Singah - Somebody [Official Video] ft. Alikiba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 фев 2021
  • Singah is here with another interesting video! 'Somebody' ft. Alikiba.
    Enjoy the tune, visuals, and sing along.
    Watch, Share and Comment.
    Curated by www.freemedigital.com
    vevo.ly/vodTyK
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 4,8 тыс.

  • @kingshata6370
    @kingshata6370 3 года назад +715

    Team kiba tuliopo Nigeria tujuane kwa like nyingi

  • @arrickofficial
    @arrickofficial 3 года назад +166

    Eeeeebu Team Kiba tuache utani ,Hivi huyo do go singah anakosaje kuingia trending kwa Tanzania wakati sis tupo apa?? Kazi imebaki kwentu ! Twenzao
    Kama unakubariana na mm gonga like alafu tufanye kazi pamoja

    • @khadjasaid621
      @khadjasaid621 3 года назад +3

      Ngoma Kali sana

    • @elardmadeez3382
      @elardmadeez3382 3 года назад +1

      Ngoma kaliii Sana Ila TeamKiba Huwa tunapenda ngoma ikitoka Tudownload kazininaishia hapobila si kueaport Kazi za King's

    • @francesfelician7503
      @francesfelician7503 3 года назад +1

      Brother tuna jitahidi nalazima ifike

    • @kibangahassan8684
      @kibangahassan8684 3 года назад +3

      yani ingekuwa katk account ya king kiba

    • @funniestAxel
      @funniestAxel 3 года назад

      m.ruclips.net/video/gRZHPNODMDo/видео.html

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 3 года назад +290

    Hii English ya Alikiba tuipe like hata 21 zinatosha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @langxshaba7186
    @langxshaba7186 3 года назад +7

    iih ngoma kadri sku inavyo zdi ndo inazdi kua kubwa kwann.?

  • @bennyboy9847
    @bennyboy9847 3 года назад +576

    Kama umekubal song like hapa

    • @stadipesa4118
      @stadipesa4118 3 года назад +1

      Nakubari sana king of bongo frevar_+255. Yoooooooooooh

    • @johnamos7484
      @johnamos7484 3 года назад

      Salute kwa king

    • @funniestAxel
      @funniestAxel 3 года назад

      m.ruclips.net/video/gRZHPNODMDo/видео.html

    • @gloriaako7225
      @gloriaako7225 3 года назад

      Kali kinyamaa ❤️❤️

    • @dullatembo8302
      @dullatembo8302 3 года назад

      Nakubali bro kazi nzuri

  • @richguardian1286
    @richguardian1286 3 года назад +538

    Jaman na mimi naombeni like bas hata 10 tu🙈🙈🙈

  • @emmakangalawe1946
    @emmakangalawe1946 2 года назад +5

    Alikiba nouma sana burudani kwa wote naomba like sijawahi kupewa

  • @ismytime2009
    @ismytime2009 3 года назад +3

    The real voice king kiba kama ngoma yako sio kwa sifa izo

  • @johjohns4021
    @johjohns4021 3 года назад +63

    Kama umegundua ALIKIBA anaubaka mziki gonga like twende sawa +255😁😁

    • @dannyelias382
      @dannyelias382 3 года назад

      Kivip

    • @charitythegolden729
      @charitythegolden729 3 года назад +1

      Hawezi kubaka, mziki unakubali wenyewe, unavua nguo wenyewe.... Wala habaki

    • @johjohns4021
      @johjohns4021 3 года назад

      @@charitythegolden729 😁😁😁😁

    • @supertallone1902
      @supertallone1902 3 года назад +1

      You😂😂😂😂😂

    • @johjohns4021
      @johjohns4021 3 года назад

      @@supertallone1902 mshenz anajua laaa😄😄😄

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER 3 года назад +201

    Yani ALIKIBA bwana sikutegemea jaman
    Mimi binafsi acha niseme kaka upo level isio kuwa nahesabu
    Bac like zenu tu kwawapendao mziki mzuri

    • @naybyz4892
      @naybyz4892 3 года назад +6

      Kweli kabisa yani kingkiba ni balaaaa aisee anajua mpaka anakera

    • @jasonyderulos1810
      @jasonyderulos1810 3 года назад +5

      We kina fundi sana Tanzania kiba ndomusani anaaejua kuimba

    • @SNOBPHOTOGRAPHER
      @SNOBPHOTOGRAPHER 3 года назад +2

      Acha kabisa

    • @funniestAxel
      @funniestAxel 3 года назад +1

      m.ruclips.net/video/gRZHPNODMDo/видео.html

    • @supertallone1902
      @supertallone1902 3 года назад +1

      Tegemea chochote maana ad kurap anajua😍😍Everybody waiting for his 3rd Album🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶👑🎶👑💖💖

  • @officialmobbytz4428
    @officialmobbytz4428 3 года назад +23

    Kama imeikubali hii ngoma tukutane hapa kwa like👍👍👍👍👍

  • @lJuliettetar9878
    @lJuliettetar9878 Месяц назад +67

    ✨ a u t h e n t I c v i e w s ✨ dun took Singah oFf 2 da big leagues and fo dat I will always be super grateful

  • @davidnombo8239
    @davidnombo8239 3 года назад +61

    Kiba ukimshirikisha anakuaibisha embu chek kingeleza alichopita nacho umo king ni mmoja tu wengine washindane na zuchu team.kiba tujuane kwa like ata kumi tu

    • @elardmadeez3382
      @elardmadeez3382 3 года назад

      Noma saana huyu MFALME

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 года назад

      Alikiba mziki wake bado anaimbia watoto hata ukisikia anachokiimba

    • @gloriaako7225
      @gloriaako7225 3 года назад

      Kali

    • @davidnombo8239
      @davidnombo8239 3 года назад +1

      @@afterfull-time1348 ona chawi ili unatak usikie nizame lungu au kha ebu ntokee uko mmezoea matus itakuwa ulikimbia shule ww ujaskia ngel aliyoimba ww pek ako umesema ivyo nenda kasikilize matusi yenu uku akukuhusu pumbavu

    • @davidnombo8239
      @davidnombo8239 3 года назад

      @@afterfull-time1348 watot naondy anaesema yesa yesa yesa yeee msanii mkubwa unaimba pumba kwendraaaaa umuelew sis tunamuelewa we vip

  • @simonmachibya5077
    @simonmachibya5077 3 года назад +87

    KING KIBA mko wapi siwaoniiiii, weka like TWENDE SAWA

  • @GraceMedia
    @GraceMedia 3 года назад +68

    Just look at the message.... "WHEN I LOOK IN THE MIRROR I SEE YOU" ooh my God..... I REALLY NEED SOMEBODY ....hit the like for #Gmedia

    • @marthasimwanza6383
      @marthasimwanza6383 3 года назад +2

      I feel you , inside my heart 💓 girl. Everybody!! Everybody need somebody, just to be Happy 😊

  • @moudy4realibrahim601
    @moudy4realibrahim601 3 года назад +5

    From Somaliland namkubali sana king kiba 💯💯 nyimbo kali sanaaa

  • @dogokiba9873
    @dogokiba9873 3 года назад +304

    Jamani kumbe!! ,Moto🔥 🔥🔥Usha waka me Nimechelewa jaman like Hata 50' tu Zinatosha ....Alafu bado Album ipo jiani Yani Mambo Ni shega shega!Nakama unaamini Kabsa Alikiba ndo number 1.Tz🇹🇿 Ngonga like Ili tuweze kwenda Sawa sawa

  • @uledyprosper2414
    @uledyprosper2414 3 года назад +20

    Aise sijawai kua mshabik kwa king Ila kwa ngom hii naomben like zenu

  • @geosanrecords5342
    @geosanrecords5342 3 года назад +3

    best song 2021, wap team kiba gonga like hapa

  • @allybrown5523
    @allybrown5523 Год назад +4

    Ali kiba number 1 in tanzania when you talk about to sing

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato 3 года назад +231

    Sipo tayari kuhama Team Kiba like zenu zihusike tafadhali

  • @josephemmanuel9009
    @josephemmanuel9009 3 года назад +55

    Alikiba fundiiiiiiii💪🔥🔥🔥🔥🔥 naomba like tano tuu.

  • @salumuolivier8404
    @salumuolivier8404 3 года назад +4

    King kiba🔥🔥🔥🔥 wapi like za wa congomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @daudilwena4514
    @daudilwena4514 2 года назад +2

    Genius Alikiba from 255 (TANZANIA) Wewe ni mwalimu wa mziki Tanzania

  • @benardfrank6432
    @benardfrank6432 3 года назад +171

    Jamani wa4 kucoment jamani naombeni japo like 100 namimi nitambe jamani wana king

  • @abdilahabdallah5659
    @abdilahabdallah5659 3 года назад +35

    Chama cha wasoma comment Tanzania (CHAWACOTA) like hapa

  • @davidjumanne9950
    @davidjumanne9950 3 года назад +5

    Can I see like for those who were waiting for this song to reach 1M viewers

  • @iasminabodin5661
    @iasminabodin5661 3 года назад +3

    Gretings from Romania.🔥

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 года назад +17

    Kama umegundua kuwa singer kafunikwa humu ndan gonga like twende saw

  • @markonline1812
    @markonline1812 3 года назад +119

    LIKES 20 TU ZINATOSHA NATAKA TUJUE TEAM KIBA WANGAP TUPO PAMOJA HUKU
    👆👆LIKE& COMMENTS

  • @tumutiger6089
    @tumutiger6089 3 года назад +4

    Singah fundi naqubali san

  • @omarimbusa3936
    @omarimbusa3936 3 года назад +2

    Kiba kama king kiba yeeeeeeeeebaba 👑🇹🇿💥💥🔥👍👍

  • @nicewilliams5255
    @nicewilliams5255 3 года назад +33

    Wale walikuwa wanangja verse ya king gonga likr

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 3 года назад +501

    Ooooi team Kiba naombeni tumshawishi king aturetee King's FM and King's TV nasi tuinjoy maana upande wa pili wanatamba sanaa mediocre aaaah ,,,Kama wazo langu lipo sahihi like nyingi hapa

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 3 года назад +7

      Usijali vipo njiani vinakuja soon

    • @jasminejuma4375
      @jasminejuma4375 3 года назад +2

      Usijali itakuwepo

    • @onkaboy1391
      @onkaboy1391 3 года назад +1

      Very soon

    • @jameskenzedex
      @jameskenzedex 3 года назад +4

      King Kiba ssi hufanya vitu na wakati mwafaka hatuna papara kama wenzetu hii n safari ya maulana na vipo njiani vinakuja..... Kings forever for life

    • @JuniorTechs
      @JuniorTechs 3 года назад +1

      @@alicenice1711 Mambo

  • @Rey_D669
    @Rey_D669 7 месяцев назад +2

    First off all, nyimbo inavo Start bonge la beat, respect kwako produce we nimkal sanaaa

  • @littleboss3428
    @littleboss3428 3 года назад +1

    Nakubaliana kabisa na king music tour iliyofanyika ni zaidi yao, king big up bro

  • @salumujusa1970
    @salumujusa1970 3 года назад +40

    Kumamamae Kiba Umeuwa kinomaaa jamaa umemficha kinomaaa hivi ww ni mtu gan kweli wewe ni jenius 🙌

    • @ismailferouz9534
      @ismailferouz9534 3 года назад +3

      Njia zake litakufa jitu

    • @kherryserera9451
      @kherryserera9451 3 года назад +2

      yoooooooooooh

    • @jeccaonline7755
      @jeccaonline7755 3 года назад +2

      Yaa kapita hicho kizungu 😂 ila wamembania baha jamaa mjanja angejidharau 😂😂😂

    • @naybyz4892
      @naybyz4892 3 года назад +2

      Huyu kingkiba anaimba raha hadi anakera yani Maraha jaman

    • @hasanmuhamed8816
      @hasanmuhamed8816 3 года назад +1

      Hahaha Sasa mbona matusi

  • @jukaboytz4400
    @jukaboytz4400 3 года назад +32

    Nimerudi kucoment nahsi bando langu litaisha kwa ngoma moja hii hiii kiba nimtu mbaya sana

  • @lovenessrobert9815
    @lovenessrobert9815 3 года назад +1

    Domo Kama namuona alivyolegeza Domo huko king,🤴🤴🤴

  • @mwandjammbandoci1029
    @mwandjammbandoci1029 3 года назад +145

    Team kiba mko kimya sana, ebu dondosha like apa ili tujuwane idadi kama tuko wangapi👍

  • @alvinalfredy3696
    @alvinalfredy3696 3 года назад +55

    Hazina Ya Taifa letu Alikiba Watanzania Tuitunze azina hii tuliyo pewa na Mungu kwaajili ya kutupa furaha

  • @nellytz8823
    @nellytz8823 3 года назад +32

    Wanao ona kuw hii ngom cku zijaz itakuw kubwa san weka like hap

  • @marcopolcwaggmaster144
    @marcopolcwaggmaster144 3 года назад +1

    Ngoma kali mzee tuache unafki ngoma 🔥🔥🔥👍👍

  • @youngkingbaddmankiller3006
    @youngkingbaddmankiller3006 3 года назад +258

    Team kiba wote let’s gather apa kwa ma likes ❤️🇺🇸

  • @hoseadante5658
    @hoseadante5658 3 года назад +46

    Team Kiba wakwanza hapa

  • @rougheckrig2236
    @rougheckrig2236 3 года назад +1

    Alikiba ni motofaya 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rubenitasoares6017
    @rubenitasoares6017 Год назад +4

    Beautiful sog!!💛💚😍

  • @Razkenya001
    @Razkenya001 3 года назад +11

    Watu wangu wa kenya 🇰🇪 tujuanie hapa ..we all need #Somebody 🔥

  • @Vanisikaka
    @Vanisikaka 3 года назад +26

    Kiba apewe Ulinzi jaman, like yako ndio itamlinda👍🏾 gonga like bila huruma

    • @lovelygirl5321
      @lovelygirl5321 3 года назад +2

      legend ambae ukimskiliza utadhani ni mwanamziki mpaya hauchoki kumskiliza

    • @lovelygirl5321
      @lovelygirl5321 3 года назад +1

      video reaction tayari ushafanya ama bado

    • @mackmillammila6957
      @mackmillammila6957 3 года назад +2

      Reaction pliziiiiiiiiii

    • @tanzaniavegancommunitysupp2918
      @tanzaniavegancommunitysupp2918 3 года назад +1

      Hahhhhhh mzeee naona uzalendo umekushindaaa....... Here we goooo!!!! Another reaction

    • @jaycalliam100
      @jaycalliam100 3 года назад +2

      Nimependa reaction ulivo rudia rudia part ya kingkiba 👑🇰🇪 represent

  • @kingsdramakorea6673
    @kingsdramakorea6673 3 года назад +2

    From tanzania mko wapi

  • @shazzywakingsmusic8672
    @shazzywakingsmusic8672 3 года назад +21

    Kingkiba 👑

  • @khadijakhadija8482
    @khadijakhadija8482 3 года назад +90

    Team kiba wa omani dubai Qatar tujuane km umelikubali ngoma la taifa💯💣🧡🧡Singah ft Alikiba 🤴🤴

  • @lexihkitchen750
    @lexihkitchen750 3 года назад +51

    Nipewe like kumi za Alikiba tukisonga🔥🔥🔥🔥

  • @rockypaul9651
    @rockypaul9651 3 года назад +16

    Huu wimbo unatakiwa ufkishe viewers zaidi ya 5M per week kwa jinsi ulivyo classic

  • @thabitathuman4450
    @thabitathuman4450 3 года назад +2

    Nyimbo nzur salut kwenu💪💪

  • @abdulabdallah9688
    @abdulabdallah9688 3 года назад +110

    Kama umesikia kiji ladha cha usiniseme kama napenda kula sauti yake gonga like

  • @mwijumamumini3986
    @mwijumamumini3986 3 года назад +35

    Kama umekuja kwa sababu ya fundi King kiba like hapa

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 Год назад +3

    Team kiba blood fance 2023

  • @theoneclever940
    @theoneclever940 2 года назад +2

    Vocal of king kiba always are very sweet" just try to listen on him i hope you will enjoy all the way from 254

  • @mwaafricahalisi8748
    @mwaafricahalisi8748 3 года назад +56

    Mashabiki wa #Alikiba niachieni like kama tunapendana

  • @omarimbusa3936
    @omarimbusa3936 3 года назад +166

    Hii ngoma naomba like za t.z na Kenya Pia Nigeria

  • @stephanieshepherdson2468
    @stephanieshepherdson2468 2 года назад +4

    I traveled all the way to 🇩🇴 to find my somebody and we are gonna get married this year ❤️🌹 it's a blessing when you find that special someone to love and to love you in return..everyone deserves that 🥰

  • @immamk678
    @immamk678 3 года назад +2

    I need the like from every country for this song pleas

  • @Ng_muscat
    @Ng_muscat 3 года назад +30

    Kwa kweli muacheni ali aitwe ali Teamkiba like hapa

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 3 года назад +153

    Tunaorudia ngoma mara kwa mara huku tukisubl verse ya KINGKIBA tujuane hapa

  • @wajombatz1482
    @wajombatz1482 3 года назад +8

    West and East African

  • @Lincy1
    @Lincy1 3 года назад +3

    💥💥💥

  • @swaggagamingtv6841
    @swaggagamingtv6841 3 года назад +328

    Team kibaa tujuane👑👑👑👑

  • @lesgant4634
    @lesgant4634 3 года назад +232

    Walikua wanasilikiza wimbo huku wakisoma comments tujuane

    • @hafsamadeni216
      @hafsamadeni216 3 года назад +3

      Mi apa asee

    • @gloriaako7225
      @gloriaako7225 3 года назад

      Tupo

    • @gabmichael8546
      @gabmichael8546 3 года назад +1

      When things were at their very worst:
      2 Suns, Cross in the sky, 2 comets will collide = don`t be afraid - repent, accept Lord`s Hand of Mercy.
      The first sign - the Earth will spin faster.
      The second sign concerns the sun, which will loom larger, brighter and begin to spin.
      Scientists will say it was a global illusion.
      Beaware - Jesus will never walk in flesh again.
      After WW3 - rise of the “ man of peace“ from the East = Antichrist - the most powerful, popular, charismatic and influential leader of all time. Many miracles will be attributed to him. He will imitate Jesus in every conceivable way.
      Don`t trust „pope“ Francis = the False Prophet
      - will seem to rise from the dead
      - will unite all Christian Churches and all Religions as one.
      One World Religion = the seat of the Antichrist.
      Benedict XVI is the last true pope - will be accused of a crime of which he is totally innocent.
      - banking collapse was deliberately masterminded by the Antichrist
      - Antichrist will step in and create a false peace in the state of Israel by joining them with palestine in an unlikely alliance.
      - „He will recite extracts from My Teachings, which he will passionately proclaim from every secular stage in the world, until people sit up and take notice of him.“
      The Book of Truth
      mdmlastprophet.com/when-i-come-as-the-king-of-mercy-not-one-soul-will-be-left-in-any-doubt-as-to-who-i-am-and-what-i-am/
      mdmlastprophet.com/arab-uprising-will-spark-global-unrest-italy-will-trigger-fall-out/

    • @nurdinichande3837
      @nurdinichande3837 3 года назад +1

      @@gabmichael8546 Mimi

    • @nurdinichande3837
      @nurdinichande3837 3 года назад

      @@hafsamadeni216 Mm Apa

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 года назад +77

    The song has good Vibe, Walevi tunaenjoy sana Bar😂😂

  • @elsonkingtz4506
    @elsonkingtz4506 3 года назад +5

    King kiba is dangerous

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 года назад +36

    Safi our KING2👑safi singa love them.from

  • @cadarclever4224
    @cadarclever4224 3 года назад +75

    Wale wanaoona Alikiba kamfunika huyu Jamaa Like hapa

  • @winnieballer2023
    @winnieballer2023 2 года назад +2

    King kiba sending love from Uzbekistan

  • @berdouce2707
    @berdouce2707 Год назад +3

    Beautiful song

  • @dominicnaomi5425
    @dominicnaomi5425 3 года назад +19

    Nipewe hata like moja jameni at least am one day early

  • @ismailferouz9534
    @ismailferouz9534 3 года назад +214

    KAMA UMEZIELEWA NJIA ZA KING LIKE TAFADHALI

  • @mamanafrica-hp1gj
    @mamanafrica-hp1gj 2 года назад +2

    💯🤪i'm Sénégalaise🇸🇳 too belguim i like it

  • @markmurithi4003
    @markmurithi4003 3 года назад +12

    I need somebody to dance with me to this hit!!!💝💝💝💝

  • @yassirjailan2720
    @yassirjailan2720 3 года назад +39

    team kiba jamaani tupo?
    kama tupo wote weka like usipite bilia kuacha like hapo

  • @willehardkimbi5645
    @willehardkimbi5645 3 года назад +274

    Tunaotizama huku tunafatilia comments tujuane kwa LIKES 😂

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 года назад +1

      😅😅😅😅

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 года назад +1

      ruclips.net/video/mRJCSG50YDA/видео.html

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 3 года назад +1

      😀😀

    • @iamkoko5786
      @iamkoko5786 3 года назад

      ruclips.net/video/wEc8Hxu_GOE/видео.html

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 года назад

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 32: ZAKIA MWENDELEZO.
      ruclips.net/video/QT3zhQdZdG8/видео.html

  • @monster-nh6lh
    @monster-nh6lh 3 года назад +1

    if u listeng ...like tukisonga king kibaa

  • @sharounjavea6087
    @sharounjavea6087 2 года назад +2

    The beat kills it all❤️❤️❤️ king the president of all😍😍

  • @el-brinenakapwan9409
    @el-brinenakapwan9409 3 года назад +21

    Team kiba tuliopo kenya 🇰🇪 likes 👍 sicome kwa wingi

  • @muridiomarynauja7976
    @muridiomarynauja7976 3 года назад +73

    Jaman jaman hta Kama naomba nipate like hta kumi maana si kwa kuuwa huku king Kama king tujuane team kiba

    • @KadarShafi
      @KadarShafi 9 месяцев назад

      😮😮😊😊

  • @kingsleyboniface42
    @kingsleyboniface42 2 года назад +6

    Keep on representing 🇳🇬 Nigeria bro ,hard work pays

  • @esaugelvasi9390
    @esaugelvasi9390 3 года назад +2

    You this is fure🔥

  • @nangasixmshamba
    @nangasixmshamba 3 года назад +27

    King kwenye ubora wake kama umemuelewa gonga like kama 200 hapa

  • @kipusaudaku7792
    @kipusaudaku7792 3 года назад +49

    Team kiba tujuwane APA like18 tu Zina tosha🔥🔥🔥🔥

  • @dianasalimu2542
    @dianasalimu2542 3 года назад

    King kiba utaniuwa jamani nionee huruma mwenzio nyimbo tamu sana 💯💯💯💯❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shazzywakingsmusic8672
    @shazzywakingsmusic8672 3 года назад +6

    Kingkiba 👑👑💯❤️

  • @andsonmwakomana2278
    @andsonmwakomana2278 3 года назад +73

    Mimi WCB lakini mziki mzuri lazma tusapport bonge la ngoma daah

  • @sulleymtown6409
    @sulleymtown6409 3 года назад +15

    Kamaa unaamin ngoma inatembea na inaend namba moja soon weka like yako hapo

  • @karamokobofostrong9275
    @karamokobofostrong9275 2 года назад +7

    Everybody needs somebody since the beginning of the world
    May God bring us the best for life

  • @louishermsen5752
    @louishermsen5752 3 года назад +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 3 года назад +76

    wale team kiba wote nione like zenu hapa tujuane

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 года назад

      ruclips.net/video/BgMGzu78Y88/видео.html

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 года назад

      ruclips.net/video/RfNJF4ZMveM/видео.html

  • @avidiuselias4126
    @avidiuselias4126 3 года назад +14

    Waliorudia Mara mbilimbili huku tunasoma comment twenzetu hapa

  • @nyakwaraboma
    @nyakwaraboma 3 года назад +2

    King kiba🔥🔥🔥🔥

  • @sympieseigiraneza7618
    @sympieseigiraneza7618 3 года назад +5

    Kiba kama Kiba 😍😍😍 every body needs somebody

  • @key-ur5vz
    @key-ur5vz 3 года назад +60

    Wakenya wote tuko uku, likes for our brothers jameni