Sada kuwa jasri na umsahau ndewa wacha kitamlamba ndewa naomba mungu agi hata afanye mapenz kwask mala Mia asipate mimba Inshallah agi maumivu utayalipa mala Mia 😢😢😢
Sada dadangu niwakati wako xai nakuomba mpatie chiko nafasi achana na uyo ndewa alee mimba ya uongo juu uyo Aggy sidhani kama akona mimba na kama yuko nayo niya mganga
Baby agi mtoto wa elfu 200 na hiyo sura imekomaa kama ya mnywa gongo,,,,kwa sada huingii hata robo agi wewe huna uzuri wowote,,,na sada umeamua jambo jema sana,,,tulia mama utampata wa kwako mwenye malengo na wewe,,,halafu ndewa siku moja utalia shenzi labisa wewe
Kudadeki chiko kheee kumbe ww unamiraba hio na kwa maneno yko hao mazur mm siamin juu wanaume n wale wale,,bwana mapunda achan n ndewa atakuja kukumbuka maneno yko badae
nmefrahi kuona sada akaanzsha mapbzi na mtu mwngne ❤hongra saan sadaa 🎉🎉🎉🎉🎉
Love the spirit Saada❤
ndewa atalia sanaaa
Mganga mkomeshe agi
Chiko kama Chiko karibu sana kwenye maisha ya Sada usimtese Sada tena ❤❤🎉🎉🎉🎉
Alhamdulillah Mungu hajanipa roho kama ya sada...yani nkiambiwa nenda,nakimbia na sirud tena kwa mwanaume kama ndewa😏
Akapimwe huyo bb Aggy ndewa kimrambe
Sada utazichi kweli
Sema uyu sada nae n mrahis,,, kwa swaga gan apo khaaa
Mbona chiko maneno mengi kama mgombea😂😂 sada kuwa makni😂
Aki chiko pls usimkosee sada kama vile ulifanyia zatiti kwa house girl
❤❤❤❤🎉🎉
Sada wetu tunamupenda chiko tafathali usimu Mize tuta kuroga jinga kabisa.
Sada kuwa jasri na umsahau ndewa wacha kitamlamba ndewa naomba mungu agi hata afanye mapenz kwask mala Mia asipate mimba Inshallah agi maumivu utayalipa mala Mia 😢😢😢
Chiko usiumise sada kwakweli
Hiki kimomali mlikitoa wapi kinaboo sana
Chiko karibu huku😂😂😂 ndewa ipo siku utamkumbuka sada😂😂😂❤
😂😂😂ᴋᴡʟ
Na comments mara 3😅😅😅 Sada tutakuwa nafrah san ukiwa happy Nami nakuwa happy ❤❤❤❤ mungu katujalia furaha Zaidi nazaidi
Ongela sana sada amakweri mungu amuaci muja wake❤❤❤🎉🎉🎉
Chiko kalibu kwa sada jamani ❤
Sada naomba unayo yasema yaendereye dada najua ndewa kitamulamba kure kwa agi mutoto wa Burundi 🇧🇮🇧🇮nakupenda sana sada
Chiko acha utapel wa mapenz na kujingamba😂😂😂
Karibu sana chiko 🎉🎉a.k.a mchungaji wa baba karobo
Kapumbavu hako kasomali mkatoe hakajui kuigiza kanakela Mambo yakipumbambu kanayofanya mtakosa umaalufu kwa 7b ya hako
Kweli kabisa ata mimi simpendi huyu msomali
Maashallah sada Allah akupe mweye kher na ww ❤❤🎉🎉🎉😊
Bonge la bwana mdogo wangu sada kampata ndewa zam yako inakaribia ya kumlilia sada
Sada leo nimekupa big up huyo ndewa mda co mlefu chuma kitamramba hadi ajukumbuke na atakuwa kasha chekewa😂😂😂
Kwakweli sada. Ww ulituayibisha. Ila kwayote. Niko naww. Ukibaki nauyo msimamo. Ndewa simbali atajuta.
Chiko chiko kumbe huko na mistari hivo wooow maua kwako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wewe sada waboesha movie kulia kisa mapenzi watu humove on bna sio kilasku kulia 2
Dada angalia episode adi mwisho dhen ndo ucomment 😂🍹
😂😂😂😂😂chiko umeuwa umetumwa kwa mungu ila poa 16:08 mliwaze sada wetu jmn ndewa kitakulamba
Sada weeeeee🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Ndewa ach ujinga w
Sada kua jasir ipo sku ata kukumbuk huy nyang,au
Chiku eti bonge labwana unamaneno weye ooo chikuu wambiye uyo alikua analiya mapenzi kwa ndewa sana sada umepata bonge labwana
me ndo I like iyo 👍♥❤ sada mpe nafas chiko ❤❤❤
Hatimaye baby agy kavaaa wigi😅😅😂
Ety chiko ni mwanaume na nusu😂😂sada nae Wacha kua rahis rahis ivoo
Beby agi unajisahau kweli daa mh haujui kama hupedwi na ndewa mimba ndio imekusogeza hapo maskini wee
🎉🎉🎉🎉nimekuwa wa kwanza
Leo wa mwisho 😂😂kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤
Mapunda unakilisana mana hapo umemsha uri vyema sana ndewa
Sad nakupend san dad ❤❤❤
Ndewa utaguza mimba ya mganga🤣😂
Hatali 🔥🔥🔥💥💯
Dawa mtupe kule uyo ndewa Anza maisha mengi achanana uyo ndewa kaa tu namwanauke mengine ndio dawa sada acha kujiiza
Unyama mwingi ❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mapenzi ayajawai kumuacha mtu salama
Ushasema 😂
😂😂😂akhaaa bonge la bwana mwanaume na nusu 😂😂😂😂 nimeipenda hiyo ndewa jiandae😂😂😂 to
Tobaaaa chiko ndani ya nafsi😅😅😅😅sada chiko atakuliza hanaga mapenzi ya kweli huyu
Wow welcome chiko ila tafadhali mtulize sada na usimuumize ameteseka sana 🎉🎉🎉love you bro chiko🎉🎉❤❤❤😊
Nmewai jmn naomb like❤
Mm je
Chiko naomba usimlaghai Saada wetu tafadhali
Ila sada wew kwa hyo ndo unajifunza namna ya kuangalia mme jmn
😂😂😂
Haaa sada😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Chiko wetuu karibu nafsini mwa Sada😂😂🎉🎉
🎉🎉kwa chiko jamnii🎉🎉🎉
jamani Sada Mungu kamukumbuka kamuletea chiko 🎉🎉 chiko mutunze Sada wetu usimuumize kama ndewa nitafurahi sana uki mtunza na wapenda ❤❤❤
sada kama hujajifunza hujifunz tena😂😂😂😂sasa hamia kwa chiko kaja kwaajil.yako
Sada dadangu niwakati wako xai nakuomba mpatie chiko nafasi achana na uyo ndewa alee mimba ya uongo juu uyo Aggy sidhani kama akona mimba na kama yuko nayo niya mganga
Baby agi mtoto wa elfu 200 na hiyo sura imekomaa kama ya mnywa gongo,,,,kwa sada huingii hata robo agi wewe huna uzuri wowote,,,na sada umeamua jambo jema sana,,,tulia mama utampata wa kwako mwenye malengo na wewe,,,halafu ndewa siku moja utalia shenzi labisa wewe
Wee chiko😂 umetumwa na mung😂😂❤
Asantee 🎉
😂😂😂😂😂
Saada nae namapenzi😂😂
Huyu Ndewa atakuja muua Sada 😢😢
Léo mimi wa tano nipe liké zangu 🎉🎉🎉😊😊😊😊
Kumbe Sada maarage ya mbea maji Mara mmj tu kwisha 😮
😂😂😂😂😂
Hajawai kuitwa mrembo😂😂😂
@@tausifautini407 😁😁😁😁🙌
Aaaah sada ww wanaume niwale wale tuu kiukweli niwajinga wakujingiza sana akiamua lolote nilazima alete unyenyekevu alafu huyo chiko ndowale wale
Yeye anamuona chiko ni mume sahihi kwake,,,aloooh atampiga tukio huyo hata amini,,,,sada nakupa pole
Namuombea Mungu awe amemkumbuka ili ndewa aje ajutie ajue alipoteza
Sada umenifulahisha sana ayooo ndo maamuz sahihi maana ndewa nimwanaume ambao hana msimamoo
Mmakua anaswaga😂
Ndewa utakuja mwenyw kuwa na aman dad
Chiko na kote uko kelele kwakoeee aggy mimbanyiingie kweli hila siivyo kitakuramba changamka mama😂
Mashallah kaka chiko karibu sana kwa dada sada wetuuuu❤❤❤❤
Chiko mstir sada wetu please amelia vya kutosha sada nawe ume mukufia gfla san
Sada ongela wukizobedasachi ashana nanda malaya ❤❤
Wow chiku welcom munapendezana na sada waw
Mama chiku wetu yupo nahuku ooo sada mkubali chiku Ili umumize huyo exx wako ndewa mpee maneno matam kama kawaida Yako chikuu hhhhhhhhh
Sada ww haya
Sada na chiko
Sada mapenzi yatakuua
Huyu msomali anaharibu pesa kwa mapenzi anasahau dadake anavyo jikaza kukipata😢😢
Kudadeki chiko kheee kumbe ww unamiraba hio na kwa maneno yko hao mazur mm siamin juu wanaume n wale wale,,bwana mapunda achan n ndewa atakuja kukumbuka maneno yko badae
Jmn sada umejuaj kunifrahisha
Chiko karibu kwa nafsi ❤❤❤❤🇰🇪
Sada utalia Hadi lini wew utakufa Bure na mapenzi
Jmn chiko punguz hizo ndevu naww😅
Asante sana sada
Hapo sawa sada
Ila sada mjinga wewe😂😂😂😂
Sada kuwa jasirii mwaya ndewa cyo mwanaume huyo nimekupendaaaa bureee
dewa jamani
Chiko sikuwaki naye imani ni wale wale, ingekuwa kaibe apo sawa. Acha tune labda chiko kabadilika.
Malaika katumwa km nakuona vile ila usimlize sada wetu amelia sana ❤😢
Safi sana
Sada jaman 😂😂😂😂❤
Sada kanogewa eti esam hhhhhhh
Ndo chiko🎉
Sada umeamua kweli
🎉🎉🎉 Leo sjachelewa
Chiko umeshafika uku