TASA FULL MOVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 965

  • @priscillakatana6416
    @priscillakatana6416 5 месяцев назад +24

    Wow hii movie ina mafundisho hongera kwa kakangu kipenzi ROBERT ,KACHE , TIMASTI na wengine mlioshiriki kwa MOVIE hii keep it up pongezi sana nyoote

    • @salimcharo2674
      @salimcharo2674 5 месяцев назад

      Congratulations Ruby and all participants

    • @martinmkeke8528
      @martinmkeke8528 5 месяцев назад +1

      Mumeweza kongole kwawhote

  • @erapalma7364
    @erapalma7364 5 месяцев назад +81

    Kazi nzuri..Nipewe likes ngapi kwa hii comment ndio utoe nyengine?

  • @dohaqatr8461
    @dohaqatr8461 5 месяцев назад +17

    Congrats daa kache na cast wengine big up sana❤ from Qatar 🇶🇦 wala sioni aibu kupeperesha beblndera ya 🇰🇪 #miji9 na kama hamtanipa hug nyote mlambe na shetani kwenye uso kwa roho zenu mbaya 😂😂😂

    • @maggieluvuno4666
      @maggieluvuno4666 4 месяца назад

      Qatar too Kenya Big up cast wote tunafatilia
      chikwehu nichidzo ❤❤❤

  • @shaurimwambegu1319
    @shaurimwambegu1319 5 месяцев назад +13

    Pongezi Kwenu wote walio cheza. Mmefanya kazi nzuri sana🔥🔥🔥👏👏👏👏👏

  • @rizikivukongolo7653
    @rizikivukongolo7653 5 месяцев назад +6

    Tasa🎉🎉pongezi sana Kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki 🙏🙏🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯

  • @morrismkuba5755
    @morrismkuba5755 5 месяцев назад +11

    Good job wakwehu nyote 🎉🎉🎉🎉 ,ila Mikahunda mnafiki sana 😂😂😂😂😂😂😂.

  • @KenyanRapper-lo6fb
    @KenyanRapper-lo6fb 5 месяцев назад +3

    Kutoka Kwale, Kinango, Kasemeni Duruma ndani ndani Mpaka Kilifi Kwa Ruby Kache Films ukweli mko vizuri big up xnaaah 🤝🙏🙏 Niko pamoja nanyi huku Duruma

  • @ASAS-q9u9e
    @ASAS-q9u9e 5 месяцев назад +1

    Tamu sana kazi nzuri kache hongera❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @trillytrillionaire4904
    @trillytrillionaire4904 5 месяцев назад +58

    Movie yetu pendwa ndio hio support yenu ndio tunaiomba ✌✌🥰🥰🥰

    • @mwanatumusalim1558
      @mwanatumusalim1558 5 месяцев назад +1

      Inahuzunishaaaa inachekeshaaaa humuhumuu tunajifunzaaaaa

    • @princejobic9036
      @princejobic9036 5 месяцев назад +1

      Unatype kala udzareya Trilly🤣🤣🤣

    • @priscahmahenzo642
      @priscahmahenzo642 5 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤❤❤

    • @charletsada8779
      @charletsada8779 5 месяцев назад

      Iko sawa sana ,hata mimi napenda kuigiza nimefanya kuigiza toka primary broo sijui km huwa khna chance,plz

    • @LucyKarembo-s2m
      @LucyKarembo-s2m 5 месяцев назад

      😂😂😂😂kazi nzuri

  • @Mwaringangowa-r9u
    @Mwaringangowa-r9u Месяц назад +2

    Nimeipenda sana hii ❤❤❤❤🎉🎉

  • @charlesngala6005
    @charlesngala6005 5 месяцев назад +17

    Kache kazi nzuri sana na team yote but.
    1.sijaona hatua za kiafya ama matibabu na mabwanazako kuhusu tatizo la uzazi mlizochukua.
    2. Sijaona ushauri wa mamako mzazi kuhusu tatizo hili.
    3. Je tamaduni zenu (kimanye kigiryama)
    4. Ushauri wa dini yenu.
    Lazima uonyeshe ulivyo hangaika ulipogundua unatatizo la uzazi. Thank you so much for this script.

    • @gas9561
      @gas9561 5 месяцев назад

      Point brooo🎉

    • @Khadijah-eq2oe
      @Khadijah-eq2oe 5 месяцев назад

      Point bt movie ndio mwenzo yaanzaa ​@@gas9561

    • @PendoKalama-rn8pf
      @PendoKalama-rn8pf 4 месяца назад +1

      Muvi mbidzo kamare...inafaa ikale inenderera mpaka upate mwana uaibishe womarokweha tasa....

  • @neema-h6v
    @neema-h6v 5 месяцев назад +4

    Mikahunda mbea unyamaze mtu kishe umtagaze😂😂😂 mmeweza watu wangu❤

  • @MERCYBAHATI-bp4ne
    @MERCYBAHATI-bp4ne 5 месяцев назад +7

    Wow....natamani Mimi pia niwajoin coz I love acting so much

  • @SheilaYeri
    @SheilaYeri Месяц назад +1

    Congratulations 👏👏🎉🎉🎉

  • @samuelkazungu6353
    @samuelkazungu6353 5 месяцев назад +8

    Congratulations my dear sister I'm proud of you BAMBA and Kenya is proud of you 👏👏 keep on growing tuko pamoja

  • @Esthertatu.254
    @Esthertatu.254 5 месяцев назад +1

    Wow kazi safi sana ata nmetamani iwe yaendelea❤❤big up

  • @Micharazo-q7f
    @Micharazo-q7f 5 месяцев назад +2

    Kazi safi sana next nataka kuona mzee wa kwani ninininininiiiiiiiii awe ndani ❤❤❤❤🎉

  • @haluwa9713
    @haluwa9713 5 месяцев назад +1

    Wooh ii 🔥🔥unatufundisha mambo mengi sana congratulations 🎉

  • @cosmuskarisa
    @cosmuskarisa 5 месяцев назад +51

    Sasa mtu unaview na haulike,, gonga like ndio ifikiie watu wengi jamani😢❤

    • @shaddydenaz
      @shaddydenaz 5 месяцев назад

      Kazi nzuri sana lkn fupi tupe nyengne bc 🎉🎉🎉

    • @julianariziki1629
      @julianariziki1629 5 месяцев назад

      Kazi nzuri sana

  • @John-r5p1q
    @John-r5p1q 4 месяца назад

    Haho henye ndugu zangu ,nawahenza mwiimwiiii taaa🥰🥰🥰🥰

  • @shabby7377
    @shabby7377 5 месяцев назад +12

    Rubi hii movie ninzuri sana nanakuomba uendeleze waaaah

  • @CharlesCharo-s7n
    @CharlesCharo-s7n 2 месяца назад

    We nimeipenda,💪💪💪kilifi kipaji kiko,uncle George hongera,nipeni next part ya hii movie,ntamu I say

  • @BRANKERLEWIS
    @BRANKERLEWIS 5 месяцев назад +9

    Leteni MAUA yetu kwa kazi hiii 🎉🎉🎉

  • @SammyMart-p2b
    @SammyMart-p2b 5 месяцев назад +2

    Oya mwangu Trilly aiseee salute sana bro umecheza kama watu mia 🎉🎉

  • @ArmaniShabani
    @ArmaniShabani 5 месяцев назад +5

    Like zangu kutoka kwa kaka Timasi na dada Ruby kache na waliofanikisha hili jambo❤

  • @HalimaCharo-jw9od
    @HalimaCharo-jw9od 5 месяцев назад +1

    Keep going🎉🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako sister na wahusika wote

  • @hamisicharo8956
    @hamisicharo8956 5 месяцев назад +4

    Talent zi Kilifi, kudos guys

  • @JescaNzai
    @JescaNzai 4 месяца назад

    Wow endererani vv asena mnaimanya yo kazi❤❤❤❤❤

  • @roppyjoe
    @roppyjoe 5 месяцев назад +3

    Taari movie ni kali. Nmeipenda. Lkn ata ww pia ni mrembo sana mamaa

  • @ElmaTsuma
    @ElmaTsuma 5 месяцев назад +2

    Wow kazi nzur keep up wasee🎉🎉❤

  • @AndersonruwaahRuwaah56
    @AndersonruwaahRuwaah56 5 месяцев назад +3

    N nzuri sana pongezi sana

  • @tetrakatana1555
    @tetrakatana1555 Месяц назад

    Kazi safiii, mikahunda ni Fala sanaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @NURULINE001
    @NURULINE001 5 месяцев назад +21

    Keep up🎉🎉🎉

  • @JumwaStephenGali
    @JumwaStephenGali 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 mikahunda udzambirwa Alume ahahu wethaunaamba afungahe 😂😂😂😂 shakaaaaaaa umbea unahitaji nafasi❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri jamani

  • @ngalamwadziwe5601
    @ngalamwadziwe5601 5 месяцев назад +4

    Trilly big-up nakukubali sana 2

  • @PatienceThoya-yz5yt
    @PatienceThoya-yz5yt Месяц назад

    Kazi nzuri sana😂😂 mekahunda❤🎉

  • @MahenzoDickson
    @MahenzoDickson 5 месяцев назад +6

    🔥🔥❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉muhaswe move iko n mafundisho mazuri

  • @BinahJoy
    @BinahJoy 3 месяца назад +1

    The film is so touching......iniguta ho mwisho kareee....kazi mbidzo ruby en the whole team 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ErickMenza
    @ErickMenza 5 месяцев назад +3

    Walai movie iko sawa

  • @Michaelmangy
    @Michaelmangy 3 месяца назад

    Mikahunda watoswa luhasi mwanehu hlf wangwa😂😂😂😂😂 good job🥰🥰🥰

  • @MaryChirindoHeba
    @MaryChirindoHeba 5 месяцев назад +3

    Hii n tamu sana

  • @FatumaKatana-ff2hy
    @FatumaKatana-ff2hy 5 месяцев назад +2

    Wazi asante sana kueke huku pia ss tunaeza watching big up

  • @BenimanJacky
    @BenimanJacky 5 месяцев назад +3

    Kazi safi sana🔥🔥,just work on vedeo quality

    • @Kache003
      @Kache003  5 месяцев назад +2

      Ok thanks

    • @erapalma7364
      @erapalma7364 5 месяцев назад +1

      Weka settings za video to 1080P..video ni 2k Quality

    • @princejobic9036
      @princejobic9036 5 месяцев назад +1

      Bro chegua quality nzuri ya kuwatch au maybe umewatch place hakuna network... mbona video quality ni wari na kunde tu

    • @BenimanJacky
      @BenimanJacky 5 месяцев назад

      ​@@erapalma7364asante broo nmefanya ulivyosema na video iko sawa sahii sorry for the misunderstanding, otherwise my goal is to support 🙏

  • @GdYt-f2j
    @GdYt-f2j 5 месяцев назад +1

    Kaz nzuri sana endeleeni na moyo huo huo ❤❤

  • @JoyceCharo-s4n
    @JoyceCharo-s4n 4 месяца назад

    Kacute wehu penda sana chidada kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉

  • @denakaingu5759
    @denakaingu5759 5 месяцев назад +2

    Kazi kuntu Sana pokeeni maua yenu 🎉🎉🔥🔥🔥🔥mbele milele

  • @SamDrake-b2i
    @SamDrake-b2i 2 месяца назад +1

    Congrates sister for your good job keep it up ❤❤

  • @negoboy002
    @negoboy002 4 месяца назад

    Congratulations 💐💐💐👏🎉❤❤nawapenda sana Watu wa 003

  • @headmaster254
    @headmaster254 4 месяца назад

    Kali sana,,maunyama kibeo,,,keep it up guy's

  • @sulemwangemi6013
    @sulemwangemi6013 4 месяца назад

    Hii film nimeipenda sana, kazi nzuri nyote. Rose uko ndani pia 😂😂😂ni ya home jeri

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 5 месяцев назад

    Hongera sana kwakazi nzuri mwendelezo jamani ni tamu sana❤

  • @Nadzuamwatsenze
    @Nadzuamwatsenze 4 месяца назад

    Mashallah kazi nzuri sn Rubi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nasubiri part 2

  • @Biasha-fm2jr
    @Biasha-fm2jr 5 месяцев назад

    Waziii big ups daa 💪💪💪💪kazi nzur sanaaa Mungu akutangulie katka kupambana kwako In shaa Allah

  • @abrahamchengo5118
    @abrahamchengo5118 5 месяцев назад

    Kala mikahunda nde mtetezi wa watu hii kijijini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣i gifu up,hii movie nzuri sana

  • @Rehemasidi-n3p
    @Rehemasidi-n3p 4 месяца назад

    Hahahaha😅kai cute ana shombe heree nyoka waaaaa na wapenda nyotee❤❤❤

  • @mercylinea1174
    @mercylinea1174 4 месяца назад

    Mikahunda umumbea 😂😂😂 kishe mnafiki kulambika jeri bro, nice one❤

  • @rdtt6985
    @rdtt6985 5 месяцев назад +2

    Wow kazi mbidzo sana inamafunzo ela omanenao kiswahili manaharibu utamu

  • @devickkibohe8645
    @devickkibohe8645 4 месяца назад

    movie mbidzo sana.....makosa mathithe here kungiza neno kusumba were zilazima rinenwe🙏🙏

  • @sirwejah
    @sirwejah 5 месяцев назад +2

    saaafiiii sanaaa Ruby kazi nzuri. hivi vitu watu wengi wanapitia ila wanaumia kitandindani.

  • @songabaluku4153
    @songabaluku4153 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 "Shombe here Nyoka, Lakini Kusumba Kuthosha"
    Positive Criticism 🔥🔥.
    Ruby thumbs up kazi safi dadaa

  • @rebeccakadzo8057
    @rebeccakadzo8057 4 месяца назад

    Hongera kwa wahusika wote movie nzuri sana❤,ruby mwendelezo bac

  • @LinnetCharo
    @LinnetCharo 4 месяца назад

    Hongera sana wapenzi ❤❤❤kazi nzuri sana

  • @HellenMwamburi-h1y
    @HellenMwamburi-h1y 5 месяцев назад

    Nawapenda sana hongereni sana❤❤❤❤

  • @emmanuelking572
    @emmanuelking572 5 месяцев назад

    Hii Movie ni kali sana🎉🎉🎉nimeipenda na familia yangu yote..hongereni sanaa❤❤❤❤

  • @jemi1009
    @jemi1009 5 месяцев назад

    Kongoleni sana hii sinema inamafunzo mengi sana ❤❤❤❤big up sna🎉🎉🎉

  • @KAZUNGUCHARO-vf6pv
    @KAZUNGUCHARO-vf6pv 5 месяцев назад +2

    Hii imeweza wadau vizhoo vizhoo enehu mumboze movie za risaa rimwenga enehu adzo ❤️ ukikirira Kwa comet usikire bila kungonga like uchenda mbrere vizhoo vizhoo reheni nyingine yo muvi❤🎉🎉

  • @teresiahmfalmezimba5294
    @teresiahmfalmezimba5294 5 месяцев назад +1

    Hongerani sanaaa kazi mbidzo sanaaaaa😊🎉🎉🎉🎉

  • @julietmwaringa9300
    @julietmwaringa9300 4 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana wapenzi
    Good lessons here

  • @MercyMapenzi-u3p
    @MercyMapenzi-u3p 5 месяцев назад +2

    Kazi nzuri sana mungu azidi kuwainua ❤❤❤

  • @NajmaNgoni
    @NajmaNgoni 5 месяцев назад

    Masha Allah kazi nzur 🎉🎉🎉

  • @Mariahmariah-c6v
    @Mariahmariah-c6v 5 месяцев назад

    Hongereni kwa kazi yenu nzuri🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @GeorgeFrancis-lb9dy
    @GeorgeFrancis-lb9dy 5 месяцев назад

    Tasa 🎉🎉 congratulation guys 👏👏 keep it up good work ❤❤

  • @Farthun
    @Farthun 5 месяцев назад

    Hongera zenu Movie iko Vizuri Mashaallah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @PaulineKachana
    @PaulineKachana 4 месяца назад

    Big up sana dada ruby hii ni kali sana aisei❤❤❤❤🎉🎉

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂hii movie💥💥💥💥congrats snaa mafunzo kibao ila weee sinena kitu😂😂😂😂

  • @hanamuson891
    @hanamuson891 4 месяца назад

    Kazi nzur tuko hapa kuwapa support keep moving

  • @ThomasDzombo
    @ThomasDzombo 4 месяца назад

    Haswani zhomu akwehu kwa movie yenu ya mafundisho anaanza sana nyosini ❤❤❤

  • @salamakassim2775
    @salamakassim2775 5 месяцев назад +1

    Tamu Sana lkn fupi😢😢Keep it up ❤❤❤❤

  • @Ramaamuzic
    @Ramaamuzic 5 месяцев назад

    Uwezo upo Sana wangu ... keep the good work

  • @estherkazungukarisa9110
    @estherkazungukarisa9110 5 месяцев назад

    Ruby hiii move inaendelea mama leta next....mwisho tuone ukiabisha mtaaa umepata mimba raha muendelezo dede much love from malind Ganda 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @gospelflavour
    @gospelflavour 5 месяцев назад

    Good job sister.....mungu akuzidishie zaidi na zaidi

  • @RachaelMwamlanda
    @RachaelMwamlanda 4 месяца назад

    Kazi nzuri xna 🎉🎉🎉

  • @MariamKazungu-bh8ig
    @MariamKazungu-bh8ig 5 месяцев назад

    Congratulations guys 🎉 lakni hapo kwa trilly waah 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Josephinesaminikazungu
    @Josephinesaminikazungu 5 месяцев назад +1

    Kazi nzuri dada ❤❤

  • @papajose2581
    @papajose2581 5 месяцев назад

    Shot and sweet ❤️ keep going mbele ni kuzuri 💪👏

  • @PeterTsuma-c6k
    @PeterTsuma-c6k 5 месяцев назад +2

    Kazi moja safi sana...keep it up

  • @agnessbahamu3931
    @agnessbahamu3931 5 месяцев назад

    Hongerani sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NeemaKazungu-p7o
    @NeemaKazungu-p7o 5 месяцев назад

    Hongera sana siz kazi safi mungu azidi kupandisha vipaji vyenu 🙏🙏🙏

  • @nurumohamed5830
    @nurumohamed5830 5 месяцев назад

    Kazi nzuri sana🔥🔥♥️

  • @Khadijah-eq2oe
    @Khadijah-eq2oe 5 месяцев назад

    Much love tyme Rubby pongezi kwenu yaani muko Vizury 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @shampuzshow2020
    @shampuzshow2020 5 месяцев назад

    Kazi Safi sanaaaaa....hii ni zaidi ...so happy for you all you are an inspiration

  • @Richie-the-Boy
    @Richie-the-Boy 5 месяцев назад

    The idea was dope guys, keep it up...Mbali na mapungufu yako yote sio binadamu wote watakukataa, wengine watakupenda jinsi ulivyo sio❤

  • @EmmanuelKalume-p5c
    @EmmanuelKalume-p5c 5 месяцев назад

    Hiki kikosi kiko imara salute you guys❤❤❤❤

  • @kidydee5044
    @kidydee5044 4 месяца назад

    Movie iliweza sana watu wangu big up sana🔥🔥

  • @marionmuseshi6803
    @marionmuseshi6803 4 месяца назад +1

    Hehee papakenny my schoolmate 😂🎉🎉
    Good work sir❤

  • @princejobic9036
    @princejobic9036 5 месяцев назад

    Kazi safi.. kazi kuntu..
    Sikizeni walimu wa online ela ii kazi ni safi sana..
    Nice start...🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AshamrefuAshamrefu
    @AshamrefuAshamrefu 5 месяцев назад

    Hongera sana ❤❤❤❤movie iko tamu

  • @johnyaa6432
    @johnyaa6432 4 месяца назад

    Kazi nzuri sana ❤❤❤❤.

  • @CharoRukia
    @CharoRukia Месяц назад

    Duh asanteni sana kache na timu yote mnatupa vitu vya kutuelimisha🤝🏿

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 3 месяца назад

    Hongereni jaman🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️🤲