Psalm 86:15 says it well: "But you, O Lord, are a God merciful and gracious, slow to anger and abounding in steadfast love and faithfulness." Micah 7:18 says, "Who is a God like you, pardoning iniquity and passing over transgression for the remnant of his inheritance? He does not retain his anger forever, because he delights in steadfast love
True, I can’t get over this song, his songs have a message and especially to those who listen carefully and meditatively. We need a second chance, we have all received a second chance and we should all give others a second, a third....
the thing i love about your music is the honest feel in the lyrics, combined with the catchy beats and true words...you make it acceptable to everyone.. i honestly feel more 'Christians' should be here liking and subscribing to support your work which feels like inspiration from the word of God. i love playing your music to my kids, i pray that you keep getting inspired to write more music. God Bless You Babaa..!!!!
Mitumba Haiwezi rudishwa kwa boutique😝with salvation you are renewed but mtumba you are reused and your worth drops.....Najua nasumbua lakini m(OG) ni m(OG)..nice song and video
God gave me a second chance to live...I can't type everything here because it's so sensitive but believe me God guards us and forgives us and gives us another chance ya life 🙏🙏🙏
Respect to the duo wawe pamoja or not,am not a Christian but i love their work,didiman and shortbaba i can say creativity yao ni kali. And soon shortbabas music gone be the listened to gospel in kenya with what he does with other artists.kudos shorti.
Lyrics Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah Kama mitumba mitumba mitumba ah Amenipa chance ya pili tangu niokoke Amenipa chance ya pili sa niko okay Me ningeliwa na mamba Sa niko chini ya mwamba Team kubwa akanipa namba Color ka nguo za mkamba Oh, I know bila yeye me sina styro Oh, I know kwake on point kama byro Hook Me ningeliwa na mamba Sa niko chini ya mwamba Team kubwa akanipa namba Color ka nguo za mkamba Chorus Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah Kama mitumba mitumba mitumba ah Eh, ukicheki niko fiti, niko sober ni matunda ya golgotha ukicheki niko fiti, niko sober ni matunda ya golgotha Aliniambia oya kuja tu ah vuka boda oya vuka tu wokovu tamu oya kula tu shetani chini kama kiatu Ah Ah Ah Oya, damu inaosha Ni nini unataka nani, yesu anatosha Hook Me ningeliwa na mamba Sa niko chini ya mwamba Team kubwa akanipa namba Color ka nguo za mkamba Chorus Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah Kama mitumba mitumba mitumba ah Mitumba, mitumba anakupa chance ya pili kama mitumba mitumba anakupa chance ya pili kama mitumba mitumba Eeeeeeh! Chorus Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah Kama mitumba mitumba mitumba ah Oooooh Oh Oh Eeeeeeh eh eh
I wish people wangekua wakisupport gospel as they support secular, , , moji u are going somewhere and the song is lit
I like this song so much I always play it every day
L
True
I truly support you 100%on that, 💯% talent. The songs drives me to high ends
💯💥
2023 but still a hit🔥
2024 but still a hit
The most underrated gospel artist. No scandal, no nothing. I wish I could smash that like button more than once.
Si kila kitu underrated bana. Moji receives the recognition he deserves.
@@Unavailable981 😂😂😂
2nd chance kama mitumba😊❤
19th July 2024🔥🔥🔥♥️
My birthday❤ praise God 🙏
Hii song iliniingia hadi capillaries jameni😊😊😊😊big up Moji😍God is giving us another chance in this covid-19😍😍ata like moja nitakubali hii 2020😍
kama unamkubali MOJI gonga like hapa.
shorty noma sana chance ya pili mitumba mitumba
Eyyy....wokovu tamu,kula tu🔥🔥🔥🔥🔥
Ningeliwa na Mamba saa niko chini ya mwamba✌✌✌✌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏Short But Fire🔥🔥✅✅✅
Noma tu sana imewezaaa!!!!
True
stephen kasolo rooks
Ngoma imeweza 2024 naskiza
Moji is underrated!
This guy's music touches the soul
Imeweza 😍likes tatu please
Pata the likes
Left speechless wakenya hoyeeeeeee
Moji has that type of banju gospel that reaches the local Kenyan. Something for everyone!
Psalm 86:15 says it well: "But you, O Lord, are a God merciful and gracious, slow to anger and abounding in steadfast love and faithfulness."
Micah 7:18 says, "Who is a God like you, pardoning iniquity and passing over transgression for the remnant of his inheritance? He does not retain his anger forever, because he delights in steadfast love
💚💚💚 GOD 💚💚💚 psalm 32:1 ,Psalm 51:1 GOD IS GRACIOUS AND FORGIVING NO ONE IS LIKE GOD 🙏
Amen☺️
Amen in the name of Jesus Christ.
like hata moja pliz kwa Moji ShortBaba
2nd chance ya pili on 28th October 2024🙏
2022+ mko wapi jameni
Moji short baba is underrated 💥💣🙌
I feel the same, seriously underrated
True, I can’t get over this song, his songs have a message and especially to those who listen carefully and meditatively. We need a second chance, we have all received a second chance and we should all give others a second, a third....
I couldn't agree more
@@jacobotieno5233 1
Busy replaying the video...💣
Thank God...amenipa chance ya pili kama MITUMBA.Wangapi wanakubali??
💯💯💯
Manze.Yesu anatosha💥💥💥.amenipaa chance ya pili🤗🤗🤗🤗🤗.....
Nice one
Finally kelele takatifu reunited...I love the song
Not really Diddi was just a Vixen
@@chapta1ne aah🤣🤣
These two made me so proud today kelele takatifu😘😘😘😘 this is my testimony... God gave me a chance to live again after a terrible accident....
Uko kwenye list pia. Wololo
ata Mimi Niko nimepewa chance ya pili ....My favourite gospel artist moji short baba.
Good to see you two brothers together, that is now the gospel
Creativity yako iko on point kaa bairo🔥🔥🔥🔥 Chance ya pili kama tush
the thing i love about your music is the honest feel in the lyrics, combined with the catchy beats and true words...you make it acceptable to everyone.. i honestly feel more 'Christians' should be here liking and subscribing to support your work which feels like inspiration from the word of God. i love playing your music to my kids, i pray that you keep getting inspired to write more music. God Bless You Babaa..!!!!
Buda hii nayo imeweza joh🔥🔥🔥🔥👊👊👊
Naona pia umepea didi man chance ya pili kama mitumba hehe...big up
kweli chance ya pili kelele takatifu sasa hii ndio ile brothers in christ i know .........be blessed
mitumba watu wa Gikosh tumesema imeweza mbaya!!!straight up!
Eh at list ameturecogniz
My favorite song always
I love the song its🔥🔥🔥🔥❤️💕💕💕🔥
U 2 bana should cook sth bana🤩
Mitumba Haiwezi rudishwa kwa boutique😝with salvation you are renewed but mtumba you are reused and your worth drops.....Najua nasumbua lakini m(OG) ni m(OG)..nice song and video
Imebidi nimecomment hii... Kali saaaaanaaa
Weuwe...... 💯💯💯Amenipa change ya pili kama mitumba...... Kaliiiii
Sawa
Ikiona niko fity ni matunda ya Goligotha...Nice Jam Short baba
A very great song ...amenipa chance ya pili kama mitumba ah..
moji shortbabaa wewe ni baba yao big ups
mara yangu ya kwanza kusikia mitumba nilifikiria ati ni ya ethic
Nataka kujua i wimbo sahi😭😭
Hapo sawa Baba pia mimi aminipa chance ya pili
Nikisikie ati ooooh...pia mie ni moja wa wale ambao wamepewa second chance.
Kelele takatifu is baaaaaaaaack 🙌🙌🙌🙌
Moji usikule pekee. Ulitaka kuwacha bro yako mlianza naye akufe njaa😌😌😌
Didi na Benachi nawaona.....ngoma noma hii
Amenipa chance ya pili ❤️
Wow amenipa chance ya pili kama mitumba
Amen amenipa chance ya pili kama mitumba maadui zangu wangenimaliza🙏
Nyandundo yawa,yawa itheko ichiek nyathiwa chapa job buda we love the message big up nyandundo fathe
Ukicheki niko fiti ni Matunda ya Golgotha.....Amenipa chance ya pili kama mitumba mitumba to ... Love this one#Mitumba @MojiShortbabaa 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Imeleta g 2:30 oriii
God type chance ya pili ii Tyne ya corona pliiz
amenipa chance ya pili,kama mitumba mitumba ah......kali sana hiii
Good job @MojiShortBabaa..Vile ulienda marekani ukarudi na moto..The second chance madzee..#FlashlightSound #LiutenantFilms
Kali Sana.... Baraka kibao..... 🌍
team kubwa akanipea no... deadly
Hii mwaka ni ya shortbaba hii ni noma
Ukicheki niko fiti niko sober ni matunda ya Goligotha...Shortbabaa wewe ni mbaya...#Kenya1 gospel artist
Chance ya pili kama mitumba waaah i lyk the way u think moji
Moji never disapoints
Hit after hit
Glory to God💯
true
"We don't beat air with words" in Jesus name.May your anointing accomplish every desire of God in Jesus name Amen.
rate yenye huyu mjamaa anarise...naogopa willy paul atajia kitanzi.
Atlast didi man kaonekana shall we.wait a reunion....!
Moj Moji Moji Moji Moji....the Lord is great and I believe.. Seville was here
"Ningeliwa na Mamba, sasa niko chini ya Mwamba,"
Matunda ya Golgotha.
Great.
Ngoma hii bado ina hit🎶🎶 more love 🌹 from Kenya 🇰🇪 #emmanuelbrownke
napenda hii tena sana😁😁😁
Chance ya pili ningeliwa na mamba..nyc song
Huyo audio producer anajua kazi yake
Kweli amenipa chance pili. Cool song man.
Baada ya kuboeka nimekuja kureset to default na hii Mitumba. #Fresh inaudhi sana.
Wenye wame dislike this aki 🤨😒🤔 I don't know what's wrong with them.The song is dope menh🔥🔥🔥☺️☺️
Nimerudi tena aki.
Wapi Jabidii aseme #Power
Dope.amenipa chance ya second
Musuri sana, feri nice, kararan kapsa, tenk yu, asande
Ngoma kali Moji. Zidi kuzileta.
Whenever i listen to this song i feel soooooooooo good hadi i can't tell how many times i listen to it a day
Shotii Baba🔥🙌.. message in the words song on repeat mode every time
Kama kawa firreeee ..hakuna kubahatisha
God gave me a second chance to live...I can't type everything here because it's so sensitive but believe me God guards us and forgives us and gives us another chance ya life 🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥moto kama pasi
Very nice song
Chance ya pili mitumba fire ningeliwa na mamba Sasa niko chini ya mwamba matunda ya goligotha
Chance ya pili kama Mitumba
🎉🎉🎉🎉🎉 the song is sweeeeeeet
Niko chini ya mwamba am blessed
Love this jam.... Lazima nirudie ka mitumba 💯
Ni shotti Baba.........
dope awesome work
Respect to the duo wawe pamoja or not,am not a Christian but i love their work,didiman and shortbaba i can say creativity yao ni kali. And soon shortbabas music gone be the listened to gospel in kenya with what he does with other artists.kudos shorti.
nmesikia mkamba mahali ama,,,iko fine
moto mwaki thitima, #PeopleBeforeProfit
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah
The God of another chance, when we think we are crushing, He comes in
Lyrics
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah
Amenipa chance ya pili tangu niokoke
Amenipa chance ya pili sa niko okay
Me ningeliwa na mamba
Sa niko chini ya mwamba
Team kubwa akanipa namba
Color ka nguo za mkamba
Oh, I know bila yeye me sina styro
Oh, I know kwake on point kama byro
Hook
Me ningeliwa na mamba
Sa niko chini ya mwamba
Team kubwa akanipa namba
Color ka nguo za mkamba
Chorus
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah
Eh, ukicheki niko fiti, niko sober ni matunda ya golgotha
ukicheki niko fiti, niko sober ni matunda ya golgotha
Aliniambia oya kuja tu
ah vuka boda oya vuka tu
wokovu tamu oya kula tu
shetani chini kama kiatu
Ah Ah Ah Oya, damu inaosha
Ni nini unataka nani, yesu anatosha
Hook
Me ningeliwa na mamba
Sa niko chini ya mwamba
Team kubwa akanipa namba
Color ka nguo za mkamba
Chorus
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah
Mitumba, mitumba
anakupa chance ya pili kama
mitumba mitumba
anakupa chance ya pili kama
mitumba mitumba
Eeeeeeh!
Chorus
Amenipa Chance ya pili kama mitumba mitumba Ah
Kama mitumba mitumba mitumba ah
Oooooh Oh Oh Eeeeeeh eh eh
nice one
Thanks 😍
Thanks.... Kudos..
🔥
Amenipa chance ya pili
Amenipa chance ya pili......
This song really makes me happy everyday I listen to it coz it made me to win my ex galfrend bak.
Reuben Mainah hahaaaa Robertooo
😅