Nakitakia Chama Chetu Cha CHADEMA, amani ........hasahasa baada ya uchaguzi. But Lissu Tundu, wewe ndiye Our New Chairman wa chama hiki kikubwa tunachokipenda toka moyoni......
Kazeni mafuvu mdhani kipindi hiki ni kama huko nyuma. Kama hakuna uchaguzi huru,wazi na haki basi tutaona haiwezekani ccm waruhusiwe kuingilia mchakato watuchagulie mwenyekiti. TUTAONA.
MUNGU awasaidie mfanikiwe kufanya uchaguzi wa amani, mshindane kwa hoja na ukweli, msichukiane Kuna maisha baada ya uchaguzi hasa kuleta umoja wa wanachama
Tumprnda mbowe tulimwita mwamba takilibani miaka 20 but just now we are say our lock without dispise we want you be rest,and if are refuse our warning is dangerous to dimolish a party,sijuiii! Ndege inayo taka kufa hua haisikii mruzi,
@@ChalesLukumai Mr Lukumai mbona unabananga lugha .... Kiswahili kinakushindaje ? Kiingereza nacho mmmh..! Mkiwa wengi wa aina yako basi ubora wa lugha utapotea....!!
@richardnganya2311 mbona sikuelewi!!! Unaniongelea mimi, au Richard Msongole aliyeandika kiingereza broken, na kiswahili broken? Mimi nilimshauri atumie lugha ya taifa.
Mbowe akipita atabomoa chama,,lissu akipita atajenga chama imara chenye kuaminika,,siasa za mbowe ccm wamezizoea,,kila mhula tuna zulumiwa uchaguzi mbowe hana siasa mpya
Team Lissu pigeni tu kelele mtandaoni Team mbowe wanawafata wajumbe nyumba kwa nyumba Mbowe ni master mind ametulia kama haoni linaloendelea 75% Wajumbe wameshafikiwa na Mwamba lissu hutoboi kura hazipo huko club house
Cosmas, kwani Taifa halijauzwa? Limeuzwa Taifa hili viwanjs vya ndege,Mbuga za wanyama na Bandari zote zimeuzwa watu wamtaka Lissu kwa ajili ya seriousness yake anafaa sana kwa Watanzania walio WENGI.
Chadema raia tunahitaji sera .kati b a sasa hivi na matumbo yenu yetu Katiba na ys wtz wote na siyo ya chadems peke yetu. Sasa mnaanza kutuvuruga wota wtz.siyo .Njaa na uroho wa madaraka.wahuni wa kubwa😢😢 tatueni matatizo yenu.Kwanza😢
Bwana Mnyika chonde chonde musikiharibu chama CHADEMA. Mimi simiongoni mwa wanachadema, lakini nimpenzi mno wa Chadema. Nawapenda viongozi woote, mbona Sasa munavurugana hadharani wapendwa? Mmoja ajishushe tuokoe Chama. Haya nimaoni yangu binafsi.
Secretariet yenye wajumbe waliowekwa na mwenyekiti Mbiwe ndio wanaoandaa uchaguzi halafu wakurugenzi waluoteuliwa na Serikali wakisimamia uchaguzi mnalalamika.
Mbona wana habari wamechachamalia sana Chadema? Mbona msiwachachamalie wanaoiba kura kila mwaka?? Ni Kwa kuwa Chadema haina dola?????????????? Please take a note!!
Mbowe na Lisu hawana cha vita ni kubwa.Wanajuana vizuri wanatutia kashkash tu tulihisi joto la huo uchaguzi lkn wenyewe wanajua vyema malengo yao.Chama kinatiwa joto ili kiamshwe na kirudi mahali pake
Huyu katibu wetu alikuwa mtu wa ofisini tu tofauti na Dr slaa alikuwa anakuja mikoani kufanya siasa! Sasa tukuombe Lissu akikuomba uwe katibu wake plz uwe unatoka ofisini
Ni LISU 2025 Hakuna shaka Tena LISU anaukwaa uenyekiti wa CHADEMA Mnyika Acheni kutetea upande wa Mwenyekiti Mustaafu Kwanini Tunamtaka LISU CHSDEMA imetekwa na CCM Haina SAUTI Tena LISU hatakubali CHADEMA iendelee Kutekwa na CCM CHADEMA inahitaji .MABAVU sio upole ni Wakati wa JINO Kwa JINO hivyo Mpenzi LISU Kura za Ndiyoisu Oyee.
CHADEMA....CHADEMA....CHADEMA....MSIWAANGUSHE WATANZANIA....DUMISHENI HAKI, AMANI NA DEMOKRASIA....MSIKUBALI 'KUGAWANYWA'...CHADEMA NA ACT WAZALENDO NDIO VYAMA MBADALA WA CCM.
Hapo sasa ni wakati wa kujua vyama vingine vyenye kupenda haki vijitokeze kusema wanavyoona muundo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi !! NCCR mageuzi, CUF, TLP UPDP na TADEA ADC DP ACT WAZALENDO, DEMOKRASIA MAKINI ?
Yaan kweli wagombea wa kitaifa wateuliwe tar 19 kisha 21 ndio uchaguzi hata sera zao tusisikie?halafu wafike ukumbini muwape dakika 5 za kuzungumza?acheni hizo chadema ni chama cha wananchi tunataka muda wa kusikiliza sera za wagombea
Timu lisu tujuane
Mujiandae kwa lipi? Kwanza Gani yakhe? Jiandaeni kama ni mbwai iwe mbwai kwa CCM chama Cha waharibofu.
Mungu awatangulie mmalize uchaguz salama..!!
Sahihi kabisa..ili ufanyike uchaguzi ulio huru na wa haki, marekebisho ya kanuni za uchaguzi yanapaswa yasubiri marekebisho ya Katiba!
Lissu anatosha
Mnyika uko safi mtulivu
Team lisu mpooo
Safi sana John wa Jambo tv👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Mpeni lisu uwenyekiti tofauti napo mnauwa chadema
No reform no election
Lissu tuvushe katika jangwa hili tulioko watanzania kwasasa ..
Ataleta vurugu kwenye nchi
@@KassimAlly-xp4dz watawala waliopo ndiyo wataleta vurugu kwa kung'ang'ania mfumo wa chaguzi usioendana na zama tulizopo.
Mbowe must go@@KassimAlly-xp4dz
Nakitakia Chama Chetu Cha CHADEMA, amani ........hasahasa baada ya uchaguzi. But Lissu Tundu, wewe ndiye Our New Chairman wa chama hiki kikubwa tunachokipenda toka moyoni......
John Marwa wa JAMBO TV umeuliza maswali mazuri sana na ya msingi sana. Asante 🙏
Asante sana kwa uelekezo mzuri kuhu Katiba na Kanuni Katiba Uchaguzi ujao
Mhhhhh.. MI naona mbowe mi5tena👍👍👍👍👍
Mwenyekiti tunamutaka lisu makamu tunamtaka heche
Naona kwa vigezo hovyo kuna mtu anatafutwa,ila😢 mtaxhindwa tu😂😂😂😂
Lisu tu hakuna mwingine
John wa jambo tv hongera sana
Mnyika ni team mbowe ingawa ana wakati mgumu sana kwenye hizo chaguzi, akijaribu kufanya mchezo chadema itabaki kwenye makaratasi tu
Ukitaka ondoka
Kazeni mafuvu mdhani kipindi hiki ni kama huko nyuma. Kama hakuna uchaguzi huru,wazi na haki basi tutaona haiwezekani ccm waruhusiwe kuingilia mchakato watuchagulie mwenyekiti. TUTAONA.
Tuhuma ambazo huwezi kuthibitisha..
Tunamtaka Lisu
Really?
Yupo tayari kwa mapambano ya haki
@@khalidmamdadi1072 mpe kura yako. Siyo maneno.
Lissu ameshindwa kabla ya uchaguzi
Lisu anatosha
Akili kubwa hii na hoja zenye afya na majibu mazuri na maelezo safi huna baya Katibu unaitendea haki hipo jukumu lako!
MUNGU awasaidie mfanikiwe kufanya uchaguzi wa amani, mshindane kwa hoja na ukweli, msichukiane Kuna maisha baada ya uchaguzi hasa kuleta umoja wa wanachama
Very smart
Lisu mwenyekiti mpya mabadiliko
Nampenda Lisu
MNYIKA JIEPUSHE NA HILA JUU YA TUNDU LISU WATANZANIA TUNAMTAKA LISU.
Kijana makini sana
Waraka huu ndio sahihi. Sio nyaraka hii. Ni nyaraka hizi kama ni zaidi ya mmoja.
Tumprnda mbowe tulimwita mwamba takilibani miaka 20 but just now we are say our lock without dispise we want you be rest,and if are refuse our warning is dangerous to dimolish a party,sijuiii! Ndege inayo taka kufa hua haisikii mruzi,
Tumia lugha ya taifa. Hujui lugha ya Malika.
@@ChalesLukumai Mr Lukumai mbona unabananga lugha ....
Kiswahili kinakushindaje ?
Kiingereza nacho mmmh..!
Mkiwa wengi wa aina yako basi ubora wa lugha utapotea....!!
@richardnganya2311 mbona sikuelewi!!! Unaniongelea mimi, au Richard Msongole aliyeandika kiingereza broken, na kiswahili broken? Mimi nilimshauri atumie lugha ya taifa.
Mbowe ameshindwa kutuvusha tunapiga kura tunanyang'anywa hana say anakula chake anakaa pembeni tumemchoka tunataka mtu jasiri mwenye maamuzi magumu
@@LameckMbele usimpe Mbowe kura yako.
Siku za mbele katiba iangaliwe upya hizi chaguzi ziwe simple kidogo. Zimekuwa very complicated! Hali hii inaleta mianya mingi ya mizengwe!
Mbowe akipita atabomoa chama,,lissu akipita atajenga chama imara chenye kuaminika,,siasa za mbowe ccm wamezizoea,,kila mhula tuna zulumiwa uchaguzi mbowe hana siasa mpya
Tunamtaka risu sisi
Unamtaka lisu
Mimi ni Prophet, Chadema mkifanikiwa kumchagua Lisu na Heche mutafanikiwa sana na Chama kitaenda kuiinuka sana
Ni kweli Julius msongole
Team Lissu pigeni tu kelele mtandaoni Team mbowe wanawafata wajumbe nyumba kwa nyumba Mbowe ni master mind ametulia kama haoni linaloendelea 75% Wajumbe wameshafikiwa na Mwamba lissu hutoboi kura hazipo huko club house
Cosmas, kwani Taifa halijauzwa? Limeuzwa Taifa hili viwanjs vya ndege,Mbuga za wanyama na Bandari zote zimeuzwa watu wamtaka Lissu kwa ajili ya seriousness yake anafaa sana kwa Watanzania walio WENGI.
Kumbuka alivyosema Job Ndugai.....
Mikopo nayo inatufanya tuwe tumeuzwa.
Hapo tusipotezeane mda,mwenyekit sahihi ni lisu tu na c mwingine
Kwako
Kapige kura kama una sifa za kuchagua
Hii sio hotuba nzito. Ametoa ruu taarifa.😂
Yesu ibaliki Tanzania Yesu awabaliki Chadema na Ibalik Africa
Katibu umeongea Vzr san Kama kwel hayo yote yatafuatwa Lissu tutamnyanyua Juu juuu
Novatus usiwe muongo mbona Lissu yupo poa sana.
Chadema raia tunahitaji sera .kati b a sasa hivi na matumbo yenu yetu Katiba na ys wtz wote na siyo ya chadems peke yetu.
Sasa mnaanza kutuvuruga wota wtz.siyo .Njaa na uroho wa madaraka.wahuni wa kubwa😢😢 tatueni matatizo yenu.Kwanza😢
Lisu ni mwanasheria akichaguliwa kuwa mwenyekiti wa taiga ndio mwisho wa chadema
Bwana Mnyika chonde chonde musikiharibu chama CHADEMA. Mimi simiongoni mwa wanachadema, lakini nimpenzi mno wa Chadema. Nawapenda viongozi woote, mbona Sasa munavurugana hadharani wapendwa? Mmoja ajishushe tuokoe Chama. Haya nimaoni yangu binafsi.
Mboe pumzika acha tamaa wewe mzee atukutaki usituaminishe ungo kukuamini mboe kaa pembeni vijana watuletee mabaduliko
Kwanini akae pembeni? Siyo mwanachama? Hana haki kugombea? Hana sifa? Acheni kura iamue. Kama wewe ni mjumbe, usimpe kura yako.
Kama wewe unashida na lisu,ni juu yako, sisi tuko na mbowe
@melch3097 una kura, au maneno tu?
LISU TOSHA
Mbowe MITANO tena
Maswali ya John acha kabisa
Sisi ni Lisu
No Lisu na Chadema, mind you!
Sasa mbona Mbowe alishawahusisha viongozi wa kuchaguliwa ?
Secretariet yenye wajumbe waliowekwa na mwenyekiti Mbiwe ndio wanaoandaa uchaguzi halafu wakurugenzi waluoteuliwa na Serikali wakisimamia uchaguzi mnalalamika.
Walijua mtakuwa bidy na uchaguzi wenu hivyo kutokuwa na muda wa hayo. Kivizia kama kawaida
Tim mbowe
Mbowe ni kiongozi bora na bado hajaanza kampeni ila lissu ameanza kabla ya muda
Lisu anatosha 28:41
Mbona wana habari wamechachamalia sana Chadema? Mbona msiwachachamalie wanaoiba kura kila mwaka?? Ni Kwa kuwa Chadema haina dola?????????????? Please take a note!!
najua mmejipanga time mbowe kumtafutia lisu makosa ili mate sababu za kumwengua kipenzi chetu lisu
Uongozi unahitaji busara lissu Hana sifa hio ata kidogo
Naona hiki chama kitaenda kuwa kama ccm kama hakitafuata ideology yake
Twende na lissu
Nenda nae. Hakuna aliyekuzuwia. Ila sidhani kama una kura.
Mnyika ni timu Mbowe na CCM
Ameshaanza kutumwa kuvuruga uchaguzi na tayari ameshaanza kuona timu mbowe kushindwa ama timu kaskazini kushindwa
Umemtafutia wewe? Au unapiga ramli!
Yaani serikali pekee ipange kanuni bila kushirikisha vyama hapo si kwelj
Siasa siasani
Lissu ni mgombea msafi kwa vyama vyote iwe CCM na vyama vingine hakuna msafi Kama lissu.
Mbowe kiongozi asie na jazba wala kulipiza visasi anafaa aendelee ,ili lisu aende akaanzishe chama chake cha watu wa kupenda shari
Wewe mpuuuzi
Popo wewe
Lissu hana shari mbona 😂
Wewe mpuuzi
CCM iliyochangamka
Mkimtoa Lisu ndio mtatujua wananchi mlikuwa mnatuchangishaga hela za nini kama hatuwahusu
Mnyika tenda haki usije kupata laana ya kudumu na kuchukiwa na watanzania
Safi Mnyika
Kufosi ndio lazima haki wapewi kwenye sahani Bali wanaidai kwa kufosi yaani nguvu.
RIP SACCOOS 🙏🏾🙏🏾
Unawashwa na govi lako
@ 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Wewe tunakujua vzr ni choko hapa mtaani kwetu
@ kama wachungaji wenu na MAASKOFU 🤩🤩🤩🤩
Mnyika hapo unamtetea mbowe hapa ni lisu tu ndiye tunayemtaka
Mbowe ni Dikteta na nitapeli
Pigeni kura wanangu Siku ikiwadia tung'oe umboe uliokomaa tumweke lissu kwenye map 🔨
Mbowe na Lisu hawana cha vita ni kubwa.Wanajuana vizuri wanatutia kashkash tu tulihisi joto la huo uchaguzi lkn wenyewe wanajua vyema malengo yao.Chama kinatiwa joto ili kiamshwe na kirudi mahali pake
Hiyo ndiyo demokrasia ya uwazi katika haki kikatiba.
Lissu kapita asubuh tu
Huyu katibu wetu alikuwa mtu wa ofisini tu tofauti na Dr slaa alikuwa anakuja mikoani kufanya siasa! Sasa tukuombe Lissu akikuomba uwe katibu wake plz uwe unatoka ofisini
Mbona mnyika anatoka sana mikoani hufatilii tu
Awe mbowe au lissu katibu awe mnyika
Ni LISU 2025 Hakuna shaka Tena LISU anaukwaa uenyekiti wa CHADEMA Mnyika Acheni kutetea upande wa Mwenyekiti Mustaafu Kwanini Tunamtaka LISU CHSDEMA imetekwa na CCM Haina SAUTI Tena LISU hatakubali CHADEMA iendelee Kutekwa na CCM CHADEMA inahitaji .MABAVU sio upole ni Wakati wa JINO Kwa JINO hivyo Mpenzi LISU Kura za Ndiyoisu Oyee.
Ni yeye Tena , si mwingine ni Lissu ,hatuhitaji kona
Wewe ni Timu mbowe
Huo ndio ukweli
Ishida iko wapi
CHADEMA....CHADEMA....CHADEMA....MSIWAANGUSHE WATANZANIA....DUMISHENI HAKI, AMANI NA DEMOKRASIA....MSIKUBALI 'KUGAWANYWA'...CHADEMA NA ACT WAZALENDO NDIO VYAMA MBADALA WA CCM.
Lisu ndo mpangozima
Elina mbura😂
Tunamtaka lisu aongoze jahaz letu kwa sasa
msitumie nguvu kubwa kwa lisu kapigeni kura
Mimi naomba tusiongozwe na mihemko baadae tukamkumbuka mbowe
Lissu atamwaga damu kwa manufaa yake ili.apate madaraka kwa manufaa ya mabeberu😢😢
Matope
Inaonekana una mavi kichwani
Mutuletee lisu
Hapo sasa ni wakati wa kujua vyama vingine vyenye kupenda haki vijitokeze kusema wanavyoona muundo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi !! NCCR mageuzi, CUF, TLP UPDP na TADEA ADC DP ACT WAZALENDO, DEMOKRASIA MAKINI ?
Yaan kweli wagombea wa kitaifa wateuliwe tar 19 kisha 21 ndio uchaguzi hata sera zao tusisikie?halafu wafike ukumbini muwape dakika 5 za kuzungumza?acheni hizo chadema ni chama cha wananchi tunataka muda wa kusikiliza sera za wagombea
Wewe huu sio uchaguzi wa wananchi ni uchaguzi wa ndani ya chadema.tatizo shule
Siasa siasa
MBOWE 5Tena
Mnyika tunakupenda sana usishiriki kufanya zuruma mpe mtu yeyote aliye shinda haki yake awe..mbowe au lissu
Kapende ndungu zako, acha uongo, unampenda lisu
Huyo ni team Mbowe ila huwa ni mtu wa haki sasa sijui kama safari hii atatumika kuharibi haki ya watu au la
lisu kaanza kampen mapema
Wenje ashakosa sifa
Ntobi Hana adabu
Mbowe aondolewe kwani amekuwa akitoa rushwa.