WAKILI WA MWABUKUSI AMUANGUKIA RAIS SAMIA, AINGILIE KATI, WATUHUMIWA KUCHELEWESHWA MAHAKAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 190

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Год назад +1

    Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Tanzania 🇹🇿, SSH. Mwenyezi azid kukupa uvumilivu , wanakutukana alafu mwisho wanarudi kwako na kukuangukia ooh Mama naomba nirudi nyumbani ooh Mama naomba uingilie Kati suala hili, alafu ulivyo msikivu unawasamehe na kuwaonea huruma, Ubarikiwe saaana na Mungu akupe umri mrefu , Tanzania kwanza mengine baadae

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Год назад +2

    WANYONGWE HAWO PERIOD ✅✅✅✅WALILETA TAHARUKI NA UDINI NA UHAINI

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Год назад +1

    Rais Samia ni mtu mbaya sana

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 Год назад +2

    Amefeli wakiliiiii
    Wekeni jeuri yenuuuuuu

  • @tanzanitetv
    @tanzanitetv Год назад +1

    Huyu wakili mavi ya kuku

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      sana tena mavi kabsa yaani mdhaifu sasahivi ndio dunia ingejua kua samia anawadhulum wanainchi kwa kuwasingizia uhain kwa kupinga mkataba wakinyonyaji ila kawahi sana kujidhalilisha kaniudhi sana😢

  • @lilotz-we7xq
    @lilotz-we7xq Год назад +8

    Sasa unaomba kwa Raisi au unalalama?Kama niuhaini mbona wamesikika wakitamka kauli zakuvunja Amani?Mnwatetea uovu halafu mnamlaumu Raisi wevipi bwana!

    • @Zonespo
      @Zonespo Год назад

      Bro unajua sheria kweli au unatoa maoni tu hivi unajua kesi ya uhaini ikoje.....na tafsiri yake kisheria imekaaje ....au unaropoka tu

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Год назад

      @@Zonespo Rais hana mamlaka yakuingilia acha ushahid ukamilike ngoma iende mahakamani kwanza liwe fundisho

  • @mathiasmanonga3939
    @mathiasmanonga3939 Год назад +9

    Tatizo bwana wakili zile kauli zilikuwa nzinto sana tupunguze ukali wa maneno hilo ndio la kujifunza hapo

    • @dicksonmbuta6700
      @dicksonmbuta6700 Год назад

      Kuna muda SHERIA INATAKIWA IPINDISHWE KWA MASLAHI YA KITU FLAN NA NDO MAANA AKINA MANDELA WALIKAA NDANI SASA HIVI ILITAKIWA SASA SAUTI ZA WANANCHI ZISIKIKE SASA JUU YA HII ISUE ILI HUKO JUU WAONE KUW WAMEBUGI

  • @justusjulius9279
    @justusjulius9279 Год назад

    Mungu Pekee atalilipia hili ipo siku Tutajibu mbele za Mungu

  • @abdulbakari1220
    @abdulbakari1220 Год назад +3

    Wahaini kifungo cha maisha ndio haki yao

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +5

    Leo umeongea lugha laini kumbe mambo siyo mambo. Inaumiza sana. Haya mama sikiliza wanao tumerudi kwa unyenyekevu kujikwatua tumeacha.

  • @mohdkhalfan1380
    @mohdkhalfan1380 Год назад +4

    Nyinyi waandishi mnatakiwa mnawahoji hao mawakili wao wanazungumziaje kuhusu kauli walizotoa hao wateja wao msiwasikilize tu

  • @enockkiswaga3139
    @enockkiswaga3139 Год назад

    Si mlikuwa mnamwita Jambazi now mnasema Mh Rais😀😀😀

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 Год назад +4

    Kwaiyo kuwa mzee ndio ashauri watu wapindue serikaliii

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Год назад +1

    Sijawahi kumkubali Rais Samia tokea anaingia ni mtu mbaya sana

  • @awadhawadh5828
    @awadhawadh5828 Год назад +3

    Hakuna kutuletea ngojera hapa mnatukana mnadhalilisha, mnajiona wababe nk sasa mnalialia nini tena bora police wanao sisi RAIA tungeshughulika nao kiaina ! Bado Lissu, Lema atapambana na Wa bodaboda na waislam Mbowe atapambana na Wazanzibar ,Nyakuanyakua iendelee!

  • @saidinaweka9425
    @saidinaweka9425 Год назад +6

    Kila nchi inatalatibu zake ukizinguwa wanakuzinguwa nyinyi mnataka tusilale tukimbizane kama Africa yakatii

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 Год назад

      Tunaweza kulala Leo kesho tukawa watumwa.

  • @fareedtz7864
    @fareedtz7864 Год назад +4

    wanastahili kuhukumiwa kwa makosa yao hakuna msamaha kwa wanao taka tuondoa amani ktk nchi yetu sheria ifate mkondo

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 Год назад

    Nchi hii inakoelekea anajua Mungu, Rais asikie sauti ya watu, huku mitaani,wamechoka na wengi hawapendi haya yanayotokea.
    Hakuna anayeunga mkono kukamatwa kwa dr slaa na wenzake,na ni kweli Rais anazidi kuchukiwa na wengi.
    Anajiharibia au wanamharibia.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Год назад +3

    Wakili muombe Mheshimiwa Rais kuliko kusema maneno mengi usiwatetee watu ambao walitowa maneno ya matusi nakutishia .waache sindano ziwaingiye vizuri.muombe msamaha kuliko kuongeza maneno yakutuchukiza.kwanini unalalamika nakutishia

    • @wanainchitvrdc6705
      @wanainchitvrdc6705 Год назад

      Tatizo lako ww uelewa ni mdogo . Hawana makosa wale. Ni mihemko ya kisiasa ya kada wa CCM wambura . Ali taka kuisaidia CCM sasa yame mtokea puwani .
      Kama ana jiamini awa peleke mahakamani sasa tuone .

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Год назад

      Wenye makosa wako wanaandesha magari ya Kodi zetu, tangu mkapa ripot ya CAG inaonesha ufisad mkubwa mno Nan alishawah kushtakiwa alaf wache wakatwe hao alaf na ww unatetea Kama sio akili za kulamba miguu ya mamaenu wa kambo ni nn

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 Год назад +7

    Ndio mtulie sasa , mlizidi kupiga kelele na nyie kila kukicha bandari hamuoni vengine vya kuongelea

    • @victorcharlesmwakikoti7764
      @victorcharlesmwakikoti7764 Год назад

      Huna akili

    • @khadijaabdulrahmani1446
      @khadijaabdulrahmani1446 Год назад

      @@victorcharlesmwakikoti7764 kwani wewe uko nazo izo akili ?

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 Год назад

      ​@@khadijaabdulrahmani1446#Hadija shida ya Watanzania wasio Waislam wanawatetea wakristo wenzao bila kujua nyuma ya pazia kuna nini. Miaka yote Kanisa linanufaika na uendeshaji wa bandari Sasa wanaenda kung'anywa wanapiga kelele na Wafuasi wao wanadandia treni. Ingawa wao hawana roho Mbaya ila Viongozi wao

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 Год назад +1

    Weeeeweeeeee saaa hiiiii ndio wanajuaaaa

  • @frugensifaustine3889
    @frugensifaustine3889 Год назад +5

    Wao walisema hawaogopi chochote, inakuwaje saiv wanaogopa kulala sakafuni?😂

    • @saidabdillahi8107
      @saidabdillahi8107 Год назад +1

      Wakae ndani angalau miaka mitano wakati uchunguzi ukiendelea

    • @saidabdillahi8107
      @saidabdillahi8107 Год назад +1

      Wako wapi wale watetezi wa bandari tunataka kusikia kauli zao wasizungumze kwenye kibuyu mzalendo anakuwa sio muoga kama hap walioko ndani ukicheka sana na mbwa atakufuata mpaka msikitini weka ndani hao swaini

    • @jumakhamis226
      @jumakhamis226 Год назад

      😂😂😂😂

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Год назад +1

    Hakuna anayemchafua Rais Samia isipokuwa anajichafua yeye mwenyewe. Mkisingizia wanaomshauri ina maana yeye Rais hana akili timamu? Samia ni mtu katili sana

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      ndio nami nashangaa kwanza uliona wapi rais kuendesha inchi na chawa jamani yaani ujinga uliopitiliza

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Год назад +1

    Komesha kenge

  • @gadafsalum8042
    @gadafsalum8042 Год назад +4

    Watu wangapi wanalala kwenye cimenti

  • @YusuphJilala-it9bo
    @YusuphJilala-it9bo Год назад +5

    Hao wanaropoka bilakuelewa kunasheria

  • @oyay2821
    @oyay2821 Год назад +2

    Wacha awaeke ndani na ikimfurahisha ashike wengine pia, mwisho atang'olewa mamlakani

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 Год назад +4

    Leo raisi kawa mwema kwenu?
    Hebu muacheni mama wa nchi ana kazi nyingi za kufanya

  • @gadafsalum8042
    @gadafsalum8042 Год назад +4

    Uwongo gani laisi anapewa walisema wanapinduwa ichi watuliye sindano ingiye

    • @dicksonmbuta6700
      @dicksonmbuta6700 Год назад +1

      Hao ni watu ambao wamejitoa muhanga Kwaajili ya JAMBO LA MSINGI ingekuw ni kenya zambia mbele mbele huko sasa hiv tungekuw tunaongea mengne washajiuzuru mda ILA NCHI IMEJAA RAIA VIAZI NDO KAMA HIVI ETY DAWA IINGIE

    • @chuchufplatnumz4888
      @chuchufplatnumz4888 Год назад +1

      @@dicksonmbuta6700 Elimu ndugu yangu. Tuna wajina wengi kuliko werevu. Na werevu wenyewe wanajifanya wajinga

    • @dicksonmbuta6700
      @dicksonmbuta6700 Год назад

      @@chuchufplatnumz4888 watanzania tumelaaniwa na VIONGOZI kwakweli

    • @MnubiMm
      @MnubiMm Год назад

      ​@@dicksonmbuta6700acha ushabiki wamejitoa kwa ajili ya maslahi yao na kutaka kuzalilisha wengine kauligani zile walizotoa na kumkosea heshima wazi wazi mh Raisi Uhuru wa MAONI sawa lakini adabu iwepo usifananishe watanzania na mataifa mengine Kila watu wanaingia mtaani kwa sababu zao swala la Bandari lisifanye watu wengine wavunjiwe heshima halafu sisi tuingie kutetea uzalilishaji sio wote NYUMBU

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      ​@@chuchufplatnumz4888sio elimu bwana mbona wazee waliwatoa wakolon bila elim wala kusoma elim za darasan ndio zinawatesa watanzania akili na uzalendo ndio muhimu kwa kila raiya

  • @Nahodhajuma-p9g
    @Nahodhajuma-p9g Год назад +2

    Hakuna kutolewa hawana adabu ashauri wangu waendelee kula kibano wakiachiwa watahatarisha amani ya nchi

  • @ip_header
    @ip_header Год назад +5

    Tatizo baadhi ya watu wanatumia vibaya uhuru waliopewa, Kimsingi Maneno waliotoa sio ya kiugwana, jaribuni kushauriana mambo ya kuropoka

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Год назад

      Maneno gan?

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Год назад

      @@anselmoonolius fatilia utajua kwanin wamekamatwa na walipanga kufanya nin

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Год назад

      @@mosesnyelo1380 walipanga kufanya maandamano acha uchawa

  • @frugensifaustine3889
    @frugensifaustine3889 Год назад +3

    MWANAHARAKATI GANI ANAOGOPA KULALA SAKAFUNI ASEE, BAS HAO NI WAPIGA DOMO TU UANAHARAKATI HAWAUJUI😂,

    • @shalomchaula4420
      @shalomchaula4420 Год назад

      Kutetea maisha ya mtu shujaa ni gharama na akiweza kufikisha jambo lake uwa tunafaidika wote so pale Kuna braini tunaitaji mzee

    • @MussaSualehe-yc1pc
      @MussaSualehe-yc1pc Год назад

      😂😂😂😂😂

  • @MussaSualehe-yc1pc
    @MussaSualehe-yc1pc Год назад +3

    Tulisema mwisho wenu utakua mgumu mkatudharau sasa mnapiga magoti.
    Domo linaponza watanzaia

  • @OmarySaid-xh7ke
    @OmarySaid-xh7ke Год назад +2

    Kulala chini si wakwanza wao ht wenzao wp wanaolala chini wapambane tu na hali zao ila inabidi wajifunze kutii mamlaka

  • @ernestzeno
    @ernestzeno Год назад +3

    Me nilijua tuu hiloo sual ndipoo litakapo fikia

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 Год назад +4

    Kwa hiyo wewe mtu akiwa mzee hakosei? Wakili njaa wewe

  • @mohamedmoledina6403
    @mohamedmoledina6403 Год назад +4

    Wakili umeshaona hali halisi na wateja wako kauli zao mbona tumezisimia muogope mungu kubali wamekosa

    • @AugustinoKinunda-tf5tp
      @AugustinoKinunda-tf5tp Год назад +1

      Acheni kuendekeza mambo yasiyofaa. Kuna baya gani walilofanya hawa watu.Wanaofanya uhaini wanaeleweka. Watu wanafanya mambo ya hovyo katika taifa hili lakini hawashughulikiwi kwa nguvu hizo? Hizi tabia zinawakwaza sana Watanzania. Mara ngapi jeshi la polisi linalalmikiwa kwa kubambikia watu kesi? Ifike sehemu tuheshimu taratibu za nchi yetu.Manung'uniko ya haki ni laana kwa hawa watawala. Wajifunze kwa waliotangulia kabla yao.Wanaoharibu nchi hii ni watawala na polisi.

  • @salummwakinyama5107
    @salummwakinyama5107 Год назад +3

    mwabikus,mdude,kwa pamoja walisema hawaogopi mtu kitu chochote na hakuna wakuwazuia,silaa akasema wataangusha Samia kabla ya 25 sasa mbona mnamwomba rais aingilie kati wakati slaaa alisema Samia nae pia aji binafsishe ?Hilo mnalo mwacheni rais afanyekazi

  • @kivuswahilitv6833
    @kivuswahilitv6833 Год назад +1

    Uhuru wa kujieleza umepitiliza tanzania sasa leo mnamuomba raisi mlie mtukana , vijana walibia leo wanajutia amani yao waliopoteza kufata mkumbo wa wapinzani leo libia hapakaliki

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 Год назад +1

    Namimi namuomba mama asiwatoe hao mpaka elfu mbili thelathini

  • @samwelmbise7860
    @samwelmbise7860 Год назад

    Mungu ilinde Tanzania yetu

  • @idrisapetto3234
    @idrisapetto3234 Год назад +2

    Hakuna nchi yoyote inayotaka hayo endeleeni kumvimbia huyo mama si kila mtu huwa mnampima pimeni tu🤣

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Год назад

      Hawajui mwanamke akipmwa akachoka na kuchafukwa anaweza kukufyeka huku ana tabasam

  • @idrisapetto3234
    @idrisapetto3234 Год назад +1

    Rais angekua mama yako leo ungesubutu kumtupia maneno ya hovyo hivyo au kwakua Hana pakulalamikia Ni Rais wa nchi atagombana na wangapi

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Год назад +3

    wana midomo sana

  • @balozimchomvu7779
    @balozimchomvu7779 Год назад

    Saivi ndio mnajua kwamba kuna rais.

  • @AdrofinaIsack-xy5bu
    @AdrofinaIsack-xy5bu Год назад

    Yesu tawala Tanzania inaumizwa wanyonge wanakosa haki, yesu tawala yesu tawala ...

  • @nicolausisaya
    @nicolausisaya Год назад

    Wakili unadiliki kusema. Mtu pekee wa kulimalizaa hili ni rais wakati mahakama ipo yenye kusimamia haki nchi hii kweli. Ina maana mahakama haiwezi kushughulikia suala. Hili. Ni rais. Ambaye Yuko juu ya mahakama kweli kweli. Kweli. Hivi inawezekana hawataki. Kuwapeleka watu mahakama I kweli wakati no watuhumiwa

  • @AlllyMtemi
    @AlllyMtemi Год назад

    Napenda harakati hasa za kudai haki na kuzilinda rasilimali zetu lkn yooote hayo wanaofaidika ni viongozi na si sisi watz masikini uwe CCM ima CDM hali ya maisha ni mbaya gharama zinaongezeka kila uchao, sasa kuna hili kundi la matapeli wanasiasa wa upinzani na baadhi ya mawakili wte ni wasaka tonge tu hakuna anaetuvurumia, wanatengeneza tension wapate umaarufu bdae utasikia Mwambukusi ni mbunge, sasa kwa kauli walizotoa kupitia mitandao kweli ni kosa kisheria wachukuliwe hatua kulingana na katiba ytu inaelekeza nini, watu taasisi kupaza sauti eti wanaonewa sioni km ni sahihi wkt sote tuliona na kusikia kauli zao hawa jmaa.

  • @wazirally1791
    @wazirally1791 Год назад +1

    Bado hujasema, Yan hapooo baaado. Na Hapo mpka useeme🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @RamadhaniMuya-cy4tl
    @RamadhaniMuya-cy4tl Год назад +1

    Raisi usikilize wanaowaombea msaha haowakitoka watendelea na kutuka na wakaekama machete wa uwamsho waonje ramayana lumande😅

  • @alawihamis5586
    @alawihamis5586 Год назад +3

    Hawa ni vibaraka wa wazungu wamekuja kuchafua nchi lazima Leo wanataka huruma ya rais Hali yakua Kila siku Wana mtukana rais

  • @hermanpaskali8329
    @hermanpaskali8329 Год назад

    mnaosapoti issue ya wenzetu kunyongwa sina uhakika kama hilo sakata la bandari linawahusu au nyie ndo wale ambao bandari zao hazikuhusishwa kwemye mkataba????

  • @mohdkhalfan1380
    @mohdkhalfan1380 Год назад +4

    Mtejawako alikua anasema haogopi kitu mnamtetea nini

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda Год назад +1

    Tatizo mtu akiwa rahimu sana wengine wanatafsiri kuwa ni dhaifu na kuanza kumfedhehesha,kumtusi nk. Pamoja na kutoheshimu utu wake. Sasa mliomuona dhaifu ila yeye akitekenya kidogo mnaanza kulalama. Sasa bwana wakili utulie sheria ichukue mkondo wake. Pia kwakuwa umesema hawana hatia

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven Год назад

      Rahimu ni sifa ya Allah acha upumbavu wewe.
      Huyo Samia ni mtu katili na ana roho mbaya sana

  • @YasinOmary-m6n
    @YasinOmary-m6n Год назад

    Hakuna kinachomchafua Rais hapo sanasana mme jinyea wenyewe,😅😅😅😅

  • @zakariafrancis4570
    @zakariafrancis4570 Год назад +2

    Huruma ya rais tena 😂

  • @starvista823
    @starvista823 Год назад

    Wakili gani anaonesha kujilegeza namna hiyo , serikari imefanya kosa ,Sasa tuisifie tu na wakati inatuunguza na mikataba mibovu ,kitu kibovu sema kibovu ,wao Sasa waumue wenyewe kama watawaua wajue na watauawa tu full stop

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 Год назад

    Hao wanakiburi acha waisome namba.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Год назад +2

    Huyu wakili hana uwezo

  • @engineerjuma9876
    @engineerjuma9876 Год назад

    Mbona watu wslivyokua wakimtusi Rais mlikaa kimya pambaneni na hali yenu

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Год назад

    Polisi wanayajua wayafanyao wacheni kutuzingua bhana Polisi wanajua wakifanyacho

  • @YasinOmary-m6n
    @YasinOmary-m6n Год назад

    Hakuna mshauri wa Rais aliyempelekea uongo,maneno waliosema hao wapuuzi kila mtu ameyasikia,sasa huyo mabukusi kasema Rais hatoshi,leo mnatafta Rais aingilie kati,hivi mnajua thamani ya Amani?? Kwenye nyumba Baba yako akikosea huwezi kutaka kuchoma nyumba Alaf akutazame tu, SHENZ Taip.

  • @bongo39
    @bongo39 Год назад +1

    Aingilie nini kila mtu kasikia matusi vitisho walivyokuwa wanasema hawana adabu wajinga hao wala haichafui chochote wacha wakae ndani hakujua kama ni mgonjwa kiburi wakubwa wacha waonje joto ya jiwe kama yeye mzee alikuwa hajui pumbavu weka ndani usijifanye mtetezi

  • @aliali-ng4de
    @aliali-ng4de Год назад

    Walitaka kupindua serikali kwa kutumia raia wacha wakione wameshatukana sana hao serikali.

  • @sallkazi9319
    @sallkazi9319 Год назад

    Tumemsikia huyo unaemtetea analeta uchochezi .huyo mwambukusi anatoa maneno mabaya sana Kwa nchi

  • @kiumbenatural-ii5jb
    @kiumbenatural-ii5jb Год назад

    Mna mshambulia raisi bila uoga kweli? Mambo gani kutokua na adabu..ivi mfanye hinyo usalama wa taifa waangalie tu?..hiyo ni kazi ya usalama si mama

  • @ahmedkagambo4964
    @ahmedkagambo4964 Год назад

    Tumekusikiliza vizuri wakili hao ni wazee kilichowaponza ni MAADILI.
    Kujiheshimu na Kuheshimu
    Kukosoa kwa ustaarabu

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 Год назад

    Kesi si isikilizwe kwanza ndo aombwe?

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 Год назад +1

    Swala hili wote hatufurahii kinachoudhi ni lugha kauli ya kusema siogopi na wala sitishwi na mtu nasijawahi kushindwa hiyo ni lugha si zakistaraabu

  • @sekrommbaga6234
    @sekrommbaga6234 Год назад

    bado mnaendeleza vitisho hamtafsnikiwa kwa vitisho

  • @sallkazi9319
    @sallkazi9319 Год назад +1

    Huyo slaa mwache alale kwenye sakafu ni mtu wa hovyo kabisa

  • @abdallahidrisa710
    @abdallahidrisa710 Год назад

    Wakili ww ni msomi unajua ukweli lakini wenzako wa HOUSE CLUB WANAMTUKANA RAIS KILA MUDA na wanasema watachoma moto vituo vya police. Hiyo siyo poa.

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 Год назад +1

    Wale mashekhe walikua na connection na jeshiii au usalamaaaa
    Hayo mawazo yako tuliaaaaaaa

    • @desolz3809
      @desolz3809 Год назад

      Mashehe kwa issues ya bandari au siyo?

  • @frankkaronge1609
    @frankkaronge1609 Год назад

    Shida Sheria haitendeki Tanzania,watu wako police hawapelekwi mahakamani kwa Nini?

  • @gadafsalum8042
    @gadafsalum8042 Год назад +2

    Alisema Wana maguluneti nasilaha wapinduwe inatakiwa wanyogwe

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Год назад

      Jina unaitwa salum uwezo wa kufikiri huna

    • @yussufmussa8122
      @yussufmussa8122 Год назад

      ​@@faustinombilinyi9809ww unaweza kufiriaa mbn hujasemaa maoni yakoo

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 Год назад

    Kumbe mnajua kuongea Kwa busara😀😀tatizo mnalopoka sana

  • @songorerubeya3816
    @songorerubeya3816 Год назад

    Ivi leo imekuwa tena kuomba? Sio tena mawakiki 100, tutaandamana hadi kieleweke.

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 Год назад

    Mwache akae yeye sihodari wa kusema kwani hayo maneno alosema huku yasikia mdomo ndio unampoza mtu mwcheni Raisi wetu afanye mengine wao mahodari darasa lipi nenda bw usifanye husikia alolisema huyo dr slaa kapewa cheo cha ubalozi halafu analeta maneno ya michafuko mwachr aendelee kuka jela ajifunze maneno ya kusema

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Год назад +1

    Kwenye hili sakata, iteue mtu mmoja kuisemea serikali maana sasa imekuwa kila mwenye wadhifa anakuwa msemaji wake, naona mpaka chalamila amekuwa msemaji sasa msigwa atafanya kazi gani, muwe makini

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      sindio maana hua anajitapa machawa wake watamsaidia kumtetea maaana anawahonga kwahiyo kuchagua msemaji 1 haitotokea rais akisha jingiza kwenye uchawa ujue hamna jema atalofanya zaid ya dhulma tu

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 Год назад

    Mkiamua kuwa wanahalakati muwe wakakamavu sio kuomba msamaha wacha wafe mazurumu aka

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Год назад

    Kwahiyo wakubali kuitwa Mtanganyika wee wacha kupotosha watu bhana wee fatani pia

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

    ni ujinga huo kimipigia magot shetan yaani we na uwakili wako unamuomba samia ili iweje wakati yye ndio kawatuma chawa wake wawape kas hizo udhaifu sii mzuri we muache awatese nae atalipwa na Mungu ila kumuomba shwtan msaada unazid kujidhoifisha na kumizwa zaid samia hana msaada kwa wema ye anasaidia majizi tu kueni mashujaa nasio kujishusha wakat hak zenu zinapotea huo ni ujinga kwanza umeniudhi sana leo wewe wakili nilikuona wa maana kumbe mkate tu wa siles ukitia kidogo kwenye chai unalainika wacha awatese ili azidi kujipatia malaana ambayo yatatafuna. hadi vizaz vyake

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Год назад

    Wakafie gerezan hao Tena muwapige sindano za simu hao wakifika mtaani wafe hao hawahaini

  • @azruntravel4306
    @azruntravel4306 Год назад

    Duu hii tamu imefika ee

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic Год назад +1

    Mwabukusa mungu Akusimamie Utuokoe Tz

  • @AhmedAli-by4qr
    @AhmedAli-by4qr Год назад

    Leo mmekuwa wapole matusi kejeli udini ndio kauli zao

  • @omarimohamed1563
    @omarimohamed1563 Год назад

    Rais hawezi kuingilia mambo ya mahakama ,wewe wakili ni mpumbavu wakati wanamtukana rais mbona hukuwambia waache kumtukana rais, huyo mwambukusi na silaha ni wajinga sana huwezi kusema rais anastahili kupinduliwa halafu selikali ukuwache wewe wakili ni mjinga kabisa tena mpumbavu

  • @salummsusa5007
    @salummsusa5007 Год назад

    Mwambie huyo kichaa mbowe na lisu hawatoe, mnataka kutuletea ujinga ktk nchi hii, sisi Watanzania tuna tunu ambazo lazima tuzilinde Kwa gharama yeyote, eeti mnaleta udini na chuki za waziii Kwa sababu ya ukanda na ukabila wenu, ngoja mmnyooshwe vzuri, mkitoka humo mtakuwa na adabu mara kumi.

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 Год назад

    Mwabukusi Kuna clip Moja akisema kua anawashwa na Mimi nikakomenti kua atkunwa Sasa imefika mbona watanzania tunaishi kwa kutafuta umaarufu hatuishi kwa ukweli wetu tutafuteni maisha tuwaache wafanye yao

  • @jumannekhalfan2732
    @jumannekhalfan2732 Год назад

    WANAMPELEKEA! YEYE HASIKII! MATAMSHI YA KUHATARISHA AMANI! YAMESIKIKA NA KILA MWENYE SIKIO LA KUSIKIA! HAO UNAOWATETEA MBONA HAWAJATAMBUA KOSA LIO?

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Год назад

    Kwani wakati wakifanya mambo yao ni uongo wamekamatwa sio sababu ya bandari hao wanamdomo sana na matusi yao na mafatani wakubwa hao

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su Год назад

    Na wao wanamtukana nani na kupanga kumpindua nani

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 Год назад

    Huyu wakili kama anataka kulia

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Год назад

    Wani jela hakuna wazee wanao lala chini wewe sio wakili unabwabwaja wewe utetei Taifa wewe unatetea ubinafusi hunavyo sema kama watu wapo katika vigenge vya kahawa

  • @SuedSemlangwa
    @SuedSemlangwa Год назад

    Mawakili 100 kesi moja tu, ndiyo uzalendo huo?
    Mnajua wananchi masikini wangapi wapo mahabusu na hawana wa kuwasemea kwa makosa bandia?
    Nyie uzalendo wenu ni kwakina silaa tu na wenzake,
    Sasa waambie kabisa hawatokiii mpaka mwaka mpya, Pumbaavu kabisa acheni kutumika.

  • @usaskauswege8023
    @usaskauswege8023 Год назад +1

    Kuomba hisani ya raisi ni kurudisha nyuma mchakato wa kutafuta haki ya watuhumiwa. Na pia inaweza sababisha kiburi ktk mchakato wa kuhakikisha bandari haiondoki. Mkazo zaidi uwe ni wa kisheria tu. Anayetunga kesi bila ushahidi awajibike/awajibishwe

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Год назад

      Bandar mkataba ulisha sainiwa hakuna waku uzuia kijana hata serikali yenyewe haiwez

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Год назад

      kaniudhi sana huyu wakili hata wanawake hatupo hivo ukitaka hak ipatikane ufe hata kufa ili Mungu akuone na nia ya kweli aje akulipie watesi wako magu alihitoa uhai walidhani nirahisi kujitia nuhanga ki uhai kwa ajili ya watanzania yaani cku 3 wamesharegeza kamba nimekarisika sana

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 Год назад

    Acheni upuuuuzi sasa mnajua kama hiii nchi inarais eeeeee mnajua kuomba sasa eeeee waulize hao wateja wako wanajua kama kuna raisi, jeee wanajua kama anapasa kuheshimiwaaa
    Wapuuuzi hao ndio waliochafua hali ya hewa
    Alaaaaa asa wagonjwa walikua hawajui kujioneaa hurumaaa
    Waaache wale joto ya jiweee

  • @YasinOmary-m6n
    @YasinOmary-m6n Год назад

    Msirudishe mpira kwa kipa,pambaneni kama awali,si mlisema nyie watanganyika mpo tayari kwa lolote??

  • @saidkhamisi9592
    @saidkhamisi9592 Год назад +1

    Wanaomba poo 😂😂😂

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 Год назад

    Kwani wale mashehe wakiooewa ugaidi walikuwa na jeshi?