Vee Money na Jux Walichokifanya, Shilole Hatasahau!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2018
  • Suprise ya Vee Money na Jux Kwenye Harusi ya Shilole
    Kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa wote, video mpya za Bongo Fleva, hadithi za Eric Shigongo na Magazeti Bure, ni Application namba moja pekee Tanzania.
    Install #GlobalPublishersApp
    Android: bit.ly/2AAQe1d
    iOS: apple.co/2Assf4M
    Subscribe / uwazi1
    COUPLE ya wakali wa Bongo Fleva, Juma Jux na Vanessa Mdee 'Vee Money' usiku wa kuamkia leo wamefanya kufuru usiku wa kuamkia leo baada ya kugawa minoti kwenye harusi, Shilole na Uchebe iliyofanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam.
    Katika harusi hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Couple ya Jux na Vanessa walipata fursa ya kutoa nasaha na kumpongeza Shilole kwa kufunga ndoa pia wakimpongeza Uchebe kwa kumpata mke aliye bora.
    Baada ya hapo, Jux alichana pochi na kumkabidhi Vanessa mkwanja ambapo aliwavagaa maharusi na kuanza kuwarushia pesa hizo kama zawadi.
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 50