JOHN HECHE ASHUSHA NONDO NZITO KWA MARA YA KWANZA, AMTWANGA VIKALI WASIRA NA CHALAMILA, AWAPA ONYO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 75

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 2 дня назад +3

    Chadema safi sana. Wakiongea mpaka mwili unasisimuka. Mungu tunaomba kilnde chama hiki 🙏🏽

  • @robertmhikwa8174
    @robertmhikwa8174 3 дня назад +17

    we're behind you guys....our country is on your shoulder ✌

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 3 дня назад +2

      KAENI CHINI, ANDAENI "ROAD MAP" TEKELEZENI KWA MANUFAA YA TAIFA NZIMA

    • @josephatmakaranga
      @josephatmakaranga 3 дня назад

      Sema cham chenu kipo mabegan mwao sio nchi au nchi gani unaiongelea wew.

  • @IDDMWENDO
    @IDDMWENDO День назад

    HECHE nakukubali sana kaka...mungu akulinde na kukusimamie pia

  • @GeorgeManyama
    @GeorgeManyama 3 дня назад +5

    John heche monawetho nakupenda sana kwanzia 2019 wewe ni mwamba

  • @reginaalbert9911
    @reginaalbert9911 2 дня назад

    Nawakubali sana chadema mungu yupo tutafika tu

  • @FrankJuma-i8m
    @FrankJuma-i8m 3 дня назад +9

    Wewe ni kiongozi, hongera sana.

  • @DeborahMgedzi
    @DeborahMgedzi 3 дня назад +3

    Tukazane kukijenga Chama. Mungu Baba Mwenyezi Awe wa Kwanza katika kila tunalolifanya.❤

  • @AlexG-hl7en
    @AlexG-hl7en 3 дня назад +2

    Nakukubali sana

  • @DominickSangu
    @DominickSangu 3 дня назад +2

    Good heche tuko pamoja na nyie sasa❤❤❤

  • @monicawango2343
    @monicawango2343 3 дня назад +7

    Mungu ibariki Tanzania,bariki wote wenye Nia njema na watanzania,

  • @mwikwabematiku379
    @mwikwabematiku379 3 дня назад

    Tunataman kujua sera na vipaumbele vya vyama na sio majibiano sisi hatuna Dora Wala nguvu za kijeshi tunataka kupata mapinduzi ya kweli Kwa amani tukumbuke aman ni kitu muhimu sana kwenye nchi yetu asa sisi wananchi wa chin Kwa sababu Hawa viongozi wetu Huwa tukiandama wewe ukimbia nchi sisi tunafungwa jera ila cha muhimu heche tuonyenye njia sahihi❤❤❤❤❤ tanzania❤❤❤❤❤ chadema

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 дня назад +2

    Safi sana heche nimependa hiyo Tutashulika nyie kiu lalo ulalo.

  • @jonathankizindo2817
    @jonathankizindo2817 3 дня назад +5

    Nakuombea maisha marefu sana. Wewe ni Rais ajae❤

  • @Chimgege
    @Chimgege 3 дня назад

    Bingwa wa misimu yotee ✊🏾Jonh Heche

  • @edwinzakaria1284
    @edwinzakaria1284 3 дня назад +2

    Hatarii sana

  • @FurahaMwambugi
    @FurahaMwambugi 3 дня назад +1

    hawa ndoooo watu nawakubari maisha yangu yote

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 23 часа назад

    Hiyooo

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 3 дня назад +4

    Kwakuwa mna nia njema na taifa letu wapenda mageuzi lazima tutawaunga mkono

  • @godlistenmangowi9328
    @godlistenmangowi9328 3 дня назад +1

    Upo sahihi kiongozi Taifa.

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 3 дня назад

    Ahsante

  • @WebyNgogo-nj3fx
    @WebyNgogo-nj3fx 2 дня назад

    Wahasira aache hasira

  • @godfreymtama
    @godfreymtama 3 дня назад +1

    Kwani Kuna ulazima wa kupigia kura ndani kwanini masanduku ya kura yasiwekwe nje tu tupige kura , i.s democracy

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 3 дня назад +1

    Ni kweli mama Samiaaa unazingua Sana'a hii nchi sio Nchi inavyotakiwa kuendeahwa unazinguaa uteuz unaofanya n isharaa kuwa hiyo ndio kauli yako na umekaaa kimyaaaa unasnap chat

    • @Pendoshayo-o3y
      @Pendoshayo-o3y 3 дня назад +1

      Kuma kweli wew anazingua nin chako kala

  • @AmosMTUNDI-y7y
    @AmosMTUNDI-y7y 3 дня назад

    Nikweli mbwa mzee hafundishiki

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 3 дня назад +1

    mwamba rema nakuona umeuchuna tu bing up sana

  • @KhamisBoss
    @KhamisBoss 3 дня назад +2

    Saf san bro nakukubal san

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 3 дня назад +1

    Huyu ni kiongozi bora

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 дня назад

    Msiongelee huko juu tuuu, njooni chini huku mtusajili sasa.

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 3 дня назад +3

    Ukiangalia kwa undani zaidi utagundua heche ni mkali zaidi kuliko lissu

  • @Pendoshayo-o3y
    @Pendoshayo-o3y 3 дня назад +1

    Nyiee leta mdomo

  • @fadhiliramadhani2402
    @fadhiliramadhani2402 3 дня назад +1

    Mimi naomba sana viongozi wa chadema mnapo ongea tumieni luga yaki swahiili tu

  • @RashidWalia
    @RashidWalia 3 дня назад

    Huyu jamaa😂

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 3 дня назад +2

    ASANTE HECHE NAKUKUBALI NAKUJA KUCHUKUA KADI YANGU NEXT WEEK

  • @karingtonisimwinga122
    @karingtonisimwinga122 3 дня назад +2

    wenye uelewa tupo kwa cdm

  • @MedikoAsenga
    @MedikoAsenga 3 дня назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @brendasamson2086
    @brendasamson2086 2 дня назад

    Wewe Huna jipya hii nchi hatuwezi kuwapa wahuni,nchi hii hamtaingiza ushoga wala uhuni maana huo ndo mpango wenu

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 3 дня назад

    This is the is vsry difficult team hech v tundulisu ccm you have job to Wark remember chadema election it has been worching by deferent ambassador when heche say something they will do it is up to Tanzania police crush chadema but will be big impact in shot time to came on lntanationol community

  • @joycembogo7870
    @joycembogo7870 3 дня назад +1

    Hiyo kauli ya mkuu wa mkoa wa dar ni kauli mbaya Sana,wameshiba madaraka hao hana uchungu na mwanamke aliye mleta duniani

  • @Chunja-m2g
    @Chunja-m2g 3 дня назад +1

    Rais

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 дня назад

    Cama kinacho sapoti ushoga

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 дня назад +1

    Heche tunafaham misimamo yako tunaomba mtupeleke mbele makamanda tuko pamoja

  • @saimonkalihamwe5358
    @saimonkalihamwe5358 2 дня назад

    Mshuke mikoani mtusajili,
    Mpaka kieleweke, ccm mpaka itatoka tu madarakani..

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 3 дня назад

    Comde Heche. Nashindea hadi sasa ni jina gani litamfaa huyu bwana kati ya haya mawili: Steave Biko au Che Guevara. Tundu Lissu hakunipa shida. Yeye ni Thomas Sankara.

  • @NasraMzee-n1y
    @NasraMzee-n1y 3 дня назад

    Uchungu wa kujifungua na simu tuache

  • @DanielVangota
    @DanielVangota 3 дня назад

    Mimi nitakuwa nawe

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 3 дня назад

    >Mwlm. John Heche elimu ya utambuzi inaeleweka!
    >Viongozi CCM kama Wafalme wameshiba hadi kuvimbiwa na kutowajali wananchi walio wengi maskini wa kipato katikati ya nchi tajiri!

  • @ephulaemsengo2816
    @ephulaemsengo2816 3 дня назад

    Kimamae zenu wote chadema

  • @IssaDikson
    @IssaDikson 3 дня назад

    Ire kauri ya mkuu wamkoa wadar kwakweri ire kauri yake nirimuona pumba sanaa kiongozi anaejierewa hawezi kuongea maneno yare tena kwenye mkutano wawatu wenye akiri timamu

  • @RichardLibuma
    @RichardLibuma 3 дня назад

    Mlevi huyu wananchi gani waliofurahi?

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 дня назад

    Atakosa yeyw usingizi,Mzee wasira akose usingizi kwa lipi

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 дня назад

      Mashoga kama wewe huwezi kuelewa choko 😂😂😂😂😂

    • @lufingomwakisambwe-ow4yc
      @lufingomwakisambwe-ow4yc 2 дня назад +1

      kwani wasira ni nani kwenye nchi hii bwege wewe

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 3 дня назад

    Hamna lolote hizo ni siaasa tu

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 3 дня назад

    Acha usenge taja sera zako zionekane kama zinamashiko na uzalendo ktk ichi sio kulalamika lalamuka

    • @gerachtangatya2835
      @gerachtangatya2835 3 дня назад

      Sera ndo hizo hatutaki viongozi ambao hawana maadili

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava 3 дня назад

      Mwislamu mdini na mpumbavu unatetea viongozi wapumbavu

    • @kurwanjonge4586
      @kurwanjonge4586 3 дня назад

      Sera unazojua wewe ni zipi

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 3 дня назад +1

      Acha ujinga wewe unashindwa kuelewa hata kidogo maneno ya uungwana wanayo yafanya akina charamila wwe unayafurahia angekuwa mamako ndo anakuzaa wewe ci ungukufa ucionekane duniani kabisa

  • @theophilmakumbuli
    @theophilmakumbuli 3 дня назад +1

    Sasa unakosea kuongea kiingereza sisi hatujasoma

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 дня назад +4

      Ilaumu ccm iliyo kupa elimu mbovu ya kushindwa hata kujua lugha ya kingereza

    • @ephraimkalanje7105
      @ephraimkalanje7105 3 дня назад +2

      ​@@ramadhanmahongole9293Haswa! Umemjibu vizuri! Ameachwa kuwa mjinga ili aendelee kupumbazwa na kutawaliwa bila shida. Chawa gani wanakuwa na elimu ya kueleweka?

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 дня назад +2

      @@theophilmakumbuli ccm wanataka watu wasijue kingereza waendelee kuwa wajinga ili wawatawale miaka 200

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 3 дня назад +3

      hamna.mkataba wa kiswahili

  • @MasudiAllykeye
    @MasudiAllykeye 3 дня назад

    Nacho kupendeaga hujuwagi tukana watu