NJIWA PELEKA SALAM KAIPIGA LIVE PATRICIA HIRARRY MWENYEWE HARUSINI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 16

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 3 года назад +1

    Kumbe huyu Mama ndiye mtunzi wa ii nyimbo --- thanks for enlightening me !!

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +1

    Ooh njiwa fikisha salam,na ongea nae taratibu,na ulete majibu mazuri.hizi ndio zilikuwa enzi za mapenzi ya ukweli usiopingika. sio siku hizi ni mdumange.

  • @salvatory2987
    @salvatory2987 5 лет назад +1

    Nimemisi sana mziki wa taalabu, mzee Yusuph aliua taalabu

  • @faridamahenge6405
    @faridamahenge6405 7 лет назад +2

    daaaaaah nicely nakupendaa kakaa G unaend sehem zakuelewekaaa zenye heshma zao nice kwao sherh nzuuuuuuur

  • @abdulsudeismanutdspereira4319
    @abdulsudeismanutdspereira4319 5 лет назад +1

    Naipenda sna hii Taarab 💪❤❤ watching it from 254 Njiwa peleka salamu my fav.🔥🔥

  • @piliomary8596
    @piliomary8596 7 лет назад +2

    vile huniangushi na video zako..🙌😍😍

  • @AthmanMwalimu
    @AthmanMwalimu Год назад

    Dhahab ya kale nimeipend xan

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 лет назад +1

    Sisi wa Tanga tunaelewa zaidi hii tamaduni

  • @milkamugeni7940
    @milkamugeni7940 5 лет назад +1

    Miaka yote sikujua nani haswaa ndio mtunzi wa huu wimbo nemefurahi kumjua

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 года назад +1

    Njiwa weeh

  • @zuhurarajabu3790
    @zuhurarajabu3790 6 лет назад +1

    Waume inyi kwatama ngoma

  • @bantuempress1744
    @bantuempress1744 7 лет назад +1

    Jamani nacheza kishenzi

  • @rosedamian7136
    @rosedamian7136 7 лет назад

    duuuh nikumbuka home

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 7 лет назад

    Nice

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 2 года назад

    Wtzadafh

  • @rehemagloria6864
    @rehemagloria6864 3 года назад

    Nice