Ni SHOLO MWAMBA Tena! AMPIGISHA Magoti MAGUFULI Kumuombea Rais Mstaafu MKAPA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 128

  • @dicksonchauganga5325
    @dicksonchauganga5325 3 года назад +14

    Nani karud tena hapa baada ya jembe kututoka?? Nipeni like zangu!

  • @neemahaji5766
    @neemahaji5766 3 года назад +15

    Nimekuja apa baada ya kifo cha raisi😭😭😭🙏

  • @alexandersimon5933
    @alexandersimon5933 4 года назад +42

    Daaa, Raisi anapiga magoti baada ya Msanii kusema/!!!!!!! Machozi yamenitoka kabisa. Raisi huyu ni watofauti sana. Mungu akulinde Raisi wangu. Nakupenda sana.

    • @zawadiyohana7238
      @zawadiyohana7238 4 года назад +3

      Mungu ampe maisha malefu

    • @egbertrupert2630
      @egbertrupert2630 4 года назад +1

      Mungu akuzidishie maisha marefu rais JPJM

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 года назад

      Sasahivi watafanya kila kitu. Ngoja aapishwe. Atarudi hapa kuwaita vilaza 😂

    • @agnesgervas8070
      @agnesgervas8070 3 года назад

      @@bjzee1981 mmmh

  • @deograsmbilinyi1214
    @deograsmbilinyi1214 3 года назад +34

    Tujuane tulio kuja baada ya msiba RIP MAGUFULI

  • @josephmkande7828
    @josephmkande7828 4 года назад +14

    Du rais wetu Magu Mungu ambariki sana japo ni mkali lakini nimnyenyekevu sana anapiga magoti sala yenyewe haieleweki, Magu upo vizuri sana rais wangu

  • @salmamalck7024
    @salmamalck7024 3 года назад +2

    Umenifundisha vitu vingi san nakunifanya nijuwe mimi ni nani nanitakiwa kufanya na kuwacha nini Asante daddy 🙏 nitakukumbuka daima 😭

  • @ezramaganda842
    @ezramaganda842 4 года назад +4

    Sholo mwamba umetisha mwanangu kazi nzuri

  • @frankonicholaus619
    @frankonicholaus619 4 года назад +6

    Sijawai kukomnt but sholo mwamba nizaid ya wasanii bongo big up

  • @daudkihava8528
    @daudkihava8528 3 года назад +3

    Daima tutakukumbuka JPM mungu akupe pumziko jema huko uendako. Mbele yako nyuma yetu.

  • @hamzaridhiwani4336
    @hamzaridhiwani4336 4 года назад +3

    Dah isee mungu akulinde rais wetu

  • @upendokaswiza9831
    @upendokaswiza9831 4 года назад +11

    Mungu mwema jaman maana hapo balakoa hakuna jaman mungu akuweke magu maombi na iman imetusaidia sana

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 года назад +6

    Shoro ujue shika adabu yako tutakuwa hatukuchukui tena kwenye mikutano😁😁😁😁😁💛💚💛💚

  • @mariayusufu9746
    @mariayusufu9746 3 года назад +2

    Magufuli we miss u 😭😭😭😭

  • @eliaspaulmasanyiwa6902
    @eliaspaulmasanyiwa6902 3 года назад +2

    Rip Magufuli. Angekuwa Samia au Kikwete asingepiga magoti

  • @snico2275
    @snico2275 3 года назад +4

    😭😭😭😭😭 kifo jamani

  • @leanahbusanga8272
    @leanahbusanga8272 3 года назад +3

    Rip Baba 😭😭😭😭 wende kwa amani 🇨🇩

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 4 года назад +2

    Magufuli tabasam lako mashallah umependeza kwelii

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 4 года назад +6

    Wauw JPM is big rapper, that great 👍👍👍👍

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 года назад +11

    Ata waseme niiniii MAGUFULI OYEEEEEEE

  • @emmyminah1261
    @emmyminah1261 3 года назад

    Jmn rais wetu mungu amsamehe amueke sehem salm mtii San nimelia mm dah😨😨😨😨😨

  • @phinnanyoni8381
    @phinnanyoni8381 4 года назад +7

    Salute kwako sholo

  • @rukundorwimanaalbert1927
    @rukundorwimanaalbert1927 4 года назад +4

    Good nice

  • @neemaneema5724
    @neemaneema5724 4 года назад +5

    Hakika muheshimiwa we nimteule toka tumboni mwa mama na libarikiwe tumbo ulilotoka baba

  • @Grapa-ob8dw
    @Grapa-ob8dw 4 года назад +6

    Sholo you are the best bravo

  • @Aminaamina-cg8sf
    @Aminaamina-cg8sf 3 года назад +5

    Aki tulizowea hivi Leo tunakusanyika kwakulia R I P MAGU

  • @bonphacemwigulu129
    @bonphacemwigulu129 4 года назад +14

    Magu uko vzr kura zako kama zote watabaki wenyee roho mbaya tu

  • @jackilinram1083
    @jackilinram1083 3 года назад +3

    Magufuri baba why RIP

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 4 года назад +8

    TANZANIA SIHAMI

    • @zakariaelia7998
      @zakariaelia7998 4 года назад +1

      tunabak wote, sema wasiojulikana ndo shida

  • @hunterregnald1671
    @hunterregnald1671 2 года назад

    Sholo Mwamba uko na kipaji brother

  • @djbiggal1049
    @djbiggal1049 4 года назад +2

    Magufuli tofauti Sana ...

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 года назад +6

    Gud gud... Ccm oyeee... Jpm oyeee

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 года назад +6

    ATA MIMI NIMETOKA MACHOZIII KWA MAOMBI HAYO DAAA. KAKA ASANTE SANA KWA MAOMBI HAYO NI MAZURI MNO. UBALIKIWE. MUIMBAJI ASANTE

  • @atwayally8105
    @atwayally8105 4 года назад +2

    We mtoto wee umempigisha Rais wetu magoti

  • @frankmakeula4506
    @frankmakeula4506 4 года назад +6

    Huyu mtoto hana heshima unafosi singeli iwe juu

  • @dennicmtn5269
    @dennicmtn5269 2 года назад +1

    2022 october without you Magufuli R I P BABA

  • @noelmmary8911
    @noelmmary8911 4 года назад +5

    Sholo umemnyoosha mzee wetu kwakweli

  • @mcrithawaukweli4885
    @mcrithawaukweli4885 4 года назад +10

    Well done

  • @nassorombutite4526
    @nassorombutite4526 3 года назад

    Ina uma sana ayseeeeeee

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад +1

    Kwa hivyo shinyanga ndio wanavaa ki uganga uganga hivi

  • @sophialaurent2876
    @sophialaurent2876 4 года назад +14

    Sholo mwamba ,usituchoshee Rais wetu tafadhali🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 года назад +2

    Wanangu wa Shinyangaaa ...sijaona vumbi Shinyangaa😬

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 4 года назад +1

    👏👏👏👏👏👏👌👌💪💪 Raisi magufuri jembee chm oyeeeeeeee

  • @leockadiakadogosa7536
    @leockadiakadogosa7536 4 года назад +14

    Nyie wasanii mbona hamna heshima kwa viongozi wetu kuwamuru kusimama na kuwapigisha magoti. Muwe na adabu

  • @aminamollel5725
    @aminamollel5725 4 года назад +3

    Nimependa kinyamaaaaaa.....piga magoti tumeombee Mkapa

  • @veinoh3607
    @veinoh3607 4 года назад +3

    sholo ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @emmanuelkangalo9305
    @emmanuelkangalo9305 4 года назад +2

    Htr sana mpka wabunge nao kumbe wanajua kuyadigi raisi nae kashindwa kujizuiya singeri tuipeni kipao mbele japokua watu wanachkulia kama mziki wa kihuni

  • @alexmiage7115
    @alexmiage7115 3 года назад +2

    Pumbavu wee Askari unamuona rais kapiga magoti alafu wewe bado unakaa mjinga sana inafaa ukiona rais kapiga magoti na kufumba macho kwenye sala wee usimame tena uwe tait macho yawe kila mahali kumuekea ulinzi mzito alaa

  • @neemapeter9120
    @neemapeter9120 3 года назад +1

    Tutakukumbuka daima

  • @benardmapuga8370
    @benardmapuga8370 4 года назад +6

    Na magoti wamepiga chezea singeli na wamesalishwa kisingeli vilevile ahahahaaaaaa hatari sana

  • @burhanmbagwa5879
    @burhanmbagwa5879 4 года назад +5

    Ila nimecheka sana na kusikitika

  • @husnamamuya5784
    @husnamamuya5784 4 года назад +1

    Daah jamani huyu baba anastahili kutuongoza baba umepita bado kuapishwa tuuuu

  • @mohammadkiliwa5483
    @mohammadkiliwa5483 4 года назад +4

    Ni hatari. Si angesema Amina wasimame

  • @jesusalpholed4811
    @jesusalpholed4811 4 года назад +6

    Baba unagusa rais magu

  • @joymadambby3290
    @joymadambby3290 4 года назад +2

    Hadi RAHA😂😂❤️💃💃

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 4 года назад +2

    Jpm namba moja Tanzania

    • @tinertv1382
      @tinertv1382 4 года назад +1

      Ameambiwa anaombewa hajapiga Magoti kwa ajili mtu kapiga kwa Mungu!

  • @salvydeoo8966
    @salvydeoo8966 4 года назад +1

    Jmn magu mungu akulinde

  • @salamihorance528
    @salamihorance528 4 года назад +5

    Sholo mwamba kamlambisha magu dawa, sio kwa kumfokea huko

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 года назад +3

    CCM OYEEEEEEEEE. MAGUFULI OYEEEEEEE

  • @khadijaathuman5271
    @khadijaathuman5271 4 года назад +2

    Mwacheni acheze naye binadamu kosa lake nini kwavile rais ila ni binadamu pia

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 Год назад

    Mmhhh!!😭😭😭😭😭😭

  • @ProfessorYGsniperRobot
    @ProfessorYGsniperRobot 4 года назад +1

    Wakati wakinywa nakula nakuoa,na wakisema Kuna Amani ndipo ,panatokea ule ualibufu,Wakati Wa utawala wa shetani umekwisha,Sasa lazima mtambue kuwa mwenye Ufamle wake anakuja na yupo kalibu,yatupasa sote tutubu kwa maana ule mwisho umekalibia,imeandikwa Na injili ya Ufalme wa Mungu itaubiliwa ulimwengu kote na hapo ndipo ule mwisho utakapokuja,

  • @thomasyeyo2776
    @thomasyeyo2776 4 года назад +1

    Fire burning

  • @twangalathedon2381
    @twangalathedon2381 4 года назад +1

    sanaaa maguu oyeeeee

  • @galinomatz3502
    @galinomatz3502 4 года назад +3

    Shikamoo sholo! Umetisha!
    I'll Mwanza mpumzishe Presdaa Buana lol!

  • @sabinamwita5261
    @sabinamwita5261 4 года назад +3

    Sholo mwambwa mbn unamfokea rais wetu jmn

  • @snedemc
    @snedemc 2 года назад

    Mwamba geu

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 4 месяца назад

    Eti wanyaturu hawajui singel huna la kusema bora uandike kitu kingine tu

  • @hajikombo8578
    @hajikombo8578 4 года назад +7

    Sijapatakuona maombi kwa staili ya singeli .

    • @rashidimatumla1344
      @rashidimatumla1344 4 года назад +2

      ndo umeona sasa apo

    • @hajikombo8578
      @hajikombo8578 4 года назад +1

      @@rashidimatumla1344 sitatizo kupiga magoti tatizo wasanii hawana adabu itakuaje umpigishe magoti kiongozi mkubwa ,pengine diniyao inaruhusu au ?

    • @philipkato6517
      @philipkato6517 4 года назад +2

      Swaga za Singelii hizo wao nao wakapiga kweli magoti🤣🤣😂😂🤣 na macho wakafunga..sema yule mlinzi wa magu kamaind kichz😂😂🤣

    • @yussufmohd5281
      @yussufmohd5281 4 года назад +2

      Ndy unshaona ss katowe Gazet 2 ww

    • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
      @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 года назад

      Hamna dini hapo ujanja2

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 4 года назад +2

    Magu oyeeeee.

  • @khamisiabeidngonde5515
    @khamisiabeidngonde5515 4 года назад +1

    Sholo devil mtu mbadiii., show kali la kutisha

  • @kamalissabig2429
    @kamalissabig2429 4 года назад +4

    Isingekuwa wasanii ccm wasinge pata watu kabisa

    • @arbukasigwa4533
      @arbukasigwa4533 4 года назад +1

      Kila mtu anatumia akiri yake hili aweze kupata kitu nyie mnashidwa nn kuwa na wasanii kina mtu anakataza

  • @hurwadahjimmy2317
    @hurwadahjimmy2317 3 года назад +1

    Mungu akupe Aman ya milele ancle magu najkutata nimekukumbuka mpendwa wetu

  • @fernandoagostinhochalyamba818
    @fernandoagostinhochalyamba818 4 года назад +1

    Noma sana

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 4 года назад +2

    Huyu rais ni mnyenyekevu sana tukimpoteza tutakuja juta

    • @dicksonchauganga5325
      @dicksonchauganga5325 3 года назад +1

      Tushampoteza ila km kuna mkono wa mtu juu ya kifo chake Inshaallah Mungu atamdhalilisha na dunia yote ione!!

  • @SaidiHasani-wl8tr
    @SaidiHasani-wl8tr 7 месяцев назад

    Anatisha sana

  • @Kim_D84
    @Kim_D84 4 года назад +1

    Waumie tuu....

  • @massoudsultan6149
    @massoudsultan6149 4 года назад +1

    Jamaa music dah

  • @phinnanyoni8381
    @phinnanyoni8381 4 года назад +3

    Anafanya kuweka rekod sholo

  • @zuwenabilikundi8449
    @zuwenabilikundi8449 4 года назад +2

    100

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 4 года назад

    Toka nazaliwa chama ninacho kiona ni CCM kwahiyo CCM baba lao mzee magufuli yaan mm kura yangu unayo hata kabla ya kampeni

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 года назад +1

    Nmekubl shooroo

  • @josephmanyama435
    @josephmanyama435 4 года назад +1

    duuu kweli hatari

  • @khadijaathuman5271
    @khadijaathuman5271 4 года назад +1

    Eee kapiga magoti kwa ajjili ya waliyotangulia hajamwambia apige Imani yake tu

  • @ethanethan4437
    @ethanethan4437 4 года назад +3

    Sholoooooo

  • @manaseelias2351
    @manaseelias2351 4 года назад

    Sholooo awamu ijayo ugombee udiwani au ubunge

  • @Kaizirege
    @Kaizirege 4 года назад +4

    😂😂😂

  • @fatmamachelenga4621
    @fatmamachelenga4621 2 года назад

    Kwapa manywel kibaoo

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 года назад

    Hakuna sala hapo wezetu musidanganyane pigeni mziki 2

  • @saimonimwazale4573
    @saimonimwazale4573 4 года назад

    Mziki wa magu unatisha

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 года назад +1

    daaaa

  • @willyantony6654
    @willyantony6654 4 года назад +1

    😀😀😀😀👍👍👍👍🙏🙏

  • @mbwanakassimu2213
    @mbwanakassimu2213 4 года назад +1

    Saf San kaka Allah kulind mwanz mwixh

  • @chussede3072
    @chussede3072 4 года назад

    Mwamba unamtesa mzee wetu bhana

  • @Georgekipusa
    @Georgekipusa 4 года назад +3

    Duuuuuu

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 4 года назад +1

    Manyumbu mnasemaje