MC ALGER NA CS CONSTANTINE WASHUKA AIRPORT NA NDEGE MOJA/ MC ALGER WAMSAHAU MCHEZAJI WAO AIRPORT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 38

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 13 дней назад +4

    Hii mechi siyo rahisi kwetu YANGA lkn tutapambana kuhakikisha tunapata point 3 mhimu na kufuzu kwenda robo fainali.

  • @mabrou3646
    @mabrou3646 12 дней назад

    Rafiki zangu wa Dar Essalam !!!
    Tunawapenda ila tutajaribu kukuongezea likizo.
    MOULOUDIA milele 👍⚽️✌️

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 13 дней назад +4

    Hata wasipo ongea kipigo kipo pale pale. Karai la moto Benjamin Mkapa litamkaanga mtu

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 12 дней назад +1

    Mechi ishaisha kabisa

  • @godmbise-gj9ug
    @godmbise-gj9ug 12 дней назад

    Dar es salaam City is so busy now

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 12 дней назад

    Watapigwa kama ngoma

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 12 дней назад

    Mm nataman wafungwe wote

  • @AishaMshamu
    @AishaMshamu 12 дней назад +1

    Km wamekuja ndenge moja na wakipokea kichapo wote walili wasubirian waondke siku moja

  • @Tarent-o8f
    @Tarent-o8f 12 дней назад +1

    Afu waandishi wa bongo ndo wanashobo

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 12 дней назад +1

    Wacha waje kwa mafungu mafungu ivyo ivyo kama kumbikumbi😅

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 13 дней назад +2

    Yanga wataweka dw

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 12 дней назад

      Ili jibu miuchawi kama yote😂😂😂

  • @SamiaMakope
    @SamiaMakope 12 дней назад +2

    Kwen simba washahanza bakuli ahaaaa wacha bhana wee

    • @abdallahluhinda
      @abdallahluhinda 12 дней назад +1

      Huu ni msiba wetu,michango ni yetu pia hatujaomba omba makampuni wala wadhamini kwa yoyote fala wee.

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 12 дней назад

    Jamaa Hawana ushamba sio Simba na Yanga eti hawawezi kupanda Ndege Moja sababu............

    • @Sanjey-vp1fm
      @Sanjey-vp1fm 11 дней назад

      Bora ukae kimya kama hujui chochote, HAWA SIO WAPINZANI KAMA SIMBA NA YANGA, simba ingekuwa wasafiri na kmc au timu nyengine iyo yanga wasingekataa ha yanga hivyo hivyo, kwaiyo tofautisha hivyo.

  • @AdolfMhando-b9p
    @AdolfMhando-b9p 12 дней назад

    Kwa jinsi anavyo ongea kamwe mechi imeisha tayar namuamin kamwe na mwalimu walisema simba haendi robo na kwel hawajaenda,simba walichofanikiwa kukusanya point tu

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 12 дней назад

    Warudi ivyo ivyo pamoja😆

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 12 дней назад

    Wewe mwongo timu hizo hazitoki nchi moja.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 13 дней назад +1

    Unawapokea ww acha ufala waandishi mchoko

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 12 дней назад

    Mpira sio uadui

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 13 дней назад

    Khaa hawa ni koko kabisa mi ningeshauri hata waandishi wetu wasingeenda kuwapokea

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 12 дней назад

      Waandishi wanatafuta habari ili wapate kuuza

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 12 дней назад

    Nanyie mmezd achanen nao

  • @Chunja-m2g
    @Chunja-m2g 12 дней назад

    Na wasubiliane warudi hvohvo

  • @AbelShija-v1o
    @AbelShija-v1o 12 дней назад

    Kumbe zograna yupo chukueni hyo bechi la ufundi yañga

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 12 дней назад

    Na nyie waandishi wapuuzi, mnalazimisha kuwahoji wa nini?

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 13 дней назад

    Simba watafanya lini mazoezi na kostantini?nauliza jmn

    • @BarikiOmbay-i6q
      @BarikiOmbay-i6q 12 дней назад

      Mazoez gan au mechi huna elimu inaonekana wewe yanga

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 12 дней назад

    MCA...msithubutu kuingia vyumbani maana utopo nyoko sana kwa kupuliza upupu😅😅

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 12 дней назад

      Kwa hiyo Simba, anavyofungwa na Yanga anapuliziwa upupu?

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 12 дней назад

      Umemjibu vema huyu mpuuzi. Mechi nne mtawalia mnafungwa. ​@@lukomanomaliki5442

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania 12 дней назад

      ​@@lukomanomaliki5442 ndy

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 12 дней назад

      Wanahonga Akina koyoko na njaa zao😂​@@lukomanomaliki5442

    • @jasminekungulilo4063
      @jasminekungulilo4063 12 дней назад

      Kabisa na sio upupu na kuwanunua kina Kayoko​@@lukomanomaliki5442

  • @AmosiwelnelNgonyani-q8o
    @AmosiwelnelNgonyani-q8o 13 дней назад

    Mmmmmmmmmmmmh wapambane