MAN OF GOD, you are deeply knowledgeable on spiritual matters. What you teach is of paramount importance to every Christian who aspires to live a fulfilled life. And in essence coming across to this knowledge the earlier, it is the better so that we can as Christians live a victorious life at the earliest possible time from the moment we get saved for that is the will of GOD. I unceasingly glorify GOD for your presence in this generation.
Hey asifiwe Yesu, Mchungaji mi nmeingia tu RUclips gafla nkapata video yako mkifunza roho na mwili kwa mabinti,nlijiingiza kwa maombi Kisha nkawa na maono huku natapika mchanga,nlipigia mke wangu tukaomba naye roho akanambia kwamba ni Mungu anifanyia deliverance.May God bless you ,it's not in vain mko kwa hewa kama hii ni video ya myaka nne iliopita imensaidia Leo date 21Nov 2021

Ahsante Mtumishi Somo ni zuri Sana!
Mungu akubless sana.somo Zuri sana
Mungu azid kutufundisha kupitia kinywa chako
barikiwa Baba Nina kuombeya uku nilipo mungu akupe mafunuo zaidi nime ipenda huduma yako nipo mbeya
God bless you servant of Jehovah
mwl.umefundisha vitu adimu saana .somo zuri nimelipenda nimefungukaa
Uko sahihi sana
Mtumishi huyu niwakweli kwasababu anafundisha kweli na hiyo kweli inawaka Hulu walioonewa good mtumishi
Amen...Nabarikiwa sana
mtumishi ninabarikiwa sana na mafundisho yako, mungu akubariki sana
Somo hili nimelipenda asante sana mutumishi wamngu
Sio siri najifunza sana
Hey asifiwe Yesu, Mchungaji mi nmeingia tu RUclips gafla nkapata video yako mkifunza roho na mwili kwa mabinti,nlijiingiza kwa maombi Kisha nkawa na maono huku natapika mchanga,nlipigia mke wangu tukaomba naye roho akanambia kwamba ni Mungu anifanyia deliverance.May God bless you ,it's not in vain mko kwa hewa kama hii ni video ya myaka nne iliopita imensaidia Leo date 21Nov 2021
Kwanini sikusikiliza hii series?Mungu akubariki sana mtumishi,umenifumbua macho
Kaka nimefika hapo siku ya alhamisi lakini sijaona hiyo semina ya vijana wa kiume ambao hawajaoa tuambieni itakuwa lini tunahamu sana