Mwalimu wa kwanza wa John Magufuli, Cornel Pastory

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • ALIKUWA NA NDOTO YA KUONANA NA MH.MAGUFULI PINDI AKIPITA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
    Alifariki dunia tarehe 07.08.2015 katika hospitali ya Biharamulo Moani Kagera.
    Mwalimu Cornel Pastory ni Mwalimu wa kwanza aliyempokea na kumfundisha Dkt.John Magufuli alipoanza darasa la kwanza katika shule ya msingi Chato mwaka 1966. Mwalimu Cornel Pastory alikuwa mwalimu mkuu na mwanzilishi wa shule hiyo.

Комментарии • 2