Geniusjini x66 Ft Jay Melody Wewe Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Dir by #Mzava
    Pro by #Jinix66

Комментарии • 494

  • @geniusjinix6691
    @geniusjinix6691  Год назад +344

    Nawakaribisha Kwa Mara ya nyingine tena Video yetu ya Wewe inatoka kesho mapema sana naomba tu like to comment kadri tuwezavyo ku show love tu Nawapenda sana mashabiki zangu na Mungu awapeni nguvu na uhai na mafanikio zaidi ❤❤❤🌹🙏🏿

    • @nathannuru
      @nathannuru Год назад +13

      Kazi safi ndugu I like your efforts...Kenyan love🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @saidihamisi315
      @saidihamisi315 Год назад +6

      Inshallah nawe pia mungu azidi kukuweka

    • @saidihamisi315
      @saidihamisi315 Год назад +5

      kaz nzuli sana

    • @AlexJumanne-ls5gm
      @AlexJumanne-ls5gm Год назад +1

      Ngoma kalii kaka hujawahi tuangusha kwazia juu mpaka wewe tu zote kalii

    • @Fadhiljumanne
      @Fadhiljumanne Год назад +2

      Unyama san tuletee nyingine

  • @jeffbreezymusic254
    @jeffbreezymusic254 Год назад +45

    Nimegundua jay melody na Genius wakikutana wanafanya kazi safi sana

    • @AshaHaruna-ie2iq
      @AshaHaruna-ie2iq 5 месяцев назад +2

      J.melody fundi wa kuomba na Ginius Jin mkali wa kuandaa mziki apo motoo

    • @lawrencelangat30
      @lawrencelangat30 3 месяца назад

      This is very true

  • @masheyn
    @masheyn Год назад +3

    Najivulia kua na kaka kama wewe jinix66 hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hamzit_bajuniboy005
    @hamzit_bajuniboy005 Год назад +9

    Kazi nzuri afaaa musikae sana kutoa nyimbo nyengine fanyeni bidii

  • @BoruBitacha-ij7sh
    @BoruBitacha-ij7sh Год назад +15

    Walahi utamu tu Iko Kwa Ngoma za huyu msee ❤❤❤nachizi nazo...too bad Ako underrated 😢😢

  • @IssahKulwa
    @IssahKulwa Год назад +3

    Nakubari

  • @JustinaSamson-xm2xu
    @JustinaSamson-xm2xu Год назад +6

    We Kaka unanikosha na uimbaji wako wallah Kuna ninavyosisimuka jomon

  • @isbmusictz
    @isbmusictz Год назад +6

    Noma sana broo

  • @IddiMbwambo
    @IddiMbwambo Год назад +6

    Hii beat kama ya bonge la nyau ama nasikia vibaya

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba Год назад +7

    Alienileta huku mpaka kuangalia ni black beauty mellanin queen ❤

  • @begottenson-s1m
    @begottenson-s1m Год назад +11

    Mapenzi yako aaaah kitu lit bana❤❤naipenda

  • @faxkeentv5850
    @faxkeentv5850 11 месяцев назад +2

    U kill it brothers 🔥🔥🔥🔥hit moja la moto sana

  • @timothynjoroge1714
    @timothynjoroge1714 Год назад +3

    Hii ni moto kaka, good work endelea hivo hivo

  • @georgemugambi421
    @georgemugambi421 Год назад +4

    Maad love Genius jini from 254

  • @tonimbaruku1260
    @tonimbaruku1260 Год назад +4

    Huyo Dada wa mwanzo anafanana na Mr energy.

  • @GiverLiquid
    @GiverLiquid Год назад +4

    Jembeee

  • @JKRules9
    @JKRules9 Год назад +4

    Kazi nzuri sana 💯❤

  • @ThebigBamby
    @ThebigBamby Год назад +5

    Bambili from Kenya kakamega...nasema ngoma ni motooooooooo

  • @onestartz
    @onestartz Год назад +3

    Another one...kichupa kimetulia Safi kabisaaa🎉🎉

  • @secohbrand9964
    @secohbrand9964 Год назад +4

    Jambo Ni kubwaa Sana Brooh Mkuu sijawai kukupingaaaa

  • @Jangwaboy
    @Jangwaboy Год назад +4

    Napenda sana mchezo ur thy best manzee big up sana kakangu ❤❤❤❤

  • @peterpaul9263
    @peterpaul9263 Год назад +4

    Broo mmetisha kinouma 🔥🔥🔥

  • @casmirymusic
    @casmirymusic Год назад

    Jiwe jiwe kk🔥🔥🔥

  • @madelinbarnes7298
    @madelinbarnes7298 11 месяцев назад +7

    Black is beautiful. Can't wait to come to Tanzania 🇹🇿. I love that kind of music 😊

  • @boncenagottalent
    @boncenagottalent Год назад +6

    Kweli jini genius

  • @Charlesnorbert-yb6zh
    @Charlesnorbert-yb6zh 11 месяцев назад +2

    wakubwa sina neno... ngoma ni 💥💥💥

  • @tommydehero9848
    @tommydehero9848 Год назад +4

    Tisa sana home boy genius jini x66 ft jay melody🔥🔥🔥

  • @fficialkenah
    @fficialkenah Год назад

    🎉🎉unajua hongereni

  • @adamboy-zs8om
    @adamboy-zs8om Год назад +3

    Kali tokea 254

  • @Abuuhamda256
    @Abuuhamda256 Год назад +3

    Melody fundi

  • @annamarie481
    @annamarie481 Год назад

    The 🎸 apewe soda kubwa.

  • @SharonNjoki-rx2fn
    @SharonNjoki-rx2fn 11 месяцев назад +3

    Wow🎉good work continue with the same spirit

  • @navilmapundi4923
    @navilmapundi4923 Год назад

    unajuwa kinoma yani ni 🔥

  • @JamalMiraji
    @JamalMiraji Год назад +2

    Noma sana🔥

  • @InnocentJames-ce4zz
    @InnocentJames-ce4zz Год назад +2

    Umeua jay

  • @shimigtheodor
    @shimigtheodor 10 месяцев назад +2

    When you sing I feel like iam on sky ,
    Unaweza kuimba sana kaka Jini x66

  • @masheyn
    @masheyn Год назад +1

    Asantee Kwa kazi kubwa bad man🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Anjelaa254
    @Anjelaa254 Год назад +1

    Kali sana kaka

  • @africanmusic7368
    @africanmusic7368 Год назад +21

    Nipeni likes ya 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SaumuShebughe
    @SaumuShebughe Год назад +3

    Nakukubali sanaa❤❤❤

  • @PIOOMUSIC3459
    @PIOOMUSIC3459 Год назад +7

    Kama mbele iviii hataree sana video kqaliiiiiiii

  • @adnomaxamed7485
    @adnomaxamed7485 Год назад +3

    Ay kama safari tueda dubai😢❤

  • @BoGaliKAGARARA
    @BoGaliKAGARARA Год назад +2

    Komeza ahoo

  • @alfredbaraka2937
    @alfredbaraka2937 Год назад +4

    Ukisikia genie x66 nipo hapo man you always make hit

  • @SarahNafula-y9f
    @SarahNafula-y9f Год назад +1

    Iko fity❤

  • @rajabuadam2558
    @rajabuadam2558 Год назад

    Ndungu yangu adam hongera sana na pia mkifanya kazi nyie wawili mnafanya kazi nzuri sana

  • @abbass_zungu
    @abbass_zungu Год назад +3

    Nakuona wewe tuuu

  • @galvinmotivation9107
    @galvinmotivation9107 Год назад +12

    Am waiting for collaboration of the three kings ,jini x66,mariioo and jay melody,please organise something for us,

  • @Obtecappliances
    @Obtecappliances 2 месяца назад

    Woooow amazing ❤❤❤❤

  • @ReginaMuthoni20
    @ReginaMuthoni20 Год назад +4

    Chamenii🔥🔥

  • @dishangib
    @dishangib Год назад

    Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee Noma 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @zanelebhowa2226
    @zanelebhowa2226 4 месяца назад

    Muchu love from zim🇿🇼🇿🇼🇿🇼ndakupenda sana❤❤

  • @Official_winnie_2
    @Official_winnie_2 Месяц назад

    Jaymelody we love u xo much na pia endelea kutoa nyimbo zingine cauz hizi xongx zako zimeninice mbaya akh tia bidii kabrooo!

  • @calveenykevoo5399
    @calveenykevoo5399 Год назад

    Kitu enyewe hii baba you kill it💥💥🤟

  • @luxdee3115
    @luxdee3115 Год назад +96

    Mm ndio wakwanza humu naitaji likes za j melody pacha wangu hapaaaaa wadau

  • @patricknjoroge363
    @patricknjoroge363 11 месяцев назад +2

    This the best song this year❤
    Keep going gen

  • @janw8310
    @janw8310 9 месяцев назад +3

    Napenda nii wimbo ni nzuri. Upendo mwingi kutoka California

  • @CoolJey19
    @CoolJey19 Год назад +6

    kali sana

  • @KijanaYaAriitho
    @KijanaYaAriitho Год назад +41

    This guy geniusjini sounds Nigerian, give him tym he is a deal for the Tanzanian music

    • @bennriveera1910
      @bennriveera1910 10 месяцев назад

      Fr man I thought its joe boy when I haeart on radio

    • @georgesambo9654
      @georgesambo9654 4 месяца назад

      Sauti yake like joe boy

  • @spoilarmtapeli2708
    @spoilarmtapeli2708 Год назад +5

    Waiting for geniusjini x66 ft kusah💥💥

  • @RamadhanJuma-n2y
    @RamadhanJuma-n2y 4 месяца назад +4

    Tanzania tumeshindikana🇹🇿

  • @dbwaxdbwax3672
    @dbwaxdbwax3672 Год назад +1

    Balaaa sana mkubwa 🙌🙌🙌

  • @morgansamita
    @morgansamita 2 месяца назад

    keep it up genius tanzani kujeni kenya pls gachie sunny side heights

  • @madelinbarnes7298
    @madelinbarnes7298 11 месяцев назад +7

    An Hispanic #afrolatina woman in love on Tanzanian music 🎶 and yes im trying to learn swahili. NAKUPENDA Tanzania 🇹🇿🙏🏽💚🖤💙💛

  • @ShantelMakena-on3tb
    @ShantelMakena-on3tb Год назад

    Moto sana❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BoscohWalker
    @BoscohWalker Год назад +2

    My fev genius big up 💪

  • @jeffbreezymusic254
    @jeffbreezymusic254 Год назад +10

    Ngoma Kali sana

  • @festimbembe211
    @festimbembe211 Год назад

    JINII UMEUWAA SANAAA BROTHER GOD BLESS YOU🙏👍👍

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV Год назад +7

    Kalii Sanaa 🔥💯 keep going 🔥 this is so biggg 🔥💯

  • @paulywera
    @paulywera 2 месяца назад

    Ningependa❤niimbiwe

  • @isabellahWonder-r2l
    @isabellahWonder-r2l Год назад

    napenda tu hii song

  • @MwamiMayunga
    @MwamiMayunga Год назад +1

    Kazi nzuriiii Sana

  • @michelkeyofficieldrc7376
    @michelkeyofficieldrc7376 Год назад

    Wewe iko fresh sana My King

  • @charlesmentod7314
    @charlesmentod7314 Год назад

    Big Joint🎉🎉

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Год назад +2

    Hii nyimbo Kwa hivyo.. ilivyo washa mziki wa bongofoleva Kuna mtu atacopy😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤... Nakukubali Sana genius na jay once again 🔥🔥🔥🔥🔥😢😢😢❤❤❤

  • @lam47O
    @lam47O Год назад +1

    Boom💥💥Kazi nzuri Sana.

  • @keiwapacha1084
    @keiwapacha1084 Год назад +1

    Unajua Xana 🔥🔥

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm Год назад +8

    Hujawahi tuangusha jini kwazia juu mpaka wewe tu zote ngoma kali like zake jaman

  • @Debra-dagma
    @Debra-dagma Год назад

    fire all the way from kenya tunawapenda sana

  • @AUGUSTIMKENDA
    @AUGUSTIMKENDA Год назад

    what the hit my favorite artist sound like Nigerian geniusjinix66 keep up

  • @nawalismail8511
    @nawalismail8511 5 месяцев назад +17

    Kama unasikiza huu wimbo 2024 naomba likes zenu🎉

  • @colombianboy4949
    @colombianboy4949 Год назад +1

    Hii combination ni noma sanaa JINI & JAY

  • @KhadijaLeonard
    @KhadijaLeonard Год назад +1

    Nyimbo.kali.sana

  • @OphEcial
    @OphEcial 4 месяца назад

    This song got me more love from Nigeria
    Geniusjini and jay melody keep it up ❤

  • @amazonwinner467
    @amazonwinner467 Год назад +1

    Mmeuwa
    Mmetisha sana

  • @nickdee6293
    @nickdee6293 5 месяцев назад

    Kazi safi hapa.

  • @irmuproduction
    @irmuproduction Год назад +29

    I feel this is the true touch of African music Keep up!

  • @veronicaaoko5729
    @veronicaaoko5729 Год назад

    Ngoma imeweza❤❤

  • @collieabi254
    @collieabi254 Год назад +1

    Kali bro

  • @JasonGubi-uk3qh
    @JasonGubi-uk3qh Год назад

    Fan all the from Papua 🇵🇬 new Guinea

  • @rechobinamuyenzi739
    @rechobinamuyenzi739 7 месяцев назад +1

    Nimeungoja sana❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @michaeljosiah9114
    @michaeljosiah9114 Месяц назад +1

    The kind of music I like where have you been I love this

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl Год назад +3

    Safi sana

  • @shimadosun
    @shimadosun Год назад

    Kali sana❤❤❤

  • @nyasaniofficial
    @nyasaniofficial Год назад +16

    Another heat in town🔥🔥my Professional producer📌✈️✈️✈️

  • @Saudahissah
    @Saudahissah Год назад +2

    I really love jaymelody

  • @itzbarsh3324
    @itzbarsh3324 Год назад +1

    Anada one❤

  • @GilmaiBulage-mj5cb
    @GilmaiBulage-mj5cb 10 месяцев назад

    Even if you sneeze to the 🎤🎙️ I will still listen big fan here in Papua new guinea

  • @arnadkwizera484
    @arnadkwizera484 6 месяцев назад

    Kitu kabisa ❤

  • @Eugene_TV_Official
    @Eugene_TV_Official Год назад +9

    I sent this song to my girlfriend and she loves me more now that's to the two wewe hit makers