Diamond Platnumz adai hana maisha Mazuri, Ataja anachotamani

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 345

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 6 лет назад +28

    Big up kwa simba mungu akuzidishie pia akufanyie wepesi ufanye na ibada inshallah

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 лет назад +51

    Mwenyezi mungu akuzidishie nasibu jamaniii unamoyo sana diamond

  • @user-ik3ey9cs9e
    @user-ik3ey9cs9e 6 лет назад +18

    Mungu kakujalia broo Alhamdulillah. Mungu akuzidishie mengi ya kher duniani na akhera

  • @Amishjuma
    @Amishjuma 6 лет назад +24

    MashaAllah vizuri sana diamond watching 4rom Dubai--Abudhabi.

  • @fatmahchambo2037
    @fatmahchambo2037 6 лет назад +5

    MashaAllah... salute platnumz, big up...keep it up.
    Umefunika mbaya.... #Tandale oyeeeeeee....!!!!

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 лет назад +34

    Kila siku nasemaga huyu ni mwili mdogo lakin akili bahari nakama unamkubali diamond acha mabifu acha uoga usione wivu acha kusita gonga like yako hapa👏👏👏

  • @sadiaadansadiaadan449
    @sadiaadansadiaadan449 6 лет назад

    Mwenyezi mungu akusaidie na akuzidishie kwa kutowa zawadi kwa watoto na piya kwa watu wazima ume fanya kitu kizuri sana diamond

  • @perismcute5139
    @perismcute5139 6 лет назад

    Mwenyezi mungu akuzindishie..big up Diamond

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 6 лет назад

    You have done such an amazing thing.....big up and congrats

  • @ramadhanimandanje1990
    @ramadhanimandanje1990 6 лет назад

    nimeipenda sana hii diamond mungu akudhidishie heli na baraka

  • @fipaempire2574
    @fipaempire2574 6 лет назад

    Hongera sana Diamond mungu akuzidishie kwa kidogo ulichotoa

  • @MA-md9ns
    @MA-md9ns 6 лет назад

    Mwenyezi mungu azidi kukujalia kila la kheri Diamond. Na mungu akupe kikubwa zaidi ❤❤❤❤❤

  • @hannahwanjiru3351
    @hannahwanjiru3351 6 лет назад

    Watching from dubai my God bless you diamond

  • @briebella3895
    @briebella3895 5 лет назад

    Love you baba tee una roho nzuri mwenyezi Mungu akuzidishie Baraka na uzima

  • @maryamtv2712
    @maryamtv2712 6 лет назад

    Mashallah diamond ana huruma na watanzania ana wapenda pia mungu akubarik

  • @patrasisrael7566
    @patrasisrael7566 6 лет назад

    GOD bless u diamond platinumz goodluck in everything u are doing big up bro

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 лет назад

    Diamond mungu akuweke tunakupenda sana

  • @nickmuriz9447
    @nickmuriz9447 6 лет назад

    Kazi nzuri Diamond watching from Dubai keep up bro.

  • @bahatis.mbishi737
    @bahatis.mbishi737 6 лет назад

    Mungu akubariki sana na azidi kukupa maisha marefu maana niwachache sana mastar au viongozi wanaokumbuka kwao na watu wao bila kujal maisha yao pamoja nakua wapo watu wenye uwezo kuliko ata Diamond kutoa ni moyo.big up sana #diamond platnuz

  • @graceleonard6150
    @graceleonard6150 6 лет назад +14

    We mtoto diamond Mungu akubaliki

  • @suhailalbastaki5531
    @suhailalbastaki5531 6 лет назад

    woow diamond baraka tele kaka ni vyema kushare eid tukufu barikiwa na uzidishiwe

  • @janaitssa8260
    @janaitssa8260 6 лет назад

    mungu akubariki akuzishiye ambapo ulitowa baba👌👌❤❤

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 6 лет назад

    You will be blessed abundantly a boy from Tandale

  • @divinahkemunto1429
    @divinahkemunto1429 6 лет назад

    I LOVE this,,,God bless

  • @darisimauridi8183
    @darisimauridi8183 6 лет назад +2

    Duuuh! jamaa ana moyo wa pekee sana yan mungu akuzidishie chibu

  • @troubleabhat2190
    @troubleabhat2190 5 лет назад

    Diamond unapendeza lakni hayo mambo ya vipuli na vikuku style za nywele Acha kanzu Mashallah imekupendeza Sana hongera Kwa hapo

  • @andreamzigua6818
    @andreamzigua6818 6 лет назад

    aafi sana SIMBA wewe nimfano mzur ktk jamii asie penda hili jambo nimchawi na mfizur ,mungu akuingezee unapo punguziwa.

  • @ashuramahamba4452
    @ashuramahamba4452 6 лет назад

    hongera Ndugu yangu diamond , mchana nao wanao kubeza

  • @bilalbinali1227
    @bilalbinali1227 6 лет назад +3

    Allah akuzidishie Dai una moyo wa kipekee

  • @saidkaoneka2648
    @saidkaoneka2648 6 лет назад

    Jamani ndio maana nimekuona we daimondi mungu akuzidishie

  • @stevenpeter2260
    @stevenpeter2260 6 лет назад +28

    Hongera sana Diamond, unahuzuni mpaka uso unaonyesha. Furahia kwani hatuwezi kulingana, ulichokifanya kikubwa sana.

    • @janethamos7819
      @janethamos7819 6 лет назад

      ongera diamond

    • @mymama1434
      @mymama1434 6 лет назад +1

      Steven Peter mie pia namuona.. kama anaeumia

  • @didacekishuga4338
    @didacekishuga4338 6 лет назад +9

    "Umenikumbusha maandiko matakatifu yanayosema Cheka na wachekao Lia na waliao" hakika ulichokifanya Mond hakunaga!!! Chezea boy from Tandare wewe, nimeipenda saaaaana hii

  • @bahatibushiri7230
    @bahatibushiri7230 6 лет назад

    Diamond mungu akuzidishie

  • @anzigaranzigar1341
    @anzigaranzigar1341 6 лет назад

    Mungu akubark sana diamond

  • @revinamussa7320
    @revinamussa7320 6 лет назад

    Uyo Kaka anamoyo snaa aiseee mwenyezi mungu akupe Zaid ya hvy unavyotoa baba Tiffany

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 лет назад +9

    Hongera sana SIMBA 👏👏

  • @danielyohane9441
    @danielyohane9441 6 лет назад +1

    you have a Good heart those are more blessings to your generation

  • @dekaally4350
    @dekaally4350 5 лет назад

    Masha Allah diamond mungu akubariki bro

  • @nackymshana6384
    @nackymshana6384 6 лет назад

    ongera sana daimond mungu atakuzidishia inshallaah

  • @nayrinekakuni9046
    @nayrinekakuni9046 6 лет назад

    Mungu akubariki sana diamond.

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 лет назад +42

    Dah aise wewe Kaka utafika mbali kwa roho yako nyeupe,achana na Jay z we ndio jay z wetu,Mungu akubarikia,kama unamkubali simba piga like hapa

  • @nikkev3659
    @nikkev3659 6 лет назад

    kazi nzuri mond mungu azidi kukubariki

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 6 лет назад

    Mungu akubariki diamond

  • @ablahasa1233
    @ablahasa1233 6 лет назад

    Mashaallah day Mungu akuongezee

  • @vicenttz7662
    @vicenttz7662 6 лет назад

    diamond nakukubali sana mzazi mm xina mengi yakuongea zaidi ya kukuombea

  • @mbenamdudu7856
    @mbenamdudu7856 6 лет назад

    cool brother much love

  • @tabbydee6719
    @tabbydee6719 6 лет назад

    May God bless u Diamond

  • @hawashabani6150
    @hawashabani6150 6 лет назад

    Mungu akubali sana diamond

  • @leonardebumbuli1768
    @leonardebumbuli1768 6 лет назад

    Kazi nzuri....live long Diamond platinum

  • @diomedesmtayoba3955
    @diomedesmtayoba3955 6 лет назад +1

    Mungu akuzidishie kijana

  • @lucytatu7675
    @lucytatu7675 6 лет назад

    Mashallah tabarakallah......Allah hakujaze

  • @zalinamalalemwaburi1459
    @zalinamalalemwaburi1459 6 лет назад

    Mungu akubariki sana diamond

  • @ruttenange9213
    @ruttenange9213 6 лет назад

    Wow God bless you bro.Big up 👏👏

  • @parsleyy
    @parsleyy 6 лет назад

    You will shine forever

  • @terrykamau902
    @terrykamau902 6 лет назад

    May God bless you with many more 🙏🏼🙏🏼

  • @tatianatataa1489
    @tatianatataa1489 6 лет назад +26

    Diamond ni mfano mwema kwa jamii, umenikumbusha Ali Banat

    • @stifanicdzuya165
      @stifanicdzuya165 6 лет назад +4

      Jackie chao wacha kumfananisha Ali Banat na Diamond plz,Ni ukitowa mkono wa kulia wa kushoto usione y ukusanye media wakati unantia, toa kwa LILLAHI media yako iwe n mungu tu,Ali was great

    • @tatianatataa1489
      @tatianatataa1489 6 лет назад +1

      Stifanic Dzuya hata Ali Banat alikuwa anatangaza kote, sijui lipi la ajabu kwako...Diamond is doing great too

    • @maatumkhatibmohamed6984
      @maatumkhatibmohamed6984 6 лет назад +1

      Ali banat aliuza Mali yake kwa ajil ya Allah na akafungua taasisi yake ambayo inawasaidia waislamu.Na Akutoa kwa ajili ya kujionesha Alitoa kwa misingi ya Haki ya dini ya kislamu.Allah amrehemu ampee kauli thabit alipee nuru kaburi lake.Amiin

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 лет назад

      Stifanic Dzuya Exactly my dear Ali Banat uwezi mfananisha na uyu, ila Diamond nae anajitahidi pia, aswa kwa family yake

    • @tatianatataa1489
      @tatianatataa1489 6 лет назад +1

      Nilisema diamond amenikumbusha Ali, didn’t say diamond is Ali... get the difference

  • @mwanaishasalu4275
    @mwanaishasalu4275 6 лет назад

    Allah akubarik zaidi amiin.

  • @sharonmutua2515
    @sharonmutua2515 6 лет назад

    Congratulations babake pokea zangu from Qatar

  • @gracegody7023
    @gracegody7023 6 лет назад

    Mungu akubariki mwaya

  • @j...876
    @j...876 6 лет назад

    Mondi keep up,and be blessed!!

  • @fauziasitara2509
    @fauziasitara2509 6 лет назад

    Mashallah barikiwe Nasib Abdul

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 лет назад

    Mungu akujalie baba tee

  • @haithamabdallah1051
    @haithamabdallah1051 6 лет назад

    Allah akuzidishie palipopungua nami natamani niwe kama wewe wallah lakn bado maisha magumu

  • @mitomingi8297
    @mitomingi8297 6 лет назад

    Mungu akupe mzee Na atakusimamia kwa yote ufanyayo

  • @rashidmasoud6939
    @rashidmasoud6939 6 лет назад

    Kila binadamu anadhambi ila tunazipunguzaje mungu akubariki diamond

  • @hoseanobocka4533
    @hoseanobocka4533 6 лет назад

    Mungu akubariki Diamond hakika ukifanya hivi utafanikiwa xana Nasibu

  • @reneewoods3066
    @reneewoods3066 6 лет назад

    More blessings upon you Babake Tiffah🙌

  • @sadathasan9165
    @sadathasan9165 6 лет назад

    kwamwendo huu braza utafika mbali mungu nimwema

  • @maswetabongomovie302
    @maswetabongomovie302 6 лет назад

    ASSALAAMU ALAIKUM WA RAHMATHULLAHI WA BARKATHUHU EID MUBARK. Mashaallah mwenyez mungu akupe nguvu na afya uzidishiwe riziki Inshallah

  • @faumash831
    @faumash831 6 лет назад

    God bless you moree baba tee

  • @MemsapSaum
    @MemsapSaum 6 лет назад

    Mashaa Allah mola akuzidishie na akupe maisha marefu

  • @lucianachappa1213
    @lucianachappa1213 6 лет назад

    Mungu aendeleleee kukupa nguvu diamond

  • @liborymulunga4465
    @liborymulunga4465 6 лет назад

    Food shelter and clothes.. Jinsi ulivyoitaja u r genius

  • @danielyohane9441
    @danielyohane9441 6 лет назад +43

    kama umekubali kitu ambacho kafanya chibu leo gonga like hapa

  • @user-kc4sy9dw4l
    @user-kc4sy9dw4l 6 лет назад

    jaman kaka ghangu daimond mungu akujalie ridhiki biidhinillh

    • @egnokapinga4903
      @egnokapinga4903 6 лет назад

      Tunapoandika jina la "Mungu" tunaanza kwa herufi kubwa.

  • @oldinarydonard9187
    @oldinarydonard9187 6 лет назад

    Umejibu vizuri sana daimondi

  • @davidykawau4698
    @davidykawau4698 6 лет назад

    Mungu aendelee kukuwezesha Mr D

  • @dianumzissa4101
    @dianumzissa4101 6 лет назад

    diamond mungu akubaliki

  • @charlskpc1103
    @charlskpc1103 6 лет назад

    Mwenyezi Mungu akuzidishie

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 6 лет назад

    Nampenda ksb akihojiwa anaongei kutoka moyoni kwenye vyombo vya habari napenda sana ulivyo una moyo wa upendo

  • @sweetmelody9927
    @sweetmelody9927 6 лет назад

    I like diamond he has a good heart

  • @AishaAli-lk7gh
    @AishaAli-lk7gh 6 лет назад

    congratulation from +254

  • @georgemgomba6507
    @georgemgomba6507 6 лет назад

    Diamond huyu Dogo ana IQ kubwa sana na pia ni kijana tofauti mno kila nikitazama trend yake namuona mbali sana Mungu akipenda Ten years to come,Afrika na Dunia nzima tutaelewana ,Go go go Diamond.Mungu akubariki sana.

  • @majaaliwasalum9462
    @majaaliwasalum9462 5 лет назад

    Mungu awe nawe diamond

  • @elizsbethrobert7161
    @elizsbethrobert7161 6 лет назад

    Mimi Niko mikoani natamani nami ningekuwepo Mungu akuzidishie

  • @roseamal6694
    @roseamal6694 6 лет назад +2

    That made me sad that he is unhappy with his life. Only God can give you peace, Joy and love. Seek him. Praying for you Diamond.

  • @paulineshivele168
    @paulineshivele168 6 лет назад

    God bless you diamond

  • @masiqaima3099
    @masiqaima3099 6 лет назад

    hongera Sana'a ....

  • @jumamwakileoomari6392
    @jumamwakileoomari6392 6 лет назад

    Big up God bless you

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 6 лет назад +3

    Nani anakata vitunguu hapa najipata nalia oiye dai nakuombea sana despite unavyoongelelewa kwa mitandao....u are really a nice guy God bless you baba tee

    • @shiksshiks8494
      @shiksshiks8494 6 лет назад

      PATRICK PIUS good Sana simba 100 kabisa

  • @sinamohammed6938
    @sinamohammed6938 6 лет назад

    Mashallah mungu akubariki

  • @didaamohsin6440
    @didaamohsin6440 6 лет назад

    diamond mungu akuzishiee

    • @catherinepamphil8267
      @catherinepamphil8267 6 лет назад

      Barikiwa sana kaka ila mtangulize mungu sauna katika maisha yako tunakuona huna raha kabisa na si kawaida yak tutazidi kukuombea mung akuepeshe na kila baya

  • @latifalatifa1434
    @latifalatifa1434 6 лет назад

    Hongera baba tiffah

  • @laurentproches8370
    @laurentproches8370 6 лет назад

    mungu akubaliki

  • @asallymbwego5906
    @asallymbwego5906 6 лет назад

    God bless you bro

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 6 лет назад

    Salute bro Diamond

  • @tnftz1461
    @tnftz1461 6 лет назад

    Hii sawa co wengne mkipata mnashinda kwny maswiming pool mkioga mnatundika pumbu kwny vtanda mnasahau mlipotoka #jahbless

  • @bakaryjembe909
    @bakaryjembe909 6 лет назад

    Duuh god bless u mondi

  • @shambiraghasi2777
    @shambiraghasi2777 6 лет назад +13

    Congratulation diamond

  • @lillianmarco1301
    @lillianmarco1301 6 лет назад

    Jmn dizzim hamna mshahara mzuri at all..how come uyu dada habadilishi wigi wiki ya ngapi cjui