Asante sana fundi DSM nimefurahi sana kukuona kwenye mitandao. Umenipa faraja kubwa. Naomba uniambie maduka ya Commercial Blenders hapa Daresalaam ili niyatembelee. Shukran Mtanzania mwenzangu
Kama unakuja na mwendokasi Tupo : Bombaywalla appliance repair na service , Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU (karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), Nyuma ya ofisi ya serikali ya Mtaa Kisutu, duka la njano.. kama unakuja na gari, bolt, bajaj au bodaboda, tupo mtaa wa zaramo,, mbele kwa ofisi za zamani za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia kisutu, duka la njano..au google tu kwa mawasiliano zaidi, simu 0684017700
Kama na gari,uber,Bolt, bajaj, kirikuu au boda boda..Bombaywalla appliance repair na service, mtaa wa zaramo.. Mbele kwa ofisi za channel ten, pale round about ya dtv, kisutu, duka la njano, usoni na choo cha kulipia cha serikali..au google tu..simu 0684017700
Kaka samahani, naomba kuuliza.Brander yangu inasaga kinyumenyume, kwa mfano ukiipeleka usage speed namba 1 au 2 haifanyi kazi inatulia tu, lakini ukiirudisha nyuma upande ulioandikwa p+ ndo inafanya kazi, je! Ni sahihi? Naomba msaada
hapana kila wembe inakazi yake, kwahio wembe ya viungo ni kwa ajili ya kusaga viungo vikavu, na juisi ni tofauti, tunapochanganya matumizi, tunaharibu blenda zetu boss wangu
kwa hapa kwetu Tanzania, kwa biashara ni changamoto kupata blender imara ya kusaga nafaka au viungo vya maji kama tangawizi na kitungu saum, kwa matumizi ya nyumbani unaweza kusaga kidogo kidogo kwenye heavy duty blender

@@nurumoses9845 hizo nitumie picha zake whatsapp 0684017700 nikujulishe kama zinafaa kurekebishwa au laa na gharama zake, blenda zinazopatikana hapa bongo asilimia kubwa hazidumu kwa matumizi ya biashara boss wangu
This is very informative!!👍
Dah uko sawa bro thanx alot umenipa mawazo mapana sana Allah bless you bro
Nziri asante kwa kutujuza na hiyo kubwa inayo saga kula kitu ni shingap na nitaoataje niko arusha
Asante sana boss, sisi tunarekebisha tu vifaaa boss wangu
Kaka Asante sana ,hiyo blenda kubwa ni sh ngapi nahitaji kwa matumixi ya juice ya biashara
Hizo blender hatuuzi boss wangu 🙏
@@cities-flavorsblender ya 7000wats ni gani
Maashaa allaah,bro kwa kutuzindua maana watu wengi hatujui.shukran
ahsante sana boss...tunajitahidi sana tuwape masomo
Asante sana fundi DSM nimefurahi sana kukuona kwenye mitandao. Umenipa faraja kubwa. Naomba uniambie maduka ya Commercial Blenders hapa Daresalaam ili niyatembelee. Shukran Mtanzania mwenzangu
Karibu sana boss, maduka yako mtaa wa aggrey kariakoo, au mosque street kitumbini boss wangu
@@cities-flavors Shukran sana Kaka
Naweza pata jagi la westpoint...limepasuka ila mashine ipo vzr
Asante kwa maelezo mzl
Af npo singida ntaipataje?
Shukrani mkuu. Unashaurije kuhusu hizi portable blender/rechargeable blender especially kutengeneza smothies ya glass moja kila cku asbuhi
Unapatika wapi nilete burend yangu imealibika
@@ashurasaidi3967 Habari tupo kisutu nyuma ya channel 10 karibu na choo cha kulipia ofisi ya serekali
@@ashurasaidi3967 tupigie kwa +255684017700 kwa maelezo zaidi
Thanks for your explanation
you are most welcome..thank you for watching
Hiyo kubwa sh ngap na
Bro Brenda tumeziona na tunazpenda San tunaomba bei zake
Mku kwema'samahani niliitaji kupata spea za brenda, Yani vifaha vinavyo usyana na Breda,
Nahitaji brender
Naitaji wauzaji wa spea za brenda wakuu,
Mm nataka blenda kubwa kbsa ya kusagia juice ya tende lita 5kwa trip mona
Nko hapa Mombasa naenza Pata bleda kumbwa Kwa ajili ya Biashara af pia naitaji hle ya kubled miwa plz nielekezeni pahali naenza Pata in within Mombasa
Ahsant bro naomba bei za hzo Brenda has hyo kubwa ya biashar pia naomba no zenu
How much is a multi-purpose blender for business
mimi niko masasi mtwara vp naweza pata breander ya kukamua juice ya biashara zile zenye koki ya kutoa juice
Naomba bei ya blender hyo ndog ya kusagia matunda
Thanks so much for the update
you are most welcome..thank you for watching
Safi Sana Niko Bukoba Kagera nitapaje Brenda ya familia ya watu 7
hatu uzi boss wangu...tunarekebisha tu.
Hyo Brenda kuliko zote unauza bei Gan na kwa hapo dar upo maeneo gan
Wat ikiwa kubwa ndo inakula umeme sana au inasaga haraka?
Masha allah asante kutuelimisha
karibu sana boss wetu
@@cities-flavors insha allah
Naitaji Brenda Kwa ajiri ya biashara
Nataka Brenda kubwa kwaajili ya biashara nitapataje?
Asante sana
No. Ya Simu please
Nataka brenda yakusagia karanga
Thank you for tips
You are most welcome
Shukrani sana, je bei zinaendana na ubora wa Blander?
Ndio na sio boss, inategemea na muuzaji piaz maana nyingine feki zinauzwq bei za original boss wangu
@@cities-flavors Nitajuaje km hii Blander ni original?
@@gessanabuu99 huwezi jua labda fundi akusaidie boss au mwenye duka akuambie ukwei
Safi
asante sana boss wangu
Nisaidie no tuwacliane plz
0684017700
Fundi dsm 👌👌
asante sana boss wangu
Nahitaji fundi wa blenda nipo dar
Salam alekum
w.asalam boss, niambie
Ok vizuri umeeleweka hiyo fundi DSM iko maeneo gani hapa dar?
Kama unakuja na mwendokasi Tupo :
Bombaywalla appliance repair na service , Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU (karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), Nyuma ya ofisi ya serikali ya Mtaa Kisutu, duka la njano..
kama unakuja na gari, bolt, bajaj au bodaboda, tupo mtaa wa zaramo,, mbele kwa ofisi za zamani za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia kisutu, duka la njano..au google tu
kwa mawasiliano zaidi, simu 0684017700
Unapatikana wapi
Kama na gari,uber,Bolt, bajaj, kirikuu au boda boda..Bombaywalla appliance repair na service, mtaa wa zaramo.. Mbele kwa ofisi za channel ten, pale round about ya dtv, kisutu, duka la njano, usoni na choo cha kulipia cha serikali..au google tu..simu 0684017700
Habari kaka? Nimenunua blenda Jana Leo nimesaga matunda ikatoa moshi aisee hii nini nifanyeje
Unapatikana wapi?!! Namba ya cm
Asante sn God bless u
ahsante sana boss wetu
Nimenunua blenda, ile mashine ya kusagia vitu vikavu imeharibika mfuniko nifanyeje?
habari upo dar?
@@cities-flavors nipo songea
Mimi Nina silve crest jugi linearibika naweza pata jugi
majagi ya silver crest hatuna boss wangu
Naomba namba yenu
Kaka samahani, naomba kuuliza.Brander yangu inasaga kinyumenyume, kwa mfano ukiipeleka usage speed namba 1 au 2 haifanyi kazi inatulia tu, lakini ukiirudisha nyuma upande ulioandikwa p+ ndo inafanya kazi, je! Ni sahihi? Naomba msaada
Kaka hujanijibu swali langu, naomba msaada
Kaka naomba msaada nipate kuelewa, nisije nikaiua.maana mwanzo ilikuwa inafanya kazi kawaida tu.
Najifunza
ahsante sana boss
Ok shiling. Ngapi kwa brenda ndogo ya mwisho
habari boss, sisi hatuuzi hizo blenda, tunazirekebisha tu boss wangu
POA vzr sana
asante sana boss wangu
unapatikana wapi naomba namba zenu za simu ili unitumie
habari tafadhali jiangalie instagram page yetu
instagram.com/fundi_dsm/
Thanks je kama blender haina hicho cha kusaigia viungo lakini kuna sehemu inaelekeza kusaga iven kahawa je
huo wembe unakuwa ni malt papas ana?
hapana kila wembe inakazi yake, kwahio wembe ya viungo ni kwa ajili ya kusaga viungo vikavu, na juisi ni tofauti, tunapochanganya matumizi, tunaharibu blenda zetu boss wangu
@@cities-flavors nahitaji blender yenyr wembe mbili kusaga karanga na kusaga matunda bei gani
@@cities-flavors mimi nahitaji blender ya juice na vitu vikavu ni sh ngapi?
@@jeniferlinus2115 hatu uzi boss...tunarekebisha tu.
@@emmanuelnnkuba6076 hatu uzi boss...tunarekebisha tu.
Nmenunua brenda juzi ila ukiiwasha dk 1 inajizima na kutoa moshi hapo haiwaki tena had uiache ipoe ndo inawaka vp inaweza kurekebishwa?
hizo blenda nazijua sana hazirekebishiki boss wangu
Znaitwa Codtech
Basi nawarudishia
Nataka bleda ya Biashara
Nahitaji blender ya biashara nahipataj
❤
Nijue bei yabrenda
habari boss, hatuuzi blenda sisi, tunarekebisha tu vifaa
Sisi wengine nishida tu tuwekeeni wembe mmoja tu wakukata kilakitu
ni wengi sana wanatumia hivo ndo maana blenda nyingi zinaharibika boss wangu
Tuambie kati ya hizo ipi ni nzuri na imara kwa matumizi ya biashara na nyumbani.
Hbr. Naulizia blender z heavy duty z lita 4 bei gn. Ni kwaajili ya biashara. Asnt
habari boss, hatuuzi blenda sisi, tunarekebisha tu vifaa
Munapatikana wapi
Mm Niko unguja vp nitaipata iyo
@@twalaatali7903 boss sisi ni mafundi tu, tunarekebisha tu, hatuuzi vipya boss wangu 🙏
bei gani
Je blenda hiyo ya biashara inauzwa bei gan
habari boss, hatuuzi blenda sisi, tunarekebisha tu vifaa
Blenda nzuri ni yenye jagi la chuma. Haya majagi ya plastiki yana expire date. Na jagi likishaanza ku deteriorate ndiyo imeisha hiyoo
Io wapata wapi Kenya mingi ni za plastic
Nataka blenda Aina ya synic ya Lita MBILI kwa matumizi ya nyumbani nope na Bei yake
Hatuuzi blenda boss wangu, tunarekebisha tu vifaa boss wangu
Naomba utupe na bei za bithaa
hatu uzi boss...tunarekebisha tu vifaa vya jikoni
Je ni blenda gani naweza kusaga hadi nafaka
kwa hapa kwetu Tanzania, kwa biashara ni changamoto kupata blender imara ya kusaga nafaka au viungo vya maji kama tangawizi na kitungu saum, kwa matumizi ya nyumbani unaweza kusaga kidogo kidogo kwenye heavy duty blender
Blenda unauza shinkapi
bei gani 7in 1
Somo safi
ahsante sana boss
Biashara
Nipe namba zako nikupigie kibiashara
Kama unakuja na mwendokasi Tupo :
Bombaywalla appliance repair na service , Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU (karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), Nyuma ya ofisi ya serikali ya Mtaa Kisutu, duka la njano..
kama unakuja na gari, bolt, bajaj au bodaboda, tupo mtaa wa zaramo,, mbele kwa ofisi za zamani za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia kisutu, duka la njano..au google tu
kwa mawasiliano zaidi, simu 0684017700
Kaka pole na majukumu Mimi Nafanya biashala ya juisi blenda imekuwa changamoto kwangu Nina blenda 4zote zimehalibika hapa nilipo sijui ninunue ipi itakayo dumu na alafu hizi nataka zitengenezwe
@@nurumoses9845 hizo nitumie picha zake whatsapp 0684017700 nikujulishe kama zinafaa kurekebishwa au laa na gharama zake, blenda zinazopatikana hapa bongo asilimia kubwa hazidumu kwa matumizi ya biashara boss wangu
@@cities-flavors Picha ntakutumia kesho boss leo uwa sigungui naomba tu uniambie ntapata wapi blenda nzuli kwaajili ya kazi
Shingapi
Mashagllah sh ngapi
hatu uzi boss...tunarekebisha tu.
@@namirial4509 hatu uzi boss...tunarekebisha tu.
Nauliza boss km blender ya silver crest imetoa moshi na haisagi tena mnaeza tengeneza
Op bro
thanks for watching bro
Asante sana
Nahitaji blender ya biashara nahipataj
Naomba namba yenu
0684017700
Asante kwa maelezo mazuri sana. Naomba kujua bei za commercial blenders za Lt 2, na Lt 4. Mko wapi?
@@agnesmwanjisi2085 sisi hatuuzi boss wangu, tunarekebisha tu vifaa