MCHUNGAJI HANANJA AMTOLEA UVIVU IRENE UWOYA KUVAA VAZI LA KANZU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 ноя 2024

Комментарии • 103

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 Год назад +13

    MBONA HAJAONGEAAA VIBAYA MANENO MAZURIIIIII ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DeoUrio-k6f
    @DeoUrio-k6f Месяц назад +2

    Mchungaji upo sawa kabisaaaa,nakukubali kwa madini yako

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 Год назад +8

    Mchungaji Hananja hajamtolea uvivu uoya unamsingizia kabisa maana amejibu kisomi, yuko neutral. Wewe ulitegemea tofauti

  • @Dizzolee1993
    @Dizzolee1993 Месяц назад +7

    Katika wachungaji mimi nao wakubari huyu mzee hua ni mkweli japo mimi ni muislam

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Год назад +5

    Hananja ana hali anamuliza swali la mtego. Na anamjibu kwa hakili kubwa

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Год назад +14

    NA PIA MWANAMKE HAVAI KANZU NI KUUTUKANA USILAM.

    • @NeemaMbotola-yg5sc
      @NeemaMbotola-yg5sc Год назад +7

      Aliekuambia kanzu ni vazi la kiislamu ni nani??

    • @DelinaHonory
      @DelinaHonory 2 месяца назад +3

      Wewe. Kanzu sio vazi la kiislam kakudanganya nani

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 2 месяца назад

      Kwani kanzu hazivaliwi na wanawake???? Mbona makanisani zinavaliwa??

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 Месяц назад +1

      We nae peleka uchawi huko kuutukana uislam ndo kitu gan Hilo vazi kama vazi jingine

    • @AdrienOscar
      @AdrienOscar Месяц назад

      Kwani kanzu ni vazi la kiislamu au ni utamaduni wa nchi za mashariki ya kati hacha ujinga wewe

  • @kakakuona57
    @kakakuona57 Год назад +1

    Mke wa hananja,mashalah

  • @GegoMnete
    @GegoMnete Год назад +7

    🔥🔥 Mzee Wa Madini

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Год назад +5

    Kanzu ni ya wanaume

  • @rosembwambo6079
    @rosembwambo6079 Год назад +3

    Nadhani tuache chuki binafsi katika mambo yanazungumzia Mungu...imani nyingi zenye kumwamini Mungu kamwe haziwezi dhihaki pale anapotajwa...hivyo ninaomba katika hili tuache chuki binafsi na dhihaka....mtu hajalazimishwa kumsikiliza...Mungu amempa karama yake acheni chuki na kupakana matope siku zote ukweli unabaki na Mungu araendelea kuibariki huduma anayotoa kwani Mungu ndo kaiweka juu yake.......

    • @MusokeDios
      @MusokeDios 3 месяца назад

      Mara kavaa uchi marakavaa kimaraya,sasa kavaa kanzu maneno,wanongo Havana jema,,

    • @AgnessAidan-pg9cx
      @AgnessAidan-pg9cx 22 дня назад

      Kama ameamua kuokoka avae mavazi ya kike ya kumstiri awe kiroho zaidi, u-star aachane nao sasa

  • @hashimmwinja1940
    @hashimmwinja1940 Месяц назад

    Mchungaji Hananja hingera sana kwa kusema ukweli khs mambo ya kiroho mqqnq wengi ni vipofu wa kiroho na viongozi wa kidini wa siku hizi hawqhubiri Neno wanahubiri mqmbo ya kimwili tu; kipato, kazi, masomo, uzqzi nk

  • @mubashdagun8008
    @mubashdagun8008 Год назад +5

    Huyu uwoya kachoka kuishi akiwa na akili timamu au kachoka kupumua

  • @HappnecPaullo
    @HappnecPaullo Месяц назад +3

    Waandishi msiweke vichwa vyahabali vya uongo ili tu kuwavutia wasomaj nawatazamaj umemkosea handacha

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 Год назад

    Kwani kavaa vibaya????

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +2

    Uyudem kachetuka vibaya

  • @AmourHaruob
    @AmourHaruob Месяц назад +1

    Dini yetu sisi yakiislam mtu ambae anava vazi si lajinsia yake anakua amelaaniwa mpka atakapo tubia kosa lake naiwe toba ya kweli

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +4

    Madini ndo maneno kumbee basi nilikuwa nasikia najua anamiliki madini ya kweli

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 4 месяца назад +2

    Wachungaji wengi wamekuwa watu wa Midia sana,hata kitu kidogo wao na midia.Mambo mengne unamuita mtu,unajaribu kumshauli huo ndiyo ubinadamu.

  • @gracesylvester3717
    @gracesylvester3717 2 месяца назад

    👀 LAKIN IRENE KAPENDEZA SANA

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    Alafu huyu dada ndio anawafuga wale kina agrey huyu kwaiyo kwake anaona sawa tuu tumuache mungu ndio anaejua viumbe vyake

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 Год назад +3

    Huyo Mzee unamsumbua Kila uchwao kumuuliza maswali mbona hamuwafati wakina Mwakasege ,Gwajima

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Год назад +3

    HILO SIO VAZI LA KANZU, KANZU HAINA MALENDA NA MAUWA

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 2 месяца назад

    Hakuna salama ya kumsifu yesu kristo ni uhuni tu wa kubance

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 4 месяца назад

    Waleikum msalam

  • @fahadnasri3855
    @fahadnasri3855 Год назад +2

    Sema amekosea usitake kuleta masuala ya conventional hapa kanzu ni kwa wanaume hyo sio dera au gauni.

    • @oscarmario466
      @oscarmario466 Год назад

      Dela na kanzu vinautofauti Gani

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Месяц назад

      ​@@oscarmario466tofauti ni aina ya vitambaa vinavyotumika kushona, hapa sitegemei kuona mwanaume kashona muonekano wa kanzu kutumia kitenge nitashangaa 😊

  • @nicholausmwinuka7640
    @nicholausmwinuka7640 Год назад +2

    Nooma

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 месяца назад +1

    UKIENDA SCOTLAND SKIRTS WANAVAA WANAUME.

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 Месяц назад +1

      Siku ukivaa gagulo utatuambia watu kale walivaa hivyo! 😂

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Месяц назад

      ​@@saltechnologiesco.ltd.2377 😂😂 mambo haya nayaona na kwa harmonize ila jamani 😅😅

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 Месяц назад

      @@TEDY-MTEMY24 kuigaiga iko siku vijana wetu watakutwa na ujauzito! ;)

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Месяц назад

      @@saltechnologiesco.ltd.2377 jamii inatakiwa kuamka kuhusu hili suala la maadili

  • @RashidSingano-o5v
    @RashidSingano-o5v 2 месяца назад

    Mzee una akili sanaaaa

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana 4 дня назад

    🤔🤔🤔🤔🤔

  • @musicbank257
    @musicbank257 Год назад +1

    NA UJINGA MWINGI KUTOJIELEWA UNAFANYA NN WAKATI GANI NA MAHALI GANI;.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Год назад

    Kwwelii

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Год назад

    Wanaume wanavaa madera ,,wanawake kanzu

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila huyu mchungaji😂😂😂😂😂

  • @officialinswe5479
    @officialinswe5479 Месяц назад

    Anatafuta nauli ya kuingia mjini

  • @ramyramso
    @ramyramso Год назад +2

    Mtamfanya mwenzenu akabwe kumtangazia madini kumbe ni maneno wahuni hawaelewi atakuja kabwa bure

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Год назад +2

    HAJAWASHIKA WAISLAMU BADO UYO,,,WANGEMNYOOSHA

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 Год назад +1

      Mbona una jazba joh???

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 Год назад +1

      Kivipi

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 Год назад +2

      WALA HAJAVAA KANZU HAPO,NA HATA ANGEVAA KANZU SIO ALAMA YA UISLAMU NI VAZI TU,,,UISLAMU SIO DINI YA UFANYE UNACHOTAKA HILO HALIPO...

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 Год назад +2

      @@hassanbakari4525 ni dini gani ambayo inaruhusu mtu Afanye anavyotaka???

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 Год назад +2

      @@davidmnyela2459 SI WAKRISTO 😃,,MTU AKILALA AKIAMKA TAYARI NABII,,,,USILAMU HAUNA HUO UJINGA

  • @Zaikadena
    @Zaikadena Год назад +2

    Kanzu sio vaz la kiisilam mbona hata biblia imesema vaeni kanzu seemu ya joto kwaio kanzu ni vaz la joto

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 4 месяца назад

      Kwa wanawake picha za maria alivaaje ndivo alivyovaa yy

  • @x7hia
    @x7hia 4 месяца назад

    Makafiri tokea mlivamie hili vazi basi ni aibu tupu 😢shenz kabisa

    • @mammyspecial2
      @mammyspecial2 4 месяца назад

      Huijui ata hiyo dini yako yenyewe kapimwe akili mpuuzi wewe

    • @ElizabethJulius-j8l
      @ElizabethJulius-j8l 4 месяца назад +1

      Unaitaje wenzio walio umbwa Kwa mfano wa Mungu wanafanana kama ww unawaitaje makafiri Mungu hakuumba kafiri kama wenzio watakuwa kafiri hata na ww utakuwa kafiri kwsababu mnafanana acha kujihesabia haki kuliko wenzio

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 Месяц назад

      ​@@ElizabethJulius-j8lmaandiko ndio yanayo sema na vitendo ndivyo vinavyo tufautisha mtu mwema na muovu kwa hio ukikataa amri za Mungu unakuwa kafiri Sasa tusichukue tu maneno ya juujuu ni lazima tusome kwanza ili tujue vya kuyatumia maneno,na pia tuwe makini wakati tunaposomeshwa na walimu wetu na pia tusiwe wavivu wa kukuliza ikiwa Kuna kitu kinatusokota,sote ni wanafunzi tusipende kuwafuata wanaofahamu upesi tutakosa maana boro tuulize wenyewe kwa mwalimu

  • @bauchatv-yd4ug
    @bauchatv-yd4ug Год назад +2

    Uyo mchungaji apimwe akili yake naona km haipo sawa

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 2 месяца назад

    Hawara yake uyu

  • @Zepequeno-ln1ot
    @Zepequeno-ln1ot 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂