UWANJA WAJAA KUMTAZAMA MUFTI MKUBWA DUNIANI MENK, AIMWAGIA SIFA TELE ZANZIBAR RAIS MWINYI ASEMA HAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 188

  • @AbubakarAli-zb7il
    @AbubakarAli-zb7il 3 месяца назад +2

    Mashallah muungu ibariki ZANZIBAR uislamu uzidi kudumu tudumishie amni zaid karibu tena mufti
    Naipenda ZANZIBAR nchu yangu
    ❤❤❤❤❤

  • @AminaOthman-b4f
    @AminaOthman-b4f 3 месяца назад

    Beautiful and powerful lecture, thank you mufti Menk peace and love.🙏❤️

  • @bisawaahmed4533
    @bisawaahmed4533 3 месяца назад +14

    Mashaallah muft anataka afunge rekodi ya kutembea dunia nzima kwaajil ya Allah Allahu akbar

  • @asmahozza8468
    @asmahozza8468 3 месяца назад +12

    Proud to be muslim

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 3 месяца назад +2

    mashallah
    hongera mufti kwa kuzuru zanzibar na asant rais kwa kuongoza mapokezi ya mgeni huyu.

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 3 месяца назад +11

    Takbir Allahuakbaru💪🏾

  • @SalumuKomba
    @SalumuKomba 3 месяца назад +8

    Proud to be Muslim ❤

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 месяца назад +11

    Masha Allah ,upendo wa Kiislam ,Amani itawale Tanzania ,na Duniani Amiin❤❤❤❤😊

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 3 месяца назад +2

    Allah akujaze siha njm/umr mrefu uzidi kueneza neno la haki Duniani inshaAllah !,Shkrn Mufti Menk

  • @ramlamohamed4401
    @ramlamohamed4401 3 месяца назад +10

    Mashalaaa Muft kutufikia kwetu Mungu akupe afya njema na Mwisho mwema

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 месяца назад +4

    Tunataman awe anakuja kila wakat, na pia aje Tanzania bara, Allah amjaalie kheir

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 3 месяца назад +3

    Bismillah Maasha Allah karibu tena Mufti Meck

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 3 месяца назад +1

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @Fatmaahmedi255-p5l
    @Fatmaahmedi255-p5l 3 месяца назад +4

    Masha allah allah akibar allah akuhifadhi

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq 3 месяца назад +11

    Wanauliza zanzibar wanatekwa kweli sasa hili ndo jibu lao allah atuzidishie kwa kila neema aliotujaalia wazanzibar

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 месяца назад +1

    MashaAllah MashaAllah hii ndio zanzibar ilivo sio kutuletea mijitu inayopotosha watoto wetu na makanisa kila kona unasali na mjimbo ya kanisa yanaimba

  • @kayagoAziza-z2c
    @kayagoAziza-z2c 3 месяца назад +2

    Manshallah mufti menk ❤❤

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 месяца назад +9

    Love Zanzibar❤❤❤

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 3 месяца назад +3

    Fantastic ❤

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 3 месяца назад +3

    Ma Sha Allah nàmpenda sana Huyu shekhe jmn kwa jiri ya Allah ❤❤❤❤

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 3 месяца назад +2

    ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ❤

  • @neemaahmada2619
    @neemaahmada2619 3 месяца назад +1

    MASHA ALLAH MASHA ALLAH MASHA ALLAH ALLAHU AKBAR

  • @barrehotel-q5t
    @barrehotel-q5t 3 месяца назад +1

    Mwenyezi mungu akuondoe katika hizo ndoto uliyonayo uje katka dini ya usilamu

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 3 месяца назад +2

    Mashallah Tabarakallah, one umma one family Alhamdulillah.
    ❤ 🕋🌺❤🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺❤️🕋🌺

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 месяца назад +4

    Nampenda sana huy Mufti ❤❤❤ nimependa pia alivyofika Tz

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 3 месяца назад +2

      Hapo ni Zanzibar

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 месяца назад +1

      @@OmerSuley-gl7go hata zanzibar ni Tz

    • @gloryr9497
      @gloryr9497 3 месяца назад

      Kwani Zanzibar ni Kenya lione😏😏au ndio uliruka kipindi darasani​@@OmerSuley-gl7go

    • @Luqman-ed3tu
      @Luqman-ed3tu 3 месяца назад

      Hapo ni zanzibar usijifnye kipofu😅😅

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 месяца назад

      @@Luqman-ed3tu zanzibr ni uganda ni Tz

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 месяца назад +5

    Allahu-akbar

  • @MaryamAhmed-qt5ey
    @MaryamAhmed-qt5ey 3 месяца назад +3

    .alhamdullah nilikuepo

  • @yaredamos7664
    @yaredamos7664 3 месяца назад +3

    Namkubali sana huyu Mufti Menk.

  • @swalehehamza9636
    @swalehehamza9636 3 месяца назад +1

    Mashaallah nampenda sana muft menk

  • @salimashambi7047
    @salimashambi7047 3 месяца назад +4

    Home sweet home ❤

  • @ismail_4_future.
    @ismail_4_future. 3 месяца назад +1

    PROUDLY MUSLIM ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @hawa6052
    @hawa6052 3 месяца назад +2

    Takbir

  • @eliaschimba5152
    @eliaschimba5152 3 месяца назад +1

    Mashallah, she

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 месяца назад +2

    Masha Allah,,,,

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 3 месяца назад

    Mashallah tabaraka llah ❤❤❤❤

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 3 месяца назад +1

    ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ❤

  • @Adija-shimirimana4
    @Adija-shimirimana4 3 месяца назад

    Mashaallah ❤❤❤❤ ❤I 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 месяца назад +2

    Halal tourism is the future for Zanzibar. Not the current form of mass tourism, which is damaging to the culture, religion and environment.

  • @HalimaRamadhan-r3q
    @HalimaRamadhan-r3q 3 месяца назад +1

    Maa shaa Allah Tabaraka Allah

  • @PiliAliUssi
    @PiliAliUssi 3 месяца назад

    Mashaallah tabarakallah

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 3 месяца назад

    MashaAllah mashaAllah

  • @BakariMnefi
    @BakariMnefi 3 месяца назад +2

    Wazanzibar na watanzania

  • @zawadmohamed7785
    @zawadmohamed7785 3 месяца назад

    Maasha Allah

  • @rehemamnatende400
    @rehemamnatende400 3 месяца назад +2

    mashaAllah

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani 3 месяца назад +1

    Hebu nisaidieni mungu ni nani nakafanya nini nielewesheni niki elewa naungana na mungu

  • @hamidaally8350
    @hamidaally8350 3 месяца назад

    Masha Allah❤

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 3 месяца назад +1

    Lukuvi akiona hii. maana anachuki na Wazanzibar na Uislam kwa Ujumla

  • @Azizally-k6l
    @Azizally-k6l 3 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 3 месяца назад +2

    Maashallah, lakini Wanaomuelewa muft hapo ni wachache kwa nn pasingekuwepo na mkalimani

    • @gellah2861
      @gellah2861 3 месяца назад +3

      Alikuwepo baada ya sheikh kuzungumz anatoa tafsir kwa ufupi

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 месяца назад +10

    Mimi mwenyewe namkubali yaani ningekuwepo uko kwa uwezo wa ALLAH ningeudhulia hakika yaani anaongeaga kizungu japo sijui kizungu lakini naelewaga kabisa yaani naelewaga jamani oooh

    • @KhamisFeysal
      @KhamisFeysal 3 месяца назад +2

      Hata mm ningekuwepo ningeenda

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂 HAICHUKUI nafasi ya daktar lkn inatoa wazo zuri sana

    • @Fetty-i1v
      @Fetty-i1v 3 месяца назад +1

      @@KhamisFeysalHata mimi ningejitahid kwenda kwa uezo wa Allah

    • @sadih5333
      @sadih5333 3 месяца назад

      Hata mimi binafsi ningehudhuria, lakini wewe mume wako atakupa ruhusa au unasema tu kua ungeenda.

    • @fetyalmas698
      @fetyalmas698 3 месяца назад +1

      Manshallah

  • @JumaBakari-ld5rr
    @JumaBakari-ld5rr 3 месяца назад +3

    Safi sanaa

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 месяца назад +1

    Huyu ni Mufti wa Zimbabwe

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 3 месяца назад +2

    Sisi Waislamu hatuna Mufti mkubwa Duniani na wala hatuna Sheikh mkubwa duniani.

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 3 месяца назад

    Alhamdulillah

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 3 месяца назад +23

    Mm mkrist ila uyu Sheee nakubali sana Allah akupe maisha marefu ikikupendeza njoo kwa Yesu aliye hai akupe uwokovu wa milele, naomba waslam msinitukane mimi mwenyew namkubali ili akija kwa yesu atakuwa vzr zaidi

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 3 месяца назад +31

      Wewe ndio uwe karibu na Yesu mbona waislam wanamkubali yesu na ni mwislam mwenzetu

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 3 месяца назад +12

      Kweli unachekesha hata nafsi yako inakusuta kwa unayosema sheikh aje kwa yesu wakati uislamu unamjua na kumlezea yesu kuhusu ukristo

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 3 месяца назад +17

      Karibu kwa uislam umjue vizuri yesu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 месяца назад +10

      Yaani aje kwa Yesu, aje kuabudu binadam.

    • @KassimNassor-x5p
      @KassimNassor-x5p 3 месяца назад +12

      Uyo shehe kuja kweny ukiristo usahau namuomb allh akuzindue katik uwo usingiz mzito ulokua nao akuongoz katik njia iliyonyooka

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 месяца назад

    Hapo kwenye headline kumtazama! Bora ingelikuwa kumsikiliza

  • @zabibubashiri3034
    @zabibubashiri3034 3 месяца назад +2

    Mashaa Allah Alhamdulillah Rabilalamin

  • @SakinaKimbulu-m4y
    @SakinaKimbulu-m4y 3 месяца назад

    Mashallah ❤

  • @zabibubashiri3034
    @zabibubashiri3034 3 месяца назад

    Mashaa Allah

  • @KhalfanSaid-v1h
    @KhalfanSaid-v1h 3 месяца назад

    Our quality performance day in ZANZIBAR....

  • @yusufismail3116
    @yusufismail3116 3 месяца назад +11

    Millard hiyo Heading siyo sahihi. Hakuna mufti mkubwa duniani katika uislamu. Umepotosha. Kiongozi wa Dunia alikuwa Mtume Muhammad ( S.A.S) katika dini yeti ya kiislamu.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 месяца назад

      Na wew ni S.A.W not hivi S.A.S

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂 karuka mkojo kakanyaga mavi

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 3 месяца назад +1

      Sisi kati ka uislam hatuna papa huyo ni mufti wa saudiya

    • @suleimanmohammed5344
      @suleimanmohammed5344 3 месяца назад

      ​@@qwerqasd8597saudia imeingiaje kwani menk anatoka saudia?

    • @Fetty-i1v
      @Fetty-i1v 3 месяца назад +2

      @@qwerqasd8597Mufti wa Saudia au wa Zimbabwe?

  • @SalumuKomba
    @SalumuKomba 3 месяца назад +4

    Katika uislaam Hakuna muft mkubwa wala mdogo wote ni sawa tu...

  • @moddy8744
    @moddy8744 3 месяца назад

    Mashallah

  • @RamonGichero
    @RamonGichero 3 месяца назад

    Waislamu wekezeni kwenye Elimu misikiti tunayo mingi inatosha

  • @abdullaabdulla8485
    @abdullaabdulla8485 3 месяца назад

    simple english kufaham hauhitaji nguvu kubwa kuckiliza raha sana

  • @KhalfanSaid-v1h
    @KhalfanSaid-v1h 3 месяца назад

    Mimi nakuomba Yarabbi ijaalie TANZANIA BARA iwe mikono Salama kwako kwani,watu kupotea,kutekwa, kuuwawa IMEKUWA NIKIKWAZO kikubwa,Hadi NDUGU yetu RAIS SAMIA Anaitwa MUUWAJI, Namimi naamini hawezi kufanya hivyo, Allah tulindende,na Uwalinde,RAIS Dkt SAMIA na Dkt Hussein Mwinyi...Aaaaaamin...

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 3 месяца назад

    Asalam aleikum all, welcome Muft Menk

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 3 месяца назад

    Mamia ya waislamu pamoja na wazanzibar na watanzania
    Hahahaaaa
    Vipi hao wazanzibar na watanzania sio waislamu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 месяца назад +1

    Brother eeew 😂😂😂 what's that uwanja?

  • @Barackswai
    @Barackswai 3 месяца назад

    Kwhy akitoka mungu anafata huyu sio kwa waislam lkn

  • @bisawaahmed4533
    @bisawaahmed4533 3 месяца назад +2

    Iv kwann hawakuweka mkalimani jamanii wametunyima uhondo😢😢i

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 месяца назад +2

      Masikin poleni😂😂😂

    • @moahmed7588
      @moahmed7588 3 месяца назад +1

      Wazanzibar wamemuelewa. Kiingereza cha kuskia sio shida sana… kuongea sasa 😅😅😅

    • @bisawaahmed4533
      @bisawaahmed4533 3 месяца назад

      @@hanifa9153 Asante yanii

    • @bisawaahmed4533
      @bisawaahmed4533 3 месяца назад

      @@moahmed7588 tuambie bás amesemaje🥳🥳

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 3 месяца назад

    😂😂wezenu wanatangaza utalii kwkutumia huyu shehe nyee wachkelea huyu shehe anafatiliwa nawatu wenge mon nyee mnazanianatagaza dini

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 месяца назад

    Rabii tuongolee nchi yetu itie barka walinde viongozi wetu wajaalie dini na imani wajaalie huruma tuepushe mifarakano matusi husda hasadi tunakushuku mola kutupa kiongozi anaeihurumia zazibary wenye macho wanaona vipofu hawaoni hata uweoneshe maendeleo

  • @badriabegu2469
    @badriabegu2469 3 месяца назад

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Rmm-h3d
    @Rmm-h3d 3 месяца назад

    Kuna mashaykh wa Dini na Mashaykh wa watu, huyu ni Shaykh wa Watu..!!!

  • @Ahmedseif-l5g
    @Ahmedseif-l5g 3 месяца назад

    hii shughuli mumeiharibu kumshirikisha huyu hussein mwinyi

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 3 месяца назад

    Ngojeni kesho wenye dini kesho wawakosoe😂

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 месяца назад

    Nampend anavyo ongea mimi

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 3 месяца назад

    Shekh menk waeleze wewe sasa sababu sisi wengine hua hawatuelewi kwahio wakumbushe walio sahaulishwa..kwamba wakati ni sasa wakukumbuka

  • @RamonGichero
    @RamonGichero 3 месяца назад

    Answari wa Tanzania hawataki ata smartphones wanasema ni bidaa hii dini inamambo 😮😂

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 3 месяца назад

    Aje na bongo jamani

  • @KhalfanSaid-v1h
    @KhalfanSaid-v1h 3 месяца назад

    Maashallah Our ZANZIBAR is good 👍 Yarabbi ijaalie ZANZIBAR yetu iwe na Uchumi imara *like*Qatar, OMAN,Abudhabi, IRAN, UTURUKI,na Mataifa Mengine ya Kiislamu, Allah WAISLAM WENZETU wanateseka PALESTINA... Yarabbi*FREE PALESTINE*FREE MASJID AL- AQSWA

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 3 месяца назад

    Ni mufti wa nchi gani huyu au cheo cha umuft kwake amejipa tu kama nickname

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 3 месяца назад

    Huyu jamaa hana shughuri.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 месяца назад

    Kauli yake ya kusema ana marafiki mashoga alishataraaja'a?

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 месяца назад

    Kama si wanafunzi aibu

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 3 месяца назад

    Sasa wewe mtangazaji, ukisema wa zanzibari na watanzania ndo ume sema nini hapo

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 3 месяца назад +1

    Baba mtakatifu wa kiislamu au

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 3 месяца назад

      Hapana. Ni mufti tu wa Zimbabwe, hauwezi kumfanananisha na baba mtakatifu, kwa sababu vyeo hivi vinatofautiana kabisa.

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 3 месяца назад

      Atuna mtakatifu xx​@@salumalriyamy

    • @sharifamuhd4554
      @sharifamuhd4554 3 месяца назад

      Hapana huyo ni Mufti​@@salumalriyamy

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 3 месяца назад +3

      Katika uislamu hakuna baba mtakatifu ila hao waliokuja ni mashekhe kutoka nchi nyengine

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 3 месяца назад

      @@sharifamuhd4554 ndivyo nilivyosema au nimekosea?

  • @mustafa-wh8gi
    @mustafa-wh8gi 3 месяца назад +2

    Masha'Allah

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 3 месяца назад

    Maa shaa Allah

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 месяца назад

    Allahu-akbar

  • @imraansaeed2720
    @imraansaeed2720 3 месяца назад

    Masha Allah

  • @LatifaNgido
    @LatifaNgido 3 месяца назад

    Mashallah

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 месяца назад +2

    Allahu-akbar

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 3 месяца назад

    Mashallah

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 3 месяца назад +1

    Masha allah

  • @idalove-91
    @idalove-91 3 месяца назад

    Mashaallah