Hakika nchi yetu inajengeka kweli kweli kwa miradi ya kimkkati...Halafu ...daaa..watu fulani wanasema Magifuli hafai ...Aiseee...binadamu tumetofautiana sana...ijapokuwa kwa muonekano wa nje tunafanana......Hii kazi inayofanyika ni kazi nzito sana sana... Ahsante brother Kabale..iLa umeadimika sana...nimekupekua pekuaaa..ndo nimekuja kukuona huku...umejificha sana
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
kipindi chenu ni kibaya.sisi tunataka kuona mambo mbalimbali ambyo yameshafanyia mpaka muda huu ktk mradi,ni hatua zipi tayari zimeshafanyika,siyo mtu anakaa anaeleza maneno yake mwanzo mpaka mwisho..maana kama ni faida za mradi hakuna asiyezijua.igeni kutoka katika reli tv jinsi ben monantara anavyo anda vipindi kuhusu mradi wa sgr.
Asante kwa ushauri, hiyo ni Makala maalum na inaeleza hatua za utekelezaji, iwapo unafuatilia inaeleza hatua muhimu ya utekelezaji wa mradi ni kukamilika kwa handaki la kuchepusha maji
Hakika nchi yetu inajengeka kweli kweli kwa miradi ya kimkkati...Halafu ...daaa..watu fulani wanasema Magifuli hafai ...Aiseee...binadamu tumetofautiana sana...ijapokuwa kwa muonekano wa nje tunafanana......Hii kazi inayofanyika ni kazi nzito sana sana...
Ahsante brother Kabale..iLa umeadimika sana...nimekupekua pekuaaa..ndo nimekuja kukuona huku...umejificha sana
Tanesco kazi iendelee hakika mkisubutu mtaweza
Asante kwa kipindi hiki kwa kipindi hiki kwa wote mlio andaa makala hii,kwakweli ujenzi unasonga mbele ,Mungu awape afya njema nyote mmalize salama.
Pro futuro aedificamus
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
Jpm hongera sana
Thank you Arab contractors
Egyptian Tanzanian ties developed,and alot of projects in the future
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Mnajaza lini bwawa?
Safi Sana Utekelezaji Unaendelea Vizuri,
Vipi miundombinu ya usafirishaji huo umeme? inajegwa lini?
Vipnd. Kama. Iv. Viruke. Mara. Kwa mara. Kwenye. Television. Watu. Waone. Maendeleoo
MPIGIENI JPM KESHO
Onesheni matukio si maneno maneno
kipindi chenu ni kibaya.sisi tunataka kuona mambo mbalimbali ambyo yameshafanyia mpaka muda huu ktk mradi,ni hatua zipi tayari zimeshafanyika,siyo mtu anakaa anaeleza maneno yake mwanzo mpaka mwisho..maana kama ni faida za mradi hakuna asiyezijua.igeni kutoka katika reli tv jinsi ben monantara anavyo anda vipindi kuhusu mradi wa sgr.
Asante kwa ushauri, hiyo ni Makala maalum na inaeleza hatua za utekelezaji, iwapo unafuatilia inaeleza hatua muhimu ya utekelezaji wa mradi ni kukamilika kwa handaki la kuchepusha maji
@@umemeforum achaneni naye anachuķi zake binafsi kwa kuwa anayehoji ni mtangazaji wa tbc
@@umemeforum kwan nn hahaelewa hapo
Acha chuki zako wewe picha inasaidia nini bila maelezo?
@@KUTOKA-ep2fk Dishulake limeyumba2😅🐍mrudisheni shule