Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mashalah bibi akupe umri mrefu kwa kukumbuka kitabu Cha allah inshallah fabi na adamu tunashukru kuwaona Tena maana mlipotea
Maashallah Fabian ulipotelea wapi jaman. Quran inasomeka muda wowote muache bibi adurusu haina mwisho hiyo mwisho wake Allah akikuchukua Allahu Akbar
Pole sana mama na mtoto wako Ramadhani ALLAH atazidi kuwafanyia wepesi InshaAllah
Pole Sana kaka fabi tumefurahi umerud tena❤🎉🎉🎉
Maashaallah bibi anasoma Quruan. Allah akulipeheli. Kumbe ulikuja huku uwarabuni bb.ul8kuja kupambana maashaallah❤❤
Allah. Atawafanyia. Wepes inshaallah
Alhamdulilah mungu awazidishiye walipopunguza kuwapamsada
Daaaa roho yaniuma kama bibi yangu wallaah nyie ndugu embu msadie huyo bibi
Fabi itabidi uyo ostadhi apewe msingi kwa maoni yan😢
Watoto wake wako wapi?jmn
Asalam aleyku warahma tullah wabarakatuh. Fabi ungempeleka bibi hospital anaugua nyumbani tu
🙏🙏🙏❤❤
Bibi malizako toa wakfu. Msikitini lama Allah ak8kuchukua hao wajukuu wasilithi. Hata mmoja. Maana wanarohombaya na watajisogezatu.
Apo wajukuu wanamsubir Bibi afe na mwanae waje jurithi nyumba sasaiv kumsaidia hapana
kunadenibasialipwe asijekuadhibiwa mama wawatu kwadeni
pomojanakuwa mautihayachaguwi hatujuwikatiyetu sisina mamarama nani atakayetanguliya.mungu ampeumrimrefu.ampeafyanjema
Wakwanza leo jamani
😂😂upewe Mauwa Yako
sasarama aedekutibiwa kapata angalaupesa
Hivi mama, uliishije na wajukuu zako? Hukuwa nao karibu?
Walisema siku moja km ramadhani alikua hana habari na wao wake walishugulikiwa namama yao tu
Basitu.moyowao mbona mm nimelelewa na mama tena nimetubwa kijijini kwa bbi nimeteseka sana mpaka na maliza shule. Ila kwenye.miaka 15 baba akaja nikamjua basi yakaisha namsaminitu aloyafanya Mungu atlipa mm nashukurutu kwa kunitoa duniani.
Mupelekeni kwenye maombi atatembea
sasafabi hatumuwombeyi mamarama kifoilaikitokeya nanyiyemkawa having msisahau kumuliza.huyo anayemsaydi yakumkopesha kamakutakuwa