[Nimeisubiri siku hii, Nikuonyeshe jinsi mimi, N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a Baby, nakuthamini.]x2 (Ayee, hapo, hapo, eh, tunayo) Nipo magotini, Dua nalipiga kwetu ajili, Niianzapo safari, U'wapi f'lani? Nisiwe wa mazoea, Wa kukudhania, Siku zote nikufae, kukupa heshima. Kwa wale wanisindikizao, msilie (msilie) Hamunipotezi mwanao, twaja wawili (dabo dabo) Na kwa zile fadhila walizonifunza, Mie n'takutunza. Oooh ni... Nimeisubiri siku hii (subira, subira, subira, mi...) Nikuonyshe jinsi mimi (jinsi, jinsi, jinsi, jinsi, jinsi mi) N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a (N'nav'okupenda) Baby, nakuthamini. Nimesubiri siku hii (subira, subira, subira mi) Nikuonyeshe jinsi mimi (jinsi, jinsi, jinsi, jinsi. jinsi mi) N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a (N'nav'okupenda) Baby, nakuthamini. Jukumu la kukutumikia, napokea, Bidi' n'takutilia, Ahadi mi' nakupatia, Na kwako tabasa-a-a-mu litakuwa ajira, Kwa kila awamu n'takuhakikishia. Kwa wale wakusindikizao, wajue (wakae wakijua) Hawakupotezi mwanao, twaja wawili (dabo dabo) Na kwa zile fadhila nilizofunzwa, Mie n'tawatunza. Oooh ni... [Nimeisubiri siku hii (subira, subira) Nikuonyeshe jinsi mimi (jinsi mi, jinsi mi, jinsi mi) N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a (N'nav'okupenda-a-a) Baby, nakuthamini.]x2 Jamani leo ni leo (ni leo) (chants) Hapo, hapo, eh Tunayo
Who agrees thar Sanaipei is our Kenyan Adele?..and yet so underrated 💔
I mean her songs never age.
Forever hits!!!
Truly timeless and so relatable too
💯
Kenyan Adele is Nikita, Sanaipei is in a league of her own
@@j.asagwe5932 kama beyonce hivi!!
Her vocal agility na range ni superb sana
We as yours fans tunakuthamini❤️❤️❤️❤️✨✨✨✨✨✨✨
😊😊
Sanaa and nikitta kering should do a collabo cz your vocals yayee!!im inlove☺️☺️☺️
Taarab na bango hapo ya weza. Such a happy song harusi tunayo!! 🥳 🥳 Kiswahili has never sounded so beautiful
Dabo dabo......hapo hapo...🙌💃💃💃💃👌timeless💃
[Nimeisubiri siku hii,
Nikuonyeshe jinsi mimi,
N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a
Baby, nakuthamini.]x2
(Ayee, hapo, hapo, eh, tunayo)
Nipo magotini,
Dua nalipiga kwetu ajili,
Niianzapo safari,
U'wapi f'lani?
Nisiwe wa mazoea,
Wa kukudhania,
Siku zote nikufae, kukupa heshima.
Kwa wale wanisindikizao, msilie (msilie)
Hamunipotezi mwanao, twaja wawili (dabo dabo)
Na kwa zile fadhila walizonifunza,
Mie n'takutunza.
Oooh ni...
Nimeisubiri siku hii (subira, subira, subira, mi...)
Nikuonyshe jinsi mimi (jinsi, jinsi, jinsi, jinsi, jinsi mi)
N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a (N'nav'okupenda)
Baby, nakuthamini.
Nimesubiri siku hii (subira, subira, subira mi)
Nikuonyeshe jinsi mimi (jinsi, jinsi, jinsi, jinsi. jinsi mi)
N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a (N'nav'okupenda)
Baby, nakuthamini.
Jukumu la kukutumikia, napokea,
Bidi' n'takutilia,
Ahadi mi' nakupatia,
Na kwako tabasa-a-a-mu litakuwa ajira,
Kwa kila awamu n'takuhakikishia.
Kwa wale wakusindikizao, wajue (wakae wakijua)
Hawakupotezi mwanao, twaja wawili (dabo dabo)
Na kwa zile fadhila nilizofunzwa,
Mie n'tawatunza.
Oooh ni...
[Nimeisubiri siku hii (subira, subira)
Nikuonyeshe jinsi mimi (jinsi mi, jinsi mi, jinsi mi)
N'nav'okupenda-a-a-a-a-a-a-a (N'nav'okupenda-a-a)
Baby, nakuthamini.]x2
Jamani leo ni leo (ni leo)
(chants)
Hapo, hapo, eh
Tunayo
Kongole
This is the new wedding song. Sanapei Tande i love your song. Big fan from Mombasa. Love you girl keep on blazing
Added to my wedding playlist!!
This is easily the best song on the EP. Love it.
Jamani this woman can DO NO WRONG!
Welcome back to the game Sanaipei the vocalist Kenyans and Africa loves you💯🔥🥰
Dua langu leo hii ni uishi maisha marefu na Mola akupe sauti ifikie walimwengu🙏😘😳
Love Sanaipei...🙌💥mafans wako wanakuthamini ❤
I love her songs and her vocals are just out of this world
Sana is underated, i love her voice nakuthamini sana
Kenyan Adele❤️
Sounds like a great wedding song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👌👌👌 Imekubali hii!!
Sherehe Iko hapa Wadau😂😂😂🔥ni sherehe ya pesa na mwaliko. Hakuna kunyatianyatia. Nice song Sanaipei ❤️
Kazi safi
Our very own Adele 😍🤩🤩🥰😍
Another ruracio/wedding/proposal song!!! Beautiful song
❤❤❤so talented but underrated, Kenyans be serious and support this long time talent from Sanaipei
Fine jam fine sana
Swahili weddings will never be the same with this tune👌👌👌 we havu we havunotiiii💁🤗🤗
This is such a beautiful love song!We officially have a wedding song for 2022!
Sanaaa the great we love you boo
The voice of sanapei is so sweet like her soul...watching from gulf🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Lit
As much as I love this song. Sauti imekataa kuimba.
This is the best song on ep💯💯💯🔥🔥🔥
Moto Sana 🥰🥰🥰🥰🥰
This is fire🔥🔥🔥🔥... We need the video part ya hii song asap💕💕
Wait everyone forgot about how amazing the back vocalists are..😍
She does her own background vocals
Uweeee hii nayo 🔥🙌🙌🙌
Wimbo wa harusi yangu ushanipa Sanaa,bado Mungu aniridhie mume.
Kazi nzuri sana,binafsi,nimeipenda❣️
Wow amazing 😍😍😍
Mabling na hapo nazo niliamua kutulia.kunichemsha huku to
Baby girl you are fireeeeee....that voice tuuuu,, jameni sanaa watumaliza
Lakni sanaa mamaa😍😍😍😍😍
This song is too deep i hope Sanaa you wrote it for someone special in your life💖 mimi kama shabiki wako kwa kweli nakuthamini😘
Nakufeel ile mbaya ngoma fire fire
Nami nauthamini huu wimbo...my favourite
Just a serious masterpiece 😍😍,,,,this is by far the best lyrically done piece on the Ep.....what a jam ❤❤❤
You make Swahili songs sound so flawlessly beautiful
Mistari na sauti zimekubali. Tukuthamini Sana
Out of this planet. #QueenTande
🔥🔥🔥🔥🔥 The most authentic woman in the Kenyan industry of all times. You're just the TOP TIER👌👌
Umetuaminia yaaani. Nyimbo tamu ya kukizegeda harusini🥰🤩❤. Your voice is lovely Sanaipei.
You never disappoint. Nakupenda,napenda muziki yako,NAKUTHAMINI
Giving me Selena/spanish vibes 😍😍😍
Wimbo mtamu💖 the hype crowd in the background 🔥🔥. #Sana our Swahili music Queen👸🏿🇰🇪. Tunakuthamini sana😘👏🏾💐💐.
Kali🔥
I'm in 💓💕
How I wish there were multiple like buttons. Cheers Sanaipei..
Sauti tu 💙💙🔥 damn.
🥰Yarabiiii!!!! You're such a vibe Sanaipei..you be my best always,
Sauti Tamuuuu ajabu...
Mimi kama Fan nakuthamini Wala usiwe na wasi wasi💕💕
Aaaaaaah....you've outdone yourself 'ma🤩🤩🤩🤩 eeeeeeeish!
Eish🔥Sawasawa Sanaipei 👏🏿🙌🏾🦋❤️🔥💯
I really love her voice her everything this jam is just a masterpiece i you agree with me drop a like 🤩💓
Sana toa video ya hii ngoma please ♥️
🔥🔥🔥🔥🇦🇪🇰🇪 tunayooooo
I believe that this album will grow with time 😍😍,, It's just huge wait and see
Sanaa,.....🥰
Beautiful vocals and the lyrics are so on point. 💯
Nishapata nyimbo ya harusi... Nipewe mume sasa.... Sauti tamu, sanapei
The Beautiful Sana,a beautiful soul Keep winning, keep giving us good music...Fan No.1 hapa
Can't get of this gal... can't get enough of kiwango❤️❤️❤️❤️
♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥
Sanaipei you're so talented
Amazing song,you never disappoint
Dzaaaam 🙊😍
Damn!! 🙌🙌🙌.Just found the perfect song for my hubby's homecoming. We will be renewing our vows. 👌
Wow,, I just love her voice!! Smooth like butter!!
Sultry😋😋😍
Haya mama, let's go! I am loving this song! Keep them coming.
Your voice Sana!!!! God bless you....I love your songs. Sauti mama unayo tamu
Sema nakuthamini 🙏❤.... It's lit🔥🔥🔥... Much love from kisumu
👍 nice song!!
Would never get tired of telling you I love you and your beautiful voice ,sung to your songs since pre-unit♡♡😂na sioni nikiacha
Sana❤️❤️
The USWAHILINI taste in it,..mmh...taaamuuu kama ninihii
Hii album naiskiza song after song haichokeshi. Big fan toka enzi zile za #sema
🔥🔥Fire
🔥🔥🔥my gal
Much love for you, this round umekam na ubaya,👍
Dillie on the beat...
My favorite song
Coz I love sanaipeitande since her time pale kiss 100 na Dr love
Nilikuwa namsikiza since she left i rarely listen to kiss
@@nerrylachola3939 me and yu same
Aaaww, Pure Gem 💎
Sana Never Disappoints 💞
My girl with another good song
I can't get enough of this song 💃💃💃 wedding song ✅
Our girl is on fire 💥.
Hapa angeweka otile 🙆🏽♂️….ingeua 💯💯🙌🏾
I love all your songs....I keep wondering why you are not an international star....
Sana Always on top
Songbird 🔥🔥🔥
Found my walking down the aisle song! 💖💖💖💖
sanaipeiiiiii queeeeeennn!!!!!
Its a hit ❤💕♥💗💓
❤🎉 Beautiful song and angelic vocals!
Awesome.
My favourite ❤ 😍 💕
i have listened to this truck 20 times today and i cant get enough of it still..haina mfanooo hiii...biiiig tuuuune