UFUGAJI NGURUWE KIBIASHARA, DAKTARI WA MIFUGO, MBEGU BORA ZA KISASA, UFUGAJI WENYE TIJA
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Ufugaji wa Nguruwe Kibiashara, Wasilina nasi +255 715 866 027 kwa mahitaji ya vifaranga bora vya Nguruwe!
Soscial media @KilimoProTanzania
Wonderful
Asante,naomba vipimo vya chakula kwa kila kundi na Bei ya kifanga
nilikua naomba kufahamu
Naitaji mbegu kwa ajili ya kufuga
Kwann hamloanishi chakula
Naomba kuuliza,kuna madhara gani nguruwe kupandwa siku chache baada ya kuzaaa?
Naomba namna ya kuchanganya kwa vifannga wa miezi 2
Hofisi yenu ipo dar es salaaam
@@RajabuRamadhani-t3h 0715 866 027
Kaka na penda kufuga ilachangamoto ni mbegu
@@LuluAlefu Karibu sana, mbegu nzuri zinapatikana kwetu, 0715 866 027
vitoto vya ngurue vikisha timiza chanjo ya siku 21 unaweza kuvipiga dawa ya minyo baada ya mda gani na mama yao pia unawea kumpiga dawa ya minyo baada ya siku ngapi
Asante sana. Ninaomba namba yako . Nahitaji ushauri
Karibu, 0715 866 027
Minaitaji mbegu Bora ya watoto wa nguruwe
@@NeemaMtambo-m6f Karibu Wasiliana nasi 0715 866 027
naomba namba zako kak mim naitaji mbegu napia naitaji fomla ya chakula
Karibu, 0715 866 027
Napataje mbegu za kisasa na ni bei gani
Karibu Vinapatikana 0715 866 027
Nahitaji mbegu ya kisasa naipataje
@@NeemaMtambo-m6f Karibu, Wasiliana nasi 0715 866 027
Nataka nianze ufugaji nguruwe kwaiyo nipate elimu Kwanza?
Karibu 0715 866 027