Lengo kuu au dhamira yangu ni kuhakikisha kuwa, kila mmoja wetu anaelewa methali za kiswahili na kuwa chuma cha moto kwa lugha ya kiswahili.@danielaluora4083
Fimbo ya mnyonge hulipwa na Mungu. m.y. :Ubaya anaotendewa mtu mnyonge hulipizwa na Mungu. mat. :Mungu pekee ndiye mlinzi au ngao ya wanyonge. Methali hii huelezewa matajiri wadhalimu wapendao kuwaonea maskini.
Good work!
thanks
nice one
Thanks
how it is /
hello/
Fimbo ya mnyonge
Fimbo ya mnyonge hulipwa na Mungu.
m.y. :Ubaya anaotendewa mtu mnyonge hulipizwa na Mungu.
mat. :Mungu pekee ndiye mlinzi au ngao ya wanyonge. Methali hii huelezewa matajiri wadhalimu wapendao kuwaonea maskini.