Nyimbo mpya ya mbarikiwa tenzi 67.BWANA ULIYE WAITA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024
  • Naaam kwasasa mbarikiwa PIA anapatika ktk channel mpya inayoitwa KIKOS KAZI CHA INJILI.
    ENDELEA KUBARIKIWA NA KUFUNGULIWA KWA MANENO HAYA KWANI HAYATAKUWA YABURE

Комментарии • 35

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 3 года назад +3

    Mungu amibariki sana mtumishi, na barikiwa sana kwa nimbo zako🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @nelsonbreidon6600
    @nelsonbreidon6600 3 года назад +3

    Mahubiri tosha wimbo zako mtumishi wangu. Mungu akupe maisha marefu ufanye kazi aliyokupa Mungu

  • @upendomhewa8202
    @upendomhewa8202 Год назад

    Kaka mungu akunariki sn yaan Mimi nyimbo zako zinanibariki sn kaka

  • @vailetyonest9884
    @vailetyonest9884 10 месяцев назад

    Mungu wambinguni na akukumbuke mtumishi wa mungu na akakutoe kwenye Hilo gereza .😂😂😂😂😂

  • @blandinalukole5535
    @blandinalukole5535 3 года назад +2

    Tunabarikiwa sana na nyimbo zako na tunaomba uwe unatufundisha na namna ya kumtumainia Mungu kila cku bila kujal dini zetu.

  • @NdinagweJamunyu
    @NdinagweJamunyu Год назад

    Neema jina niliropewa na bwana yesu

  • @annahmathew8630
    @annahmathew8630 3 года назад +2

    Mungu wa mbunguni akubariki mtumishi wake.
    Baba hua unanibariki na kubadirisha siku yangu kila nisikilizapo nyimbo zako.
    Mungu akutunze baba aendelee kukupa mafunuo ktk jina la Yesu

  • @dominiqueharerimana5536
    @dominiqueharerimana5536 3 месяца назад

    Amen Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen Mungu akujidi nguvu mchungaji.

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 2 года назад

    Kwa huduma yako gwifwilile hakikaaa...naamin nami ntabadika soon..kwa msaada wa Yesu

  • @henrylukosy1458
    @henrylukosy1458 3 года назад +2

    barikiwee Sana Mungu u hai hata Sasa kazi yako njeema na itapimwaaa Ameeeeh

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 3 года назад

    Buana Yesu Mokonzi Accenti Kua Kutuvalisha nguo nyeupe y’a Utakatifu waki Mungu wa ISRAËL Sifa n’a Utukufu Ikurudilie BaBa Ubarikie Muan’ko Muakipesile na wa pendua Wote Ju y’a Kazi Zako Hosanna Shalom

  • @magdalenadaniel2351
    @magdalenadaniel2351 4 года назад +2

    Nabarikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @louisamazutantamukunzi7363
    @louisamazutantamukunzi7363 3 года назад

    Ubarikiwebaba mtumishiwamungu munguakuzidishiye upakowake nakuendeleya simamakwalengi kama Makuruli

  • @johnkalibonamchungaji3082
    @johnkalibonamchungaji3082 3 года назад

    Barikiwa mtu wa Mungu

  • @chimbokiswaga8662
    @chimbokiswaga8662 4 года назад

    Unanibariki San hudum yako pia wimbo huu had machoz yanitoka hasa magum nipitiayo oooh my God protect me

  • @lightnesdaud9403
    @lightnesdaud9403 3 года назад

    Ubarikiwe Sana Kwa kazi nzur

  • @izraelyherman4467
    @izraelyherman4467 4 года назад

    Hakika barikiwa na nyimbo zote unazoziimba Mungu azidi kukupa ufunuo

  • @NdinagweJamunyu
    @NdinagweJamunyu Год назад

    Dunia inapita namambo yake heri ukimbirie kwa yesu uokoke

  • @robbieglo7155
    @robbieglo7155 28 дней назад

    Ameeen amen

  • @mestonsimzosha2899
    @mestonsimzosha2899 4 года назад +1

    Maneno haya ni amina na kweliio
    Inahitaji kukulu kakala nyiiini ili kumtokeza mtu was ndanii!!mtakatifu alie dhaniwa ndie ataishi katika ulimwengu na badae akailithi mbinguuu. Yeeeesuuuu nisaidieee saaanaaaa unapo wabadilisha wengine nami usinipiteeee.barikiwa saaanaaaa JASUSI,KAMANDA,KIONGOZI,SHUJAAA,MBARIKIWA WAKIPESILEEE.Unazidi kunibadilisha saaaanaaaw

    • @PastorsTz
      @PastorsTz  4 года назад

      SANA NDUGU

    • @johnngonyani3038
      @johnngonyani3038 4 года назад

      Mungu watosha Asante mbarikiwa kwa kufanya Kaz yamungu inayonibadilisha hata mimi

    • @irenevictor6137
      @irenevictor6137 3 года назад

      Hayatakuwa ya bure hayo maneno yako,wimbo huu unanitoa mchozi,ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,

  • @rosemarry5081
    @rosemarry5081 4 года назад

    Imba na ile nyimbo.EWE ROHO WA MBINGUNI.tafadhari

  • @vickymgeni4777
    @vickymgeni4777 3 года назад

    Amina🙏

  • @mussanganda505
    @mussanganda505 3 года назад

    Amen,

  • @mmbandomacky2117
    @mmbandomacky2117 3 года назад

    Blessed songs

  • @upendomhewa8202
    @upendomhewa8202 Год назад

    Yaan Kama wimbo wako was kazi yanguikiisha huwa natamani kwenda mbinguni Sasa hiyohiyo Kaka japo wapendwa wangu tangu walishakwenda na hawajawahi Rudi lakin matamani

    • @upendomhewa8202
      @upendomhewa8202 Год назад

      Barikiwa Kaka hayatakua ya but haya maneno yesu

    • @PastorsTz
      @PastorsTz  Год назад

      Karibu sana kanisa ni kwetu

  • @gilbertbizimungu8507
    @gilbertbizimungu8507 3 года назад

    Amen

  • @luciankinda4425
    @luciankinda4425 3 года назад

    Amen

  • @eyasitiayubu6271
    @eyasitiayubu6271 3 года назад

    Amen