Wakati Mungu Anapokukumbuka, Na Mwinjilisti G. Machota

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 28

  • @martingwoka1123
    @martingwoka1123 4 года назад

    Asante sana kwa ujumbe wako mahubiri hayo nimebarikiwa sana mungu azid kukupa nguvu

  • @davidgundula8786
    @davidgundula8786 6 лет назад +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi kwa hakika wengi tumeingiwa hata tamaa ya kudenda dhambi kwa kuwa tumedhani Mungu ametusahau lakin Fungu la 49:15-16 kwa hakika limenifungua ufahamu wangu...!!!. Mungu akupe maisha marefu na baraka tele kwa kuifanya kazi yake kwa uhakika....🙏🙏🙏

  • @kevinwanjala7445
    @kevinwanjala7445 3 года назад

    Mungu akubariki mtumishi

  • @benardmaina7267
    @benardmaina7267 4 года назад

    Amen mungu azidi kukupa nguvu

  • @jamesmutuku448
    @jamesmutuku448 5 лет назад

    Mungu,akuonekanie mtumishi,nine barikiwa namafundishoyako,niombee na Mimi via

  • @jocelynamosye2980
    @jocelynamosye2980 6 лет назад +1

    Barikiwa sana mtumishi wa baba yetu wa mbinguni

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 5 лет назад

    Naomba mungu na mimi anikumbuke maana nipo katika mapito makali sana na bado mungu ajajibu maombi yangu ukiwa katika maombi usisaau kuniombea mtumishi wa mungu nikumbuke pls🙇🙇🙏🙏🙏🙏

  • @patrickmutiso6540
    @patrickmutiso6540 5 лет назад +2

    Mungu akumbariki sana poster

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  4 года назад +1

      Ameen

    • @patrickmutiso6540
      @patrickmutiso6540 4 года назад +1

      Mining poster.mimi niko kenya mimi ukyenze music mimi nisoma Ezekiel 20/20 tena 2nikasoma wasolonike 2/1,8 tena mathew 24/1 mpaka mwisyo.sasa naitaji upatizo namwitanji masihi aniokoe nauninzaindie kwamaombi poster tafathali mwisho wa dunia dio uu sasa asante mchana mwema

  • @febroniamsilanga3442
    @febroniamsilanga3442 5 лет назад

    Amen very powerful indeed.am blessed

  • @eliasmakenya7393
    @eliasmakenya7393 6 лет назад +1

    BARIKIWA SANA MTU WA MUNGU NAKUMBUKA JINSI AMBAVYO MUNGU ALIPOWATUMA KWANGU MKIWA NA AKINA OSWARD NA AKANIVUTA HATA SASA NIPO NANYI KATIKA BWANA WETU YESU KRISTO

  • @elizabethkasongo5602
    @elizabethkasongo5602 5 лет назад

    abariki kwa ujumbe mzuri umenigusa Sana,

  • @neemamassawe4484
    @neemamassawe4484 5 лет назад

    Mungu azid kukuinua

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 6 лет назад +1

    amina sana mtumish

  • @ndumejacque5509
    @ndumejacque5509 4 года назад

    Amen

  • @peterhaule8131
    @peterhaule8131 6 лет назад

    Ubarikiwe

  • @jeanclaudendjabubahatinapa8602
    @jeanclaudendjabubahatinapa8602 5 лет назад

    Shalom

  • @alexjackson6608
    @alexjackson6608 Год назад

    Mbona hakuna sauti.

  • @japharrubbin251
    @japharrubbin251 5 лет назад

    Nabalikiwa kuliko nini yani

  • @j4kichuya372
    @j4kichuya372 4 года назад

    Ubalikiwe

  • @martingwoka1123
    @martingwoka1123 4 года назад

    Asante sana kwa ujumbe wako mahubiri hayo nimebarikiwa sana mungu azid kukupa nguvu

  • @elikanabaariu4008
    @elikanabaariu4008 3 года назад

    Amen

  • @beatricekavaya8132
    @beatricekavaya8132 3 года назад

    Amen