Wimbo mzuri unabariki nafsi yangu Sana , nazipenda Sana nyimbo zako Sana sababu zina upako wa juu wa kiroho. Mimi Ni mkenya na nakukumbuka wakati ulikuwa kwenye kungamano la injili mjini lsiolo nilibarikiwa Sana na huduma yako. Karibu Tena Kenya twakupenda na MUNGU akuinue zaidi.
Old is Gold

Balikiwasana, leta na NTUGERERANYWA
Vipi boss una hata audio ya NTUGERERANYWA?
Amen mungu akupe wepesi wakufika Mbeki.
Asant mtumishi wimbo mzr sana ubarikiwe
Urakoze chane wiwachu
Hongera @Yusto_Onesmo, tulikumwe. nakufuatilia nikiwa Iringa from KATAVI
Asante sana ndugu yangu. Habari za Katavi?
Barikiweni Watumishi wa Mungu
Amen,Ubarikiwe pia
Old is gold