneno ya tundu lissu yamekuwa mwiba chamani
Sawa mheshimiwa Anti pasi lisu
Indeed.
Ninachoshukuru Mungu askari polisi,wanajeshi na vyombo vyote vya ulinzi wanafundishwa nidhamu kwanza na neno nidhamu limebeba mambo mengi sijui ingekuaje kama wangeruhusiwa kususa au kugoma au kulipiza visasi au kutukana au kuiba sijui ingekuaje maana wanavyotukanwa na wananchi wengi mitaani sasa hivi wangeamua kususa sijui ingekuaje maana kama watu wanajua Kuna ulinzi lakn bado wanatukaba huku mitaani imagine wanajua hakuna ulinzi kabisa uwii😭😭
Hiiyq lini?
Hayo ni majibu ya kukabidhi ichi kwa machifu hayo ndiomajibu machifu
Kutukanana juu ya majukwaa sio Mila zetu😢
Wamehonga kuna mkataba wa makanisa na selikali
Makonda juzi alisema huyu jamaa apelekwe milembe mmmmh makonda alisema kweli
Wendio uende milembe na makonda wakooo wwauaji wakubwa nyie
Mubwa wewe
Tunataka sela utafanya nn ukichaguliwa
Huyu hana akili ndiyo maana hana hoja alishazowea matusi .Wewe ulitakiwa ufe tu huna akili .Acha uwongo hizo ndiyo Sera .Huyu ni mwehu .ukimsema Marehemu Magufuli unawachafuwa watanzania Tundulusu nimwehu tu.Hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji .
We ndo mwehu, kwan anachokiongea n uongo, tulien dawa iwaingie
Mwehu mkubwa wewe
Network buzzy
Dish limeyumba😊😊😊😊
Huyu jamaa nimgonjwa muulizeni amefika kariakoo akaona au anaongea to
Hamna kitu hapo network mbovu
Hatutaki kuandamana cc! Kama vipi nenda ubargiji ukahimize maandamano
ww hazimo
Hujuwi na kuandika dish wewe
@@LameckMbelewe ndo hazmo mpumbavu
Cheap politics
Ww baba mwislam kanzu nakofiaa ww ni mjaa au mtoto waharamuu
Alafu mm naakili zangu timamu nikakupigiee kula wewe ambae umejaa visasi😂kabisa na laana ila napenda sana unavyojihirisha kuwa ww ni nani.
Kama ni yeye angefanya miujiza gani
Mm huyu kweli ni kichaa
Hayo ni maneno matupu hayamshitui mwenye akili hiyo yote ni siasa tu wewe ni mkimbizi tu kwako ni marekani sio tanzania hatuwezi kumpa serekali kichaa
Mbona ndiyo huko kila siku mama anaenda kuomba pesa
Viongozi wa Chadema mko wapi?katka uokozi? Unataka eskaveta ilikuwepo hujui kama ingetumika hiyo eskaveta kungetokea nini! Na kwanini hajafika kusaidia ? Ili utoe ushauri wako badala uko kwenye kampeni na kumtukana aliyekufa na hao wanaokusikiliza hawakufiwa laitil lingewagusa wasingekucheka nawe uwanjani
Scaveter na mitambo ilikuwepo lakini ni hekma tu ilio sadia kwa uwezo wa M/ Mungu ilisaidia kuokowa watu zaidi ya 85 ingetumika machine hata hao wasinge patikana.
Kiluwi hujielewi
Hujaelewa.
Waokozi walikuwa wanabunia waanga walipo wakat kuna vifaa vinauwezo wakuditect mtu alipo.
Wangekuwa navyo wangeokoa watu wengi sanaa maana wangechimba alipo mtu na siyo kubatisha.
Ishu ya uwokozi haitaji siasa ndugu yangu,inahitaji vifaa bora vya uwokozi na siyo kukisia kisia.
Sasa Sasa Sasa Sasa hiyo ni Sela ya chadema
😂😂😂 wana jipya
Pameanza kuchangamka😂
Bado hujasema
CCM mitano tenaaaaaa
Yule mtu wa india aliyetaka kuendesha JKIA huko Kenya, ameshutumiwa kwa kutoa Rushwa kwa baadhi ya biashara zake kuendelea au kupata biashara mipya duniani kwa kampuni zake, anaendesha viwanja vya ndege au bandari za meli duniani kote na marekani ameshutumu nyingi wamepata baada kutoa RUSHWA, jee habari hii ina ukweli kiasi gani maana na bongo pia nasikia anaendesha bandari????
Sasa ilo jengo amejenga samia? Huyu jamaa km mtakua na akili hana cha maana cha kuongea...
utowe sela ya chadema c maneno. ukisema rushwa chadema.
Nyie sela yeenu nikuua watu
Yani huyo dogo kweli nimsenge sana jani kufilwa kunahalibu akili
Matusi ya nini matusi ya nini ulixha wahi kumufila ? Utatikana tu
Marhemm wanini sasaa nchi atuwapiii nyie njaaa
makonda alichoongea nikweli uyu akuna mtu
Wewe pg kerere tu cc tupo na mama atuwezi kumchagua kichaa atuongoze
C cm.nichamachalana.hawafai
Uyu Mimi anaponikelaga TU ni kumtaja magufuli apo tu
Mungu anatajwa sembuse magufur
Atatajwa sana tu
Mnamsikiliza kichaa. Mnapoteza muda wenu.
We ndio kichaa na mamaako
Askofu wa shoo angerudisha tu huo ushetani asijifananishe na mwamposa.
Bado ujapona lisu
Hiyo ndio sera yenu! Omba kura Acha kuropoka kama debe tupu! Huyu jamaa ajali hazijamuacha salama!😂😂😂
UKWELI UNAUMA
Ukwer Chadema kuingiq Madarakani Ni ngumu Saaana.
Mm sio mwana Ccm lakn Napata Shda Kuskia Sera za Huyu jamaa.
Sasa Unamzngumzia Magufuri anahusika nn.
Liongooo
Choko
Lyehu hili jitu likapimwe akili yaani hovyo sana
Hakuna wakuwapigia kura nyie midomo tu
Huyo mlopokaji tunamjua
Kwani anaongea uongo?
Sasa wewe ukiongoza utatufanyia nini? Maneno hayo hayatusaidii kitu. Mama mitano tena
Familia yako Iko wap panya wewe....Afya ya akili Bado n tatizo nchi hiii
@@Ibrahim-ne3in mta sema sana na mtatukana sana lakini chama kitakacho tawala nchi hii ni CCM tu kwani wengi wao wanao tukana nani awachague kuwa rais wa nchi hii
Wapundaka wafadhilaka
Embu tuache kidogo wenye akili zetu tuna majonzi mwenzetu hatukuelewi
Kawalete watoto wako ndio tuandamane wanao wapo uberigiji unatudanganya sisi
AtA MM NASHAURII AKAMATWE JINSIA NIMATUSII ANAOINGIAA UBIAA VP ILOO SHOGAA
Mwaga sera tukuelewe tena tafadhar muache Magu apumzike mbwa wewe
Mgonjwa wa akili
Chadema hawana sera nikuamasisha vurugu wewe unagombana na marehem chizi😢😢
sera nzuri za ccm zimemsaidia nini mtanzania kupunguza ugumu wa maisha??? sera za ccm ni kuuza rasilimali zetu ili viongozi wajitajirishe na si kumsadia mtanzania
asisemwe kama amevunja katiba
Kafilwe ccm
Ropoka ukichoka kalale makeleleeeee. Achana na magu weweee hapo ndo unafeli sanaaa
Ukimaliza utaenda beligiji
Huna lolote
Lolote liko kwenye uchi wa mamako
Nendaa singidaa maji mara mojaa
Ujinga tu sisi nunaomba naendeleo kama ya kwenu nyinyi mnalia na magufuli na samia, Yani hamuoni maendeleo?
Mbona wewe umeshindwa hata kutoa pole.Hata kufika eneo la tukio tu.
Kua tena😢
Akamatwe bwege uyo