AMINA. Wakristo kuongewa kwa Hana ilikuwa ushuhuda kwa maisha yake. Wakati alikuwa anadhihakiwa kumbe kuna Mungu Asikiaye maombi ya watakatifu wake. Kuna Jehova Huwa Anatazama Dhabihu wakati unaleta mbele Zake. Wakati wa Mungu ukifika hakuna kizuizi kitazuia baraka yako. Hao wanaokuambia na wanaokusema hawatazuilia baraka juu ya maisha yako. Hata wewe kuna muujiza unangojea, kuna ahadi unangojea, unauliza imeenda aje mwezi wa tisa umeisha, bado Aliyesema Yeye Ni Mwaminifu, bado Aliyeongea hajatingizika, Ako katika Kiti chake cha Enzi, Anasema hawa ni Wangu na hawa nitawabariki, nitawainua na nitawatendea. Wakati ni sasa Atufute machozi yetu. Tumelia ya kutosha, lakini kumbe Alikuwa Anasikia na Anatutazama.
AMINA.Wakristo kama vile Hana alingojea Yesu Akiwa katika Madhabahu hata nasi tumngojee Mungu katika Madhabahu Yake. Yesu Ambaye Anaabudiwa katika haya madhabahu ya JWM Ametuona leo, Ameona kilio chetu, aibu yetu, Ameona yale tumepitia na Ameona vile watu wametuongea. Ameona hiyo shida tumepitia na leo kuna mambo Anatenda. Kama vile Hana alirudi kwa Madhabahu kushangilia Jehova kwa matendo yake hata nasi tutarudi kwa haya Madhabahu tukishangilia, tukimwabudu na tukimwinua Mungu. Tukiamwambia Jehova tumekuja kuinua Jina Lako kwa Matendo Yako. Waliotucheka, waliotudhihaki na waliosema hakuna mahali tunaenda leo tunawacheka.
AMINA. Wakristo tuendelee kutumainia Bwana. Kilio tumelia, aibu imetupata, watu wametuongea na wametudhihaki lakini asubuhi ya leo tujipe moyo katika Kristo Ambaye tumemtumainia na bila shaka kilio itafika mwisho, aibu yetu itafika mwisho na watu wametuongea watafungwa midomo. Kuna Jehova Ambaye Anasema Akituondolea machozi ushuhuda unapatikana. Kila wakati walikuwa wanaenda kwa Madhabahu Hana alikuwa anapanga sadaka na matoleo akatolee Mungu katika Madhabahu Yake. Hata nasi ni vyema kujipanga kwa sababu ya Madhabahu. Hata kama alinenwa na alidhihakiwa Hana aliendelea kutafuta Uso wa Bwana. Hata nasi tuendelee kutafuta Uso wa Bwana. Tuendelee kushikilia Kazi ya Bwana na kumtumainia Jehova. Hata kama wanatuongea, wanatusema na wanatudhihaki tuendelee.
Blessing word, asante 🙏
I'm proud of my Church Jesus Winner ministry Roysambu ❤
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa neno la siku leo.
Ubarikiwe sana mtumishi.
GOD bless you 🙏🙏.
Barikiwa sana mtumishi kwa neno la Leo tutafutwa macho katika jina la yesu Amina.
Asante Kwa neno ya Leo Mungu atanifuta machozi ya kuchekwa kama Hannah.
Ubarikiwe Mtumishi Kwa neno la siku ya Leo
Amen amen amen mungu asante kwa ubali huu hakika niwewe mungu
Amen glory be to God to 🇺🇸 Texas
AMINA. Wakristo kuongewa kwa Hana ilikuwa ushuhuda kwa maisha yake. Wakati alikuwa anadhihakiwa kumbe kuna Mungu Asikiaye maombi ya watakatifu wake. Kuna Jehova Huwa Anatazama Dhabihu wakati unaleta mbele Zake. Wakati wa Mungu ukifika hakuna kizuizi kitazuia baraka yako. Hao wanaokuambia na wanaokusema hawatazuilia baraka juu ya maisha yako. Hata wewe kuna muujiza unangojea, kuna ahadi unangojea, unauliza imeenda aje mwezi wa tisa umeisha, bado Aliyesema Yeye Ni Mwaminifu, bado Aliyeongea hajatingizika, Ako katika Kiti chake cha Enzi, Anasema hawa ni Wangu na hawa nitawabariki, nitawainua na nitawatendea. Wakati ni sasa Atufute machozi yetu. Tumelia ya kutosha, lakini kumbe Alikuwa Anasikia na Anatutazama.
Yes Absolutely Awesome Amen 🙏
AMINA.Wakristo kama vile Hana alingojea Yesu Akiwa katika Madhabahu hata nasi tumngojee Mungu katika Madhabahu Yake. Yesu Ambaye Anaabudiwa katika haya madhabahu ya JWM Ametuona leo, Ameona kilio chetu, aibu yetu, Ameona yale tumepitia na Ameona vile watu wametuongea. Ameona hiyo shida tumepitia na leo kuna mambo Anatenda. Kama vile Hana alirudi kwa Madhabahu kushangilia Jehova kwa matendo yake hata nasi tutarudi kwa haya Madhabahu tukishangilia, tukimwabudu na tukimwinua Mungu. Tukiamwambia Jehova tumekuja kuinua Jina Lako kwa Matendo Yako. Waliotucheka, waliotudhihaki na waliosema hakuna mahali tunaenda leo tunawacheka.
The word was so good please bost the teenage they are Abit confused age is catching up
Blessing people of God may he be gracious into to u
Amen 🙏🙏🙏❤
Turned in from nyeri kimunyuru
Amen 🙏, from Muranga 🙏 powerful word.
Amen to God be the Glory
AMEN AMEN AMEN
Ee Mungu ukanifute machozi na mm leo
Glory to God 🙏
Blessing word
AMINA. Wakristo tuendelee kutumainia Bwana. Kilio tumelia, aibu imetupata, watu wametuongea na wametudhihaki lakini asubuhi ya leo tujipe moyo katika Kristo Ambaye tumemtumainia na bila shaka kilio itafika mwisho, aibu yetu itafika mwisho na watu wametuongea watafungwa midomo. Kuna Jehova Ambaye Anasema Akituondolea machozi ushuhuda unapatikana. Kila wakati walikuwa wanaenda kwa Madhabahu Hana alikuwa anapanga sadaka na matoleo akatolee Mungu katika Madhabahu Yake. Hata nasi ni vyema kujipanga kwa sababu ya Madhabahu. Hata kama alinenwa na alidhihakiwa Hana aliendelea kutafuta Uso wa Bwana. Hata nasi tuendelee kutafuta Uso wa Bwana. Tuendelee kushikilia Kazi ya Bwana na kumtumainia Jehova. Hata kama wanatuongea, wanatusema na wanatudhihaki tuendelee.
Amen
Namshukuru mungu sana
Good song
Leo nimekuja kusema ASANTE
Aibu yangu inafika mwisho
Ameeeniii 🙏
Imagine I preached the same message today in our church
Inawezekana Kwa bwana
DADY NIOMBEE KATAA MAROHO YA KUTUMWA NA KUJITUMA.KATAA ROHO YA KUFINYILIWA. NIOMBEE KIBALI.
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen