ISHARA 5 KWAMBA MUNGU ANAONGEA NA WEWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 108

  • @LILIANRUMISHA-qp5mh
    @LILIANRUMISHA-qp5mh 8 месяцев назад +18

    Nakumbuka mwaka 2019 😢 wakati nikisumbuka na wanangu katika magonjwa, , nilisikia sauti kubwa katika hali isiyo ya kawaida zaidi ya mara tano, ikinielekeza kufanya maombi kwa ajili ya familia yangu😢 nisipofanya hivyo kuna kitu kibaya kingetokea, na mlengwa mwnangu wa kwanza, ndipo iliponibidi kuchukua familia yangu nzima kwa Yesu wa ekaristi, kasoro baba. Jioni wote tulirudi tumepona, tunatembea kwa miguu🙏 siyo bajaji tena😭🙏 # MUNGU YUPO NA ANAFANYA KAZI KATIKA UAMINIFU WAKO🙏

  • @ElizabethMuthui-k5g
    @ElizabethMuthui-k5g 7 месяцев назад +4

    Asante Sana ,,,hakika umenitia nguvu Sana katika hii safari ya ki Imani 👏👏👏👏,,,mungu azidi kukunenea katika roho mtakatifu ili uedelee kutujega ki Imani,,,

  • @GetfordMasehe
    @GetfordMasehe 7 месяцев назад +2

    Ubarikiwe huwa hudanganyi nimekufutilia Sana saf

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 8 месяцев назад +5

    Ni kweli kbs kaka J,,,,umenena kweli,,, MUNGU anatupenda sana

  • @PHILOMENAKADAWI
    @PHILOMENAKADAWI 8 месяцев назад +6

    Kiukweli nashukuru nimejifunza zaidi 🙏🙏🙏🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️

  • @braxiviliannafula9151
    @braxiviliannafula9151 8 месяцев назад +5

    Mungu akubariki sana kwa funzo nzuri 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 28 дней назад +1

    Ubarikiwe

  • @HusnaNogi
    @HusnaNogi 8 месяцев назад +2

    Nimeshaota jilani zangu wamefariki na hadi mzazi wangu.ikatokea.nikaota nimepata mchumba sitodumu nae nakweli akafariki ndoa aikufungwa.❤🎉

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 8 месяцев назад +3

    ubarikiwe sana umenithibitishia mambo fulani yanayoendelea kwangu kwamba ni Mungu ametaka hivyo❤🎉🇰🇪

  • @SifaelNoah
    @SifaelNoah 8 месяцев назад +4

    Dah Mungu atusaidie

  • @deborahdavi6593
    @deborahdavi6593 8 месяцев назад +1

    Mwenyezi mungu aendelee kunifunguli zaidi❤❤❤❤

  • @PaulMarko-x9j
    @PaulMarko-x9j 3 месяца назад +1

    Ok❤❤

  • @EnthusiasticAgilityPuppy-fw1nd
    @EnthusiasticAgilityPuppy-fw1nd 7 месяцев назад +1

    Mungu anisaidiye initokeya sana

  • @RosemaryLiganga
    @RosemaryLiganga 8 месяцев назад +2

    Mimi nikiota ndoto inatokea kweli ,Asante Mungu

  • @AnliomarbacarAnliomarbacar
    @AnliomarbacarAnliomarbacar 3 месяца назад

    Asante sana brow nakukubali sana mungu akupe rehma

  • @vedastomwingira186
    @vedastomwingira186 8 месяцев назад +3

    Mungu akubariki,

  • @MpaliGrace
    @MpaliGrace 8 месяцев назад +1

    Asante kwa mafundisho mazur

  • @aminamwakalinga3458
    @aminamwakalinga3458 8 месяцев назад +1

    Barikiwa mnoo,na Mungu aendelee kuongea nawe pia Amen

  • @SalahKajiwe
    @SalahKajiwe 5 месяцев назад

    Tunakupenda pia❤ unaukweri ndani mwako ulioyasema kama unanijua asante kakangu❤

  • @RatifaHabibu
    @RatifaHabibu 8 месяцев назад +1

    Mungu akubarik sana

  • @stellahmakubi
    @stellahmakubi 7 месяцев назад

    Mungu akubariki mtumishi Kuna kitu nimejifunza kweli mungu Kuna watu anaweka hapa duniani kwa sababu

  • @PilyMihayo
    @PilyMihayo 8 месяцев назад +1

    Mungu atusaidie kusikiliza Sauti sahihi it okay kwa Mungu.

  • @LilianMaiba
    @LilianMaiba 8 месяцев назад +1

    Mimi pia ninaamini hayo asante kwa mungu wetu ubarikiwe kwa mafunzo hayo

  • @Reema12-v5j
    @Reema12-v5j 8 месяцев назад +1

    Asante sana fafanua media

  • @PatriceDakho
    @PatriceDakho 7 месяцев назад +1

    Amina mimojawapo

  • @MophatMwamlima
    @MophatMwamlima 3 месяца назад

    Mungu atupendaye

  • @collinekizito96
    @collinekizito96 8 месяцев назад +2

    amen mengi umezungumza uko sahihi kabisa

  • @ModestaMichael-l5w
    @ModestaMichael-l5w Месяц назад

    Mungu akubariki hiyo Hali huwa inanitokea ni kama huwa Kuna kuwa na mabishano

  • @TehsHdhdh-lm3ow
    @TehsHdhdh-lm3ow 5 месяцев назад +1

    N kweli kabisa Mimi uwa natumiwa na hio sauti ninapotaka kufanya kitu mara nyingi

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 5 месяцев назад

    Hii ya kuona matukio yakijirudia Jamani ni Ukweli 💯 %
    Hii kitu kwa upande wangu imekua ikijitokea mara nyingi mno Hadi napigwa butwaa
    Nabaki najiuliza..? Mbona hiki kitu kama kimeshawahi kutokea katika mazingira haya haya ninayoyaona mda huu..! Yaani kweli kabisa kabisa kabisa 💯 💯 💯 %

  • @fayjeff3651
    @fayjeff3651 7 месяцев назад

    Asante sana Mwenyezi Mungu akubariki

  • @AbellaZaburi-jj4vs
    @AbellaZaburi-jj4vs 8 месяцев назад +1

    Barikiwa sana 🙏

  • @Goldboe
    @Goldboe 8 месяцев назад +2

    Hapo umeongea ukweli mtupu maana binafsi mambo kama haya nayapitia na naoneshwa jambo kabla ya kubla ya kutendeka liwe baya au zurii iwe mbali au karibu najipongeza kwa hilo na Namshukuru Mungu kwa ukuu wakee

  • @HusnaNogi
    @HusnaNogi 8 месяцев назад +1

    Nikweli kabisaa atamimi huwa naambiwaga vitu vingi vizuri na vibaya.

  • @annamnyazi8206
    @annamnyazi8206 8 месяцев назад +1

    Amen

  • @RizikiRichard-es5ts
    @RizikiRichard-es5ts 8 месяцев назад +1

    Mungu akubariki katka safari yako yamaisha

  • @lucyjoseph4025
    @lucyjoseph4025 8 месяцев назад +1

    Huwa naskia sana sauti ndani yng nakumbuka nikiwaga mdogo nilikua nikitaka kudokoa kitu naskia kuambiwa acha nithambi au saingine naambiwa ondoka utakutwa nikitoka apo nakutana na mwenye mali tulikua tunatabia yakuiba machugwa tukitok shule

  • @rechombaga5803
    @rechombaga5803 8 месяцев назад +1

    Mm natumiwa na mungu kabisa

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 8 месяцев назад +2

    Nasikia upako ndani yangu

  • @RoseNyotumba-kx6tb
    @RoseNyotumba-kx6tb 8 месяцев назад +1

    Amen. Amina

  • @SalomeJoseph-bu6qh
    @SalomeJoseph-bu6qh 7 месяцев назад

    Asante sana kaka nakushukulu kumbe naerewa kwenye ndoto mm kika nikiita ndoto linakuwa Asante kaka

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 8 месяцев назад +1

    Be blessed

  • @ConfusedJumpingPuppy-he8lm
    @ConfusedJumpingPuppy-he8lm 8 месяцев назад +1

    Asante sana❤❤❤❤

  • @fadhilieshaismail9923
    @fadhilieshaismail9923 7 месяцев назад

    Kweli kabsa mungu anatupenda sanaa

  • @SurprisedCobra-ik5zw
    @SurprisedCobra-ik5zw 8 месяцев назад +6

    Kumbe mm uwa naona vitu badae naona nkweli nmeelewa sasa

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 8 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤😊😊😊jamanii. Ukweli. Kabisaa

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 8 месяцев назад +4

    WEWE NIBINADAMU MAARUM UNATENDA KUSUDIO LAKO UNACHONIFURAISHA ZAIDI UJAEGEMEA UPANDE WA DINI UBARIKIWE SANA

  • @FredrickKabungulu
    @FredrickKabungulu 8 месяцев назад

    Ni kweli kabisa umeongea ukweli mungu akubarik

  • @AliMasumbuko-sn3gk
    @AliMasumbuko-sn3gk 8 месяцев назад +1

    Amina.
    Ameen

  • @catherinemagori595
    @catherinemagori595 8 месяцев назад +1

    Ameen🙏

  • @elizaedward1851
    @elizaedward1851 7 месяцев назад

    Amina MUNGU akubaruki

  • @josphinenyawira7166
    @josphinenyawira7166 8 месяцев назад +4

    Huo ni ukweli kabisa mm uwa naota izo doto na baada ya siku tatu inatimia nashidwa jinsi nataweza kuwasaidia naogopa kuwaambia Yale yanatokea naomba unisaidie tafadhali

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 8 месяцев назад

      Jamani

    • @Papaa_Hillary_Mrema
      @Papaa_Hillary_Mrema 8 месяцев назад

      Mwombe Mungu akupe maono kisha mshirikishe kiongozi wa dini yeyote akupe ushauri baada ya hapo utaweza kutumika kama mjumbe wa Mungu

    • @Mahinya-p2
      @Mahinya-p2 8 месяцев назад

      Kuna wengine ukiwambia watakuona mchawi anglia mtu wa kumwambia mengine kausha

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 8 месяцев назад +1

    UBARIKIWE

  • @levanaflanyayo4814
    @levanaflanyayo4814 8 месяцев назад +1

    Ameen

  • @emmyteyani4194
    @emmyteyani4194 8 месяцев назад

    Ameen ameen ameen baba

  • @MerisianaPaul
    @MerisianaPaul 8 месяцев назад

    Ubarikiweeee jaman

  • @AAoo-c8f
    @AAoo-c8f 8 месяцев назад

    Nmejifunza kitu mungu akubariki bro

  • @lucyshedrack189
    @lucyshedrack189 7 месяцев назад

    Ni kweli kabisa aisee naonyeshwaga jambo kabla

  • @erickmwasi9596
    @erickmwasi9596 7 месяцев назад

    Ahsante🙏

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 6 месяцев назад

    Kweli kabisa

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 8 месяцев назад

    Amina

  • @DanielKawaya-pe5ox
    @DanielKawaya-pe5ox 8 месяцев назад +2

    Nikweli unasho sema uko saii Daniel kutoka Congo dhts

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 8 месяцев назад +1

    Kweli nikiota msiba mala nyingi inakuwa hivyo nilishwai ota Mimi ninanywele nyeupe arafu Binti yangu anatafuta wadogo zake nilishawai ota mke wangu ananinyanyasa tukagombana zaidi ya miaka miwili nilishawai ota vitu vingi vingine nasema vingine sisemu napiga goti tu nakumuomba Mungu abadilishwe

  • @ChristanMsingi
    @ChristanMsingi 7 месяцев назад

    Asante.saaana.kwa.dalasa.

  • @StellahNdege
    @StellahNdege 8 месяцев назад

    Mafunzo mazuri hata nimejifunza sanaa

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 8 месяцев назад +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @linetkimto4904
    @linetkimto4904 8 месяцев назад +1

    ❤❣🙏🏻♥️💕🙏🏻🙏🏻

  • @VivianAnyangi
    @VivianAnyangi 8 месяцев назад

    Amen amen amen amen

  • @JaneBlessing-e1j
    @JaneBlessing-e1j 8 месяцев назад

    Pongenzi ndugu

  • @JustinaEmmanuel-zv1ed
    @JustinaEmmanuel-zv1ed 8 месяцев назад

    Ahsante sana kwa ujumbe mzuri

  • @DeborahNyagawa-jy5gb
    @DeborahNyagawa-jy5gb 8 месяцев назад +1

    Nmepata kitu

  • @Samvoice-tx1fj
    @Samvoice-tx1fj 7 месяцев назад

    Kweli ankoo umetumwa kunifahamisha nimeelewa😥😥😥

  • @Papaa_Hillary_Mrema
    @Papaa_Hillary_Mrema 8 месяцев назад +10

    Katika uelewa wa jambo bila kufundishwa popote hiyo imenitokea sana. Hata nikimuangalia mtu roho ikaniuma huwa anaenda kufa pia kuna baadhi huwa nawaambia Mungu anawapenda ivo wabadilike na kumrudia Mungu. Tubarikiwe sote na Mwenyezi Mungu

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 8 месяцев назад +1

      Natamani namba yako

    • @TabizaAa
      @TabizaAa 8 месяцев назад

      may I have your number plz

    • @DoA-q1b
      @DoA-q1b 8 месяцев назад

      Nakuelewa Sana jamani

    • @RachelMalekela
      @RachelMalekela 8 месяцев назад +2

      Ucpende kusema vitu kama hvyo wazi utjiongezea maadui

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 8 месяцев назад

      ❤🎉​@@RachelMalekela

  • @BonfaceOwuorogot-zl1wc
    @BonfaceOwuorogot-zl1wc 8 месяцев назад +1

    Ni ukweli

  • @JaneSanga-b5n
    @JaneSanga-b5n 8 месяцев назад +1

    Asante

  • @charleskuumba4436
    @charleskuumba4436 8 месяцев назад +2

    Da nikweli kabisa

  • @JenniferPascal-mb1pu
    @JenniferPascal-mb1pu 7 месяцев назад

  • @PatriceDakho
    @PatriceDakho 7 месяцев назад +1

    Barikiwasana patriki tokamikochen a

  • @MaggyA-zf9db
    @MaggyA-zf9db 7 месяцев назад

    Balikiwa sana mchungaji

  • @happynesshami6375
    @happynesshami6375 8 месяцев назад +1

    Karibia yote unayoyasema yananiyokea yn ivyo vyote vitano ad naogopa

  • @AlphonceDavid-yu2fb
    @AlphonceDavid-yu2fb 4 месяца назад

    Fact bro be blessed 🫡💯

  • @BonfaceOwuorogot-zl1wc
    @BonfaceOwuorogot-zl1wc 8 месяцев назад +1

    Ni

  • @dinaniyo4921
    @dinaniyo4921 7 месяцев назад

    It's true

  • @NotukeriaMapunda
    @NotukeriaMapunda 7 месяцев назад

    Samahan Kaka Kwa hiyo ukiota MTU kafa na kweli kafa ni mpango wake na co kusema Labda kafa Kwa ajili ya mchawi au lah!

  • @HappinessRobert-k6z
    @HappinessRobert-k6z 8 месяцев назад

    Ee mungu naomba uzidi kuongea na mm maana bila wew siwezi

  • @SalemDaniely-p9n
    @SalemDaniely-p9n 2 месяца назад

    Mm hua naota ndoto nikianka nimeisahau ila ikitokea ndo nakumbuka duuh nichangamoto sana

  • @rosemarynafula7505
    @rosemarynafula7505 7 месяцев назад

    Ukiota unahubiri ama umeenda kwenye m2 umeomba Hadi umetowa madawa kwake inamaana GANA

  • @VictorFranael
    @VictorFranael 7 месяцев назад +1

    Haya mambo ya kusikia sauti ya chini huwa mnanichanganya, mtu anaongea peke yake ndani kwa ndani nyie mnasema sauti.

  • @bahatiphilipo5914
    @bahatiphilipo5914 8 месяцев назад +1

    Samahan me huwa naota sana niko shule ni kwann

  • @Agricola-gj5uh
    @Agricola-gj5uh 8 месяцев назад

    Nàombà kulixa jeeeh kam nikiota nipo kanisani nasali ña kun watu weng sn na inanirudia rudia san .

  • @catherinenyabuto4904
    @catherinenyabuto4904 7 месяцев назад

    Utajuaje maana ya ndoto?

  • @rosemarypeter9232
    @rosemarypeter9232 8 месяцев назад

    Mimi niliota tuko nyumbani shangazi yangu ananirushia ndege kwanyuma ya mgongo wangu ghafla nageuka naona shangazi yangu kafunua bauzi yake kifuani amekuwa nyoka muda huo ni saa nane ya usiku kulipokucha asubuhi bikaenda shamba nikakutana na nyoka wa aina hiyo kama alivo shangazi yangu kwenye kifua chake jamani niliogopa sana

    • @Klvn_Chriss
      @Klvn_Chriss 7 месяцев назад

      Funga na umuombe MUNGU lazima utafanikiwa

  • @MozePhilipo
    @MozePhilipo 8 месяцев назад

    Yani naota ndoto zikipita siku 3 lazima jambo litokee

  • @AhmedHImran
    @AhmedHImran 8 месяцев назад +2

    Mimi niwandoto na katokeo yake kabisa hata nikiota mtu haitaisha siku 3 nitaonana na yule mtu subhana Allah

  • @MOSESMURIUNGI-to8te
    @MOSESMURIUNGI-to8te 8 месяцев назад +1

    At a uoga na roho wachafu pia uzungumza ujue

  • @Doreen-un6po
    @Doreen-un6po 7 месяцев назад +1

    It's true