Shiriki mnatuchafulia dini yetu mtu ambaye hajui dini akioneshwa ninyi anakubali kuwa uislamu dini ya Majini kwa ushenzi wenu acheni kuendekeza matumbo yenu fanyanyeni kazi acheni uvivu
ETI nazi, kuku, mbuzi, Hii kiislamu sio dua. Hakuwahi kufanya wala kufundisha mtume wetu. Wala maswahaba/wanafunzi wa mtume hawakuwahi kuifanya. BALI watu wachache wamejitungia kwa mawazo yao tu.
Haiko katika mafunzo ya dini
Ni Dhahiri ya shiriki , hakika ya mzani wa Allah sio wa mawe wala umeme.
Shiriki mnatuchafulia dini yetu mtu ambaye hajui dini akioneshwa ninyi anakubali kuwa uislamu dini ya Majini kwa ushenzi wenu acheni kuendekeza matumbo yenu fanyanyeni kazi acheni uvivu
ETI nazi, kuku, mbuzi,
Hii kiislamu sio dua.
Hakuwahi kufanya wala kufundisha mtume wetu.
Wala maswahaba/wanafunzi wa mtume hawakuwahi kuifanya.
BALI watu wachache wamejitungia kwa mawazo yao tu.
Acheni utapeli
waganga subhanallah
Watu watanzania kwa kweli mnajuwa kupotosha watu hivi mna nini nyiye
Ushirikina huo katika kimvuli cha dini
Habar
Kicha kilikuwa kinafaa kuwa hivi
USHIRIKINA MKUBWA WA VIJANA WA MSHIRIKNA MPIRI
vijana mko serious sana
Kama mko serious ni someeni nimeibiwa
nisome nomeibiwa
Mushrik
nakupataje nina shida nimetapeliwa unaweza kunisaidia
Naaaam nyukiria hiooo