PENZI LA MUME WA BOSS EP 20 | SO1 || Love Story 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #busatitv #lovestory #bongomovie

Комментарии • 87

  • @KiwangoMediaFilms255
    @KiwangoMediaFilms255  27 дней назад +9

    HABARI ZENU WATAZAMAJI WETU UONGOZI WA KIWANGO MEDIA FILMS TUNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWESHA KUTOKA EPISODE 21 KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE KABISA YA UWEZO WETU KUTOKANA NA TATIZO HILI BASI EPISODE YA 21 NA KUENDELEA ZITAKUJIA TAREHE 21 /01/2025 HIVYO TUNAOMBA UVUMILIVU WENU KWETU TUNAWAPENDA SANA NA TUTARUDI KWENYE RATIBA ILE ILE KILA BAADA YA SIKU MOJA TUNAACHIA EPISODE MPYA AHSANTENII 🙏

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 26 дней назад +3

    Tressy nakupenda saana. Nafatilia kutoka Oman 🇴🇲

  • @MahadhiMusa
    @MahadhiMusa 26 дней назад +1

    Leo Raymond umenipa raha yani 🎉❤❤❤❤❤

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 27 дней назад +6

    Jmn 😂😂😂 inabidi nifurai to nimeamini kuishia na Mme wa mtu sawa na kukopa mkopo wa benki 🏦😢😢😢 pole sana warda...

  • @SarahHappy-k1o
    @SarahHappy-k1o 27 дней назад +4

    Nimwfurahi kuona madam akiwa na furaha Leo nawapenda sena🎉🎉❤❤

  • @SamouOman
    @SamouOman 27 дней назад +3

    Jomon imenoga atar nataman ata isiishe kazi nzur Sana mungu awaongoze jaman

  • @Stellabby-zo7mw
    @Stellabby-zo7mw 26 дней назад +2

    Mmmh maua yenu jaman🎉🎉🎉🎉

  • @Jiddahkhery
    @Jiddahkhery 26 дней назад +2

    ❤❤❤😂sawa kaka tunawapenda kiwang media

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 26 дней назад +2

    Poleni sana kwa changamoto mlioipta. Tunakuombeeni kl la heri. MUNGU akufanyieni wepec. Tupo pamoja nanyi.

  • @Basilisa-vc2rl
    @Basilisa-vc2rl 27 дней назад +2

    Raymond you have attractive voice, all in all am much interested on yr amazing movie

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 27 дней назад +4

    Nlijua tu huyu atampenda yaani mapenzi hua ayaigiziwi 😂😂😂😂

  • @MARIAMARIA-j3r
    @MARIAMARIA-j3r 27 дней назад +4

    Tumepokea na tumewasamehe❤❤

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 27 дней назад +3

    Tressy upo vizuri nakupenda bure🎉❤🎉❤🎉

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 27 дней назад +6

    Aisee Raymond Leo umenifurahisha mno , huo mpango wa kumtoa huyo bonge nyumbani kwako , at least tressy afurahie ndoa yake,

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 27 дней назад +3

    ❤❤❤❤❤❤ kazi nzr sana❤❤❤

  • @AishaModi-eg2vq
    @AishaModi-eg2vq 27 дней назад +3

    Jamani umefika mahali patamu sana ila tumewaelewa lakini msichelewe sana bana alafu nawapenda nyote aki ❤❤❤❤

  • @MercyJoy-s5t
    @MercyJoy-s5t 27 дней назад +1

    😂😂😂kr kashapenda yaani.kanogewa😂😂😂

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 27 дней назад +1

    😂😂😂😂😂Igizo juu ya Igizo

  • @DaisyNyabuto
    @DaisyNyabuto 27 дней назад +2

    Mapenz matamu mtu asikuambie wee🤣🤣🤣🤣

  • @ElizaMalenga-j5v
    @ElizaMalenga-j5v 23 дня назад

    Yani, mumejuwa kunifurahisha Raymond 😂

  • @fayojarso3777
    @fayojarso3777 26 дней назад +2

    Ok sawa Raymond,hata mimi niko kenya, congratulations.

  • @SaraQueen-tm5dr
    @SaraQueen-tm5dr 27 дней назад +6

    Mnajua sana maua yenu 🎉🎉

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa 19 дней назад

    Achakwanza 😂😂

  • @TantineMukambilwaFumbele
    @TantineMukambilwaFumbele 27 дней назад +3

    Pôle Sana kweli tutazidi kuwahombeya

  • @MumbereKisiko
    @MumbereKisiko 27 дней назад +3

    Hakika leo mumeniuwa nimecheka duuh

  • @Nema-f5d
    @Nema-f5d 27 дней назад +2

    Good job

  • @fatumasalim3915
    @fatumasalim3915 24 дня назад

    Tunasubir sana t

  • @HijjatyIddy
    @HijjatyIddy 27 дней назад +2

    Safi sana kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 27 дней назад +4

    Duhuu warda anapitia magumu

  • @lovenesskyungai7882
    @lovenesskyungai7882 27 дней назад +2

    Raymond siwez kuish bila ww😂😂😂😂😂

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 27 дней назад +3

    Kazi zuri zana piya inafundisha jamii

  • @JackGerrard-o4h
    @JackGerrard-o4h 22 дня назад

    Matipwa tipwa oyeeeee mapenzi pambeeee

  • @ndindamuema230
    @ndindamuema230 27 дней назад +2

    Lakini nyie😅😅😅😅😅

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 27 дней назад +1

    Masha Allah

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 28 дней назад +3

    Kazi nzuri sana

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 26 дней назад +1

    Tutawamiss kweli

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 27 дней назад +2

    Pole sana warda

  • @MosesKasubili
    @MosesKasubili 28 дней назад +2

    Hongel san

  • @HaluaMwamau
    @HaluaMwamau 28 дней назад +7

    Warida sema tu ukweli nae mbn unyanyasike

  • @JackGerrard-o4h
    @JackGerrard-o4h 22 дня назад

    🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @AgnesKatana-o4z
    @AgnesKatana-o4z 26 дней назад +1

    Imenoga sana tupe muendelezo Raymond

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 27 дней назад +2

    Mmmh sasa endelea kupokea umekua UPAKO WA MWAMPOSA😅😅😅

  • @subiraisaka7227
    @subiraisaka7227 27 дней назад +1

    Warda acha kunyanyasika tafuta njia ya kwenda mume anaye kupenda hawez akakuacha ukateseka

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 27 дней назад +2

    Keiyara ndo atanogewa

  • @JohnDavid-zq3dy
    @JohnDavid-zq3dy 27 дней назад +1

    Asante

  • @StellaKarui-o2t
    @StellaKarui-o2t 27 дней назад +1

    Pole sana

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 27 дней назад +2

    Love yu guys🎉🎉🎉🎉🎉fro kenyatta

  • @CantonerNgota-x6r
    @CantonerNgota-x6r 27 дней назад +1

    Poa. 😂😂😂😂😂

  • @MwanakheirHaji
    @MwanakheirHaji 27 дней назад +2

    Kr beba mzigo uo sio mbaya

  • @MelvinLindah
    @MelvinLindah 27 дней назад +2

    KR ndio ashaapenda

  • @saidmohd2931
    @saidmohd2931 27 дней назад +2

    Hii ya KR ni otimbi na timbilio 😂😂😂

  • @Mikeys-m9w
    @Mikeys-m9w 27 дней назад +5

    Ila Ray eti sasa Endelea Kupokea 😅😅😅 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐀𝐦𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐞 𝐰𝐞𝐩𝐞𝐬𝐢 𝐌𝐬𝐚𝐧𝐢 𝐖𝐞𝐭𝐮 𝐀𝐫𝐞𝐣𝐞𝐞 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐦𝐚 𝐒𝐚𝐥𝐢𝐦𝐢𝐧𝐢 🤲😢
    𝐍𝐚 𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐈𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐞..... ✊🕺🕺

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 27 дней назад +2

    Warida unachembe za uchaw sio bure

  • @SaraQueen-tm5dr
    @SaraQueen-tm5dr 27 дней назад +2

    Warda kapeleka wapi mimba😂

    • @QweenNickson
      @QweenNickson 27 дней назад +1

      Anashindwa kuigiza kama mjamzito kabisa 😢me ananikera bhana 😏😏

    • @SaraQueen-tm5dr
      @SaraQueen-tm5dr 27 дней назад

      @QweenNickson 😂😂😂😂

  • @MwanamisiMwajinga
    @MwanamisiMwajinga 28 дней назад +2

    Mbona kimya

  • @NyaswediNyaswedi
    @NyaswediNyaswedi 27 дней назад +2

    😂😂😂

  • @WilminaerroBayo
    @WilminaerroBayo 28 дней назад +1

    Jmn. Tuongezeen. Bc

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 27 дней назад +2

    Warda bora ungeli baki kwako kuliko upuzi wako

  • @RachelSimbeye
    @RachelSimbeye 27 дней назад +2

    😂😂😂😂

  • @Halimah-s4z
    @Halimah-s4z 27 дней назад +1

    😂😂😂😂