You Say - Barrett Mapunda | Monday Therapy - Episode 05

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2024
  • Najua umewahi kuwa na msongo wa mawazo lakini pia umewahi kulemewa kihisia na moyo wako kuvunjika lakini yote hayo hayakuwa sababu ya wewe kushindwa kuendelea mbele tuko hapa kumtia moyo mtu mmoja ambaye sasa hivi anapitia wakati mgumu na cha ajabu ni kwamba kila ifikapo jumatatu unapaswa kuamka na kuanza majukumu ya wiki nzima kazini,shuleni na jamaa ikitemegea ufanisi wako ule ule na mbaya zaidi pale unapokosa mtu wa kumuelezea uzoefu unaopitia kwa sababu zilizo sahihi kabisa mana wengi wanaweza kutumia udhaifu au shida unayopitia kama sehemu ya kukukandamiza basi kila jumatatu nitakuwa hapa kukuwekea nyimbo za matumani na fungu pamoja na kusikia uzoefu kutoka kwa wengine namna walivyoweza kukabiliana na nyakati ngumu kama sehemu ya ushuhuda na kukuaminisha ya kwamba hata wewe utavuka katika hilo unalolipitia!

Комментарии • 22