Kanumba even if you are no more you left a history behind w your movies will never get old they are still rocking 2022 still watching tutakukumbuka zaidi ulikuwa mtu Bora na mwenye manufaa sana ili Mungu ndio alijua kuzaliwa kwako na siku zako za kuishi duniani endelea kupumzika kwa amani but missing you so much,much love from 🇰🇪🇰🇪
Jaman that's song is so meaning angekuepo rafiki nisinge waza rafiki kipenz nliempenda R.I.P kanumba the legand always we are going to remember you're talent it's real you're so good love you my soldier
Sonia hasina kama mama wenye hekima.Kaniuba kaitendea haki nafas yakepia Anita ameect foolish age. Congrats to all actors and actresses. RIP TO LEGENDS KANUMBA SONIA AND ANITA
kwa kwl inabidi tumuuenzi ht kanumba jmn kiukwl mm hii muv naikubali kichiz yan ni kati ya muv nzr enzi hizo mana ck hz kila m2 anaigiza alaf wanapoteza kiini cha filamu
Who is here in 2024? We miss you Kanumba😢 much love from Zambia 🇿🇲
Mliho rudia kuitazama hii filamu kwama 2024 acheni like apa❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mimi huyu hapa 😊
Who is here in 2024 much love
😅😅😅😅
Mie baada ya luckiya kunichangany😂😂😂
Here
Here we are 😂😂😂
Waliorudia kuutazama hii mov 2024 acheni ❤❤❤❤
Kwa nn 2Ache
Kanumba even if you are no more you left a history behind w your movies will never get old they are still rocking 2022 still watching tutakukumbuka zaidi ulikuwa mtu Bora na mwenye manufaa sana ili Mungu ndio alijua kuzaliwa kwako na siku zako za kuishi duniani endelea kupumzika kwa amani but missing you so much,much love from 🇰🇪🇰🇪
Tunao angalia hii move 2023 tafahadali like zenu
Wenye tunawatch sae 2024tuko wap
Amaizing 🔥🔥🔥🔥who is here in 2022?
Niko
Wachelewaji tupo wengi
Me 😘😘
@@peaceisrael8158 saana Aki🙄🤣😂😂
Nipo🕺
Still watching 2023... continue resting in peace kanumba😢😢
You are not alone
@@Mukavana138 ppppppp hospital ppp
❤❤
❤❤
❤❤
Old is gold 😪
Daaah! Maskini walikua wanajua kuuvaa uhalisia😩😩😩
Namiss sana vya kale hivi
Kwani mary akua pacha wa ukwelk
Who's watching with me in 2023 if you're thumb up plzz miss Kanumba so much 😢 😭 wish angekuwa bado ako tz ingekuwa inavuma kweli kweli
Ulivosuka nywele ya mkono ndo umeonekana uzuri wako halisi mary ❤
Wale tunarudia tena nwaka 2024 mpo👋👋
Jaman that's song is so meaning angekuepo rafiki nisinge waza rafiki kipenz nliempenda R.I.P kanumba the legand always we are going to remember you're talent it's real you're so good love you my soldier
I always remember you kanumba when l watch your movies l feel like crying rest in peace kanumba
Exactly
Inamaana naanita amefariki?
Inamaana Anita naye amefariki??
2024❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉I remember you Steven Charles kwesa kanumba😢😢😢😢
Kanumba baba wataifa kwenye filamu zake zote tutagukumbuka daima pumuzika sarama bulundi tukukumbuka❤❤
Salama not sarama
Jamani 21 mwezi wa 10 mwaka 2020 nangalia movie RIP Kanumba
kanumba utaendelea kuishi vizazi na vizazi kwa kazi zako rest in paradise
Muvi ninzuri xana atatukusahau kanumba
Mbona uyu Anitha/Mery
Simuoni aki igiza zingine filamu. Ni hiyi hiyi alicheza tu
Asante kwa mafunzo
Kiss me
Alicheza kwa movie ingine yaitwa she's my sister walicheza Kanumba Mercy jonhnson wa nigeria na wengine
Ndio
@@milkamugeni7940 jambo
Inasemekana hashafariki😪😭
Can't get tired of this movie. R.i. p kanumba
Still watching in 2024❤continue resting in peace kanumba the video genius
Daaah! Kitambo Sanaa kaz nzuri Sanaaa,,,,,R.I.P kanumba 🙏
Good morning baby girl hope you had fun and miss you so much
Keep you posted as soon you will you be home tomorrow
Moooooo
Jamani kanumba we mic u co much uloigiza nao wanajua kuvaa uhalicia RIP❤❤❤
😭😭😭😭nahurumia huyu mary walahi
Asee nitaishi kumtizam GOAT of bongo movie 🤞🤞
,naweza kukesha nikiangaria muvi hizi❤😂😢😮😢😮😅😊😂😢😮😅😊
Kanumba alitaka umaarufu zaidi na kumkufuru Allah uko penye iko now basi adhabu tele, ila film nzuri.
Unapata dhambi sis unjuw hmn mt anjuw shimo l mwnzke.n unvofny kw mwnzk ndvy utvyfnyiwa.muhim n duaaa tu haijalishi alkuw nan na vip!!👉👉
Usihukumu nawe usije ukahukumiwa
Mapozi ya Anita ni xhidaah nayakubaliijee😋😋😋
Hahahahahaha
2024 like apaaaa
Ka princess Cha Enz izooo kanajua kuact kalkua kana jiona BEAONCE Ila nakapenda aka kadada cjuw skuiz kamepotelea wp jamanii😘😜🤣🙏🤞❣️❣️❣️❣️❤️❤️ 2021 tujuwane..
Alishafariki
@@jacklinelaswai4686 apana yupo niabari za wongo
@@jacklinelaswai4686❤
Yani picha zake zote aliect kanumba pafect kwa Tz hafikii mtu mwingine ..R.i.p bro..
Yan ,,,huyuuu jmaaaa kwel
Hmfkii mtuu na Tasnia ameenda nayo
2022 naicheki hii movie daaa mlijua kuvaa uhusika jamani kanumba😭😭😭😭😭😭😭😭
2023 but still watching these amazing movie
Ilol I watched ths movie when I was 13years now m 25 years the movie is still nice🇿🇦
Ila hii movie 😂anita n malingo 7 haya 2024 tujuane
Sonia hasina kama mama wenye hekima.Kaniuba kaitendea haki nafas yakepia Anita ameect foolish age. Congrats to all actors and actresses. RIP TO LEGENDS KANUMBA SONIA AND ANITA
Tuta wakumbuka daima 😢😢😢😢
We miss u mikala and kanumba..rest in peace all😭😭
2022 still watching it
Mungu wang kanumba hatunaye tena, iv ni kweli jamanii daaah!! 😭😭😭
Sound track za kanumba zilkuwa Moto 2023
Naitizama leo tarehe 21 /12 /2022 bado ipo na ubora wake ule ule. R I P Kanumba
Up-to-date still watching us if the movie is new
Nan anaeangalia mwaka 2020???like kwangu
Nipo le tareh 9/4/2020
5 may
Pamoja sana
Kama uko pamoja na Mimi gonga like
good cinema
Jamani leo trh 7/1/2021 tuko pamoja auuuu?
The lost twin Tanzania
2023 tunaangalia hii tujuane, R.I.P kanumba,,,!
wow so lovely movie I love it rest in piece kanumba we love you
Mary Crispine
Daaaah leo nmuenz kanumba kwa kuchek movie 6 iii ikiwem jamaaaa alikuwa anajua yaaan
Mwezi wa 5 mwaka 2021 naangalia move hii I so happy.
Ila mzee magali anavuta na meza kabisa
2020 ramadhan bado namcheki Kanumba mana namuona bado yuko kwenye chati kama zuchu
We still watching this movie
A jamais, tu resteras gravé dans nos cœurs, paix à ton âme.🇨🇩❤️ mwana inchi .
2022 Tunakukubuka Anita pia🙄❤️😍😭Kanumba huwezi saulika😪😭
Ile aliigiza anadondosha maziwa inaitwaje jaman msaada
Sitacoka kuhangalia film zako kanumba
Aki kanumba uta endelea kukumbukwa
26,1,2022 bado ipo kwenye ubora wake hii movie ktambo sanaaa
Nice lesson ❣️
Izi njo zilikua mouvie kwa kweli
Mikala nakupenda sana mungu akulaze mahali pema pepon Amin
R .i.p Kanumba ,niliangalia movie 2009,,, Ila Leo naangalia Tena 15/08/2023
Dah aisee movie hii inanikumbusha mbali San whey is anith pleas rud kweny game
Tarehe 19/11/2020 bado na watch hii movie aisee yani noma sana
Huyu ni mikala bana msituambie amekufa sema tu sahv kakomaa ndmn anaonekana Kama katoto hawawezi kufanana hv bn 2022 hii gonga like
2020 bado naingalia
kwa kwl inabidi tumuuenzi ht kanumba jmn kiukwl mm hii muv naikubali kichiz yan ni kati ya muv nzr enzi hizo mana ck hz kila m2 anaigiza alaf wanapoteza kiini cha filamu
2022
2022
Niko 2022
I missed the movie like that 😢😢❤❤2024
R.i.p kanumba 😭😭 R.i.p bi Sonia nipo apa Leo Le 23/7/2023
Nipo hapa 15 /8/2023
Vipi mzewee😂😂😂
Jmn tunaoiangalia hii muvi 2024 gonga like hapa❤❤❤
Kanumba still remains in our hearts
Ni nzur
@@sarafinaaleksi2466 .
Kanumba. Still remain in our hearts
True
Yes we can't forget kanumba
Yaani hii movie ya siku nyingi enzi hizo tbc inaitwa tvt
i like this movie
Anitha nifundishe kingereza jam 😂
Waaaaaaaah
July 2024 watching
Rest in peace bro we loved you but God loves most bye Kanumba
Tuungane hapa sote wagwana
To Tanzanians where is Evans Moshi today? I think he was a great talent just like Kanunba.
Mi26/4/2021nani mwingin like zangu tafadhali
Nazipenda sawa picha za kanumba
Na merry alitandika kwel na mikanda ya suluali ya mzeee😢😢
pilipili i can't stop laughing 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu aka pretend ni kama ajasema lolote😅😅
Leo tareh 18•7•2020 naangalia hii movie
I miss you kanumba
Mary ni karembo jamn natural beauty yani nmekapenda
Hapo sawa
Have found this movie have been searching for it
Alie ludia kuitazama hii gonga like hapa🎉🎉
Kwaiyo mzee magali Alikua mchaga sio
Long time ago miss you kanumba and mikala rest in peace 🕊️
nice movie 2024
2021 still ni my best film
fantastic
R.I.P kanumba
Where are my @The great Steve Kanumba's" fan at?
Nimeangalia hii movie kwasababu ya Mikala😍
Je kati ya Marry na Anita Mikala niyupi?
@@ngaboami6416 Anita ndie mikalla
Nampenda natasha upo seriaus kwenye ubora wko
Kwani huyu binti yupo eeh.....oooouh rip kanumba daah
Kafariki
@@didangoma7737 weeeh maskini na yule anaepost instagram ni nani
@@carolinefrancis6461 n dadake...
2024 April.
Kanumba mad bongo movie 😂😂😂😂😂🤤
2024❤️ like zenu
Wow amazing 💕
Hahahaha waoh jaman bonge la move