COOK IFTAR WITH ME||Swahili Biriani Recipe||Iftar with my SWAHILI FAMILY in Mombasa,Kenya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Hello lovies squad welcome to my channel my name is Najma Ali i do fashion /lifestyle videos ,pranks and dares sometimes im so glad to have you here.
    Hit on that SUBSCRIBE button🥰
    For business inquiries and collab 📩;nerjmaherlly@gmail.com
    Donate to the channel via paypal;najmaali0047@gmail.com
    Follow me on ig ; ...
    Follow me on tiktok ; vm.tiktok.com/...
    Subscribe to my channel; / @najmaali
    Follow my business page ; ...
    #RamadhanInMombasa#FamilyIftar#Swahilibiriani

Комментарии • 169

  • @najmaali
    @najmaali  3 года назад +21

    Lovies squad make sure you give this video a Like ,leave a comment and SUBSCRIBE if you haven’t🥰.....wasn’t that easy?

    • @SharongudaRN-BsN
      @SharongudaRN-BsN 3 года назад

      Twafuthuru mapema Leo 🤣

    • @buzzkay_ke244
      @buzzkay_ke244 3 года назад +1

      Biriani Mashallah 😍 Saum Maqbul lovie

    • @buzzkay_ke244
      @buzzkay_ke244 3 года назад +3

      Anwar basi Fanya Collab naye umfundishe kuosha hayo masufuria machafu na hiyo da’awa unayosema 🙏

    • @saumumohamed5024
      @saumumohamed5024 3 года назад +2

      Jamani @Najma Ali 🤣🤣🤣 kujisifu nayo lazima😂😂ati mwamuonaje mtt😂😂😂😂

    • @swabrajaffar27
      @swabrajaffar27 3 года назад +5

      Anwar Ali acha husda kwa muislamu mwenzako...mwanaume mzee umekosa kazi...hiyo energy unatype ujinga ungeenda msikitini kutoa daawa 🤔😏....sheeeenz saaanaaa...kwanza naona utafute dera uvae...alafu usiteseke sanaa...nko Nairobi njoo unipigee👩‍🦯👩‍🦯👩‍🦯

  • @Salmaahmed-ng4cd
    @Salmaahmed-ng4cd 2 года назад +1

    Ma sha Allah sis,,, I'm watching you form isiolo big up... Nice job sister, Ramadhan Mubarak

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 года назад +3

    Woooyoooooo...🗣️🗣️🗣️🗣️ Ma sha Allah... nialikweeeee mpenziiiiii...biri kama la bin agil😋😋🤤🤤

  • @mariamasipa4197
    @mariamasipa4197 3 года назад +6

    Love seeing you in the kitchen you are a pro Najma I can see that mom raised you very well

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 года назад +5

    Hahaha umenichekesha😂😂😂 ulipokoroga wali na kugeuka kama mwanamke wa majengo😂😍kama Unaniangalia na hauja subscribe 😚😚I love your energy ma sha Allah 👌👌👌

    • @SharongudaRN-BsN
      @SharongudaRN-BsN 3 года назад +1

      Haaaaa ..majengo Kwa samaki🤣🤣

    • @najlaskitchen1572
      @najlaskitchen1572 3 года назад

      @@SharongudaRN-BsN hahah umeonaeee 😂🤣

    • @SharongudaRN-BsN
      @SharongudaRN-BsN 3 года назад

      Kasema pia wale wa Caribbean hawayu🤣

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад +1

      Nawaona munanitafuta maneno 😂😂

  • @fatmahady
    @fatmahady 3 года назад +3

    Hahahahahahi laughed so much with the intro song,😂mashaAllàh biryaniiii imepikikaaaaa👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      🥰🥰🥰shukran lovie

  • @ashanurein5403
    @ashanurein5403 3 года назад +4

    great hard working women Masha Allah keep going food looks so yummy 😋😍

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 3 года назад +5

    Jamani najma hadi mate yanitoka mashallah 🥰❤👍💯

  • @sadaakiba4291
    @sadaakiba4291 3 года назад +1

    Masha Allah tabarakallah twayaona mambo yako shunu vimate vyatona 😋😋😋

  • @ruksanaeddy7616
    @ruksanaeddy7616 3 года назад +2

    Video after video 🎉🎊am really enjoying this.. great energy 💪 indeed 👏👏

  • @salimali6078
    @salimali6078 3 года назад +2

    MashaAllah
    Biriani it's luk vry yummy 😋
    Wallahi narufahi sn kuona mapishi km hayo y Mwambao w Pwani. Ramadhan Kareem to u Najma & ur entire family 💕💕

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Ramadhan Kareem to you too

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 года назад +3

    Maa Shaa Allah, Ramadhan Mubarak.

  • @DeeMwango
    @DeeMwango 3 года назад +1

    My inlaw Eu...is so lucky having my Swahiba the best chef 😋

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      😍😍😍aaaaw

  • @haylaomar5863
    @haylaomar5863 3 года назад +1

    Wow i love swahili biriani, nakutizama from Norway...ramadan mubarack 🌷🌷

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Aaaaw Shukran lovie

  • @rgouz2056
    @rgouz2056 3 года назад +1

    Looks very 😋 niki kaa hapo naona nitapasukaa!!😂😂 mashallah mapishi dafür keep it up.

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Hhahaaa umeona eee

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 10 месяцев назад

    Yes of course you have to mix all language

  • @umminurah877
    @umminurah877 3 года назад

    Maa shaa Allah mate yanitoka najma niweke na mimi 😜🥰

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад +1

      Consider it done lovie🥰

    • @umminurah877
      @umminurah877 3 года назад

      @@najmaali watoto wangu wakupenda sana in shaa Allah mungu akitujaliya uhai na uzima tukija tutakutafuta sisi tuko saudia 😍❤️

  • @buzzkay_ke244
    @buzzkay_ke244 3 года назад +1

    Haloooooo Aunty Iddah mwenye shahri zake 🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      😂😂😂😂😂

  • @مونيشاكاتشؤ
    @مونيشاكاتشؤ 3 года назад +2

    Mashaallah natamani nilikuapo hiyo siku mana sio utamu huo 💞

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Hehe ulikua kwenu

  • @zajrasharbaid5592
    @zajrasharbaid5592 3 года назад

    Thanks for da simple yummy recipe

  • @mamuuazeez5505
    @mamuuazeez5505 3 года назад +3

    Another banger👏💪🏽

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад +1

      💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻

    • @buzzkay_ke244
      @buzzkay_ke244 3 года назад +1

      @Najma Nimejipata tu naimba “another banger I’m in love with plenty women 🤣🤣🤣🤣🤣🤣”

  • @alody47
    @alody47 3 года назад

    Mola awabarik. Chakula kizuri kitamu na kina taste. Kama your dear mama alivyo sema. Sasa sisi wengine tutataste lini.
    Eid mubarak nyote nyumbani.

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 3 года назад +1

    Mashalla nice najma welldone

  • @muniramohammed2328
    @muniramohammed2328 3 года назад +3

    Looks yummy 😋

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      😋😋It really was

  • @nasshorts95vlogs
    @nasshorts95vlogs 3 года назад +1

    Yummy iftar mashaallah sister

  • @koimo7345
    @koimo7345 3 года назад

    Mashallah somuuuu mungu akujalie akupe mume wakher nawe jinsi ulivyo mpishi ramadhan Karen

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Ameen ameen In Shaa Allah

    • @koimo7345
      @koimo7345 3 года назад

      👌👌👌

  • @yvonnecummings9572
    @yvonnecummings9572 3 года назад

    Uuuh that food looks delicious, ooh my goodness, it makes my mouth water.

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Waah😋😋😋

  • @fatima19823
    @fatima19823 3 года назад +1

    I might make biryani today all the way from USA. Nice singing by the way

  • @buzzkay_ke244
    @buzzkay_ke244 3 года назад

    Nyama umetupimia lovie 🤌🏻🤌🏻🤌🏻🤌🏻

  • @nanaathman6721
    @nanaathman6721 3 года назад

    Keep going Najma I like your video mimi na My Husband twapenda kuangaliya video zako twangoja kwa hamu wallahy kila wakati twangoja video zako Allah akupe uwezo zaidi na ukihifadhi Inshaallah

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Aaaw asante sana

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Ameen ameen In Shaa Allah

  • @ItsMeRay97
    @ItsMeRay97 3 года назад +1

    MashAllah😍😍😍😍

  • @neemamusa2882
    @neemamusa2882 3 года назад +1

    I love your videos sister ,watching you from Las-vegas Nevada US...you always remind me more of my culture😘😘😘😘i love you because of Allah

  • @tumadala3753
    @tumadala3753 3 года назад +1

    Hata kama uko wapy mke jikoni uwe nani mke ndani ya kitchen 🔥🔥🥘🧑‍🍳🥰 mo love for you and peace 💋

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 3 года назад +1

    ALLAH IBARIK

  • @masoudsaada6936
    @masoudsaada6936 3 года назад

    A ha ha ....mimi hukuangalia sana ila mvivu wa kulike ama comment lakini kwa jinsi ulivyowajibika leo nimelazimika ku like.
    GOOD JOB AUNTY WA LOVIES !

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Please tujifunze ku like

  • @princesskhadz6747
    @princesskhadz6747 3 года назад +4

    Nyc yummy 🤤🤤🤤

  • @citoyenmarocain8789
    @citoyenmarocain8789 3 года назад +1

    I like your video
    Ramadan Moubarak from Morocco

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Shukran lovie Ramadhan kareem to you

  • @jessicakwaro4073
    @jessicakwaro4073 3 года назад +1

    Mashallah😋hi najma am new to your RUclips channel,I would love to know how to cook Swahili dishes,can you do a video please on it😊

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Sure dear we shall be having sessions of me in the kitchen😘

  • @samranoor1360
    @samranoor1360 3 года назад

    mashaAllah sis am watching frm Birmingham UK I just love ur personality n da way u treat ur parents big up may Allah guide U n US to da right path. AMEEN

  • @nooromar6233
    @nooromar6233 3 года назад +1

    I like you as you very loving to your family Allah will bless you the same for treating them nicely

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Ameeen thuma ameeen

  • @ganisidi6568
    @ganisidi6568 3 года назад +1

    Masha allah swahili biriyani🍲👌

  • @wanjikuwatheme6162
    @wanjikuwatheme6162 3 года назад +1

    Yummy 😋😋😋

  • @nurhassan2098
    @nurhassan2098 2 года назад

    Mamagu pia Ana jua kupika sawa

  • @salehmbarak7367
    @salehmbarak7367 3 года назад +2

    Lovie tuko kama kawa

  • @halimabakari1085
    @halimabakari1085 3 года назад +1

    Mashaahlla

  • @buzzkay_ke244
    @buzzkay_ke244 3 года назад +1

    Representing Canada 🇨🇦🇨🇦🇨🇦 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Hehe hello my Canadian friend

  • @beemulama
    @beemulama 3 года назад

    Mautamu aki 😋😋😋😋😋😋😋😋❤️👌

  • @mohammedriyasmohammedriyas6893
    @mohammedriyasmohammedriyas6893 3 года назад +1

    Haaii najma 😍❤from India

  • @SophhhiaOnono
    @SophhhiaOnono 3 года назад +1

    Thanks ymyy

  • @zaynabshaffi2318
    @zaynabshaffi2318 3 года назад

    MashaAllah yummy

  • @magongoali7201
    @magongoali7201 3 года назад

    Food (biriani) was so delicious plse I request that menu once more

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Aaaaw thanks papps

  • @effdisish3828
    @effdisish3828 3 года назад +1

    Do you sell any of these?😋😋😋

  • @fatmaomar7918
    @fatmaomar7918 3 года назад +1

    Mbona hukutia dawa za pilau spice

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Yaonekana hukumalizia video

  • @mercykache9440
    @mercykache9440 3 года назад +2

    LOVE U

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Love you way more🥰

  • @fowziabash4130
    @fowziabash4130 3 года назад +1

    Love from🇺🇸

  • @SharongudaRN-BsN
    @SharongudaRN-BsN 3 года назад +4

    Rojo tamu

  • @salimrashid8660
    @salimrashid8660 3 года назад

    Thwayaooooooooona 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇰🇪❤️

  • @buzzkay_ke244
    @buzzkay_ke244 3 года назад

    Jamani kuna mtu hapo namuona ftari tu simuoni jikoni 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад +1

      😂😂😂😂😂nimekuelewaa

  • @prince-li6kw
    @prince-li6kw 3 года назад

    Yam yam paka huku nasikia harufu tam tam

  • @nanaathman6721
    @nanaathman6721 3 года назад

    Mashaallah Biriani rojo rojo

  • @ruungessey1547
    @ruungessey1547 3 года назад

    Hi am new subie

  • @hamidkarzai6500
    @hamidkarzai6500 3 года назад

    Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng’ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia. 2Na mkutano mkuu wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa. 3Naye Yesu akakwea mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake. 4Na Pasaka, sikukuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu. 5Basi Yesu alipoinua macho yake akaona mkutano mkuu wanakuja kwake, alimwambia Filipo, Tununue wapi mikate, ili hawa wapate kula? 6Na hilo alilinena ili kumjaribu; kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda. 7Filipo akamjibu, Mikate ya dinari mia mbili haiwatoshi, kila mmoja apate kidogo tu. 8Wanafunzi wake mmojawapo, Andrea, nduguye Simoni Petro, akamwambia, 9Yupo hapa mtoto, yuna mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa? 10Yesu akasema, Waketisheni watu. Na mahali pale palikuwa na majani tele. Basi watu waume wakaketi, wapata elfu tano jumla yao. 11Basi Yesu akaitwaa ile mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; na kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka. 12Nao waliposhiba, aliwaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kisipotee cho chote. 13Basi wakavikusanya, wakajaza vikapu kumi na viwili, vipande vya mikate mitano ya shayiri vilivyowabakia wale waliokula. 14Basi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya, walisema, Hakika huyu ni nabii yule ajaye ulimwenguni.
    15 Kisha Yesu, hali akitambua ya kuwa walitaka kuja kumshika ili wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani yeye peke yake.
    Yesu Atembea juu ya Maji
    16 Hata ilipokuwa jioni wanafunzi wake wakatelemka baharini 17wakapanda chomboni, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia. 18Na bahari ikaanza kuchafuka kwa kuvuma upepo mkuu. 19Basi wakavuta makasia kadiri ya maili tatu nne, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari na kukikaribia chombo; wakaogopa. 20Naye akawaambia, Ni mimi, msiogope. 21Basi wakataka kumpokea chomboni; na mara hiyo chombo kikaifikilia nchi waliyokuwa wakiiendea.
    22Siku ya pili yake mkutano waliosimama ng’ambo ya bahari waliona ya kuwa hakuna mashua nyingine huko ila moja, tena ya kuwa Yesu hakuingia katika mashua ile pamoja na wanafunzi wake, bali wanafunzi wake walikwenda peke yao. 23(Walakini zikaja mashua nyingine kutoka Tiberia mpaka karibu na mahali pale walipokula mikate, wakati Bwana aliposhukuru.) 24Basi mkutano, walipoona ya kuwa Yesu hayuko huko wala wanafunzi wake, waliingia mashuani wenyewe, wakaenda Kapernaumu wakimtafuta Yesu. 25Hata walipomwona ng’ambo ya bahari, walimwambia, Rabi, wewe umekuja lini hapa?
    26Yesu akawajibu, akasema, Amin, amin, nawaambieni, Ninyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba. 27Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu. 28Basi wakamwambia, Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu? 29Yesu akajibu, akawaambia, Hii ndiyo kazi ya Mungu, mmwamini yeye aliyetumwa na yeye. 30Wakamwambia, Unafanya ishara gani basi, ili tuione tukakuamini? Unatenda kazi gani? 31Baba zetu waliila mana jangwani kama vile ilivyoandikwa, Aliwapa chakula cha mbinguni ili wale. 32Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Siye Musa aliyewapa chakula kile cha mbinguni, bali Baba yangu anawapa ninyi chakula cha kweli kitokacho mbinguni. 33Kwa maana chakula cha Mungu ni kile kishukacho kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima. 34Basi wakamwambia, Bwana, sikuzote utupe chakula hiki. 35Yesu akawaambia, Mimi ndimi chakula cha uzima; yeye ajaye kwangu hataona njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu kamwe. 36Lakini naliwaambia ya kwamba mmeniona wala hamwamini. 37Wote anipao Baba watakuja kwangu; wala ye yote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe. 38Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka. 39Na mapenzi yake aliyenipeleka ni haya, ya kwamba katika wote alionipa nisimpoteze hata mmoja, bali nimfufue siku ya mwisho. 40Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
    41Basi Wayahudi wakamnung’unikia, kwa sababu alisema, Mimi ni chakula kilichoshuka kutoka mbinguni. 42Wakasema, Je! Huyu siye Yesu, mwana wa Yusufu, ambaye twamjua babaye na mamaye? Sasa asemaje huyu, Nimeshuka kutoka mbinguni? 43Basi Yesu akajibu, akawaambia, Msinung’unike ninyi kwa ninyi. 44Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho. 45Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu. 46Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba. 47Amin, amin, nawaambia, Yeye aaminiye yuna uzima wa milele. 48Mimi ndimi chakula cha uzima. 49Baba zenu waliila mana jangwani; wakafa. 50Hiki ni chakula kishukacho kutoka mbinguni, kwamba mtu akile wala asife. 51Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.
    52 Basi Wayahudi walishindana wao kwa wao wakisema, Awezaje mtu huyu kutupa sisi mwili wake ili tuule? 53Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu. 54Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho. 55Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli. 56Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake. 57Kama vile Baba aliye hai alivyonituma mimi, nami ni hai kwa Baba; kadhalika naye mwenye kunila atakuwa hai kwa mimi. 58Hiki ndicho chakula kishukacho kutoka mbinguni; si kama mababa walivyokula, wakafa; bali akilaye chakula hicho ataishi milele. 59Maneno hayo aliyasema katika sinagogi, alipokuwa akifundisha, huko Kapernaumu.
    Maneno ya Uzima wa Milele
    60Basi watu wengi miongoni mwa wanafunzi wake waliposikia, walisema, Neno hili ni gumu, ni nani awezaye kulisikia? 61Naye Yesu akafahamu nafsini mwake ya kuwa wanafunzi wake wanalinung’unikia neno hilo, akawaambia, Je! Neno hili linawakwaza? 62Itakuwaje basi, mmwonapo Mwana wa Adamu akipaa huko alikokuwako kwanza? 63Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima. 64Lakini kuna wengine miongoni mwenu wasioamini. Kwa maana Yesu alijua tangu mwanzo ni nani wasioamini, naye ni nani atakayemsaliti. 65Akasema, Kwa sababu hiyo nimewaambia ya kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.
    66Kwa ajili ya hayo wengi miongoni mwa wanafunzi wake wakarejea nyuma, wasiandamane naye tena. 67Basi Yesu akawaambia wale Thenashara, Je! Ninyi nanyi mwataka kuondoka? 68Basi Simoni Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. 69Nasi tumesadiki, tena tumejua, ya kuwa wewe ndiwe Mtakatifu wa Mungu. 70Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani? 71Alimnena Yuda, mwana wa Simoni Iskariote; maana huyo ndiye atakayemsaliti; naye ni mmojawapo wa wale Thenashara.

  • @SharongudaRN-BsN
    @SharongudaRN-BsN 3 года назад +3

    Gang ♥️

  • @buzzkay_ke244
    @buzzkay_ke244 3 года назад

    Biriani Mr yuwaila kama sima 🤣

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Hehe umeona eeee

  • @mrsawadh5716
    @mrsawadh5716 3 года назад +3

    Mpka nimetamani😭

  • @shamsaamos3130
    @shamsaamos3130 3 года назад +1

    Umenichekesha na nyimbo. Vyakula vitamu sn

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Hehe sometimes entertainment kidogo

  • @amarulesvlogz9270
    @amarulesvlogz9270 3 года назад

    @Amarure vlogz

  • @eselecrown
    @eselecrown 3 года назад

    How come I wasn't invited? I suspended all of my activities for the day just for your invitation! I am disappointed! Lol.

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Waah next time In Shaa Allah

  • @hamidkarzai6500
    @hamidkarzai6500 3 года назад

    Baada ya hayo palikuwa na sikukuu ya Wayahudi; naye Yesu akakwea kwenda Yerusalemu.
    2Na huko Yerusalemu penye mlango wa kondoo pana birika, iitwayo kwa Kiebrania Bethzatha, nayo ina matao matano. 3Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, nao waliopooza, [wakingoja maji yachemke. 4Kwa maana kuna wakati ambapo malaika hushuka, akaingia katika ile birika, akayatibua maji. Basi yeye aliyeingia wa kwanza baada ya maji kutibuliwa, akapona ugonjwa wote uliokuwa umempata.] 5Na hapa palikuwa na mtu, ambaye amekuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane. 6Yesu alipomwona huyu amelala, naye akijua ya kuwa amekuwa hali hiyo siku nyingi, alimwambia, Wataka kuwa mzima? 7Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, mimi sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; ila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu. 8Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. 9Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
    10 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwambia yule aliyeponywa, Leo ni sabato, wala si halali kwako kujitwika godoro. 11Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima ndiye aliyeniambia, Jitwike godoro lako, uende. 12Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani? 13Lakini yule mtu aliyeponywa hakumjua ni nani; maana Yesu alikuwa amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale. 14Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi. 15Yule mtu akaenda zake, akawapasha habari Wayahudi ya kwamba ni Yesu aliyemfanya kuwa mzima. 16Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato. 17Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. 18Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.
    Mamlaka ya Mwana
    Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia, 19Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile. 20Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, naye humwonyesha yote ayatendayo mwenyewe; hata na kazi kubwa zaidi kuliko hizo atamwonyesha, ili ninyi mpate kustaajabu. 21Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao. 22Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; 23ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyempeleka. 24Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani. 25Amin, amin, nawaambia, Saa inakuja, na sasa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wale waisikiao watakuwa hai. 26Maana kama vile Baba alivyo na uzima nafsini mwake, vivyo hivyo alimpa na Mwana kuwa na uzima nafsini mwake. 27Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu. 28Msistaajabie maneno hayo; kwa maana saa yaja, ambayo watu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake. 29Nao watatoka; wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliotenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu.
    Shuhuda kwa Yesu
    30 Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka. 31Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. 32Yuko mwingine anayenishuhudia; nami najua ya kuwa ushuhuda wake anaonishuhudia ni kweli. 33Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli. 34Lakini mimi siupokei ushuhuda kwa wanadamu; walakini ninasema haya ili ninyi mpate kuokoka. 35Yeye alikuwa taa iwakayo na kung’aa, nanyi mlipenda kuishangilia nuru yake kwa muda. 36Lakini ushuhuda nilio nao mimi ni mkubwa kuliko ule wa Yohana; kwa kuwa zile kazi alizonipa Baba ili nizimalize, kazi hizo zenyewe ninazozitenda, zanishuhudia ya kwamba Baba amenituma. 37Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona. 38Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye. 39Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia. 40Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima. 41Mimi siupokei utukufu kwa wanadamu. 42Walakini nimewajua ninyi ya kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu. 43Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo. 44Mwawezaje kuamini ninyi mnaopokeana utukufu ninyi kwa ninyi, na utukufu ule utokao kwa Mungu aliye wa pekee hamwutafuti? 45Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba; yuko anayewashitaki, ndiye Musa, mnayemtumaini ninyi. 46Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu. 47Lakini msipoyaamini maandiko yake, mtayaamini wapi maneno yangu?

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 года назад

      Sasa bro nashindwa kukuelewa. Ulikua na maana gani kuandika maneno haya yote?

    • @buzzkay_ke244
      @buzzkay_ke244 3 года назад +2

      @@yusufmwangichannel6692 Yaani amenikoroga kweli nasoma sielewi 🤣

    • @maryanomar119
      @maryanomar119 3 года назад +1

      Hii baruwa nzima yakazi gani?

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 года назад

      @@buzzkay_ke244 ni watu wasio jielewa

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 года назад

      @@maryanomar119 labda amekosea alitaka kumuandikia pastor Ng'ang'a

  • @amarulesvlogz9270
    @amarulesvlogz9270 3 года назад

    Hey najma. I really love watching your vlogs I even have my youtube channel plz give me a shout out to your next video thank you

  • @jaihind4601
    @jaihind4601 3 года назад

    Where do you stay najma ..
    Is this likoni area

  • @sadaakiba4291
    @sadaakiba4291 3 года назад

    Najma mm nataka hizo nguo ntapata vp mamy plz nko na watoto wawili wakike nataka wabadilishe muonekano

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Please niinbox ig kwa _najmaali_

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      Follow us on ig at najmasfashionworld

    • @sadaakiba4291
      @sadaakiba4291 3 года назад

      @@najmaali 😂😂😂😂ig ni wap uko najma

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      @@sadaakiba4291 instagram

    • @najmaali
      @najmaali  3 года назад

      chat.whatsapp.com/KOiR2sPDHTq3asiLOtAeHj use that link